TWENZETU KWA YESU KEKO YOUTH CHOIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 138

  • @nillykilonzo8187
    @nillykilonzo8187 2 роки тому +1

    Mwalimu wenuu he is very talented mnaimba kama wasabato nabarikiwa mnoo mungu awabariki sana 🥰🥰🥰

  • @lupyanasamuel9425
    @lupyanasamuel9425 4 роки тому +8

    Naupendaga huu wimbo, mko vzr. Mko So relaxed, uimbaji ni raha sio, nimepata raha jinsi mlivyokuwa na raha. Keep it up, msiache kuimba. Make God proud of you Vijana wa Keko. Karibuni Iringa KKKT Kanisa Kuu, tunawapenda.

    • @elct-kekolutheranyouthchoi9828
      @elct-kekolutheranyouthchoi9828  4 роки тому +1

      Lupyana Samuel Aminaaa ubarikiwe sana mtumishi! Tukipata connection ya huko tutafika kabisa. Msisite kuwasiliana nasi kwa WhatsApp 0786309122

    • @lupyanasamuel9425
      @lupyanasamuel9425 4 роки тому

      Amina ntawaconnect na Mwenyekiti wetu wa Vijana Kanisa Kuu hapa

    • @geraldsamuelkimbawala9700
      @geraldsamuelkimbawala9700 4 роки тому

      Yaani huwa simalizi siku bila kuangalia na kusikiliza huu wimbo,mpangilio wa maneno na namna unavyochezwa vinanibariki Sana,kazi nzuri kweli kweli!

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 11 місяців тому

    Akaendani yangu nami ndani yake huyo
    Huzaa sana🍇🍇❤

  • @everlinemodest1058
    @everlinemodest1058 2 роки тому +1

    Nawapendq sana hawa vijana sichoki kuwatizama wanaimba vzr sana

  • @guelordmulongo7961
    @guelordmulongo7961 2 роки тому +2

    Je vous apprécie vraiment que le seigneur vous bénisse richement mes frères et sœurs, je vous appelle frères et sœurs non parceque on est de même église mais en Christ 🙏🙏🙏🙏

  • @phineasmajura9572
    @phineasmajura9572 5 років тому +9

    Mmeimba vizuri kama wasabato big up

    • @rosemanase3860
      @rosemanase3860 5 років тому +1

      xio wasabato saw hawa ni kkkt keko saw

    • @witnessjoseph7184
      @witnessjoseph7184 3 роки тому

      Ndo maana akasema kama maana yake sio ila wamefanana

  • @salomemuza8509
    @salomemuza8509 3 роки тому +1

    Saluti kwenu watumishiiii🙌🇹🇿

  • @ndossytumaini85
    @ndossytumaini85 4 роки тому +2

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri, Yesu ni njia kweli na uzima, hallelujah

  • @lenardofficialmvile8922
    @lenardofficialmvile8922 5 років тому +4

    Hongerin sana keko Mungu awa tangulie kazi ya Bwana isonge mbele 👏👏👏👏👏👏👏💞

  • @saidpaul811
    @saidpaul811 5 років тому +4

    Kazi nzuri sana wapendwa mnapaswa kuwa Adventist wasabato maana kwahali hiyo 💘🤝

  • @annamacha3983
    @annamacha3983 4 роки тому +1

    Hongeren keko Mungu awatangulie kwa kila Jambo mfanyalo

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 роки тому +1

    Twenzetu kwa Yesu Mungu awabariki kazi nzur vijana keko

  • @lazaronyagenda7112
    @lazaronyagenda7112 5 років тому +2

    Hongela vijana wenzangu mungu awabariki kwa kazi nzur

  • @priscamavura6894
    @priscamavura6894 5 років тому +3

    Huu wimbo unanipa upako sana 👑💕😍😸

  • @kevinmessy3364
    @kevinmessy3364 2 роки тому

    Twenzetu kwa yesu safi sana Rego

  • @brendaoyasi4732
    @brendaoyasi4732 5 років тому +2

    Twende zetu kwa Yesu kwenye raha ya Milele,,,,Nimebarikiwa sana .

