MBOWE BALAA! AKINUKISHA MOSHI MJIN, ATANGAZA VITA RASMI NA CCM, WANANCH WAIKATAA CCM, MBOWE ASHANGAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 60

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 25 днів тому +10

    Hapo nimependa. Wanaume mpo kazini kweli kweli.
    Vyovyote vile ilivyo au itakavyokuwa, kwa sasa mabadiliko ni lazima.

  • @user-ng1zw7gk5w
    @user-ng1zw7gk5w 25 днів тому +4

    Mungu ibariki chadema

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 24 дні тому +1

    Hongera sana Mheshimiwa Mbowe

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 24 дні тому +2

    Nilikuwa ccm kipindi Cha magufuli, toka afe rais wawanyonge ccm siitaji tena

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 24 дні тому

    Hongera baba hukuna kulala wala kusinzia Mungu akutie nguvu na awatangulie kila mahali

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 25 днів тому +3

    Mbowe anastahili kuwa mwenyekiti wa kudumu chadema,,,Mwamba hayumbi hayumbishwali, tangu namjua ni mzee wa kunyoosha, mpinzani wa kweli asiye na wa kupimana linapokuja swala la vyama vya upinzani

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 25 днів тому +3

    Ndio maana wenzetu wanakusanya wanafunzi na walimu kuhudhuria mikutano yao! Mmmmmh, malori mangapi yangebeba nyomi hiii?

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 25 днів тому +4

    Viongozi hawa viongozi wanadanganya watanzania et wawe wazalendo ili wazidi kuwakandamiza wao wakila kodi zetu ubwege

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 25 днів тому

      Kwa hiyo wewe unaona Heri ccm iendelee kuiongoza kwa hicho Kikundi kilichopo kwenye baraza la mawaziri tu, na nchi ikiendelea kukatwa vipande vipande sio??

    • @ARABIMAARUFU
      @ARABIMAARUFU 17 днів тому

      We Sunday k

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 10 днів тому

    Viva Chadema ✌️✌️💪 Chadema Ni Mpango Wa MUNGU #CcmMustEnd

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 24 дні тому +1

    Kenya wako vizuri kielimu

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 24 дні тому

      @IssaAlly-lp4uf Sanaa tu na huo ndio ukweli. Elimu yao inawafungua akili na kuwapa uwezo wa kupembua na kuchanganua mambo ya maisha ya jamii, siasa na uchumi. Na wanaijua vizuri Katiba ya Nchi yao: wajibu wao na haki zao. Tofauti na ya Elimu ya Tanzania inayozalisha Machawa kuanzia Profs, Drs, hadi wanaojiita Wasanii.

  • @user-cj2iq1qv6n
    @user-cj2iq1qv6n 25 днів тому +1

    CCM Wabaguzi Sana Kwenye Erimu Ndio Maana. Hata Wabunge Wanajirudia Km Babako Alikua Mbunge Na Ww Utakua Mbunge Ccm Walaniwe

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 24 дні тому

    Allah ibariki chadema kwenye ushindi

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 25 днів тому +2

    Tunabaki machinga na boda boda

  • @RodrickMmanyi-lr6lr
    @RodrickMmanyi-lr6lr 24 дні тому

    Shkamoo Mh. Mbowe.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 24 дні тому +1

    Chezea chadema wewe people's powee

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 25 днів тому +8

    Ccm ndiyo maana hawalali wakisikia sauti ya Simba Mbowr ikitema madini yenye afya!

  • @GasparMfoi
    @GasparMfoi 21 день тому

    Tunataka kadi jamani

  • @GasparMfoi
    @GasparMfoi 21 день тому

    Iikitu mbona inaeleweka wa Tanzania tubadilike tujitambue

  • @STEVENRingo-vf7ox
    @STEVENRingo-vf7ox 25 днів тому

    Jamani hizi tozo zinaumiza umeme wameongeza Kodi sasa elfu mbili Kila mwezi vitu muhimu vyote petrol nondo cement bado hata choo tutadaiwa Kodi

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale 24 дні тому

    kinachotuleteleza ni nchi kuwa na mambumbumbu wengi,,bahatimbaya hatawasomi,vyuo vikuu nawengine waliotoka ujinga hawana mtazamo wakuitetea nchi. jamani Tanzania tunatia huruma.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 25 днів тому

    Inauma sana. Soko la ajira hatuna. Lugha mama kisukuma, lugha ya pili kiswahili tena cha kuvunjikavunjika aka broken.

  • @faithagrey962
    @faithagrey962 24 дні тому

    Wametudanganya ,kupeleka umeme vijijini kwa bei rahisi, kumbe ni mpango, wa kupata kodi ya arthi ,mpaka kwenye nyumba za makuti,,

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 23 дні тому

    Kwenye Lugha Manga Mkono.Watu Wanaenda na Wakati Tibadilike. CCM Tumewachoka.

