Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 4,1 тис.

  • @erastomwapinga769
    @erastomwapinga769 10 місяців тому +30

    pita na like zakutosha kama unaikubali gosper kweri baba atafanya njia amina kubwa vaileth🙏☝☝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @florianminja1127
    @florianminja1127 2 роки тому +901

    Kama bado unaamini baba atafany njia yako gonga like hapa tubarikiwe wote😘😘😘😘

    • @lucympanda6752
      @lucympanda6752 2 роки тому +7

      Baba yangu atafanya njia kwa mwanangu

    • @lucympanda6752
      @lucympanda6752 2 роки тому +5

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Nyarmigori
      @Nyarmigori 2 роки тому +11

      Namini atafanya njia ndugu yangu ameteseka Kwa kuanguka na SI kifafa maana anaona nyoka zinamtembelea Kwa mwili ila siku Moja baba atafanya njia

    • @samwelinkindwa9662
      @samwelinkindwa9662 2 роки тому +1

      Aminaaaaaaa

    • @florianminja1127
      @florianminja1127 2 роки тому

      Pole sana kaka

  • @lindakhayange8075
    @lindakhayange8075 2 роки тому +21

    Ninapo sikiliza Hu wimbo ata nikiwa mgonjwa ninapata nguvu uku huwarabuni ata ukiwa mgonjwa upelekwi hospital so nikiwa mthaifu niskilize yesu ufanya njia ninapata nguvu na kwendelea

  • @lydiamukhwana
    @lydiamukhwana Рік тому +12

    Mungu Fanya njia Kwa kazi yangu, fungua njia Kwa watoto wangu wanapoenda kufanya mtihani wao wa taifa

  • @rosiganza
    @rosiganza 2 роки тому +293

    Much love from Kenya. Kenyans drop your likes here.

  • @robaiindekwa8869
    @robaiindekwa8869 Рік тому +11

    Umenibariki sana,Baba afanye njia shamba tulilo nyanganywa lirudi Kwa jina la yesu.Ubarikiwe sana

  • @sarahongwae9047
    @sarahongwae9047 8 місяців тому +39

    Aibu ni ya mda tu,baba yangu atafanya njia ya kipekee ile mwanadamu hawezi funga 🙏

  • @faithwerunga977
    @faithwerunga977 2 місяці тому +13

    😭😭😭😭😭😭😭 anybody watching 2024😭😭😭😭😭😭😭😭 My dad admitted me to campus and...he didn't stay long 😭 he died so have really struggle with life ...am now yr 3 next year will be yr 4 ... it's not easy at all but i know atafanya njia ntamaliza no matter 😢😢😢

    • @CottonLlC
      @CottonLlC Місяць тому +1

      God will make a way dadangu, just pray na uwe na imani

  • @munyaomutinda9253
    @munyaomutinda9253 2 роки тому +488

    My father passed i way when i was in form 2 ,my mum akawa msick ,tukapagiwa tufukuzwe kutoka mahali tulikukua tumezega,my brothers and sisters walikua watoi wakanililia yao yote hadi kalibu nirukwe na akil but mungu anaedelea kufanya njia

  • @jakijaki7507
    @jakijaki7507 2 роки тому +43

    Kupitia huu wimbo nina amini mungu anaenda kuniondolea uzuni na machozi na kuniondolea aibu amen

  • @naommwango1744
    @naommwango1744 2 роки тому +5

    SI mungu alifanya kwa Mary na mm atafanya kwangu

  • @kennethkipkorir8315
    @kennethkipkorir8315 2 роки тому +355

    Kama unaamini mungu atafanya njia ebu gonga like apo🙏🙏

    • @esthervidonyi8704
      @esthervidonyi8704 Рік тому +3

      Kweli napitia magumu na watoto wangu lakini nikiskiza huu wimbo najua mungu atatenda katika maisha yangu,haijalishi itachukua muda gani.