  • @ngolomahewa3707
    @ngolomahewa3707 3 роки тому +2

    Jamani I'm blessed with song.

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 3 роки тому +1

    Ameen wimbo mzuri sana Mungu awabariki

  • @timonowino2896
    @timonowino2896 3 роки тому +3

    Amen Mungu awabariki......ila don't concentrate so much on body movement/ dancing that you forget about the message or forget about what listeners are suppose take home. Punguzeni michezo ya mwili....

    • @elct-kekolutheranyouthchoi9828
      @elct-kekolutheranyouthchoi9828  3 роки тому

      Ameen Ameen

    • @aurorarose1815
      @aurorarose1815 2 роки тому

      You aren't serious. Wasimame kama sanamu then? Sababu hizo movements zao tayari ni minimal. Asietaka kuwa distracted na body movents afumbe macho🙄

    • @neemamisheki9497
      @neemamisheki9497 7 місяців тому

      Hao ni Evangelical Lutheran Church sio sabbath, kumbuka Daudi alivomchezea Bwana

  • @neliananelson3281
    @neliananelson3281 5 років тому +2

    Mungu awabariki kaz yenu njema sana,

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 5 років тому +2

    Twende zetu basss kwa Yesu original aliyeangikwa msalabani. Twende zetu kwa Yesu wa ukweli

  • @macochieng5872
    @macochieng5872 5 років тому +5

    Mmeimba vizuri sana kama wasabato sasa msicheze sana , kucheza umepitwa na wakati

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 5 років тому +2

    Mko vizuri ila mkemeeni shetani anaoneka katikati yenu na amejivisha ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
    Mungu awaonyeshe najua mtamtambua na mtamkea Kwa nguvu tena Sana.

    • @stephanomtaita1215
      @stephanomtaita1215 4 роки тому +3

      Nenda kamchomoe huyo shetani unayemuona katikati yao

  • @williamlotiginga7770
    @williamlotiginga7770 3 роки тому +2

    Mbarikiwe San maan mnaimba km sda Ila bado mahelen

  • @annamollel7629
    @annamollel7629 4 роки тому +2

    Twenzetuni kwa yesu my favourite song

  • @emmahkiwelu984
    @emmahkiwelu984 3 роки тому

    Wonderfully hongereni sana vijana

  • @anthonykaale447
    @anthonykaale447 5 років тому +1

    Waaaaoh 😍 yaan ni🔥🔥 Mungu awabariki sana kwaya ya Vijana keko

  • @lenardofficialmvile8922
    @lenardofficialmvile8922 5 років тому +2

    Naisubir taji langu maana Bwana yuaja....mambo fire fire.......🔥🔥🔥🔥🔥❄💪💯Nawakubari saana hata waimbaji wana jua hilo🙏🙏

  • @josephchimba7583
    @josephchimba7583 5 років тому +1

    So much love sound best like seventy day Adventist

  • @elfridahaule2385
    @elfridahaule2385 5 років тому +1

    Nice nice nice Sanaa.. nmebarikiwa

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 роки тому +1

    Hongela mwimbile vanu va mutua

  • @shuamkemwa3712
    @shuamkemwa3712 5 років тому +2

    Woow so beutiful!!! Be blessed

  • @ruthjchirchir2016
    @ruthjchirchir2016 3 роки тому +2

    Amen, I love your dress code

  • @evanskatunzi6729
    @evanskatunzi6729 5 років тому +1

    Mmetishaa keko tunakujaaa

  • @lameckmeshak1394
    @lameckmeshak1394 3 роки тому +3

    hakika nataman kuwaalika katika kanisa langu wapige wimbo huu mpaka watu wamwone yesu.melody ya kisabato kabisa

