MKE WA MARCO ALIVYOAGA MWILI WA MUME WAKE KWA UCHUNGU MKUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Follow us:
    _______
    Facebook / ophoromedia
    ________
    Instagram / ophorotube
    ______
    Tiktok / ophorotube

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @user-ij9ye9fu3n
    @user-ij9ye9fu3n 18 днів тому +123

    Pole San mwanamke mwezetu mungu akutie nguvu😭😭😭

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому +4

      Asante kwa kutazama video hii.

    • @miriamsima4374
      @miriamsima4374 18 днів тому +6

      Mungu amtunze yeye Na watoto wake asiwapungukie

    • @user-ie3nz3ty2b
      @user-ie3nz3ty2b 18 днів тому +1

      mungu akupe kheli mdogo wangu jipe moyo utavuka salama

    • @IssaKoloba
      @IssaKoloba 18 днів тому

      Pole mpz
      Mungu akupe wepes

    • @mkasykhamisi2587
      @mkasykhamisi2587 18 днів тому +1

      Pole mummy Mungu akutie nguvu kwa wakati huu mgumu inauma sana acha Mungu ailaze roho yake mahala pema 😢😢😢😢

  • @stellahpeter6818
    @stellahpeter6818 18 днів тому +52

    Faraja ya kweli inatoka kwa bwana yesu Mungu akawe mfariji kwa familia yote na wapendwa wote vita umeipiga iman umeilinda pumzika kwa aman marcos.

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому +2

      Asante kwa kutazama video hii.

    • @gaudenciaredwin2154
      @gaudenciaredwin2154 17 днів тому

      So disrespectful!kaka hata hawapi nafasi wautazame mwili🙆

  • @marryhancy1632
    @marryhancy1632 18 днів тому +343

    Uyu anae wasogeza wafiwa sijapenda namna anavyowavuta

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому +11

      Asante kwa kutazama video hii

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 18 днів тому +52

      Yani anakihelehele utasema anataka kuila hiyo maiti

    • @LethisiaNjika
      @LethisiaNjika 18 днів тому +22

      Natamani nayy siku moja asogezwe kijinga hivo

    • @napendahuruma3320
      @napendahuruma3320 18 днів тому +8

      yaani kumbe na ww umeonaaa

    • @elizaberthshinga5750
      @elizaberthshinga5750 18 днів тому +14

      Yaaani hadi mimi ananiudhi jamani awaache wafiwa waage mpendwa wao vizuri

  • @MerriamCeci
    @MerriamCeci 18 днів тому +13

    Pole sana mwanamke mwezetu,, let God bless you and give you a power to protect family ♥️

  • @AidaVictory
    @AidaVictory 18 днів тому +13

    Mungu pekee ajuaye kufariji awe faraja kwenu familia nzima ya Marco poleni Zabron singers

  • @LenahChepkemoi
    @LenahChepkemoi 18 днів тому +7

    Rest in power Marco,and may God comfort the family of Marco and his innocent Children's also his friends and all zabron singers.... God will guide you always.

  • @selinakarisa3785
    @selinakarisa3785 18 днів тому +10

    Poleni family ya zabron singers Mungu awape faraja kwa msiba huu,

  • @elizabethmosiori2800
    @elizabethmosiori2800 18 днів тому +34

    Huyo jamaa anafukuza watu,kuwa na tabia, Marco alikuwa mtu wa watu, kama wewe umefurahi vile ametuacha,jitoe hapo, RIP Marco

    • @user-gc7xt5sf7q
      @user-gc7xt5sf7q 18 днів тому +1

      Sio vzr vill anawavuta kabisa sijapenda

    • @munira-yn3uu
      @munira-yn3uu 18 днів тому +2

      Pia mm nashangaa mbna anatoa watu ivo

    • @agneskighenda3795
      @agneskighenda3795 18 днів тому +2

      Amekera mno! I hope ataona hii comment ajifunze in the future

    • @joanshitawa8035
      @joanshitawa8035 18 днів тому +4

      ​@@agneskighenda3795people are supposed to view the body and pay the last respect. He is doing something wrong.

