NASONGA MBELE (COCKTAIL YA MUZIKI MTAKATIFU)| Tamasha Somo wa Kwaya Mt. Mathias Mulumba,Kizuiani DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 чер 2024
  • Cocktail ya Muziki Mtakatifu: Huu ni Mchanganyiko wa Muziki Mtakatifu ambao Kwaya ya Mt. Yohane Paul II - Kurasini, DSM tumeimba katika Tamasha la Somo wa Kwaya ya Mt. Mathias Mulumba, Parokia ya Kutukuka kwa Msalaba, Kizuiani Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
    Mchanganyiko huu ni wa Nyimbo Nne za Watunzi mbalimbali kama Ifuatavyo;
    1. Nasonga Mbele- Adam Bukuku
    2. Nikushukuruje Bwana- Paul Mike Msoka
    3. Shukrani ya Moyo - Africanus A.N
    4. Apewe Sifa- Zacharia Gerald
    Mungu atubariki na Kutulinda sote katika Utume huu wa Kuitangaza Injili kwa njia ya Uimbaji. Tumuimbie Bwana katika Roho na Kweli.

КОМЕНТАРІ • 8