  • @wolperandrea3813
    @wolperandrea3813 4 роки тому +1

    Twenzetu kwa yesu nic song

  • @suld120
    @suld120 4 роки тому +4

    They're very talented

  • @rosemikambi4672
    @rosemikambi4672 2 роки тому +1

    Hakika nabarikiwa na nyimbo zenu
    MUNGU awatunze

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 3 роки тому

    Napenda sana mnavyo imba

  • @rachelchongola4185
    @rachelchongola4185 4 роки тому +2

    Twenzetuni kwa Yesu

  • @salimustanslous6458
    @salimustanslous6458 2 роки тому

    Good video indeed

  • @simonfundi3609
    @simonfundi3609 4 роки тому +5

    Sauti watu hupewa na Bwana na hakuna special sauti kwa ajili ya dhehebu fulani

  • @montash866
    @montash866 3 роки тому +2

    Thank you may God bless

  • @cynthiambongo6565
    @cynthiambongo6565 3 роки тому

    Amen twenzetuni kwa yesu ❤❤❤❤

    • @karizmamega524
      @karizmamega524 2 роки тому

      😍😍😍😍😍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @suld120
    @suld120 4 роки тому +2

    Lest goes to Jesus...for forever rejoice

  • @aurorarose1815
    @aurorarose1815 2 роки тому

    ZABURI 149:3-4 "Israeli na washangilie katika Muumba wao,
    watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.
    Na walisifu jina lake kwa kucheza
    na wampigie muziki kwa matari na kinubi

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 3 роки тому +1

    Ur doing great things to praise Lord 🔥🔥🔥

  • @florencengina1172
    @florencengina1172 4 роки тому +1

    Organized choir spiritual songs all the best

  • @janemichaeljordan8699
    @janemichaeljordan8699 3 роки тому +2

    My choir my home ❤

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 4 роки тому +2

    Nyevaa inguluvi yivatange deni mhwimba siluhwana isauti nofu kweli

  • @JamesPeter-e9q
    @JamesPeter-e9q 3 місяці тому

    Mara ya kwanza naona kazi zenu nilitokea kupenda coz mziki umetulia hongereni.

  • @zaburimtega7614
    @zaburimtega7614 5 років тому +1

    Twende zetu kwa Yesu 👏👏👏👏👏

  • @charlesotieno7614
    @charlesotieno7614 5 років тому +3

    Hahaa kuna wale wasabato but got influenced by the mtindo ya Lutheran

  • @petermachembe9041
    @petermachembe9041 Рік тому

    SDA version be blessed forever 🙏🙏

  • @ikedigitaltv9265
    @ikedigitaltv9265 5 років тому +1

    woow nice song nice performance

  • @sabinachaula6590
    @sabinachaula6590 5 років тому

    hongeren kwa kaz nzr

  • @priscaeliezer4690
    @priscaeliezer4690 5 років тому +1

    Alooooooooooooooo 😘😘😘😘
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evelinerubanga8550
    @evelinerubanga8550 4 роки тому

    nabarikiwa sana

  • @alisburundi9657
    @alisburundi9657 3 роки тому

    Amen

  • @bethtrylakinyi5098
    @bethtrylakinyi5098 5 років тому +2

    Beautiful music,lively singers

  • @farajaezekiel671
    @farajaezekiel671 5 років тому +1

    waooow🎶🎼...nice one

    • @evanoxgidion3882
      @evanoxgidion3882 5 років тому +2

      Hawajakaa kisabato kabisa

    • @monicajustin2472
      @monicajustin2472 5 років тому +1

      kwanza mmependeza sana hakika mnafaa taji mana huduma mmefanya tumebarikiwa

  • @stephanomtaita1215
    @stephanomtaita1215 5 років тому +1

    Great!!!

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 роки тому

    Waoo nice songs

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 2 роки тому

    🙌🙌🙌🤝

  • @hildayusto2086
    @hildayusto2086 4 роки тому +7

    Uimbaji wa kisabato mbarikiwe MTU asipowaangalia live atajua SDA😅

    • @raphaeltungaraza8826
      @raphaeltungaraza8826 4 роки тому

      Leo nmeona wanaimba live kurasin sda walivyo kuwa wanaimba nkawa najiuliza keko kanisa la wasabatho lipo wapi ck nyingne niende nkasari ndo wakasema ni kkkt keko yaaan nmebki nashangaaa