    • @vincentkyalo2538
      @vincentkyalo2538 18 днів тому +1

      Ni kwasababu wanataka kuabudu mwili wa marehemu.

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k 18 днів тому +14

    Dada enjoy pole kpenz changu ni ngumu kulipokea na kuzoea maan ss pia tuna maumivu ila ww ni zaidi umekuwa mjane mapema Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu kipindi hiki kigumu😢😭🤲🙏🏻

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому +1

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @ElihurumaSanka
    @ElihurumaSanka 18 днів тому +9

    Polen family ya bwana Joseph zabron Mungu awe mfariji wenu kipind hiki kigumu tulimpenda sanaa Marco lakn kazi ya Mungu Haina makosa amependa zaidi

  • @user-bl3ee2vx4d
    @user-bl3ee2vx4d 18 днів тому +32

    Hawa nao wanawashika watu si wawaache wa age kwa aman jaman

  • @HappyFireDragon-hl7hw
    @HappyFireDragon-hl7hw 18 днів тому +10

    Poleni saana Mungu awe faraja kwenu katika kipindi hiki kigum inauma ila tunawaombea msifunjike moyo

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @angle3600
    @angle3600 18 днів тому +4

    Duniani tunapita tuishini kwa upendo,yeye amemaliza safari yake bado sisi,Mungu tujalie mwisho mwema,na watie nguvu wanafamilia

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 17 днів тому +2

    Allah akujaliee pepo,,
    Nasie tulobaki yarabb tujaliee Mwisho ulo mwemaa🤲🏽 Amiiin

  • @YohanaMathias-t9f
    @YohanaMathias-t9f 18 днів тому +9

    Pole sanaaa dada angu kipenzi mungu akutie nguv

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @Dayah-ms9gu
    @Dayah-ms9gu 16 днів тому

    am watching from kenya this death chocked me ,,,,,,, i know marco only in singing , but imeniuma sana mama pole take heart dear mama

  • @DotynatherSamwel
    @DotynatherSamwel 18 днів тому +17

    Mungu watie nguvu wafiwa wote mama na watoto wake daah😢😢😢😢ila ao walinzi.sijapenda

  • @NgwasiNhawa
    @NgwasiNhawa 18 днів тому +1

    Poleni sana familia ya marco,MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,inauma sana😭😭

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 18 днів тому +9

    Sijapenda ao jamaa wanavyowavuta vuta wafiwa .waacheni watu waage mwili kwa kurelax bhana hapo ndipo wanaonana kwa mara ya mwisho tena kwa maisha ya duniani sasa nyie mnawakimbiza kimbiza kama unamkumbiza farasi sijapenda😢😢

  • @user-be7ss7pt8s
    @user-be7ss7pt8s 18 днів тому +1

    Poleni wanafamilia kwa kupoteza mpendwa wenu mungu awafariji na awatie nguvu kwa kipindi iki kigumu mlicho nacho Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi raha ya milele ampe ebwana na mwanga wa milele amwangazie apumzike kwa amani

  • @oliverngomuo1934
    @oliverngomuo1934 18 днів тому +5

    Poleni familia jamanii inauma sana pumzika kwa amani marco

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @JulusJacob
    @JulusJacob 17 днів тому +1

    Kwakweli ndugu zetu na wafiwa na wale wote walioguswa na msiba huu wa mpendwa wetu na mwiinjishaji wa bwana, mungu awe nanyi kwakipindi hiki kigumu cha majonzi, nawaombea mungu awape nguvu, na faraja. Kwetu sisi yatuuma kw kuondokewa na marko, lakini nyinyi kifo cha ndugu yetu marko kimewagusa zaidi. Mungu awape nguvu tu wapendwa.