    • @EdwinIndeche
      @EdwinIndeche Рік тому

      Amen

    • @EuniceKhamuya
      @EuniceKhamuya Рік тому

      I really like the song iko na message kwa mzito I love it❤

    • @kithekasammy309
      @kithekasammy309 Рік тому

      Hi

    • @FaustaPili
      @FaustaPili 8 місяців тому

      Amima

  • @alicewanjiku4502
    @alicewanjiku4502 7 місяців тому +7

    Baba yangu, naomba nikumbuke, fanya njia uniondolee aibu ya madeni 😢😢sina tegemeo lingine Ila wewe

  • @brendermark5368
    @brendermark5368 Рік тому +102

    I dedicate this song to my lovely mum ❤️it shall be well 🙏🙏🙏🙏

    • @judithkilawe6178
      @judithkilawe6178 Рік тому

      💯💯🔥🔥

    • @DamarisKina
      @DamarisKina 4 місяці тому

      @@brendermark5368 bwana atafanya njia haki katika maisha yangu nimebariki sana damaris kina

  • @sharonjeruto7528
    @sharonjeruto7528 2 роки тому +22

    I am tired and depressed,full of disappointment,,,
    But may the message inside this song heal and comfort my heart,
    Mungu wangu fanya njia pasipo na njia katika maisha yangu.....
    Mungu fanya njia,naumia

  • @MinnaMany
    @MinnaMany 3 місяці тому +5

    Naiman.baba.yangu.atafanya.njia.kwenye.kazi.yangu.hataniacha.hivI.nilivo.nilikuja.Saudia.na.nina.iman.na.mungu.ntatmiza.haja.zs.moyo.wangu.Ameen

  • @janohngeno419
    @janohngeno419 2 місяці тому +5

    Those listening and doing their hustle now let's gather here Mungu atafanya njia❤

    • @FilderGon
      @FilderGon 20 днів тому

      It was last when I was look for a work almost to loose my husband encouraged,be telling me God will the way through 🙏🙏🙏🤲

  • @nashnash333
    @nashnash333 2 роки тому +90

    Am really blessed with this song,after my husband died and left me with 1 child of 1year,familia ya bwanangu ilinipokonya kila kitu,lakini kupitia huu wimbo kwa kweli Mungu amefanya njia coz hatua yenye nimepiga ni Mungu mwenyewe alifanya njia pale palipokua hakuna njia,barikiwa sana dada

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 роки тому +1

      Amina

    • @aarpp4907
      @aarpp4907 2 роки тому +6

      Mungu azidi kukufanyia njia dadangu hata sisi tulifiwa na baba tukiwa mwaka nasai niko 24yrs hakika kuna Mungu anaebariki ,,mamangu alidharauliwa akapokonywa kila kitu lkn sai twashukuru Mungu tumekua hata twamjengea my mum,,,Mungu akubariki sana dada Ruth Mungu yupo tuzidi kumtegemea 🙏

    • @joabkava2471
      @joabkava2471 Рік тому +2

      Good music. Good message. Very encouraging. Indeed God do you good in every situation. Hallelujah 🙏🙏🙏👍👍👍

    • @emmaotiende4712
      @emmaotiende4712 Рік тому +1

      😢 same same me wacha mungu atafanya njia 😢

    • @herygibson6515
      @herygibson6515 Рік тому +1

      Amen

  • @KakaShardy
    @KakaShardy 11 місяців тому +6

    Huu wimbo Kila ninaposikia ,hunipa tumaini la kuishi tena.quite encouraging.
    Indeed ,tukimwaminia,Baba atafanya njia.

  • @erickthuo5833
    @erickthuo5833 7 місяців тому +34

    Unaenda job asubuhi kama kawaida,unakuta desk yako iko na mtu mwingine,unauliza kwani what's happening wanakwambia uende utafute job place ingine😢😢,baba najua utafanya njia

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  7 місяців тому

      Akufanyie njia

    • @annnaserian
      @annnaserian 7 місяців тому

      Atafanya njia kweli sababu huwa anafanya yeye ni baba yetu

    • @Fashionanddesign894
      @Fashionanddesign894 6 місяців тому

      I feel your pain 💔 God will do something don't worry

    • @Linet-wz2sh
      @Linet-wz2sh 5 місяців тому

      😢😢😢

    • @SnaiderKadenyi
      @SnaiderKadenyi 5 місяців тому +1

      God akuwe mahali pa you zaidi kuliko penye ulitoka

  • @nikitamalia2717
    @nikitamalia2717 2 роки тому +8

    Kila siku nasikiza huu wimbo nikiwa hapa saudia najipa nguvu taabu hii ni ya muda kwangu Amen Ame

