MAKONDA AWAJIBU WANAOSEMA ANATUMIA HELA ya SERIKALI KUKODISHA MAGARI KWEYE ZIARA ZAKE,.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 18 днів тому +5

    Wameanza kusema oooh wakuu wamikoa waache ubabe , kaulizao wana mlenga huyu jembe, hata chalamila ameanza kuji pendekeza kusema ooh ubabe nimeacha, kwani chalamila ni mbabe,au nimlopokaji , molopokaji na msema ukweli hawafanani hatakidogo

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 18 днів тому +3

    Baadhi ya viongozi wana mpiga vita sana Mh Makonda. Yani wana wivu wazi wazi

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 18 днів тому +1

    Be blessed Man of God

  • @StellaMwasha
    @StellaMwasha 18 днів тому +1

    Piga spana babaaa❤watu wasikutishe

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 18 днів тому +1

    Mdogo wangu achana na WAHUNI HAWANA JIPYAsonga mbele nakuombea kila siku

  • @LilianMkodo
    @LilianMkodo 17 днів тому

    Fanya kazi mjukuu usiwajibu

  • @godfreyaron3511
    @godfreyaron3511 11 днів тому

    Mmmh...hivi kumbe viongozi huwa wanahongwa? Hatutakuja toboa

  • @LilianMkodo
    @LilianMkodo 17 днів тому

    Mt Fanya kazi usiwajibu

  • @BarakaLulay
    @BarakaLulay 16 днів тому

    Piga kazi makonda

  • @user-cz2ii2mv3g
    @user-cz2ii2mv3g 16 днів тому

    piga supana makonda wata nyoka .mwaka huu

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 18 днів тому +1

    Kama hutakuwa rais 2025 nahis tutaangamia ,jiuzulu ugombee wapo watakao kupitisha nec

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 9 днів тому

    Tunakujua wewe huwa unatishia watu sana.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 17 днів тому

    Msipo angalia falsafa ya maalim sefu weza ikatumika..Makonda ulipo na sisi tupo.shusha Tanga pandisha tanga.