Sarah Magesa - NIMEBAKI NA WEWE (Official Video) HD
Вставка
- Опубліковано 4 тра 2019
- #DirectorAbson #SarahMagesa #MsalabaMEDIA
©2019 Administered Msalaba MEDIA
Upendo, Upatanisho& Ukombozi
For Booking
+255767957191 /+255789456691
Email: msalabamedia@gmail.com
Kama uko hapa 2024 na unabarikiwa, sema Ndaaani
Mina atakuwa nanyimbo za marth amwaipadja
😂@@twineshmv
Wimbo uko sawa hata mwaka ujao
Puyjlbypjuilbu😊
Ndaani
Yesu kawauliza wanafunzi wake
Je nani mwataka kuniacha
Je nani mwataka kuniacha
Yesu kawaambia wanafunzi wake
Yesu kawauliza wanafunzi wake
Je nani mwataka kuniacha
Je nani mwataka kuniacha
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Petro akamwambia Yesu Bwana Wetu
Tukuache wewe twende kwa nani
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidharauliwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidharauliwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nipite kwenye mabonde nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nidhaminiwe nitabaki na wewe Mungu
Hapo ndipo ninajifunza kwamba
Hata nibaki mwenyewe nitabaki na wewe Mungu
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Nilikuwa sijakujua Mungu wewe
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Nilikuwa sijakujua Mungu wee
Sasa nimekujua Mungu wangu
Akili yangu ilipofika mwisho
Tuliinua sasa nimekutambua Mungu wangu
Nilipokuwa ni mgonjwa ukaniponya Bwana
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Ndugu zangu waliponikataa wewe ukanikumbatia
Sasa nimekutambua Mungu wangu
Nimebaki na wewe, nimebaki na wewe
Na wewe wewe wewe
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Ndugu yangu mimi sijui unapitia nini maishani mwako
Mpendwa mimi sijui unapitia nini kazini pako
Rafiki mimi sijui unapitia nini kwenye ndoa yako
Unapopita kwenye magumu ya kukuvunja moyo
Wewe baki Mungu tu,
Mimi mwenyewe hapa nimbaki na Mungu
Nimebaki na wewe (nawe)
Nimebaki nawewe nisaidie
Nimebaki na wewe niepushe
Hallelujah
Niko hapa 2024 bado,nahisi roho wa mungu ndani ya huu wimbo.
Hadi mwisho wa dunia roho wa Mungu atabaki ndani ya wimbo
2024❤❤.. first time here👌.. I'm deeply ministered to..yes..Nimebaki na Mungu mkuu..Nisaidie ewe Mungu 🙏
kama bdo unasikiza huu wimbo and u cant stop listening just press like...... nitabaki na ww tu mungu
....!!!!!!!!!!!!!
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you...
I listened to this song at the right time,God bless you dada.
@@denzelprempeh9416 Amen
Nimebaki na wewe Mungu wangu, for the few days remaining, nisaidie,nivushe
Kenya🇰🇪 We love this song
Hapo ndipo najifunza kwamba...hata nijaribiwe...nitabaki na Wewe Mungu🙏 if you are listening to this, turn it blue and be lifted in this tumultuous year😊
wale tumefika kupitia Tiktok tupite na hizo likes... 💌💌💌
Mm nmitoa kwa Kelvin musau
😊😊😊😊
Sijui niseme kuhusu huu wimbo! Akika mungu ni mukubwa.
2024❤🇰🇪still listening like it was just dropped the other day,stay blessed fam😊💜
❤🎉🇰🇪🇹🇿🇮🇱💯👏
Asanteni kwa Comment ZENU endeleeni kunifatilia ili kumwinua kristo zaidi
Barikiwa sana dada Sarah Magesa
Ubarikiwe dada sarah..wimbo tamu..nmebarikiwa sana.. Nmebaki na ww Mungu
amina
Amen napenda San uimbaji wako nataman uhudum kwa huduma yangu nko Sombetini Arusha Tanzania karibu Sana my phone number +255762829410
Huu wimbo unapendwa sana. Wapi CD yake.