  • @ShazieBrown-ij3eq
    @ShazieBrown-ij3eq Рік тому +55

    With this song my mum will be healed for the hard time of sickness she is in be blessed my brethren those who are still praying with me

  • @Preciouscaren209
    @Preciouscaren209 2 роки тому +47

    I am crying 😭😭😭😭😭😭 God Fanya njia maishani mwangu,mapito nayapitia niondolee...Fanya njia Baba ndo jina lako litukuzwe Amina🙏

  • @winniechemtai6599
    @winniechemtai6599 8 місяців тому +6

    Baba yangu fanya njia maishani mwangu 🙏

  • @FeithChebet
    @FeithChebet 9 місяців тому +4

    I dedicate this song to our family😢.....we are passing through many things buh i know God is there for us🙏🙏🙏......

  • @euniterkahendi6029
    @euniterkahendi6029 Рік тому +8

    Hata kuelezea ninayoyapitia nashindwa lakini Baba yangu atafanya njia 😢

  • @faithimani2329
    @faithimani2329 3 роки тому +22

    I'm heartbroken but this song gives me strength😭😭 lemme leave this comment here whenever someone like it..it will remind me how broken I was once I'm healed🙏🙏 AMEN and AMEN 🙏🙏

  • @MuhonjaOdinga
    @MuhonjaOdinga 14 днів тому +2

    Mimi napigwa vita vikalisana katika familiar yangu lakini ninahimani mungu hawez niacha 🙏 🙏 🙏 ❤

  • @violetimbwana2613
    @violetimbwana2613 3 роки тому +12

    Fanya njia kwa maisha yangu nasikia kuchoka 😭😭😭😭nimepotea Yesu 🙏🙏🙏

  • @FaithKibwii
    @FaithKibwii 2 роки тому +5

    Baba ninaomba ufanye njia kwa shida niliyo nayo sasa hivi nimefika mwisho baba.

  • @graciamudola8107
    @graciamudola8107 Рік тому +9

    Atafanya njia kweli....even when we feel weak and can't make a step anymore Mungu yupo nasii😢😢🙏🙏

  • @Florianminja1005
    @Florianminja1005 Рік тому

    Nimeanza mwaka hu wa 2023 na hi nyimbo nikiamini ndio mwaka wa mafanikio kwa jina la yesu atafanya njia😢❤❤

  • @KevinEtiang
    @KevinEtiang Рік тому +2

    Also nilifukuzwa na wazazi wangu saizi nahangaika tuu huku nairobi but naamini God atafanya😢😢

  • @zawadiamanda3143
    @zawadiamanda3143 2 роки тому +19

    Baba atafanya Kwa watoto wangu,, 🙏🏼🙏🏼🙏🇺🇬 Sara from Uganda (sister vaileth mungu akubariki , akulinde Kwa meneno mazuri ,, mungu atafanya na emefanya kweri🙏🏼🙏🏼🙏

  • @peninnahjames4030
    @peninnahjames4030 7 місяців тому +4

    Mungu fanya njia Kwa Maisha yangu

  • @AnneChitelesi
    @AnneChitelesi 2 місяці тому +2

    Baba anafanya njia katika maisha yangu na watoto wangu katika jina la yesu,ataondoa aibu mbele zangu mateso NI ya Muda tu

  • @hellenmwakasungula6850
    @hellenmwakasungula6850 Рік тому +3

    Kweli kabisaa atanya njia Mungu ni wa pekee duniani

  • @annettemaua1666
    @annettemaua1666 Рік тому +34

    I dedicate this song to me and my family this morning it shall pass and it will be well😭Atafanya njia 🙏

  • @Fashionanddesign894
    @Fashionanddesign894 8 місяців тому +58

    Namini mungu ata Fanya njia nimalize contract salama na nirudi kwa nchi yangu salama ,salamini ,protect all gulf maids God 😢😢😢.

