USCF MLIMANI CCT
USCF MLIMANI CCT
  • 111
  • 90 106
USCF MLIMANI CHOIR - Bwana Umejivika (Live Music Video)
USCF MLIMANI CHOIR - Bwana Umejivika (Live Music Video)
#BwanaUmejivika #uscfmlimaniCCT #udsmMlimanCampus #cctudsm
Bwana Umejivika ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, ambayo ina ujumbe wa kumuadhimisha BWANA na kumrudishia Mungu wetu Sifa, Utukufu na Heshima kwa matendo yake makuu na baraka zake nyingi. Ni matumaini yetu unaposikiliza wimbo huu utabarikiwa na kumtukuza MUNGU pamoja nasi.
#share #like #comment #subscribe #uscfmlimanicct
Live Recorded at Beroya Church:
Song: Bwana Umejivika
Event: Singing in his Excellence
Theme: Glorifying GOD in worship
Singers: USCF MLIMANI CHOIR
Music Director: Meshack Modest
Video Captured: Kababah Digital Media
Audio Mixing: Erasto Mwalusambo
Join with us:
Instagram: / uscf_mlimani_cct
Facebook: profile.php?...
Audiomack: audiomack.com/uscf-mlimani-ch...
#uscfmlimanicct #cctudsm
Переглядів: 136

