Wakuu wa mikoa wengine muige acheni kusinzia igeni ubunifu huo, mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni, acheni wivu mpeni mauwa yake, Development ts all about creativity ❤❤❤
@@YusufSasamalo-uz4ii sana mkuu sema sisi binadamu tuna vijiba tunashindwa ku salute ku appreciate kile mtu anafanya au hata kuiga basi kile mwenzao anafanya sio dhambi
Tatizo la sisi binaadamu wataona kama kuiga wamempa kiki sisi binaadamu baadhi ni watu wa ajabu saana kila mtu anajifunza Mungu hawezi shuka kusema wewe fanya hivi tunafanya kupitia kwa kuona kwa wengine kwa kweli waache roho ya kwa nini wajifunze mema wanayoona kwa watu wengine ili nchi yetu iendelee mbali zaidi
Masha Allah mungu awenawe mungu akulinde mungu azidi kukuonyesha mazuri mhe makonda wewe niongozi usie na mfano ktk uongozi wako niwahaki na upendo mungu akubariki sana sisi tukupe mauwa yako tuuu🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hongera sana Mkuu wetu wa Mkoa Paul Makonda kwa upeo huo ambayo Mungu amekuoa ,wivu kwa wale wanaosema vibaya huu yako wanaogopa unavyowabyang'anya tonge mdomo kwa kushinwa hata kuwasaidia walio karibu nao kazi kupiga majungu tu mtu alikaa ubunge mpaka kastaafu hakuna alichokifanya leo hii anasimama jukwaani na kupiga majungu ,nampa pole hapa kakutana na kichwa ambayo hana maneno mengi zaidi ya matendo.Songa mbele Makonda.
Big up Makonda, Unafiki kaa pembeni Makonda you do the best ever! Kusemwa vibaya iwe ndio booster ya kukuongezea nguvu ya kutumikia wananchi wako, ili siku Mungu akikuuliza utumishi wako tuwepo wa kuongea badala yako!
Hongera Mh Makonda Sauti ya Watanzania inayofurahia na ku kupongeza kwa utendaji mzuri Unazidi kujijengea Jina ktk Uongozi Baadhi ya Vigogo hawatafurahia hivyo wananchi walio nyuma yako wanazidi kukuombea
Jmn tunaopenda wazalendo kama makonda plzzzz usiache kumuombea.we mzee nimekuelewa endelea kumpenda makonda shughulika na hako ka kibaraka ili makonda atimize Kaz zake kwa haraka
Waombaji, tusichoke kumuombea Makonda na kuiombea nchi yetu... Makonda ni kiongozi jasiri mpambanaji na mwenye hofu ya Mungu...Arusha tunampenda Makonda kuliko vile inafikirika,kwa mfano, amesaidia ktk Ardhi hata nimesaidika
Mhe. Mchechu ameshindwa tu kuongea directly wakuu wa mikoa wengine igeni nyayo za Paul tunajenga nyumba moja 🇹🇿 mcopy tu na ku paste ni kwa maendeleo ya taifa letu mkishupaza shingo wananchi kutoka mikoa mengine watakosa network kama hz daaaaaah
Amina jamani mimi ninashida kubwa ninaishi usa riva ninawatoto wawli mmoja miaka kumi na tano mwingine anamiaka miwli ninasiri yangu ninamuomba kumuona.😂
makonda piga kazi mim naishi Arusha naona jitihada zako unachapa kazi Kwa ujemedali wako na uthubuti wako Arusha ya ccm now yule anayepiga kelele mwache aendelee maana sioni sehemu amaeyetetea wananchi masikini zid ya kuponda viongozi tu waliotangulia mbele ya haki na waliopo wew mtetez mama alikuletea Kwa ajili ya wananchi wa Arusha mama hajakosea kukuteua
Haya yanayofanyika tuyape muda kama hayana hila nyuma yake, kama hayana hila nyuma yake basi Mungu aibariki hii shughuli yake ila kama yana hila Mungu akafichue mapema
Furahini tu lakini jiulizeni ni wapi alikuwa baada ya vijana kutekwa? Fungweni macho kwa ngozi ya mbwa, mkipata ufahamu mmekwisha. Wapuuzi wa kusifu na kuabudu, mashetani nyie
Arusha wametekwa wangapi? Binafsi napinga matendo ya utekaji na unyanyasaji wowote ila kamwe siwezi kujitenga na jambo jema atendalo mtu kwa visingizio vyovyote.