  • @philhadija6725
    @philhadija6725 Рік тому +1

    NAAMINI MUNGU ATAFANYA NJIA😭😭🙏🙏🙏NASKIZA NIKIWA SAUDI ARABIA😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janetdellah6878
    @janetdellah6878 2 роки тому +5

    Atafanya njia naamini, one day

  • @JaneKirigo-fp1nj
    @JaneKirigo-fp1nj 6 місяців тому +4

    Oooooh Jesus fanya njia kwa ajiri ya ndoa nayoenda kuanzisha...bariki mtoto wangu fanya njia maishani mwake awenzee kutembea..Fanya njia katika familia yangu Amen.my favourite songs

  • @dianahdee849
    @dianahdee849 2 роки тому +13

    If your are still here with me like my comment...its one year down the line but the song is still a vibe...baba yangu atafanya njia😥😥😥🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽..be blessed mama vaileth🥰🙏🏽❤

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 роки тому

      Amina shukrani sana

    • @qadarcabdulahi6286
      @qadarcabdulahi6286 Рік тому

      Ashukuriwe Mungu aliyejuu aketie mahali patakatifu naamini kupita huu wimbo atafanya njia na kwangu asante Madam Mungu azidi kukubariki .

    • @YVONNECHEPCHIRCHIR-x2g
      @YVONNECHEPCHIRCHIR-x2g 9 місяців тому

      May the lord hearken to your prayer and change your situation to be better

  • @CarrolyneInyangala
    @CarrolyneInyangala 5 місяців тому +2

    Yesu Fanya njia ndani ya maisha yangu maana moyo unaumia kwa ajiki ya uzao wangu , mungu uko wapi😭😭😭

  • @evonmwende571
    @evonmwende571 8 місяців тому +8

    Going through a lot right now I need your prayer support,,my family depends on me and currently have no job...need prayers guys😢😢,,may GOD make away

    • @LinderAnyango
      @LinderAnyango 7 місяців тому

      God is faithful dear.. Wait and see

  • @faithpaul6977
    @faithpaul6977 3 роки тому +8

    Baba yangu atafanya njia😭😭😭I believe Ameeeen 🙏🙏

  • @nawiresarah1458
    @nawiresarah1458 2 роки тому +11

    Mungu wangu atafanya njia napitia mengi lakini mungu upon😭😢🙏🤝🫂

  • @HellenMbuya-d4d
    @HellenMbuya-d4d 3 місяці тому +2

    Baba yangu naomba ukafanye njia kwa watoto wangu, nahitaji school fees yao,ni ww tu nakutazamia Mungu, Fanya njia kwangu

  • @AtlyneKhamete
    @AtlyneKhamete 6 місяців тому +3

    Kama kuna wimbo hua siku haiishi kabla niusikize ni huu hapa nabarikiwa sana maana baba atafanya njia pasipo njia 🙏🙏🙏🙏

  • @TUMAINIMBEMBELA7
    @TUMAINIMBEMBELA7 3 роки тому +5

    Raha ya kusub ndo hii nimekuwa wa kwanza Safi sana my dada wimbo mzuri sana

  • @namwanojune2798
    @namwanojune2798 2 роки тому +24

    God is going to make a way To each and everyone who is listing to the song including me Amen

  • @BrianOkello-j4r
    @BrianOkello-j4r 5 місяців тому +2

    When you believe there's God when you're still alive mbona unachoka ng'ang'ana kabisa njia itafunguka weka likes tukisonga

  • @pkmtetezi
    @pkmtetezi 2 роки тому +85

    This song is a blessing to many & it's my daily bread.It gives me hope even when things ain't working.May God bless you my sister,may God meet the desires of our hearts and open the doors to whoever is reading this.🇰🇪