Відео

MJADALA WA MAANDALIZI YA MPIRUKA MISSION 2024
Переглядів 65Місяць тому
MPIRUKA MISSION ni huduma ya uinjilisti itakayofanywa na USCF MLIMANI FELLOWSHIP iliyopo chuo kikuu cha Dar es salaam, kwanzia siku ya tarehe 21/07/2024 hadi 28/07/2024 katika mkoa wa LINDI wilaya ya NACHINGWEA, kijiji cha MPIRUKA. Uinjilisti huu unaambatana na huduma kama semina ya neno la Mungu, uinjilisti wa nyumba kwa nyumba, mafunzo ya ujasiriamali, uimbaji, maigizo na mengineyo mengi kwa ...
USCF MLIMANI CHOIR ft Joh Praise - Pokea Sifa (Live Music Video)
Переглядів 4,8 тис.3 місяці тому
USCF MLIMANI CHOIR ft Joh Praise - Pokea Sifa (Live Music Video) #PokeaSifa #uscfmlimaniCCT #udsmMlimanCampus #cctudsm Pokea Sifa ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, ambayo ina ujumbe wa Kumrudishia Mungu wetu Sifa, Utukufu na Heshima kwa matendo na baraka zake nyingi. Ni matumaini yetu unaposikiliza nyimbo hii utabarikiwa na kuona sababu zote za kumrudishia Yesu Kristo Utukufu na Heshima zo...
MAMBO NI MOTO KUELEKEA MLIMANI DAY 19/5/2024.
Переглядів 1093 місяці тому
MAMBO NI MOTO KUELEKEA MLIMANI DAY 19/5/2024.
USIPANGE KUKOSA MLIMANI DAY 19/5/2024 MAMBO MENGI MAZURI YATAKUWEPO.
Переглядів 543 місяці тому
USIPANGE KUKOSA MLIMANI DAY 19/5/2024 MAMBO MENGI MAZURI YATAKUWEPO.
wellcome to USCF MLIMANI Day which will be held on 19/ 05/2024
Переглядів 693 місяці тому
wellcome to USCF MLIMANI Day which will be held on 19/ 05/2024
Preparation of Mlimani Day! Wellcome to USCF MLIMANI Day which will be held on 19/ 05/ 2024.
Переглядів 1273 місяці тому
Preparation of Mlimani Day! Wellcome to USCF MLIMANI Day which will be held on 19/ 05/ 2024.
USCF MLIMANI CHOIR - Mfanyieni Shangwe (Live Music Video) #MfanyieniShangwe #uscfmlimaniCCT #udsmCCT
Переглядів 11 тис.6 місяців тому
Mfanyieni Shangwe ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, wimbo huu unazungumzia kuhusu kumfanyia Shangwe na Sifa Mungu wetu kwa baraka zake na matendo yake makuu katika maisha yetu. Endelea kubarikiwa unaposikiliza huu wimbo na tuendelee kumfanyia Bwana YESU Shangwe maana peke yake ndie anastahili #share #like #comment #subscribe #uscfmlimanicct Live Recorded at Beroya Church: Song: Mfanyieni S...
USCF MLIMANI CHOIR - Kiu yangu (Live Music Video)
Переглядів 6 тис.10 місяців тому
#KiuYangu #uscfmlimaniCCT #udsmMlimaniCampus #cctudsm Kiu yangu ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, ambayo imebeba ujumbe wa kuonyesha shauku na kiu ya kutamani kukutana na kuhudumiwa na BWANA katika nyanja mbali mbali za maisha yetu. Ni matumaini yetu unaposikiliza wimbo huu utakua tayari kuhudumiwa na BWANA na kua na shauku ya kuutafuta uso wa BWANA katika maisha yako. [ Zaburi 42:1 ] " Ka...
Kua tayari kubarikiwa na huu wimbo "Kiu Yangu " , 06/10/2023, Friday will be released.
Переглядів 40310 місяців тому
Kua tayari kubarikiwa na huu wimbo "Kiu Yangu " , 06/10/2023, Friday will be released.
USCF MLIMANI CHOIR - Hallelujah (Live Music Video)
Переглядів 11 тис.Рік тому
#Hallelujah #uscfmlimaniCCT #udsmMlimaniCampus #cctudsm Hallelujah ni wimbo kutoka kwaya ya USCF MLIMANI, nyimbo hii inazungumzia ukuu wa BWANA YESU katika maisha yetu kwa namna ambavyo anatupigania na kututetea, hivyo Sifa zote, Heshima na Utukufu anastahili kurudishiwa YESU KRISTO pekee. #share #like #comment #subscribe #uscfmlimanicct Live Recorded at Beroya Church: Song: Hallelujah Event: S...
Utakuwa Live kwenye Page zetu za mitandao ya kijamii, Kaa tayari kumsifu na kumwimbia Mungu🔥🔥
Переглядів 353Рік тому
Utakuwa Live kwenye Page zetu za mitandao ya kijamii, Kaa tayari kumsifu na kumwimbia Mungu🔥🔥
LAZIMA NIENDE KWEMAKAME.🚶🚶🚶
Переглядів 216Рік тому
LAZIMA NIENDE KWEMAKAME.🚶🚶🚶
SINA PESA YA NAULI LAKINI NATAMANI KWENDA MISSION! NIFANYAJE?
Переглядів 208Рік тому
SINA PESA YA NAULI LAKINI NATAMANI KWENDA MISSION! NIFANYAJE?
USCF MLIMANI CHOIR - Tunaleta Sifa (Live Music Video)
Переглядів 27 тис.Рік тому
USCF MLIMANI CHOIR - Tunaleta Sifa (Live Music Video)
MUONEKANO WA TISHERT ZA MISSION YA KWEMAKAME..PIA UNAWEZA KUSUPORT MISSION HII KWA KUNUNUA TISHERT.
Переглядів 234Рік тому
MUONEKANO WA TISHERT ZA MISSION YA KWEMAKAME..PIA UNAWEZA KUSUPORT MISSION HII KWA KUNUNUA TISHERT.
MAONI YA MWAKA WA KWANZA HAPA CHUONI KUHUSIANA NA MISSION YA KWEMAKAME 2023.
Переглядів 110Рік тому
MAONI YA MWAKA WA KWANZA HAPA CHUONI KUHUSIANA NA MISSION YA KWEMAKAME 2023.
SHANGWE LA MTUMISHI WA MUNGU JOSHUA MLELWA AKIIMBA NA WANA USCF.
Переглядів 218Рік тому
SHANGWE LA MTUMISHI WA MUNGU JOSHUA MLELWA AKIIMBA NA WANA USCF.
HIGHLIGHT KATIKA UANDAAJI WA JUKWAA KWA AJILI YA IBADA YA LIVE RECORDING KATIKA KANISA LA BEROYAL.
Переглядів 109Рік тому
HIGHLIGHT KATIKA UANDAAJI WA JUKWAA KWA AJILI YA IBADA YA LIVE RECORDING KATIKA KANISA LA BEROYAL.
KIONJO CHA NYIMBO MPYA ITAKAYOIMBWA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDING KANISA LA BEROYAL KIMARA BARUTI
Переглядів 272Рік тому
KIONJO CHA NYIMBO MPYA ITAKAYOIMBWA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDING KANISA LA BEROYAL KIMARA BARUTI
MAZOEZI YA STEPU_NYIMBO MOJAWAPO ITAKAYOIMBWA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS PALE BEROYAL KIMARA.
Переглядів 190Рік тому
MAZOEZI YA STEPU_NYIMBO MOJAWAPO ITAKAYOIMBWA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS PALE BEROYAL KIMARA.
MAZOEZI YA STEPU.. KIONJO CHA NYIMBO ITAKAYOIMBWA SIKU YA IJUMAA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS.
Переглядів 125Рік тому
MAZOEZI YA STEPU.. KIONJO CHA NYIMBO ITAKAYOIMBWA SIKU YA IJUMAA KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS.
MAMBO NI MOTO NDANI YA KANISA LA BEROYAL KATIKA UANDAAJI WA STAGE.
Переглядів 57Рік тому
MAMBO NI MOTO NDANI YA KANISA LA BEROYAL KATIKA UANDAAJI WA STAGE.
USIPANGE KUKOSA...
Переглядів 81Рік тому
USIPANGE KUKOSA...
USIPANGE KUKOSA..
Переглядів 40Рік тому
USIPANGE KUKOSA..
USIPANGE KUKOSA SIKU YA TAR.12/05/2023 KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS PALE KIMARA BARUTI.
Переглядів 65Рік тому
USIPANGE KUKOSA SIKU YA TAR.12/05/2023 KWENYE IBADA YA LIVE RECORDINGS PALE KIMARA BARUTI.
TUTASHINDA...... LIVE PERFOMANCE. (YOMBO 5) - UDSM.
Переглядів 716Рік тому
TUTASHINDA...... LIVE PERFOMANCE. (YOMBO 5) - UDSM.
USCF MLIMANI TUTAKUWEPO NATIONAL CONFERENCE MOROGORO KUANZIA TAR 5 - 9/4/2023.
Переглядів 141Рік тому
USCF MLIMANI TUTAKUWEPO NATIONAL CONFERENCE MOROGORO KUANZIA TAR 5 - 9/4/2023.
CHRISTIAN YOUTH AND HOW TO OVERCOME CHALLENGES (DAY 3 )
Переглядів 80Рік тому
CHRISTIAN YOUTH AND HOW TO OVERCOME CHALLENGES (DAY 3 )
USCF MLIMANI CHOIR...MUNGU REJESHA (LIVE PERFOMING IN SUNDAY SERVICE)Not official video.
Переглядів 640Рік тому
USCF MLIMANI CHOIR...MUNGU REJESHA (LIVE PERFOMING IN SUNDAY SERVICE)Not official video.

КОМЕНТАРІ