Ujinga ni kuhusisha visivyohusika, na kukataa ukweli unaoonekana. Ukifanya vibaya tukatae ubaya but tupongeze kuusema ukweli waziwazi. Ubaya ni kutazama Kila kitu Kwa ubaya😢😢
Full support from Kenya Mr Makonda I real salute you in Jesus name Amen
Wakuu wa mikoa wengine muige acheni kusinzia igeni ubunifu huo, mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni, acheni wivu mpeni mauwa yake, Development ts all about creativity ❤❤❤
Jamaa mbunifu
@@YusufSasamalo-uz4ii sana mkuu sema sisi binadamu tuna vijiba tunashindwa ku salute ku appreciate kile mtu anafanya au hata kuiga basi kile mwenzao anafanya sio dhambi
Tatizo la sisi binaadamu wataona kama kuiga wamempa kiki sisi binaadamu baadhi ni watu wa ajabu saana kila mtu anajifunza Mungu hawezi shuka kusema wewe fanya hivi tunafanya kupitia kwa kuona kwa wengine kwa kweli waache roho ya kwa nini wajifunze mema wanayoona kwa watu wengine ili nchi yetu iendelee mbali zaidi
Broo ni ngumu sana kuiga style ya mtu mwingine huwa ni kpawa alichopewa na Mungu.
Wengine wakifunga Tai wanajiona kazi imeisha
Hongera mkuu wetu wa mkoa wa Arusha tunajivunia uwepo wako Arusha
Makonda man of the people and vision.I can feel the country moving forward
Masha Allah mungu awenawe mungu akulinde mungu azidi kukuonyesha mazuri mhe makonda wewe niongozi usie na mfano ktk uongozi wako niwahaki na upendo mungu akubariki sana sisi tukupe mauwa yako tuuu🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hongera sana Mkuu wetu wa Mkoa Paul Makonda kwa upeo huo ambayo Mungu amekuoa ,wivu kwa wale wanaosema vibaya huu yako wanaogopa unavyowabyang'anya tonge mdomo kwa kushinwa hata kuwasaidia walio karibu nao kazi kupiga majungu tu mtu alikaa ubunge mpaka kastaafu hakuna alichokifanya leo hii anasimama jukwaani na kupiga majungu ,nampa pole hapa kakutana na kichwa ambayo hana maneno mengi zaidi ya matendo.Songa mbele Makonda.
Makonda hoyeee hongera sana Makonda wenye wivu wajinyonge
hongera mh makonda ,ukweli haupingwi ,mwenye macho haambiwi tazama ,ukitaka kumpinga uwe na hoja si hivyo utajivunjia heshima
Makonda kama Ibrahim Traore and Magufuli legacy Mungu amlinde mwamba
King makonda piga ķaz mkuu
Makonda salute kwako big up sana
Kwa kweli Tumemkubali Makonda.🎉🎉
Makonda Mungu akulinde.Wale wachawi na wale.wenye wivu walaaniwe.Ubarikiwe Makonda🎉🎉
Makonda nachoweza kusema mungu akupe umri mrefu
Makonda oyeee 💪💪💪💪💪💪
Big up Makonda,
Unafiki kaa pembeni Makonda you do the best ever!
Kusemwa vibaya iwe ndio booster ya kukuongezea nguvu ya kutumikia wananchi wako, ili siku Mungu akikuuliza utumishi wako tuwepo wa kuongea badala yako!
