USCF MLIMANI CHOIR - Kiu yangu (Live Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 сер 2024
  • #KiuYangu #uscfmlimaniCCT #udsmMlimaniCampus #cctudsm
    Kiu yangu ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, ambayo imebeba ujumbe wa kuonyesha shauku na kiu ya kutamani kukutana na kuhudumiwa na BWANA katika nyanja mbali mbali za maisha yetu. Ni matumaini yetu unaposikiliza wimbo huu utakua tayari kuhudumiwa na BWANA na kua na shauku ya kuutafuta uso wa BWANA katika maisha yako.
    [ Zaburi 42:1 ]
    " Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu. "
    #share #like #comment #subscribe #uscfmlimanicct
    Live Recorded at Beroya Church:
    Song:Kiu Yangu
    Event: Singing in his Excellence
    Theme: Glorifying GOD in worship
    Singers: USCF MLIMANI CHOIR
    Music Director: Meshack Modest
    Video Captured: Kababah Digital Media
    Audio Mixing: Erasto Mwalusambo
    Join with us:
    Instagram: / uscf_mlimani_cct
    Facebook: / 100070749355438
    Audiomack: audiomack.com/...
    #uscfmlimanicct #cctudsm

КОМЕНТАРІ • 122