Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
USCF MLIMANI CHOIR - Tunaleta Sifa (Live Music Video)
Вставка
- Опубліковано 24 чер 2023
- USCF MLIMANI CHOIR - Tunaleta Sifa (Live Music Video)
#TunaletaSifa #uscfmlimaniCCT #udsmMlimanCampus #cctudsm
Tunaleta Sifa ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, ambayo ina ujumbe wa Kumrudishia Mungu wetu Sifa, Utukufu na Heshima kwa matendo na baraka zake nyingi. Ni matumaini yetu unaposikiliza nyimbo hii utabarikiwa na kuona sababu zote za kumrudishia Yesu Kristo Utukufu na Heshima zote.
#share #like #comment #subscribe #uscfmlimanicct
Live Recorded at Beroya Church:
Song: Tunaleta Sifa
Event: Singing in his Excellence
Theme: Glorifying GOD in worship
Singers: USCF MLIMANI CHOIR
Music Director: Meshack Modest
Video Captured: Kababah Digital Media
Audio Mixing: Erasto Mwalusambo
Join with us:
Instagram: / uscf_mlimani_cct
Facebook: profile.php?...
Audiomack: audiomack.com/uscf-mlimani-ch...
#uscfmlimanicct #cctudsm
Wow huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana... Utukufu kwa Mungu
Amina ubarikiwe sana.
Amen endelea kubarikiwa sana
Wow nyiee watu mbarikiwe sana Roho wa Bwana kaniongoza kwenye hii nyimbo . Hakika makerubi na maserafi wapo pamoja nanyi
Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni..Mbarikiwe zaidi USCF MLIMANI-CCT. Wimbo unabariki, wimbo unaotukumbusha kuwa ni Rehema za Mungu tu..wala sio sisi. Hongereni❣
Amina sana utukufu kwa MUNGU. Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
Amina tunashukuru sana hakika ni Rehema tu za MUNGU wala sio sisi. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Amen amen
Sina na utukufu kwa Mungu wetu
Beautiful song
Mbarikiwe nyote kwa injili hii iletayo wokovu.
Mzid kuinuliwa wimbo mzuri
❤❤mbarikiwe jmn mnatubariki sana
Hakuna Jambo gumu kwa Mungu wetu. Am really happy for this kundi na Mungu azidi kuwaongeza kila iitwapo leo
Amina sana Ubarikiwe sana
Kivumbi 🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Amina sana
Utukufu kwa MUNGU🎉🎉🎉🎉🎉
Ameeen
Barikiwa❤❤❤
Nawapenda watu wangu wa nguvu ❤
Woooh Tunaleta sifa Bwana 😇
Amina our Lord Jesus deserve our Praise. Hallelujah
Nyimbo nimeipenda mnoo...bila shaka Bwana Yesu ameupenda zaidi maana ni special Kwa ajili yake...mbarikiwe asee
Amen ubarikiwe pia endelea kuusikiliza enjoy the song.
Ameen ameni sifa na utukufu wa Mungu
God's glorious
We always exalting Jesus 🙏
Ameeen
Kivumbiii🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Utukufu na Heshima umrudie MUNGU
Atukuzwe kristo Kwa ajili ya huduma yenu USCF MLIMAN CCT.
Huduma yenu imetugusa wengi. MUNGU AWE WENU
Nice song, Hongereni sana USCF MLIMANI CHOIR. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu.
All Groly remain to the Almighty God 💥💥💥
Tunamshukuru MUNGU 🙏
Waoooooh hii inaenda worldwide🔥🔥🔥🔥
Amina Hallelujah
So nice in jesus
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ powerful
Waoooooh powerful ❣️
This song is a blessing Hallelujah.. God bless you USCF MLIMANI CCT
Amen all the Glory to Jesus Christ
Godblees for good song
mmetishaaaaa🔥🔥🔥🔥
We can't wait for this.... GOD Bless Family of @USCF MLIMANI CCT for the song. Glory to our Lord Jesus Christ.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina
Amen amen
Glory to GOD
Hakika ni kazi njema acha utukufu urudi kwake
Amina Utukufu kwa MUNGU pekee
Hongereni sana wanetu. Wimbo ni mzuri mno. Mungu wa mbinguni azidi kuwainua viwango vya juu zaidi. Atukuzwe Kristo.