Mh. MAKONDA hongera sana kwa kuwa mbunifu tunaona jinsi gani unavyopambana lakini pia vijana umetuweka kipaumbele zaidi🎉
Makonda ni zaidi ya ukweli kabsa wengine waige. Angalia mtu anavyokukubali uwe mpenda kuwasililiza watu kama hao napenda kazi Yako keep it up
Hongera Mh Makonda Sauti ya Watanzania inayofurahia na ku kupongeza kwa utendaji mzuri Unazidi kujijengea Jina ktk Uongozi Baadhi ya Vigogo hawatafurahia hivyo wananchi walio nyuma yako wanazidi kukuombea
Bravooo, Mungu Akubariki sn Makonda.❤
Pamoja Sana Makonda
Makonda ndio Raisi wa Tanzania miaka ijayo. He deserves to be a president.
@@COMPASSIONMEDIA 🥲🤮🤮
@@lindajohansen9220👎👎👎👎👎😏😏😏😏😏👎
Mm mtakwambieni ukweli Mama 2025 Awez kusimama Kwa uchaguz makonda ndio atakua Raisi 2025 shikeni maneno yangu
Utatapika hadi ulambe sumu@@lindajohansen9220
Mwamba ni mwamba tu popote ukimuweka lazma ataonekana. Kujua kunatoka juu kwa aliye juu. Jehova
Magu will live for ever and ever
Makonda anafaa kuongoza watu wengi.
Jmn tunaopenda wazalendo kama makonda plzzzz usiache kumuombea.we mzee nimekuelewa endelea kumpenda makonda shughulika na hako ka kibaraka ili makonda atimize Kaz zake kwa haraka
Kweli kabisa
The second Angle after the late Magufuli God protect and guide you Mr Makonda
Makonda tunakupenda sana mkui wetu mungu akulinde
Makonda nimtu muhimu apewe uwazori mkuu ataifikisha mbali
Waombaji, tusichoke kumuombea Makonda na kuiombea nchi yetu...
Makonda ni kiongozi jasiri mpambanaji na mwenye hofu ya Mungu...Arusha tunampenda Makonda kuliko vile inafikirika,kwa mfano, amesaidia ktk Ardhi hata nimesaidika
nikipita bilakusema neno itakuwa sitendei aki mweshimiwa makondo kaka kwza shikamooo wewe mkweli mungu akubaliki san sana san
Makonda ni kiongozi wa watu tumlinde kwa namna yeyote ile.
Kwa maombi ..tusichoke kuomba
Saf sanaaaaaa
Yesu mtetezi wetu mufunike makonda kila saa nakila wiki nakila mwezi nakila mwaka mufunike usimuache amina
Mhe. Mchechu ameshindwa tu kuongea directly wakuu wa mikoa wengine igeni nyayo za Paul tunajenga nyumba moja 🇹🇿 mcopy tu na ku paste ni kwa maendeleo ya taifa letu mkishupaza shingo wananchi kutoka mikoa mengine watakosa network kama hz daaaaaah
Makonda Mungu kulinde na azidi kukuongoza watu wa Arusha wanafaidika na ubunifu wako.
Mheshimiwa rahis makonda wabaadae 🫡
Makonda mjanja sana ,hapo matajiri na wakuu wa taasisi wamechangishwa Hela za kutosha,matumizi na mapato utacheka
Nakuombea afya njema, endelea kuonyesha ubunifu wako, na kuwatetea wanyonge.
Safi sana
Sema baba yaliyojiri
Hakuna asiempenda kaka, ukiona mtu hampendi hampendi makonda ujue sio mtu mwema.
Huku ni kukuwa na kufuzu kisiasa kwa kutumia fursa ya utandawazi pamoja na uongozi bora. Hongera sana Mh. Makonda.
Makonda na Arusha,Arusha na Makonda.Nasimama na Makonda
Wakuu wa mkoa ambao namkubali ni yeye mwamba mwingine alkuwa agrey mwanry naye alkuwa msimamizi wa Mali za umma na haki za watu
ni kweli
Nimefurahi Sana kwa Hilo tukio
Enyewe kamanda 👊
Makonda ndio raisi wa nchi
Ila aendelee kubaki Arusha atusaidie
Pia aliangalie barabara ya Mianzini kupitia Ilkiding’a, Mringaringa, Kimnyaki to Ngaramtoni.