  • @josephinemumy9164
    @josephinemumy9164 3 роки тому +59

    A date like today 4months ago,my dad passed,it has not been easy,my mom ever since this has been her favourite song,and truly God amefanya njia,,coz after the burial my mum became very sick,and she used to sing this song,and I don't know how but angepata strength after singing na angetuencourage(my sisters and i)saying,"siwaachi,mimi ndo nimebaki kama baba yenu na mama yenu,na Mungu atafanya njia na atatupa wepesi".
    And we sing together with her,
    It's just God coz so far penye tumefika ni Mungu anafanya njia,

  • @VeronicaDalali-c6w
    @VeronicaDalali-c6w 7 місяців тому +3

    Mungu wangu nifanyie njia maisha yangu😂😂

  • @PatriciaSidi-s9j
    @PatriciaSidi-s9j 5 місяців тому +2

    Amen,Amen huu wimbo unatumboda imani tunaguswa imani zetu,ubarikiwe sana mungu azidi kukuinua zaid na zaidi❤❤❤

  • @AmosObanda23Thursday16Nov8am
    @AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 роки тому +23

    In Kenya we're touched and blessed with song, Hakika atafanya njia kwa mambo yote, magumu na hata rahisi. Jina LA Yesu Kristo litukuzwe Manake limetukuka milele. Hakika anaweza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alicekenya8762
    @alicekenya8762 Рік тому +4

    Naamini kwa Yeye anitiaye nguvu Atafanya Njia.

  • @bettymoraa9766
    @bettymoraa9766 3 роки тому +116

    😭😭😭😭😭😭😭Listening to this song have found myself shedding tears for the situation my family we are going through. Ooh God of mercy make a way for my family. May all our tears and problems come to an end in Jesus name. 😭😭🙏🙏🙏🙏🙌🙌. Be blessed dia sister for an inspiring song Mungu akuinue zaidi 🙏

  • @Lilian-ep3oe
    @Lilian-ep3oe 5 місяців тому +2

    Unafanya kazi ili ubadilishe maisha yako na nyumba yako na ulipwi najuwa mungu atafanya njia😢😢

  • @rossyodoa9208
    @rossyodoa9208 3 роки тому +40

    As I deal with rejection...listening to this song has set my heart free ......baba yangu na afanye niia nikubalike .

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому

      Amina

    • @rachelkaymax547
      @rachelkaymax547 2 роки тому

      Mungu wa Amani...NIKO AMBAYE NIKO...Akufinyange Upya ukubalike kila utakapopita...AMEN

    • @eunahshiko5992
      @eunahshiko5992 2 роки тому

      Me sjakureject mamiii hugs 🥰🥰🥰

    • @stellawanyonyi1067
      @stellawanyonyi1067 2 роки тому +1

      Mm nimeachwa Leo hii bila sababu aki ...i don't know why

  • @winifridashayo392
    @winifridashayo392 3 роки тому +9

    In twoo weeks nimempoteza Bibi na Babu yangu kwa korona, wamenilea tangu Nina mwaka Leo hii sipo nao Tena huu wimbo umenipa faraja baba atafanya njia😭🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому

      Pole sana mpendwa wangu MUNGU akutie nguvu sana

    • @lucynjeri6233
      @lucynjeri6233 3 роки тому

      @@vailethmwaisumo he is the way maker🙏🙏he will surely make away😭😭😭🙏

    • @robinsonkarogo5146
      @robinsonkarogo5146 3 роки тому

      Baba yngu,atafanya kw jina la yesu🙏🙏😭

  • @laviethequeen
    @laviethequeen 3 роки тому +16

    I believe he will make a way in my ministry, in my life God I'm going through alot....... Anybody reading this just say a prayer of peace in my heart for me😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @AliceAdongo-fs9kw
    @AliceAdongo-fs9kw Місяць тому +1

    Baba yangu atafanya njia pasipo kuwa na njia.Amen

  • @bobosworld9460
    @bobosworld9460 3 роки тому +133

    I just discovered this song and it has been on repeat mode on my playlist. Early this year i was worried about so many things and almost lost hope but God eventually made a way at the eleventh hour. My heart goes out to those who are sick, jobless, those lost in pain, sorrows, confusion, and those who have lost hope. Hold on there! No matter how long it takes, BABA YANGU ATAFANYA NJIA!