Amina sana tunashukuru mno.
Few hours to go😘😘💃💃🔥🔥🔥
Aminaa sana
Mbarikiwe sana UDSM
Tunamtukuza yeye aliyetuwezesha,. Sifa ni kwa MUNGU PEKEE🙏🙏🙏
Hallelujah servant of GOD
Nice one, be blessed servants of God🙏
Ameen be Blessed too🙏
Oooh hallelujah Umekumbuka rehema BWANA
Amina sana rehema za MUNGU ni kubwa mno. Ubarikiwe sana
Mungu awabariki sana
what a song
Hallelujah utukufu Kwa BWANA Mungu 🙇🙌🙌🙌
Hallelujah Utukufu kwa BWANA Mungu pekee.
Groly to God family am blessed with the SONG KAKA KELVIN DRUMER BIG UP BROO....... KEEP BEING HUMBLE BROO
Amen
Aiseee....Mungu awatunze na kuwainua sana...Nimebarikiwa mno mnoooo!
Amen Ubarikiwe sana
Mungu awainue zaidi na zaidi , muendelee kugusa maisha ya watu kwa kipawa hiki kizuri cha kuimba na kuhubiri 🙏🏾🙏🏾
NOW USCF TUMEPATA NYIMBO YETU .YA KUIMBISHA.....HONGEREN CCT USCF MLIMANI. .....NEXT TUNAFATA SISI HUKU DODOMA CBE
Amina sana tunashukuru, Neema ya Kristo Yesu iwatangulie.
@@uscfmlimanicct2873 👍
@@uscfmlimanicct2873 🥳🥳
Mungu ni mwema! Utukufu kwa Mungu pekee
Namuona kijana wangu hapo anagonga viti kwel kwel
Mbarikiwe USCF Mlimani kwa wimbo mzuri wa kumfanyia Mungu wetu Ibada.
Tunashukuru sana, ubarikiwe mno
Be blessed servants😍hakikaa MUNGU azidi kuwainua katika viwango vya juu sanaa🙏
Lazima injili ihubiriweee tuu✍️
Hakika Malaika mbinguni wanafurahia kazi mnayoifanya hapo, mbarikiwe sana🙏🏾
Amina sana
Wimbo mzuri nimebarikiwa mno. Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu.
USCF MLIMANI NI WABARIKIWA .... NASI UKU TULIPO TUPO TUNAMTUKUZA MWENYEZI MUNGU KWA WIMBO ......HAKIKA NASI TUMEBARIKIWA KUPITIA HUDUMA HII MLIOBARIKIWA.......MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAMIMINIA BARAKA KWA VIWANGO VILIVYO KATIKA KITI CHAKE CHA ENZI.
Amen asante sana
Glory glory.......
Amen Glory be to GOD ALMIGHTY
Nimebarikiwa sana na huu wimbo.. Mungu awatunze USCF Mlimani🙏🏾🙏🏾❤️❤️
Amina sana sisi tupungue, Bwana YESU pekee aongezeke. Endelea kubarikiwa kupitia nyimbo.
Amen
Yaani Jamani huu wimbo ni wa viwango sanaa ❤❤❤
Na unatia moyo sana
This leader is great 😢😢
Thanks to Lord Jesus, for the Grace.
🙏🙏🙏
Hakika ❤sichoki kusikiliza huu wimbo jamani Yaani huyu MUNGU mnae mwabudu awape kibali zaidi kwenye huduma yenu 😊😊mbalikiwe saaana wana wa aliye juu
🙏🙏💪💪
oooh, mungu awahinuee kaka kiongozii,,, muhanga mwenzangu 🙏
Sichoki kusikiliza huu wimbo🙌🙏🔥 hakika kazi yenu ni njema Sanaa USCF mlimani
Amina tunashukuru ni kwa neema ya MUNGU
Hongereni sana kwa utumishi huu vijana kwa YESU. YESU utukufu wote ni wako
Asante sana ❤
Nice song ..... 🎉
Ameen enjoy be Blessed
🙏🏼🙏🙏🙏
Wimbo na ujumbe mzuri sanaa. Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
Amina karibu sana, Mungu akubariki pia.
