🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @kanoa645
    @kanoa645 25 днів тому +3

    Angedesa kwa mwenzake basi, kijana kashusha nondo hadi nimejikuta narudi darasani kukifunza na usingizi hamna, welldone bwana kijana

  • @stuartson90
    @stuartson90 26 днів тому +3

    Great critical thinking

  • @kanoa645
    @kanoa645 25 днів тому +2

    Kumbe kuwasilisha ni kipaji, Dr ....

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 22 дні тому +1

    Maongezi ni mazuri so utekelezaji sasa😢😢😢

  • @michaeldjunior1023
    @michaeldjunior1023 22 дні тому

    Wanawake bwana,kujisifia kwiiiingii😅😅

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 24 дні тому

    Kumbe Tanzania tunabrain za Hali ya juu Sana!
    Naona Rais Samia ameamua Kwa ujasiri kuzitumia !
    Sio wengi watamuelewa!

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla 25 днів тому +3

    Wanawake bhana promo kibao nenda kwenye point muda mwingi umejielezea wewe ushauri ziro

  • @williamcosmas1986
    @williamcosmas1986 23 дні тому

    Uzalendo umenishanda😢, huyu Dr. Yeye kaamuwa kusimulia CV yake tu basi. But my first bro he is a great thinker 🧠

  • @godwinfesto6445
    @godwinfesto6445 18 днів тому

    nani achukue maiki kwa docta😢

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 23 дні тому

    Kina mafuru tunao wengi sana mawazo ya hawa yanafanyiwa kazi na hapo mh.umeamua kuka na sekta binafsi ingekuwa endelevu na kubadilisha mifumo

  • @rajabu4irrigation931
    @rajabu4irrigation931 24 дні тому

    1 trillion dollar economy in 2050 is possible in Tanzania! Let's go

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 24 дні тому

    Mhe nama Samia naomba nuone huyo mtu kijana ana uwezo mkubwa saaana

  • @ROBERTMAXIMILIAN
    @ROBERTMAXIMILIAN 23 дні тому

    Brains 🧠

  • @kanoa645
    @kanoa645 25 днів тому

    Dr vipi??? Presentatin

  • @rexstudio4303
    @rexstudio4303 25 днів тому

    Dr 😂 bwana. Ukaona utuchoshe

  • @publicrelations4600
    @publicrelations4600 23 дні тому

    Kwanini uliacha kazi serikalini?

  • @kanoa645
    @kanoa645 25 днів тому

    Dr vipi??? Presentatin