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 24 дні тому

    Kufa kondagita kufa derava mabadiriko lazima

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 24 дні тому

    Haya matatizo na ujinga wote huu unaanzia ktk shule zetu. Elimu yetu haitengenezi Critical and analytical thinkers bali watu wasiofikri vizuri na waoga. Watu wasiojielewa na ndio maana tuna wasomi ovyo, wasanii ovyo ..machawa chawa tu wa kutetea matumbo yao ..wapuudhi mno. Angalia wasomi wa Kenya, wasaanii wa Kenya graduates wa kenya wako smart na very intelligent. Mfumo wa elimu inatakiwa ubadilike

  • @user-iv6pr8ze1x
    @user-iv6pr8ze1x 25 днів тому +1

    kaza mwendo kamanda

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 25 днів тому

    Mkichukua nchi viongozi wote walipe kodi zao. Katiba mpya ilazimu viongozi walipe kodi. Katiba itoe kinga za viongozi wote wahujumu na waadhibiwe. Wote waliohusika kuhujumu nchi washtakiwe.

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 24 дні тому

    Mbowe oyeeee hapa kazi akuna kulala mpaka kieleweke

  • @JoseSimon-mt6oc
    @JoseSimon-mt6oc 24 дні тому

    Aman ndo kila kitu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 24 дні тому

    Waambieni watu wajiandikishe pamoja na mambo yote kila mtanzania wajiandikishe na wapige kura

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 25 днів тому

    Huwa naumiaa Sana ninapoyaona magari yanjano, huku Asante kayumba mtoto anapewa mtihan anaulizwa et katibu was shule anaitwa nani? Jaman inauma Sana jina la katibu wa shule linamsaidia nn mtoto. Daaaa!

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 24 дні тому

    Kwani hiki chama ni cha kaskaziniiii........😂

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 24 дні тому

    Kwetu kuna mafao ya wenza wa viongozi ila waztaafu wengine wenza wao anapewa bima ya afya tu😅😅😅

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 24 дні тому

    Kanda Kaskazini Majimbo yote tuhakikishe yamekuwa upande wetu

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 24 дні тому

    Ndio mana atupati maendereo ya haraka kwakufuja pesa kwa mamboyao binafsi

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 25 днів тому

    Waelimishwe. Wajiandikishe kwani hapo.ndipo penye ushindi

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 24 дні тому

    Haya yote ni sahihi alio ongea mbowe kingereza muhimu mwenye akili ataerewa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 24 дні тому

    Nyerere alijenga viwanda alipotoka tu wakaanza kuviuza. Dhambi mbaya aliyoifanya Mkapw wa CCM na Kikwete anaendeleaza na mpaka leo anamshauri mama yake amemalizia kuuza Bandari zote Tanganyika hapo hapo Zanzibar imejiyoa kwenye muungano lakini CCM wanaimba ati muungano wetu umekuwa kweli akili matope ta watawala wa CCM

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 24 дні тому

    MWAMBA NADANI YA MOSHI TOWN,PIGENI KAZI WAPENDWA

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 25 днів тому

    Simba anaguruma tusikilize

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 22 дні тому

    Sembe chapa kitambi

  • @eliudmugendi9619
    @eliudmugendi9619 25 днів тому +1

    Unayempinga kamanda tulia wewe ni chawa

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 25 днів тому +2

    Viongozi..wetu .wakiaka..asubuhi..wanashika..tumbu..leo..nile..nini..masikini..anawaza..leo..nitapata..wapi..matembele..na..nyanya..chungu😭😭😭😭😭🙏🙏..wakati..umefika..maisha..ni..yetu

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 24 дні тому

    Sasa Watu kama kina Mwinjaku na Steve Nyerere Wanachangia nini katika pato la Taifa! Hawa ni Machawa tu ambao kazi yao ni kunyonya kodi za Wananchi.

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 24 дні тому

    Watanzania Bajeti inapitishwa, Mwigulu anawatukana kuwa kama hawataki kulipa tozo waende Burundi ... watoto wa Tanzania .graduate wa Vyuo Vikuu hawana habari ..wanashangilia Manchester United na tamasha za muziki za kipuudhi za Wasanii Machawa 😂😂😂😂

  • @user-dk3ou5yk2f
    @user-dk3ou5yk2f 23 дні тому

    Kama kwenu Kenya Nenda zako Tuache Watanganyika na Rais wetu MBOWE

  • @user-wh3tb9ve8x
    @user-wh3tb9ve8x 25 днів тому

    Mbowe tusemee tupate ajira

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 25 днів тому

    Wacha uongo mm ni mkenya hapa