❤ GLORY TO GOD MBARIKIWE SANA
Amina
Glory to God
Ameeen
Mungu awabariki wimbo mzuri sana
Drummer,,,next level 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥go old with God👴👴👴👴
Amina
Glory to God 🙏🏼🙏🏼
Bravoooo🙌drammer
Amina
Waaaooohhh wimbo mzuri sanaaa........
Aiseeeee hakuna maneno mazuri ya kusema itoshe kusema utukufu kwa Mungu aliye hai🙏🙏🙏🙏🙏
Amina sana tunanyenyekea chini ya mkono MUNGU
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri. Kazi yenu ni njema sana
Amina ni MUNGU tu amefanya
GOD bless you, nice song ❤❤
Amina tunamshukuru YESU KRISTO endelea kubarikiwa na wimbo
Mungu ni mwema siku zote hasa ukimtegemea. Sisi tupungue yeye aongezeke kupitia wimbo huu.
Amen
Ameen🙏
Praise our Lord Jesus
Kaz nzur sema ina miss some info.. Ivent ilikuw lin wap, majina ya musician waimbaj n.k? Area
Uscf mlimani cct ni kitovu Cha aamani kwangu hakika Mungu awabariki sana wapendwa. 🎉🎉
Amina ubarikiwe na wewe pia.
Hakika kazi yenu ni njema sana wajoli wa Bwana, MUNGU awabariki sana ndugu zangu Uscf mlimani...
Duce tunawapenda sanaa MUNGU awainue sana
Amina tunawapenda pia Duce, Mungu awabariki sana.
Jitahidini huu wimbo ufike Apple Music
🙏🤝
AMEN wimbo unabariki sana
Praise GOD keep on listen.
@@uscfmlimanicct2873 Amen
On fire🔥🔥🔥🔥
Be blessed so much @jonathanmhando6402
Glory to God. Kama si aliyekuwa pamoja nasi Israel na aseme sasa 🙏🙌🙌🙌
Ameen
Ameen Mungu azidi kuwaongeza viwango katika huduma yenu
Amina sana
❤🥰Mungu azidi kuwainua viwango hadi viwango the song is so touchable 🎉🥳🥳🥳🥳
Amina endelea kubarikiwa na nyimbo.
❤❤
Waoooooh🎉🎉❤
Amen ubarikiwe sana
Aise wimbo wa baraka sana Sifa na Utukufu kwa Mungu Mbarikiwe sanaaaa 🙏
Amina sana
Mungu pekee amefanya tunamtukuza yeye tyu☝️🙏🔥
Ameeen
I just can't stop listening to this amazing song... Blessings overflowing 🎉🎉 May the Almighty keep blessing your ministry
Amen be Blessed
Sifa utukufu vyote ni kwako BWANA unastahili
We glorify your might name Lord you have clothed me with honour🧎♀️
Amen BWANA wetu anastahili Heshima zote
Glory to God. Tunamshukuru Mungu kwa kutufanikisha ktk hili
Amen
❤
❤❤❤❤ sifa ni kwake Mungu 🙏🙏
Amina
🙌🙌
Mungu awabariki sasa. Nyimbo nzuri sana 🙏🙏🙏
Ameen
🔥🔥🙏🏿
Amina
Nimebarikiwa mnoo 😊
Amina sana
🔥🔥🔥🔥
Amen
Glory to JESUS!🙌🙌
Hallelujah Ameen
GOD bless you all USCF, I'm Blessed with your ministry 🙏🙏🙏🙏
Amen be Blessed too
wooow
Amen
Hongereni sana
Tunashukuru sana ubarikiwe kupitia hii nyimbo.
We exalt you Jesus 🙏🙏
Amen
Glory to the almighty God 🙏🏾
Hallelujah Praise GOD
Glory be to our almighty GOD
Ameen
what amazing song. Glory to GOD♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨
Amen be blessed