Nimepanda gari kutoka TikTok mpaka hapa
In my year these 2024 ,,,Nimebaki na wewe Mungu 🥺😢niondoleee yote mabaya ya kulia na kuumiza.roho ...let your will be done in my life ,favor me and cover me with your Grace...bless Sarah who brings us such blessings🙏
Asanteni wapendwa wangu Mungu awabariki sana kwa sapot yenu nawapenda
Tunakupenda sana mum God bless you nakupata nikiwa Kenya
only God is the true way
Sarah Magesa Official naeza kupata vip
Thanks so much we love you so much,you are a blessing to many souls
Amen
My one million times music that reminds me who is God # asanti mungu kwa upendo wako😢😢
Asante sana Mama napenda sana hii nyimbo ni nyimbo nzuri tunabarikiwa na Mungu Bwana akupatie nguvu ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Najua nimebaki na Mungu wangu hata katika haya
Who is here to appreciate what EVA MWALILI-milele FM does in the morning to uplift us all day long and forever be nourished. Gonga like hapa....
Mary asante dada yetu nimebarikiwa sana. Nimepaki nawewe
Ligiyawashindi
Tupatane Galilee
Subscribe here ua-cam.com/video/gWIIXdxkJBk/v-deo.html
@@princessAkoko mama taifa🔥🔥🔥
Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 is tuned as usual... Tanzanian Gospel music is always a blessing to my beloved country...thanks alot Sarah for being a channel used of God to bless our hearts...
It's a touching song indeed..😭😭😭😭😭...
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you...
God revealed this song at a time when I was broken and I needed something to comfort me.Kweli nimebaki na Yesu pekee.Hakika ni mwaminifu.
It breaks be in His presence Everytime I listen to this.God dropped it right on time
yesu mwaka huu wa 2023 ninapitia majarabu magumu sana, yaani hata sipati usingisi, wacha tu nibaki na wewe unitendee kulingana na upole wako
Kama umebaki na mungu ata kati kati ya hili janga ya Corona nipe like tukisonga
Gosh, just done it. From Nairobi to nyeri earphones kwa maskio listening to same
Most inspiring especially during this covid period...let me see your likes
Napata kufarijika Kila ninapo usikiza huu wimbo, Mungu akusaidie uendelee kututumbiaza
This song brought eternal peace in 2019 when my husband died.until today,I enjoy peace ,no stress,no crying
Ghai! Madam, I really feel your feelings.
Glory to God who gave you comfort.
Peace of God is sufficient
Huu wimbo Umeguza Mioyo ya Watu Wengi Sana . Hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪Umekuwa Wimbo Wa Kuwafariji Watu Wakati Wa Mapito. Mungu Akubariki Sana Dada.
True 🇰🇪 too
Mungu akubark ktk utumishi wko dada,huu wimbo umenigusa sn
Huu wimbo huwa unanipa nguvu wakati sina matumaini
@@sylfiailavonga9867 11
Ghhhuhsi?
oo
mppp,m...
,p
Kweli hata nidharauliwe nitabaki nawe.,nani kabarikiwa na huu wimbo gonga like twende mbele kwa ajili ya UTUKUFU wa mungu
When you read this chapter and you read the verse it's so soothing what Peter said to Jesus. To whom should we go to and we know you're Son of God.
Where is this verse
@@kelsynyambura721John 6:68
Well said
That's true tuenda wapi
That's true tuenda wapi
Asante Sana dada yangu kwa huduma yenye nguvu hakika hata Mimi Yesu kristo amebaki ndani ya familia yangu
I can't get exhausted listening to this song it lifts up my soul , our lord is always faithful. Its one of the best Swahili worship songs in history,,,place your likes if u also agree with me....God bless you
❤️❤️
Nimebaki na Mungu asante Yesu
Me too I can play this song the entire day
👏👏👏
@@charlesothuon4843 ☺😛🤪🤩🤪😝🤩☺
Who else is here after her testimony,milele FM 😭😭😭😭😭😭😭😭😭...nmebaki nawewe Mungu
What really happened??
