RC MAKONDA SIKU YA PILI KAZINI, ATIMBA NA SUALA LA MRADI WA MAJI 'TULITAFUTIE UFUMBUZI'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema amepanga kukutana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Tanzania Dkt. Dotto Biteko na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kujadili juu ya gharama kubwa za uendeshaji wa mradi wa maji, unaotekelezwa kwenye Jiji la Arusha, maarufu kama mradi wa Bilioni 500.
    Makonda amefikia hatua hiyo leo Jumamosi August 17, 2024 wakati wa kikao kazi na Maafisa wa Mamlaka za Maji Mkoa wa Arusha na kuwaomba uvumilivu Wakazi wa Jiji la Arusha wakati huu ambapo ameahidi kutafuta suluhu ya kudumu ya mradi huo wa maji.
    “Hili jambo lazima tulikalie kikao na tulitafutie ufumbuzi wa haraka kwa kukubaliana kwa pamoja kwamba tuiombe Wizara yetu ya Nishati ituingize kwenye watoa huduma na tutoke kwenye unit moja ya Watu wa viwandani kuja kwenye unit moja ya Watu wa makazini ili kusaidia kupunguza mzigo wa uendeshaji wa mradi huu”

КОМЕНТАРІ • 39

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 24 дні тому +8

    Mtu wa kazi 🔥🔥🔥 Tunakuombea Mungu azidi kukulinda

  • @EdwinNoel-e9h
    @EdwinNoel-e9h 25 днів тому +10

    ❤ MUNGU mkubwa
    Tumaini la wana Arusha 🎉🎉🎉

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 25 днів тому +10

    Namkubali sanaaa makonda mungu akupe maisha marefu sanaaa ❤❤❤❤

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 25 днів тому +11

    Chuma kimerejea Allah kareem

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 25 днів тому +8

    Mungu aendelee kukujaalia afya njema.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 24 дні тому +5

    Mungu akurunze

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 25 днів тому +9

    King makonda pga kàzi mkuu

    • @OmaryMdoe-fs4hj
      @OmaryMdoe-fs4hj 25 днів тому

      Watendaji slikali inauwawa nawatendaji tamisemi makonda alalIamjika nawapigaj

  • @charleshousedecoration8679
    @charleshousedecoration8679 24 дні тому +3

    Kazi imeanza baada ya likizo🔥🔥

  • @julianachoto9696
    @julianachoto9696 24 дні тому +2

    Mungu yunawe mkuu,kazinjema baba!

  • @jeanmarieirankunda-ww4bn
    @jeanmarieirankunda-ww4bn 23 дні тому +1

    Karibu tena mheshimiwa

  • @dalilaally6118
    @dalilaally6118 23 дні тому +1

    Mungu akutie nguvu

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 25 днів тому +4

    Kamanda kazinitenaaaaaa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 25 днів тому +5

    Hivi mbona hutuambii ulikuwa wapi aisee wakati umetuchangznya hapa or umepewa sumu ni kweli? Tukitaka kufanya fujo hapa je ni kweli ulipewa sumu?

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 24 дні тому

      Ili umsaidie nini?

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 23 дні тому

      Zile zilikuwa ni redio mbao tu Kamanda alikuwa likizo

  • @barakaschaula8323
    @barakaschaula8323 25 днів тому +2

    Hivi mheshimiwa Alikua wapi ?? Maana taarifa za sumu zilitushtua

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 25 днів тому +3

    Tumwage sifa nyingi ila Kuna Siri kubwa imejificha nyuma ya pazia wataelew baadae San

  • @RosemaryKasuka
    @RosemaryKasuka 25 днів тому +2

    ❤❤

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 24 дні тому +1

    Moja ya fumbo ambalo hatujui ni wapi ulikuwepo na je yaliyosemwa,semwa yapo au laaa naamini wewe ni mtu unayeamini ktk mungu na pia naamini wengi walifunga Kwa ajili Yako hasa Wana Arusha

  • @user-qh2bx5em6j
    @user-qh2bx5em6j 24 дні тому +1

    Kama hana raha jmn

  • @ShilindeLatu
    @ShilindeLatu 24 дні тому

    makonda hongeraaa saaana

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 25 днів тому +3

    Piga KAZI, jembe letu tz

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 25 днів тому +3

    Hamjasema alikuwa wapi tuu kaonywa Nini maana nchi hii hata siamini kiviiile kafungwa mdomo atuambie alikuwa wapi ndo nataka siyo tulichanganyikiea Bure hapa alafu anyamanze atuambie kulikoni?????

    • @dynessmbawala2107
      @dynessmbawala2107 24 дні тому

      We naye si uliambiwa alikuwa likizo

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy 24 дні тому

      Hata ukijua itakusadia nini! Jaribu kuheshimu hisia zake. Hataki kuwa muendelezo wa kuwatengenezea faida nyie mnaomiliki mitandao ya hovyo. "Oof makonda kafa, oo sijui makonda kaonekana, mara makonda yuko china kutibiwa! Watu ajabu nyinyi. Haya huyo hapo, sikiliza vizuri anachokiongelea, amepumzika vizuri, saizi ana akili ya kazi sio kujibu maswali kijinga jinga kama yako.

  • @IsakaMagangani
    @IsakaMagangani 21 день тому

    Kiafya tu ayuko sawa Bado anaumwa uyu jamaa anaitaji mapumziko

  • @EliaMarco
    @EliaMarco 25 днів тому +1

    Jamani ni kwa serikali makini ivi kuna haja gani ya tanesco kuchaji umeme kwenye uduma ya maji hangali sasaivi umeme upo wa kutosha na autumiki?

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 24 дні тому +1

    Rais wetu huyu makonda ni wa kupewa ulinzi sana kwani watukama hawa wanaofanya kazi kwakujitoa ni wachache sana

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 24 дні тому

    OFISINI NA KOFIA TENA! DUH

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b 24 дні тому

    MUNGU AKULINDE NA MAADUI AKUPE AFYA NJEMA

  • @TheresiaJoseph-o9v
    @TheresiaJoseph-o9v 18 днів тому

    Miladiayo kama unasoma comment mfikishie ujumbe makonda nataman kuonana nae nina yangu yakumuambia kuhusu hii nchi tafadhali san

  • @fadhilndosi5288
    @fadhilndosi5288 25 днів тому

    Kwaiyo maji yanapanda bei

  • @khamisikhamisi7225
    @khamisikhamisi7225 25 днів тому

    Ntasoma dukhaaa nyingggiii KWA jiliako MH MAKONDA SO SISI HATTAKUJUA WAP ULIKUA WEW UMEKUJA TUNAKUPENDA SANA KIGAMBONI NAISH KARBU SCHOOL ULOJENGA!!!!!!?

    • @khamisikhamisi7225
      @khamisikhamisi7225 25 днів тому +1

      HAD LEO KIGAMBONI HUENDA BADO WANAJU MKU W MKOA DAR?? WEW MH MAKONDA!!!!

  • @AgnesKaswahili
    @AgnesKaswahili 25 днів тому +1

    Kofia??

  • @jumannehamadi2282
    @jumannehamadi2282 25 днів тому +1

    ❤❤❤❤