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  17 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @imanizosaid8631
    @imanizosaid8631 18 днів тому +3

    Kwann wanawapeleka mputa mputa waagaji jamani kama sio mtu wao😭😭😭😭😭

  • @OzanaMtwangi-e4w
    @OzanaMtwangi-e4w 18 днів тому +5

    Daah! Ee mungu wa mbinguni mpe nguvu huyu mjane , kweli inauma

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @salimamasanja4659
    @salimamasanja4659 18 днів тому +11

    Poleni sana ,pole mwanamke mwenzetu

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @mvuyekureemmanuel5541
    @mvuyekureemmanuel5541 16 днів тому

    Poleni sana kwa wana Zabron family!
    Hii ni habari isio nzuli, ila Mungu awatie nguvu kwani wote wapendwa tutawakuta tena kwetu mbinguni.
    Pole sana tena

  • @JeriahObonyo
    @JeriahObonyo 18 днів тому +14

    Mungu awatie nguvu familia ya Marcos and zabron singers

  • @JohnKimanzi-f9t
    @JohnKimanzi-f9t 18 днів тому +1

    Poleni sana kwa watoto na familia yote ya zabron singers 😢😢 Mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu

  • @EstherNafula-h1c
    @EstherNafula-h1c 18 днів тому +2

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @AgustinoBura
    @AgustinoBura 8 днів тому

    Mwenyezi Mungu akulaze mahali pema peponi kaka yetu.
    Mungu awape faraja wanafamilia wote.

  • @SamHighnest
    @SamHighnest 18 днів тому +3

    mungu awatie nguvu zabron na mke roho wa bwana awe faraja kweny kipnd hiki kigumu

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii

  • @stanciadzongodza7174
    @stanciadzongodza7174 12 днів тому

    😢😢😢 heart broken 💔 to his wife ,kids and his family and friends. It is painful 💔 to lose your beloved one,so young .May condolences. May the Lord comfort his wife and family.

  • @DavisdavidNdoje
    @DavisdavidNdoje 18 днів тому +2

    Poleni wafiwa mungu hawatie nguvu. Ila wasanii wa miziki ya dunia waache ubaguzi

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @ReginaGachara-y1y
    @ReginaGachara-y1y 18 днів тому

    😭 A painful moment. May our Jehova give the family peace. Only him who can fill the gap. I lost my mum last year. It's never an easy thing, but God works it out in ways no one can tell.
    May you find strength in the Lord.
    Fare thee well Marcos

  • @AnethKitime
    @AnethKitime 18 днів тому

    Poleni sana wote kwa kuondokewa na mpendwa wetu, tulimpenda Ila Mungu kampenda zaidi ipo siku tutaonana tena pumzika kwa amani kaka Maiko tutakukumbuka kwa mengi mema.

  • @JanetSongi
    @JanetSongi 15 днів тому

    Poleni sana Wana familia na zabron singer's na Tanzania yote kwa kumpoteza mpendwa wenu.

  • @paulootieno2235
    @paulootieno2235 18 днів тому

    U mbele yetu ss Marko tuko Nyuma yako.Vita umemaliza Mungu Akupe Pumziko la Amani. Amina

  • @waydisaxwesso2748
    @waydisaxwesso2748 18 днів тому +1

    Dahh poleni sana Wana familia Mungu awe faraja kuu kwenu ni kipindi kigumu sana mmepitia ila Mungu atawatia nguvu

  • @user-kb2ed7lc9c
    @user-kb2ed7lc9c 17 днів тому +2

    Poleni sana Mungu awafariji wana zabron singers

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  17 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @user-ir4qn7zj1d
    @user-ir4qn7zj1d 18 днів тому

    Poleni sana family 😢. Mjane .there's time for everything 😢Rip Marco.. umevipika vita vixuri 😢

  • @MangisinaJuma
    @MangisinaJuma 15 днів тому

    Polen sana ndugu wa malehem na wat wotee wa kalib na Marco mungu awatie nguvu

  • @RLSWithClarah2808
    @RLSWithClarah2808 16 днів тому

    May God comfort Marco's family and friends... This is a huge loss I'm feeling a lot of pain for sure

  • @monicakamau4672
    @monicakamau4672 18 днів тому

    Fare thee well Marco. Till we meet again. You have been such a blessing

  • @mnyamwezitv382
    @mnyamwezitv382 18 днів тому +1

    Hao bodyguard nini haswaaa khaaaaa

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 18 днів тому

    Dah.. Mungu atupe mwisho mwema. Pole familia kwa ujumla.Mungu awatie nguvu

  • @LucyPaul-p7m
    @LucyPaul-p7m 18 днів тому

    Oh! Poleni sana wana familia na ndugu kwa ujumla Mungu wa mbinguni awe mfariji mkuu kwa kila mmoja tumeumia zaidi kumpoteza rafiki yetu 😭😭😭

  • @juniorsmart2546
    @juniorsmart2546 18 днів тому +1

    Yaan anavyowakwapua kaa ugomvii😂😂😂😂

  • @user-em1bu1es4p
    @user-em1bu1es4p 17 днів тому +1

    Ufunuo 21:4.pole Sana wandugu katika Imani .wa congomani tunaliya pamoja nanyi.Mungu abaki karibu nanyi kwa kuwafariji.