@@yvonneyalla5375
This woman suffered alot she went to so many hospitals but all was in vain, the family decided to take her to a witch but she refused...she was taken with her pastor and stayed in their church
That's where she sang this gospel song Nmebaki Na Wewe, God healed her 🙏
@@noraancellin6138 Asante sana my dear sister,for humbling to explain to us
@@yvonneyalla5375
No wonder this song has always touched me especially during hard times, though i have heard her testmony,
@@emilybarasa2407 We bless God my dear sister,amen!!
Those who're still listening to 17|04|2023 to this blessing song ..give me my likes please
I am here on 7/4/2024
♥️💯Mimi nabaki na Yesu hata nidharauliwe au nipuuzwe,nitabaaaki na wewe Mungu!🎉🌹👏
Gonga like kama umebarikiwa na wimbo huu
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
God bless you dadaa
🙏🙏🙏🙏
@@gerezandurya7429 .1
.
Am so encouraged by this song after being rejected by the man I got married to coz of luck of a child for 11yrs. God is the only friend who can remain with you.
God has the answer and his time is the best. One day you will have a testmony.
😓it shall be well
Tubaki na mungu tuu....all shall be well
Its really painful, am praying with you
Man can change but the good news is that God never changes,He never lies He keeps His promises.He promises to be with you till the end of age.
Matthew 28:20
Joshua 1:5
Numbers 23:19
Isaiah 54:17
God is faithful my dear He sticks closer than a brother!
You will testify in Jesus Name!
🤔
This song is so touching,I always remember when I lost my daughter and all I could say nimebaki na wewe mungu wangu.You are a blessing 🙏
Nimebaki nawe. Yaani napenda huu wimbo... cant get enough of this song❤🙏
nimebaki na mungu naupenda wimbo huu ubarikiwe mnoo
@@mariambonny6822 hongereni Sana saaaaana, wimbo una ujumbe Mzuri Sana saaaaana.
Barikiwa mtumishi wa MUNGU Kwa wimbo mzuri
Amen
Nimebaki n ww ju bila ww nmekufa kiroho
When dad died ,step mum changed , I came to realise I was left with only God , my sister the song has a powerful massage to me.
pole Sana na kongole kwa kumpata Yesu
Take heart. God has you.
Who else is ending 2020 with this gospel song?? 😍
I don't listen to gospel music, but this music has touched my heart. It reminds me whe I lost my Dad in form 3 .I was almost dropping out of school due to lack of school fees plus the fact that my dad was the only provider. Indeed this song has really touched me ,all the way from university God is great thank you Sarah for this inspirational music.
Waoooo thanks
Still listening to this song,martha my favourite swahili gospel singer, i wish one day to meet you,much love from kenya,lets show love to her,like plz🙏
She's Sarah not Martha
When dad died,my relatives changed and life was not easy..I thank God we overcame all the challenges ..kwa kweli tulibaki nawewe...my all time song
Same here. Alibaki na sisi. Walked with us. He became our dad. Made sure we all went to school. Last born graduating from high school next year.
Pole for what you went through..
Hakika baada ya yote, mazuri,magumu , Mungu hatuachi.
Nabarikiwa.
My story too
Kama bado unasikiza huu wimbo na umebaki na mungu kwa wakati huu wa corona like 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This song inanitoa stress 😢 kabisaa atawakudarau Baki na mungu tu God nimebaki na ww ❤
Amen
Mungu akubariki sana dadangu bahati bukuku wimbo unanipa siku yangu inaenda vyema sana.❤😅❤
Kama umebaki na mungu 2020 le me see your likes plz
🙋♂️👏👏
Barikiwa mtumishi kwa kazi nzuri
I can't stop playing the song..
Keep going mum.
Hata katika Hali ya covid_19 na quarantine tunabaki na mungu wa Israeli
Huu wimbo hunifanya nilie ak especially wakati huu mgumu kwangu,nitambaki na Mungu Hadi nishide😭😭😭😭😭😭😭😭😭
AAMEN
AMEN
Its a lovely song
Sawa n
@@stevenaniare9857 g
Leo ndio nimegundua wimbo huu wa kuniinua roho.
