MAKONDA YUPO ARUSHA kwa SABABU MAALUMU, RAIS SAMIA ANAJUA KUPANGA KIKOSI CHAKE,. -PROF KITILA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @user-dt7ec3tr2v
    @user-dt7ec3tr2v 21 день тому +2

    Yuko vzur Anachapa kazi kweri kwer👏👏👏i kwa jina ra mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehem makonda haishi maisha marefu hapa duniani🤲🤲🤲🤲

  • @iddyramadhani3349
    @iddyramadhani3349 19 днів тому

    Kwakwer mungu ambarik miaka mingi saana

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 21 день тому +1

    Hongera sana jembe letu Makonda Mungu akulinde

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w 21 день тому

    Makonda ni hodari ni jasiri na kabarikiwa neema ya kuwa na moyo wa ushujaa tu namwombea na kumweka chini ya mbawa za Yehovah Nissi atembee naye kwani ameturudishia matumaini yaliyotuka baada ya baba magufuli kuitwa na Baba wa mbinguni sasa tunasema asante Yesu wanyonge tuna furaha sanah na Mama Samia hongera sana kwa hili na Mungu akubariki sana

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w 21 день тому

    Kweli huyu mama wa watoto wengi mnamshambulia bure mara hiki mara kile lakini mama yetu yuko vizuri sana

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 21 день тому

    Jamani morogoro aletwe maana mhuuuu

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w 21 день тому

    Na ana karama ya kuwasoma watu kweli ni wazi kabisa anamfahamu mh m