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  17 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @RecholRecholfaustine-f8x
    @RecholRecholfaustine-f8x 18 днів тому

    😭😭😭 inaumiza sana. Pole dada Kwa kuondokewa na mumeo M/mungu akawe mfariji wa maisha ako. 🙏

  • @AirinNyamoga
    @AirinNyamoga 17 днів тому +1

    Poleni sana wapendwa mungu akawe mfariji wenu kwa kipindi hichi kigumu😭😭😭😭

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  17 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @SheilaMmbone-j9i
    @SheilaMmbone-j9i 18 днів тому +1

    Poleni sana aki so painful😭😭😭

  • @munirahilaly3502
    @munirahilaly3502 18 днів тому

    Pole saana , Angel na familia Kwa ujumla mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @VictoriaJohn-sd2xd
    @VictoriaJohn-sd2xd 18 днів тому +1

    Pole Sana dada,Mwenyez Mungu akuite nguvu katika gumu hili unalopitia

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 18 днів тому

    Heeee hakuna siku ngumu maishani kama kuachana na mtu ulienda mpenda! Hee yesu weee kifo kifo kifo kifooooooo 😭😭 Marco Marco ama kwakweli 😭😭

  • @AmbroseOwiti
    @AmbroseOwiti 12 днів тому

    Poleni sana wana Zabron singers more so his wife may you take heart I know its painful but God gives life and take it back May His Soul Rest in Eternal Peace

  • @winniechambo4479
    @winniechambo4479 17 днів тому

    Pole sanaa mke wa Marehem Mungu akutie nguvu takika kipindi hiki kigumu unachopitia na akupe nguvu na ujasiri katika kulea watoto mtumaini Mungu katika kila hatua

  • @DeboraIsaya
    @DeboraIsaya 17 днів тому

    Pole sana kwa family ndugu mke na watoto bwana ametoa na bwana ametwaa jina Lake lihimidiwe amevipiga vita vingi na mwendo ameumaliza😭😭😭😭lala shujaa

  • @user-lu7vs8wd8v
    @user-lu7vs8wd8v 18 днів тому +2

    Mungu akutie nguvu mwanamke mwenzetu😭

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @user-ut1kl7lq2h
    @user-ut1kl7lq2h 18 днів тому

    Pole sana kwa hii familia Mungu mwenyewe awe tu mfariji wenu wa karibu aki ni uchungu lakini inatulazimisha kukubali mipango ya Mungu.

  • @EuniceMwangi-gk1bt
    @EuniceMwangi-gk1bt 17 днів тому +1

    Mungu awafariji wote maana yeye ni mfariji wa kweli❤❤

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  17 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @BigamboMafuru
    @BigamboMafuru 18 днів тому +1

    Watu wanaomboleza kifo cha ndugu yao alafu we unawavuta kama Wezi Hivi watu wengine wanakuwaga na akili za namna gani hizi 😢😢😢😢😢😢

    • @mwajabually5321
      @mwajabually5321 18 днів тому

      yaan sijamuelewa kabisa mtu anaaga wanamvuta duh

  • @danielkoskei7580
    @danielkoskei7580 18 днів тому

    Faraja hutoka kwa Mungu May God give this family strength

  • @Pilausbwinyo
    @Pilausbwinyo 18 днів тому

    Mungu akawafiliji wanafamilia wote na ndugu jamaa na marafiki nakundi zima la zabron Mungu awape nguvu yakuendelea mbele na kazi yake ya kumtumikia

  • @jamesnkii4539
    @jamesnkii4539 17 днів тому

    Dah! Mke wake jaman
    Uwiii Mungu wa mbinguni ninakuomba ukamfariji huyu mama peke yake hawezi🙌🏼🙌🏼

  • @gaudensiamganga1695
    @gaudensiamganga1695 18 днів тому +1

    Inaumiza sana jamani Eeee Mungu awatie nguvu familia yote kwa ujumla

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @user-gw7np5th6w
    @user-gw7np5th6w 18 днів тому +1

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, kuweni pole familia pamoja na zablon singers.