Nimebaki na wewe Yesu ❤️❤️❤️🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Whenever I listen to this song I cry 😢 and I don't know why...remember me always in your prayers
Me nliiskia nkivuka kwa rodi mrng I felt like crying I even told God to rem me ...it's so encouraging
i also cry whenever i listen to this song. So touching... Its like she is singing about me.
Lots of thanks my sister,nothing to pay but God bless you for encouraging my soul, anybody agreeing with me?
Sasa ninakujua bwana ya kuwa wewe ni mwaminifu cku zote...asante Yesu.
Ninaomba bwana unene na roho ya kila mmoja atakayesikiza wimbo huu, simamisha aliyeanguka na kuvunjika moyo katika jina la Yesu.
Naomba umubariki muimbaji umjaze neema ya kuendelea na kazi yako ,,,,in Jesus mighty name we pray and believe,,, everyone to say amen.
Amen,,,nikuache Yesu Mimi niende kwa Nani?
I dedicate this song to Israel 🇮🇱 at this time many of their neighbours are against them. May the Almighty Lord see them through. Amen.
2021 am here first to represent Kenyans in Diaspora let's remain with God
Napenda vile wakenya husapoti miziki za wasanii bila roho mbaya kudos Kenya my land my pride
Hii hakika ni huduma timilifu mbele zake Mungu Muumbaji.
Mungu akulinde siku zote dada Magesa.
Everybody may turn against us including those whom we trusted and families but the love that good Lord has for us shall never change. God our Father can never leave us even at our weakest point. This song makes me moving and indeed it reminds me how God has guided me through the valley of the shadow of death. He will never leave us, in every situation God shall remain our fortress.
2021 Jan I'm here to appreciate this song ,Nikiwa na wewe Bwana wangu sitaogopa chochote Mungu wangu .
Ahasante sana dada tena tena tena kwa wombo huu ubarikiwe mno 🙏🙏🙏
This song had 24 views after seven days on UA-cam then God has lifted it. I wanna encourage a person who thinks their songs are rejected. Be faithful and one day it shall be great.
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you... ..
Barikiwa Sana mtumishi MUNGU aendelee kukuinua viwango vingine.
This kind of music makes me want to relocate from South Africa to east Africa 🎉😂😂❤❤❤❤
Oh Yesu wangu🙌'Je nanyi mwataka kuniacha?'😭😭😭 nitabaki na wewe Mungu🙌 Nimebarikiwa🙏 Mungu azidi kukuinua🙏
Read John 6:67
After Jesus preached at Capernum, some followers left. Jesus then asked his 12 disciples this question Sarah Magesa is singing about here. Bwana asifiwe sana. Great to have authentic artists❤️
Very corect
Ameni amen
Since I first heard this song, I listen to it daily morning and evening. It touches my soul so so much. Shukran Dada Sarah for allowing God to use you this way.
I can't count how many times I have played this song every day Glory to God much love from Uganda
Kila ninapo sikiliza wimbo huu,najua am not alone bt nimebaki na mungu,barikiwa Sana mama,mungu akulinde
God uses His own ways to send His message to His people. Thanks Lord for using this blessed lady as your servant shower your abundant blessings upon her.
I remember my dad used to sing this song continue resting in peace dad 😢😢
Penye maisha imenifkisha nmebaki na wewe Mungu Wangu😭😭😭
Kila siku ni lazima nipitie hapa niusikize wimbo huu,unabariki na unatia moyo watu wengi hapa Kenya,Heko dada.
"Nimebaki na wewe nisaidie"
The Lord is using you Sarah to bless souls out here ...
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you...
Nice song kweli hata nipite katika magum mungu ntabaki na wewe
Amen
I can never get enough of this song.. much love ❤ from 🇰🇪 🇰🇪..
I listen to this song every night before I sleep,it blesses my soul. God has been faithful through out 2022 and always merciful
Nimebaki na wewe Mungu wangu🙏
There is a time I was going through a lot.Bishop Eva Mwalili used to play this song everyday on baraka za milele on milele FM.It blessed my soul and gave me strenghth to soldier on.Its true,nimebaki na Mungu tu!
