HARMONZE ADONDOKA STEJINI - RAIS SAMIA ACHEKA - MWINYI NAYE HOI - TAZAMA ALICHOKIFANYA....
Вставка
- Опубліковано 28 жов 2024
- HARMONZE ADONDOKA STEJINI - RAIS SAMIA ACHEKA - MWINYI NAYE HOI - TAZAMA ALICHOKIFANYA....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Ovyooo sana Kodi zetu hizo dar
Naona sherehe za kizimkazi zinafanyika Zanzibar ila wasaa wa Tanganyika watupu hakuna mzaznibari hata mmoja hata waimba Taarabu zaidi ya mzanibari wa Daimond ambae hatukai nae Zanzibar waleteni wasanii wa Zanzibar pia hata waimbaji taarab ili tuone muungano sawa mnajipendelea wasanii wenu wa kizazi chenu kipya tu
Tunaambiwa tunatangaza nchi au tunatangaza sehemu alipozaliwa samia huu ni ufujaji mkubwa wa pesa za nchi ambazo tunaenda kila siku kuziomba kwa wazungu Leo maadili Ya kizanzibar yameendelea kuharibu siku baada Ya siku ulevi na music ndio imekuwa hali yetu Zanzibar Leo imekuwa chaka la kufanyia ngono kila mzinifu pakujifichia ni Zanzibar
Nyimbo.ali imba zuchu bwana ya magu❤❤
Nchi ngum sana hii An watu wanatesk wengne wana shereh Duuh Mungu anatuon Tz
👍
Nakubl
Yani anaangalia show anaacha kuskiliz wananchi wanashida gani Duuuh nchi ngum sana hii Yani uyo konde anavomsifia hapo anaona raha pumbavu sana
Kipipa kimedondoka😂😂
Jipigieni mihela vijana
Ana angushwa na nini? Madeni ya CRDB wewe ununulie kila mwanamke gari unajifamya sultani wa brunei,. Mshamba sana dogo.
Pole bro hio hutokea but next time just b careful
Mh mngejuwa mtaani hatumkubali
Wewe rajabu hapo uko kimaslahi wewe ulikuwa wa magufuli wewe
Sasa ulikuwa unataka amfate huko makaburini au
Huyu hana style nyengine ya kucheza
Hajui kucheza
Wenu na mama yako
Harmonize kaishiwa kabisa
I. Know this movie it's called the boy