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому +6

      Amina

    • @opiovincent.3430
      @opiovincent.3430 2 роки тому +4

      Wat awonderful song, I hv just got it exactly the time am in deep sorrow and in bad thoughts in my heart 💖 but it's like medicine to apainful wound. Some one out there might be going the same but Mungu atafanya njia God 🙏 bless the singer.

    • @bettywabuko5071
      @bettywabuko5071 2 роки тому +1

      AMEN. HE WILL. HE IS OUR WAY MAKER 🙏

    • @rebeccatiema6732
      @rebeccatiema6732 2 роки тому +1

      Amina

    • @nancysemo8290
      @nancysemo8290 2 роки тому +1

      Amen he is a way maker 🙏

  • @brilliannafula7090
    @brilliannafula7090 2 роки тому +10

    Right now my life is not smooth..but l know Jehovah is making a way🙏🙏🙏🙏

  • @rogerslihanda6644
    @rogerslihanda6644 2 роки тому +7

    Hii wimbo Inanikumbusha mbali sana nilikotoka kwa kweli mungu anaweza .Dadangu mungu akubariki sana kwa kila jambo.

  • @جونجون-ب9ر7ق
    @جونجون-ب9ر7ق Рік тому +2

    Kweli kabisaa baba yetu atafanya njia ...palipo fungwa na huyo muovu shetani patafunguliwa ..in.Jesus name

  • @roselynendoli1545
    @roselynendoli1545 2 роки тому +3

    What ????? nimeishi kusaka hii song but ckuwa najua mwimbaji n nani waaaaaaaa,,,,,mwimbaji pokea baraka kutoka kwa MUNGU acha afanye njia zake AMINA 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 3 роки тому +6

    😭😭😭😭😭😭 Naamini baba yangu atafanya njia, taabu hii ni ya muda tu, sitafia hapa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 MUNGU akubariki sanaaaaaaaaaa dada yangu

  • @phoebeawuor5401
    @phoebeawuor5401 Рік тому +7

    Feeling strong. I lost my dad when I was 2yrs,mum passed when I was 10yrs, brought up by grandma but passed 2014,no brother nor sister. Got married but separated 3yrs ago,I have 2kids girls aged 11 and 7,we have been going thru a lot but my daughter do tell me that "mum God will remember us one day " no where to go no one to run to,no job and yet there are bills......but naamini baba yangu aliye juu ATAFANYA NJIA

  • @FLOH9876
    @FLOH9876 9 місяців тому +2

    2024 Baba atafanya Njia ❤ He will give me that job

  • @MaryNgila-j2e
    @MaryNgila-j2e Рік тому +7

    We struggled alot when we were young but God anaendelea kufanya njia.I remember mum used to borrow people ,they nicknamed her .He is a God who never disapoints.Thanks

  • @truphenabenta7285
    @truphenabenta7285 2 роки тому +4

    Babangu atafanya njia when things are not working thank you father 🙏 barikiwa dada

  • @hellenmpapale8019
    @hellenmpapale8019 3 роки тому +11

    Amen nakungoja yesu nimeteseka muda mrefu baba yangu, may God bless you mummy much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому

      Thanks much dear

    • @brilliannafula7090
      @brilliannafula7090 2 роки тому

      Mi ni mmoja wa wale alifanyia njia njia.hakika anawexa wacha ahimidiwe😭😭😭😋

  • @brilliannafula7090
    @brilliannafula7090 Рік тому +2

    Oh God...may you make a new way at the end of this month😭😭😭😭😭😭😭 l believe in you God.. You did to our forefathers,,why not me???????????????