    • @belthonbakinikana9062
      @belthonbakinikana9062 4 роки тому

      Keko Kama sabato

    • @rosemarymjungu8409
      @rosemarymjungu8409 3 роки тому

      Nahisi hiii ni Tungo ya Kibaso. They arw blessed

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 роки тому +2

      WaKKKT wanauimbaji wao wa asili kama wa kisabato tu toka enzi hizo wala hawajaanza Leo, ukifuatilia kwaya zao kuu utagundua hilo na huwa wanaimba bila vyombo ,ni uimbaji mzuri sana

  • @joshuasamson9211
    @joshuasamson9211 Рік тому

    Good

  • @ilhamishadi7345
    @ilhamishadi7345 5 років тому +1

    Twenzetu kwa yesu

  • @gerishomwadunga578
    @gerishomwadunga578 Рік тому

    Serafenin ministries asenono madongo

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 3 роки тому +1

    Yan mnaimba km kwaya za kisabato

  • @jamesmapigano4009
    @jamesmapigano4009 3 роки тому

    Safisana

  • @ailarsdavid4759
    @ailarsdavid4759 5 років тому +1

    Twenzetu

  • @muhubiriproduction69
    @muhubiriproduction69 5 років тому +1

    Naomba tuwasiliane kwa maili muhubiriproduction2017@gmail.com or wsp no +254 786200556 tujadili jambo hapa

  • @nzilwamedia776
    @nzilwamedia776 5 років тому +2

    sawa but kucheza si utaratibu wa Kristo, kwa mujibu wa maandiko na hairuhusiwi kabisa

    • @apostlemelkizedeckmsechu6274
      @apostlemelkizedeckmsechu6274 5 років тому

      Maandiko yapi?

    • @petermakinda7919
      @petermakinda7919 4 роки тому +1

      Hivi mfalme Daud alichana nguo zake akiwa anafanyaj

    • @daud8785
      @daud8785 3 роки тому

      Miaka ya 1880 mlikuwa mnacheza? Haya masuala ya kucheza yamekuja shetani alivyozidi kujichomeka makanisani

    • @monicahsuter8805
      @monicahsuter8805 3 роки тому

      Read psalms 149:3-4

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 роки тому

      Acheni kila mmoja afanye kinachomfaa ,Mungu ndiye anajua nani sawa na nani si sawa

  • @msafiriaugustino2957
    @msafiriaugustino2957 5 років тому +3

    MMEIMBA KAMA WAADVENTISTA WASABATO NI NYIMBO NZURI

    • @perpypaul2981
      @perpypaul2981 4 роки тому +1

      SDA watupu,msicheze sas 😁

    • @luluclemence7976
      @luluclemence7976 4 роки тому +1

      Hope walipata kufundishwa na mwalim Kibaso

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 роки тому

      Nyie mnaufahamu uimbaji wa asili wa KKKT? Au mnasema tu

  • @Mokiwa
    @Mokiwa 5 років тому +2

    Mmeimba kama Waadventista wa Sabato kabisa... Karibu kwenye misingi, mtaleta mapinduzi kwenye tasnia ya muziki wa unjili ambayo inaonekana kupoteza uelekeo. Sijabarikiwa tu na uchezaji wenu maana kuna step mnalazimisha ila wimbo unakataa

    • @apostlemelkizedeckmsechu6274
      @apostlemelkizedeckmsechu6274 5 років тому

      Acha kuleta misingi ya kanisa lako hapa. Eti sijapenda. kwani wanataka kukufurahisha wewe?

    • @mirriammokaya7975
      @mirriammokaya7975 5 років тому

      @@apostlemelkizedeckmsechu6274 it was just a suggestion

  • @guelordmulongo7961
    @guelordmulongo7961 2 роки тому

    Mais je ne connais pas le pays

  • @nancyzachariah3831
    @nancyzachariah3831 5 років тому +4

    A good song with a message.But dancing??? Not adventist.!

  • @godmbiduka2019
    @godmbiduka2019 2 роки тому

    We f

  • @salomemuza8509
    @salomemuza8509 3 роки тому +1

    Saluti kwenu watumishiiii🙌🇹🇿

  • @maryhebroni1920
    @maryhebroni1920 4 роки тому

    Mungu awabariki sana,huduma isonge mbele

  • @tutamlakigospelsingerschoi1067
    @tutamlakigospelsingerschoi1067 5 років тому +1

    Twenzetu kwa yesu