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @millicentonims669
    @millicentonims669 15 днів тому

    May God strengthen their families 😢 rip marco😢

  • @sofiasofi2884
    @sofiasofi2884 18 днів тому

    Mungu akutie ngumu dadangu be strong dear na mambo hawa hawataki watu wakaribie mwili waone ndugu yao siku ya mwisho 😭😭😭😭😭😭😭 Mungu akulaze mahali pema kaka

  • @constancemkambe888
    @constancemkambe888 18 днів тому +1

    From Kenya poleni sana Wana zabron Mungu ampe nguvu 😭😭😭

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @HelenaSule-f4f
    @HelenaSule-f4f 16 днів тому

    Mungu mwenyezi mwenye neema na upendo akutie nguvu katika kipindihiki kigumu

  • @SarahMuro-xm6yu
    @SarahMuro-xm6yu 17 днів тому

    Ths pain is beyond....may th lord comfort them,rip Marco

  • @TeresaSefu
    @TeresaSefu 18 днів тому

    Raha ya mlele umupee eeh bwana na mwanga wa mlele umuangaziee amina🙏 eeeeh munguu ulijua hilii kabra yetu sisi munguu mtiee nguvuu mke wa marehem, uwatie nguvuu watoto wakeee, uwatie nguvuu nduguu jamaa na marafikii popote walipo amina🙏🙏🙏🙏

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 18 днів тому +2

    Pole dada 😢😢mungu hatakuacha

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @maryjames7438
    @maryjames7438 18 днів тому +1

    Poleni sana wanafamilia ndg jamaa na marafiki Mungu akawe faraja ktk kipindi hiki kigumu sana

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @NusuraYasini-p9h
    @NusuraYasini-p9h 14 днів тому

    Mungu amlsze mhali pema pepon kumbuka sik yako ya pumzi yak mwisho itakuwaje omba mungu uwena mwisho mzuri

  • @SulaMwimanzi
    @SulaMwimanzi 16 днів тому

    Poleni sana familia nzima ,mungu akutie nguvu mwanamke mwenzangu hakika inaumiza japo nivigumu kupokea

  • @pamwelah8624
    @pamwelah8624 15 днів тому

    May God comfort the family and give you strength

  • @NaomiSanga-n1e
    @NaomiSanga-n1e 18 днів тому

    Pole sana mwanamke mwezetu kwa kuachwa mjane inauma sana mungu akutie nguvu kwa yeye ni mume wawajane

  • @petronilalodechi7348
    @petronilalodechi7348 16 днів тому

    Poleni kwa familia..huyu nae aache watu wamuone Marco nini anavuta watu

  • @HappyBarnOwl-ug5kt
    @HappyBarnOwl-ug5kt 2 дні тому

    Yan ukijaribu kuvaa viatu vya huyu dada jaman huviwezi kamwe inauma sana pole kipenz mungu akupe faraja

  • @phancywanjala4311
    @phancywanjala4311 17 днів тому

    Go well Marco Joseph continue singing with angles 😢🕊

  • @marylema8937
    @marylema8937 18 днів тому

    Mungu tu awe faraja kwenu wapendwa wangu katika bwana najua mnachopitiaa 😩😩😩tuko pamojaa mi adi nazima simu naona km mitandao inasema uongo nikirudi nakuta mambo yanaendeleaaa😩😩😩I don’t know how to explain but let him rest in peace sisi tunapanga Mungu anapangua na yote ni mema kwake hakuna baya maana amesema anatuwazia yaliyomema kutuma tumaini siku zetu za mwisho.So let us believe Marcos is save na km ni kulia mtu alie tuu coz usipolia nayo ni tatizo lia lkn jua bado safari hujamaliza marcos kamaliza we utamalizajee?mke wake namshauri sana ajue ameachiwa mahandsome wanzurii jmn kuna anayewatamani hivyo aliyee tuu lkn akiwatazama wale amwone marcos na afute machozi🙏🏼