  • @teresiamueni1521
    @teresiamueni1521 3 роки тому +29

    You are always known as a waymaker...God of impossibilities please make a way for everyone reading this...thanks Vaileth

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 роки тому +6

    Ameeen my sister ,,BABANGU amefanya njia amenipa kazi ,,he is my DEFENDER ooh yes 👍

  • @GeneralMG11
    @GeneralMG11 Рік тому +3

    Baba yangu atafanya Njia...... My God shall make a WAY.....
    What an amazing song that penetrates the flesh of humans and captures the soul wholly.
    He can indeed.
    Mama barikiwa

  • @GetrudeMalemba
    @GetrudeMalemba 6 місяців тому +2

    Kupitia wimbo huu najua mungu atafanya njia pasipo na njia kudharauliwa kutaisha na familia yetu itaheshimika kwa jina la yesu haigalishi hali ya sae but najua mungu yuko kazini🙏🙏

  • @noraheclay5604
    @noraheclay5604 Рік тому +13

    When I remember how I lost my mum💔💔 in June 2021. I was so devastated 😭😭😭😭 I lost all hope in this life. This song is an encouragement to me that God still loves me an He will make a way for me.🙏🙏

  • @carloskitheka5401
    @carloskitheka5401 Рік тому +14

    I respect Tanzanians alot when it comes to writing songs and making beats.

  • @annezmresh8116
    @annezmresh8116 3 роки тому +5

    Nakwambia 😭😭😭😭💕💕kwangu anazidi kufanya njia kweli wimbo mtamu kweli .... Lots of love mama

  • @CAROLINEONSARIGO-h3q
    @CAROLINEONSARIGO-h3q 2 місяці тому +2

    Nina imani baba yangu atafanyia njia na namini yote yatakua swali

  • @victorjavio8387
    @victorjavio8387 2 роки тому +5

    "BABA yangu anafanya njia".....much blessings and hope .....keep it up sister Vailetti

  • @florencemapinga2811
    @florencemapinga2811 3 роки тому +7

    Woooow nyimbo zako zinazidi kunibariki sana wacha Mungu azidi kukuinua juuu sanaaaa🙏🙏🙏🙏

  • @janetandisi3481
    @janetandisi3481 2 роки тому +4

    Najua bba atafanya njia maishani mwangu,wanaonicheka na kniita majina watashangaa sana.God bless you my sister

  • @BettyJuma-x2m
    @BettyJuma-x2m 6 місяців тому +2

    PST asante Sana nyimbo zako ni za baraka Sana kwa maisha, proudly luhya

  • @andrewobunga3733
    @andrewobunga3733 2 роки тому +3

    🙏💐🌷l, love this song naamini kuna siku,Baba WA mbinguni atafanya njia

  • @فاطمهكينيا-ز1ل
    @فاطمهكينيا-ز1ل 2 роки тому +4

    Hallelujah ninaimani mungu atafanya njia maana yeye Ni mwema sikuzote🙏

  • @MildredWetende-nz2gi
    @MildredWetende-nz2gi Рік тому +7

    I dedicate this song to myself our God will make away no matter what🙏🙏🙏🙏

  • @CAROLINEONSARIGO-h3q
    @CAROLINEONSARIGO-h3q 2 місяці тому +2

    God fanya njia kwa rafiki yngu juliet baba

  • @laviethequeen
    @laviethequeen 2 роки тому +8

    My every morning piece...... Baba yangu Atafanya njia 🙏🙏🙏taabu ni kwa muda

  • @NAOMI-te4lx
    @NAOMI-te4lx Рік тому +10

    I dedicate this song to my mommy,Baba atafanya njia🙏🙏

  • @christinemueni7479
    @christinemueni7479 2 роки тому +6

    Atafanya Kwa jina la YESU AMEN🙏🙏🙏

  • @nancybusi8254
    @nancybusi8254 Рік тому +1

    Mungu fanya njia ya Maisha yangu,zimefungwa kwa muda mrefu.

  • @bethwamoro952
    @bethwamoro952 Рік тому +13

    My spirit has directed me to this song...I have been praying for a job and God has just confirmed it is well through this song.thank you Jehovah

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 3 роки тому +6

    Nabarikiwa sana na huu wimbo,kila siku lazima nausikiliza.

  • @femmymtuva9624
    @femmymtuva9624 2 роки тому +12

    This song is a blessing to me,my current situation is Soo bad but I believe baba yangu atafanya njia na Kila kitu itakua sawa🙏🙏🙏

  • @kevinaiyeza1307
    @kevinaiyeza1307 8 місяців тому +2

    Me tuuu nko na imani baba atafanya njia pasipo na njia I believe in Jesus name 🙏🙏