Asante Kwa kugusa importation. Yaani ni kwamba NCHI ambayo Ina importation kubwa kuliko exportation , uchumi NCHI hiyo kibiashara unaitwa " UNFAVORABLE BALANCE OF TRADE" . MADHARA ya unfavorable balance of trade ni mfumuko wa bei, kuua viwanda mama, kuua na kufifisha ukuaji wa maarifa ya technology
Mtaka hapigi kelele na kutangaza kwenye milima kila anachofanya na kuna wakuu wa mikoa wanaofanya vizuri lakini hawatangazi kwenye radio tv nk. Tuwe waangalifu kabla ya kusifia au kulaumu.
Makonda namuona kama mgonjwa(kichaa) mwenye ngekewa.Huwezi kuambiwa tuletee wakuu wa mikoa na makonda akawemo labda kwenye matamasha ya landrovers na nyama choma na pormosheni za kuvuta bangi
Mimi namkubali kwa 100% ana vission kubwa ya maendeleo.
Safi sana mkuu mbegu ndio kila zetu Dua
Asante Kwa kugusa importation. Yaani ni kwamba NCHI ambayo Ina importation kubwa kuliko exportation , uchumi NCHI hiyo kibiashara unaitwa " UNFAVORABLE BALANCE OF TRADE" .
MADHARA ya unfavorable balance of trade ni mfumuko wa bei, kuua viwanda mama, kuua na kufifisha ukuaji wa maarifa ya technology
Wewe nikiongoz bora❤
Mtaka we ni kiongozi haswa bro! Binafsi wewe ni role modal wangu
Ningekua Rais Huyu Mkuu wa Mkoa Njombe ningemtengenezea Wizara ya Fulsa Tanzania
Huyu Jamaa ni kichwa
Hotuba ni nzuri sana.Tunamshukuru sana mkuu wa mkoa wa Njombe.
Hayo ni zamani wakati huo kanisa lilifanya linavyotaka...sio sasa ..
Huyu kiongozi yupo vzr kichwa kinachaji sana, hongera
Watu wa mara siku zote ni vichwa tangu Kwa Baba wa Taifa
🎉 nakubaliana nawe, hata mikoa yote aliyopita inaonyesha
Mbona inajulikana kuwa Anthony, Chalamila. Mkuu wa Tabora na Makonda ndio the best
Kwa hili la uigizaji wa mbegu kutoka nje Waziri Kilimo afukuzwe kazi. Mbegu hizi kutoka nje Zina ufisadi wa hali ya juu kwenye DNA zake.
Halafu eti mna taka ku mlinga nisha na makonda makonda kapita kwingi
Huyu ndiye alikuwa Mkuu bora TZ wakati wa Utawala wa Magu. Kuna watu wanapenda media sana, lakini, sio kwamba ndio uwezo mkubwa
Mbona hajulikani ubora wake ni nini kutangza dini?
Mtaka hapigi kelele na kutangaza kwenye milima kila anachofanya na kuna wakuu wa mikoa wanaofanya vizuri lakini hawatangazi kwenye radio tv nk. Tuwe waangalifu kabla ya kusifia au kulaumu.
Yuko vizuri kama wengine
Anastahili kupewa maua yake . Ni kiongozi mwadilifu na pia anajitambua .
UKO VIZURI SANA MKUU WA MKOA.
Ni mtu wa storry tu huyu nchi hii mkuu wa mkoa ni MAKONDA hawa wengine wote akiwemo mtaka niwapiga storry tu
Ni shida kulinganisha vyeo vya dini na serikali
Huyu chandimu hamfikii hata robo Makondo
Maneno mazuri sana onyesha vitendo,na mwenye kufuata na afuate na mitaji iwepo
Chukua fomu ya kugombea urais 2025.
Makonda to wengine hawajuwi wafanye nini
Kwa kweli, anajua wajibu wake. Ananikumbusha Ma RC wa miaka ya 70, viongozi wa watu
Makonda namuona kama mgonjwa(kichaa) mwenye ngekewa.Huwezi kuambiwa tuletee wakuu wa mikoa na makonda akawemo labda kwenye matamasha ya landrovers na nyama choma na pormosheni za kuvuta bangi
Weee Makonda anakubarika Kila eneo na CCM wakitaka kushinda kirahisi nafasi ya Urais wamsimamishe Mh Majaliwa au Makonda hapo ushindi mapema sana