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Akili za wabongo bhana yani kukusanya watu na kuchoma nyama ndo kitu cha maana mmeona amefanya,hicho hata Mimi nikiwa nafanya Tena nikiwa kitandani
MAKONDA 😮
Makonda ni mwamba, na viongozi wengine waige mfano wa makonda,
Amina jamani mimi ninashida kubwa ninaishi usa riva ninawatoto wawli mmoja miaka kumi na tano mwingine anamiaka miwli ninasiri yangu ninamuomba kumuona.😂
makonda piga kazi mim naishi Arusha naona jitihada zako unachapa kazi Kwa ujemedali wako na uthubuti wako Arusha ya ccm now yule anayepiga kelele mwache aendelee maana sioni sehemu amaeyetetea wananchi masikini zid ya kuponda viongozi tu waliotangulia mbele ya haki na waliopo wew mtetez mama alikuletea Kwa ajili ya wananchi wa Arusha mama hajakosea kukuteua
Watu wamefata nyama maisha ni magumu ukisikia Kuna sehemu Kuna nyama za bure za kuchoma Nani asije
Tunataka makonda uraisi unakusubili
Bia ,bia bia nyama bia ,mtanzania Gani asikie kuna bia na nyama choma pahala na asiende??
🎉🎉🎉🎉🎉
Mabaraza ya biashara mikoa saidieni ma RC wenu ku organize vitu kama hivi
Hyu anaonyesha ndio rais wetu. badala ya muheshimiwa
Wasio penda maendeleo wataumia sana kila leo kipya
Njaa yako hiyo
Apewe uwaziri wa madini huyu mwamba.
Chukuwa fom kaka
Niko Juba SUDAN Hakuna kama MAKONDA
WAKUU WA MKOA WENGINE KUIGA SIO DHAMBI
Dah huyu mtu ubongo wake utakuwa na iq kubwa sn sio kawaida
Makonda vitabu vitamuhandika
Haya yanayofanyika tuyape muda kama hayana hila nyuma yake, kama hayana hila nyuma yake basi Mungu aibariki hii shughuli yake ila kama yana hila Mungu akafichue mapema
Mangi mnawazaga tu negative never think on positive, ndio maana kila siku ni kulaumu.... be appreciative....na innovative
Ccm tumebaki na mtu mmoja tu
Mnauza utu wenu kisa nyama na mandazi mnaangamia kwa kukosa maarifa
We kumbuka uliuza utu wako kwa kipi maana tunakujua
Pole msalimie Sana LEMA mpe pole
Kwani hapo ilikuwa sokoni? Nyama hizo ni kama hongo?
Furahini tu lakini jiulizeni ni wapi alikuwa baada ya vijana kutekwa? Fungweni macho kwa ngozi ya mbwa, mkipata ufahamu mmekwisha. Wapuuzi wa kusifu na kuabudu, mashetani nyie
Arusha wametekwa wangapi? Binafsi napinga matendo ya utekaji na unyanyasaji wowote ila kamwe siwezi kujitenga na jambo jema atendalo mtu kwa visingizio vyovyote.
Ujinga ni kuhusisha visivyohusika, na kukataa ukweli unaoonekana.
Ukifanya vibaya tukatae ubaya but tupongeze kuusema ukweli waziwazi. Ubaya ni kutazama Kila kitu Kwa ubaya😢😢
@@lindajohansen9220 hakuna mtu mkalimilifu chini ya hili jua, kama mtu anafanya mazuri na yanaonekana kwann asipongezwe
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee nakuunga mkono mkuu kwa 100%
@@nicodemashaggite8429 kabisa
Mh. MAKONDA hongera sana kwa kuwa mbunifu tunaona jinsi gani unavyopambana lakini pia vijana umetuweka kipaumbele zaidi🎉
Tunataka makonda uraisi unakusubili