Amen
Truelly touchyyyy
@@sarahmagesa1052 rightnow to see trr is
Can't help playing this song more n more,it inspires me a lot
@@sarahmagesa1052 0
I may not know how long you have been in this music ministry but undoubtedly believe you me this is the start of great great things in your life. As this song is ministering unto our souls God will elevate you to heights you have never imagined. Thank you Sarah. More grace
You did a song too that touched many souls in your first album.
Gapo ndipo ninajifunza y kwamba hta nijaribiwe nitabaki n wewe mungu wangu 🙏🙏❤️
Thi😢😢 it always make my heart cry always because when i listen i remember when i losted my unt ,greatgrand father and it becomes a case which led to break up of our family and every one go away ....only my grand remain home with me while i was still younger😢😢😢
Madaraka day, first day of june 2020! Pale pale uliko, baki tu na Mungu! God bless the singer, author, producer and all of us here!
Newton Sifuma Amen
When it's all about Jesus, it's amazing. The stones will sing if they (we) stop. I couldn't care less who thumbs it down. Tears roll down my eyes when I listen to this song and think about so much God has brought me through. Nime baki na Yesu.
Amen amen
😢
I can't get enough of this song so sweet and touching nimebaki na wewe mungu wangu🙏🙏🙏
❤
Kweli kabisa afadhali kubaki na wewe Mungu,nimebarikiwa nimefarnjika wakati huu wa mapito na magumu ,wacha nibaki na wewe tu baba.
This song deserve 3M likes by 2021 dec
It is now at 3M
3.8m and counting
Its now 6.8M
This song gives me hope in life
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (GODSTIME MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349050354861) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you...
Nimebaki na wewe mungu hata kama biashara yangu Iko chininimebakinawewe mungu majirani wanangoja waone kuanguka kwangu mungu naomba waone kuinuka kwangu
This is 2024 and this song has really inspired me in every thing I do, wacha ni baki tu na yesu .
THIS SONG ITSELF IS MEDICINE TO US WHO ARE CHALLENGED KIMAWAZO......GREAT UPLIFTING.
Dear Sarah,I may not know you personally but your song has truly blessed me.May you always grow and prosper in all that you do.God bless you and all who listen.
praise be the Lord God of Israel. He is great and great is His name in the highest.
Kwakweli nimebaki na Mungu na nina usalama uliotukuka raha sana kuwa na Mungu
What a song,what a blessing, the song blesses me a lot especially when going through a difficult time nitabaki nawewe Mungu tu nimerudia huu wimbo sijui mara ngapi mpaka bwana yangu ame complain
Kumbe siko peke yangu, much blessings Sarah
I thank God for you b bless 🙏🙏🙏
Woodlands
God
Mungu atabaki Mungu.
No matter what
Thanks for your inspiration through this song. It has actually healed the pain I have been holding in my heart for long since everyone deserted our family. I felt like the spirit of rejection has taken control of my life. I even stopped evangelization coz I lost the confidence to stand before pple preaching messages of hope yet none is manifested in mine. But thanks alot coz am now strengthened by this. I love it mum🙏🙏🙏
Niko hapa nimebaki na Mungu tu sasa ❤😊
Huu wimbo unatuliza moyo sana!!!!😭😭❤️🙏🙏barikiwa dada Sarah
Don't warry my sister God is there for us
When am down and listening to this song always remind me to stand because the one with me is greater than the one is in the world be blessed sister, siku zote nitabaki na Yesu wangu
When all is lost you just turn to God and tell Him that "nimebaki na wewe Mungu" and all is returned back #nimebaki na wewe Mungu"
Nitabaki kwako mungu..nikuache niende kwa nani?..huko inje n kubaya
Nina amini tu nikibaki nawe yesu nitasimama tena na nitayasimulia makuu yako nitabaki na wewe Mungu 😢😢
2021 still i can't get enough of this song wow, nimebaki na wewe baba
Hii ngoma nkisikila na fill mungu ni mguu kwa lila jambo
Dada huu Wimbo unanitia nguvu mahali niko kuna stress sana
Back in 2021 lost everything no one was there for me even my family but i kept singing this song while crying its now 2023 God has restored everything that i taught i could never gain. God works his grace its always sufficient just have faith
Amen