  • @mussanyanda3451
    @mussanyanda3451 18 днів тому

    Sikia tu kwa mwingine unaweza ukaona ni maumivu lakini likiwa kwako maumivu yake ni zaidi ya hapo , ee Mungu tunaomba uturehemu , tujaze nguvu hata tunaobakia ili ikifika ukawe mfariji wetu, mbariki na mtie nguvu mama mjane na familia kwa ujumla.... Amen!.

  • @joycemhina8293
    @joycemhina8293 18 днів тому +1

    Huyo kaka mbona anawazuia watu? Wakati marehemu alikuwa kipenzi Cha watu

  • @jovinacbkan9506
    @jovinacbkan9506 18 днів тому +1

    Acheni watu wamuage Marco, umati mmeuona mngeanza kutoa mwili ulale nje muda wote anafika aupitie mwili ubagert muda, watu ni wwengi kutokana na ratiba inabana kukamata mtu na kutoa kwaa jeneza si sawa Marco ni wetu sote

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @EmmyZain-ov9uz
    @EmmyZain-ov9uz 17 днів тому

    Mungu mume wa Jane, baba wa yatima, jamii na marafiki awatie nguvu.

  • @josiahmudianga5971
    @josiahmudianga5971 18 днів тому

    may the Lord rest his departed soul in tranquility and may he grant the family comfort as they go through this sad moments

  • @kasilimasunga2728
    @kasilimasunga2728 10 днів тому +1

    Huyooo baba ana moyo mbaya hatujapenda kuvuta watu hivyo

  • @fionanzuki6772
    @fionanzuki6772 18 днів тому

    Vinauma saana nko kwa machozi nkiuliza Mungu kwa nini umeiruhusu, pumzka Marco Mungu atie nguvu mke na watoto na familia na kanisa kwa jumla

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 18 днів тому +1

    Sasa nn maana ya kuaga mtu anavuta watu Kama vile anaugomvi nao havarti zimfikie asirudie Tena!

  • @user-ye6yt7qn7g
    @user-ye6yt7qn7g 17 днів тому

    My condolences may God give you people strength 😭😭

  • @ShidaBundala
    @ShidaBundala 18 днів тому

    Pumzika kwaamaani kaka yetu mpendwa mungu akupe pumziko lamilele uwatie nguvu familia mke na watoto amiina

  • @WinnieMchaki
    @WinnieMchaki 18 днів тому

    Pole San mke wake,polen San watoto,familia ya zabron singers Mungu awatie nguvu piaa😢😢😢

  • @lameckokongo6406
    @lameckokongo6406 18 днів тому

    It's ainful to watch. Dear Almighty strengthen the family and friends

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 17 днів тому

    Ni mipango wa Mungu, ukitibiwa Jakaya kikwete ukafa basi ni Mungu alipenda,,,! Ile ndiyo hospital bora kakta ukanda huu

  • @sussieshiro896
    @sussieshiro896 15 днів тому

    God give the family peace and strength 😢

  • @stellahwilliam8578
    @stellahwilliam8578 18 днів тому +1

    😢😢😢😢jamani nimejisikia vibaya acha tu kifo hichi daaah😢😢😢😢pumzika kwa amani marco😢😢😢😢

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Assnte kwa kutazama video hii.

  • @hildajohn2749
    @hildajohn2749 18 днів тому

    Kristo akawe faraja kwa hii familia.
    Kifo, kifo,kifo!!!
    Kifo kinauma jamani😢😢😢😢

  • @FlorenceKerubo-xw6lx
    @FlorenceKerubo-xw6lx 18 днів тому +1

    Mungu ailaze roho yake mahari pema peponi, familia pole na Zablon singers

    • @OphoroTube
      @OphoroTube  18 днів тому

      Asante kwa kutazama video hii.

  • @carol-zz6uf
    @carol-zz6uf 17 днів тому

    😢go well bro we love you from kenya