Wimbo mzuri sana, congratulations sololist guitar,ilike your double strings, it is delicious, vocal list,still you need more vocal training, coz you don't have convinced sweetest voice.bigup.amen
Nawapenda sana Family!!! ❤ Christmas bila nyimbo za tumaini Shangilieni haijakamilika. Hii ni tamaduni nitakayoiendeleza Hadi kwa watoto. Nawapenda sana! Na nyimbo hii imenibariki.
Good song,but tenor and bass is not heared anymore, sauti ya tatu na ya nne,haisikiki,kuna umuhimu wa kujengewa uwezo wa kuimba sauti tamu,waimbaji wanaimba baby voice.
Kazi nzuri sana dah solo umeuwa kaka much Love
Leading guitar 🎸🎉🎉🎉 Leading voice 🎉🎉🎉 chorus 🎉🎉🎉 you are one of the best in Africa ❤❤❤
Mungu azidi kuwalinda na kuwatunza Tumaini Shangilieni Choir Bonge la Wimbo , Utukufu kwa Mungu aliye juu Mbinguni.
Wafalme wa Muziki wa injili kuimba live ni nyinyi pekee miaka yote🔥🔥
Hongereni sana wapendwa
Mungu awabariki sana watu wa Mungu lakini pia nimpongeze sana mama mwenye mvi alivyo na amani na furaha akimwimbia Mungu.asanteni kwa zawadi hii
Hongereni sana 2maini choir
❤❤❤❤❤❤💯💯💯💯MY BEST CHOIR NAWAPENDA SANA SANAAAA
Wimbo mkubwa sana Mungu awabariki Tumaini “Shangilieni” Choir
kweli kabisa kwa ajili yetu mtoto amezaliwa
HAMJAWAHI CHUJA HATA SIKU MOJA MIMI HUWA NAWAITA NI UTAMBULISHO WA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KAMA SIO TANZANIA BASI NI AFRIKA
Amen. Mubarikiwe sana
❤❤❤❤ TUMAINI shangilieni yesu awakumbuke katika ufalme wake
Leading 🎸🎺🎸 very 💪 sifa kWa Mungu barikiwa mwalimu J. Mtangoo
Mungu awabariki nyote kwa wimno huu wa kumbukizi ya kuzaliwa kwa Bwana YESU.Nawapenda sana.Bila kusahau mwl.aliyetunga wimno huu.
@ACK st James tumaini choir loitokitok
🎉🎉🎉 nice song
woow hii safi sana!!!! Trampet imefanya wimbo umekuwa mzuri sana!!! hongereni Tumaini Kwaya
John John John brother nimekuita mara tatu naomba unifundishe kupiga gitaa ya solo
Bonge moja la Rhumba, Mungu Awatunze Shangilieni Choir
Halelluuyaaa
Wimbo mzuri. Nimepata wimbo wa kusikiliza kesha ya leo. Haleluyaa
Hongereni Sana watumishi wa Mungu mna advanced saaana
Mungu awabariki sana wimbo mzuri sana Mungu awatunze nawapenda sana
❤❤nimeridhika kabisa,moyo wangu umepata amani❤mbarikiwe saana wapendwa
Hapo sawa😂
@@johnmtangoo kabisa kabisa
Nawapenda sana tumaini...mpaka leo nasikiliza sana nyimbo zenu za zamani, kwenye sim nnazo zaidi ya nane
Great Mungu atukuzwe kwa masifu kwa Mwokozi na ujumbe wa wa Injili.
Nawaonea wakongwe wa miaka zaidi ya miaka 35 iliyopita mpo mbarikiwe.
Canon Godda
Amina Canon. Endelea kutuombea
Mimi Alphayo omwega mogunde from Nairobi Kenya,I like your songs so much!" Blessed too my fellow Christians of Tanzania,Tumaini shangilieni.
Bonge la song mbarikiwe Sana Tumaini Shangilieni Choir
Ameen, Asanteni kwa zawadi hii ya wimbo mpya tubarikiwe wote... nawapenda sana tangu miaka mingi.
Nakubali sana,mbarikiwe
Mbarikiwe sana @Tumaini Shangilieni kwa zawadi hii ya kufunga mwaka. Wimbo mzuri sana wa kuzaliwa kwa BWANA wetu Yesu Kristo❤❤🎉🎉
Ooh kwaya ya wote! Hongera sana Tumaini! Mungu Awabariki sana!
Wimbo mzuri sana, congratulations sololist guitar,ilike your double strings, it is delicious, vocal list,still you need more vocal training, coz you don't have convinced sweetest voice.bigup.amen
Mama alieko pembeni ya Mathayo amevaa tinted anacheza vizuri hadi raha yani.
Sawa Bwana Remmy John Mtangoo, sio kwa hizo double strings 😂😂😂😂
Remmy Mtangoo😅😅😅
Hakika mnaimba,, solorist amenibariki sana❤❤🎉🎉
Nilikuwa naisubiri kwa hamu sana, Kweli iyo solo guitar John kidogo achane nyuzi
😂😂😂😂
Mungu azidi kuwabariki Tumaini Choir🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika mmetisha mnanikumbusha enzi za ujana wangu mmenikumbusha enzi natoroka nyumbani na kwenda kuburudika na OTTU JAZ BAND BABA YA MUZIKI
Power full Song kwa majira haya ❤❤❤
Amina kubwa
Nitanga Célestin from Burundi it is very good song
🙌🏻🙌🏻🙌🏻❤
Nyimbo nzur sana
Glory to God🙌🏾
Mungu awabariki sana kwa huduma hii njema.
🙌🙌
Tafadhali natafta uongozi wa choir hii
Amen
Naomba Ututafte kupitia Email ya kwaya: tumainishangilienichoir@gmail.com
Asanteni kwa kutubariki na wimbo huu wa kuabudu na kesherekea kuzaliwa kwa Yesu! Imenibariki sana! Mungu azidi kutukuzwa.
Merry Christmas.Honereni sana.
Nawapenda sana Family!!! ❤ Christmas bila nyimbo za tumaini Shangilieni haijakamilika. Hii ni tamaduni nitakayoiendeleza Hadi kwa watoto. Nawapenda sana! Na nyimbo hii imenibariki.
Kumenoga Tumaini
Happy to see you again my beloved choir,,,,, mbarikiwe na Mungu ...
My favourite choir congrats
Nice work, good music.
❤nice song .
Great music. Be blessed. Happy jubilee celebration.
This is Great 👍 ❤
Good song,but tenor and bass is not heared anymore, sauti ya tatu na ya nne,haisikiki,kuna umuhimu wa kujengewa uwezo wa kuimba sauti tamu,waimbaji wanaimba baby voice.