@@mwanaibrahim2444 wanawake weng san wanatudharau wenye vitambi lkn mbn km mm najion nipo sawa tu napelek moto ila unakut ukiw na mwanamke anakuambia nilivokuon una kitamb na mwili sikutegemea km una show hv
Sijui kwann, mtu akiachwa lazima ataonyesha maumivu yake mbele ya watu basi apo lingekuwa demu lingeanza kulia lia kisa kuachwa😏 wahovyo 🤗 unapenzi jipya la zamani kulitaja uko kwio🙃🙃😏😏😏We pita na beat km utaki kumtaja mbosso Khan Kuku kukrukukuu kukuu🤣😂😂 #ovadia👌
@rumdeesonsoa1811 Ushaachwa tenaa? mwezi wa huba ndi ndi ndi huu 🤭😃😃😃😃 huyo kakudhalilisha na vya sirini au vya mwilini😆😆😄 make kutoa connection tu shikamo 🙌🙌 afu wababe wanazivujisha kwa makusudi 👌🤣🤣
Vizuri sana mnachaguaga wanawake wa aina hii halafu mnawaachaa wanawake wa asili yenu halafu baadae mnalia. Kwendaaaa mna deserve it. Na I hope atakuchukulia kila kitu na sio kugawana mali. Achukue kila kitu
Vijana wengi wanasumbuliwa na utumwa wa upumbavu uitwao mahusiano na hata wakiwa kwenye maisha ya NDOA bado huishi Kwa ule ule upumbavu uitwao mahusiano 🚮 hakuna anaefunzwa utaratibu Kwa ufupi wengi ni wapumbavu wanaofata maisha ya mtandaoni
Pole kijana utapata mwanamke sahihi,siku hizi wanawake wengi wanatembea nje ya ndoa,uliza watu wa badaboda
Wanafataga nini huko nje jamani na ndani mme yupo?
@@humbleshoalshida wanaume wengi wanafikiri kwamba wanawake wanahitaji pesa tu ndo wanaridhika. Lakini mahitaji ya moyo hawajali.
Wanawake wana mambo mengi sana @@nightwishisthegreatestband6355
Ndo tabia za wanawake weng siku hiz 😂😂😂@@nightwishisthegreatestband6355
😂😂😂
yani huwa sijui ni kimimi tu au kunawake wengine kama mimi, coz mimi hata nipewe shoo nzur nikisha indoka tu nineshasahahu shoo yenyewe 😂
🗣eee Mwanamke.
Mpo watu weny six park wanasalitiwa aloo niachen na kitambi changuuu
Nilitaka kupunguza kitambi kwasababu naachwa sanaa kumbe ata we six park wanaachwa😂😂😂😂😂
Tatizo mwili mkubwa mashine zao ndogo na raudzao hazizidi 2😂😂😂 napengine mwanamke ndio kilakitu mezani lazima atakuwa na watu wengi
@@IssaKigwanya 😂😂😂
@@mwanaibrahim2444 wanawake weng san wanatudharau wenye vitambi lkn mbn km mm najion nipo sawa tu napelek moto ila unakut ukiw na mwanamke anakuambia nilivokuon una kitamb na mwili sikutegemea km una show hv
Hakika sikupingi kaka
ulizhani ngozi nyeupe ni rahisi😅😅😅😅 acha mujue sasa
Basi wadada mmefurahi 😅😅
Wivu
Jamen ata hyu WA 🏋️♂️ 💪 gym😂😂😂 anagongewe na sio mlango wala mayai😂😂😂😂
U made my day 😂😂
😂😂😂😂😂
vitmbi na manyama uzembe tujuane kwenye comment 😂😂😂
Mwana mke aamue tu mwenyewe kuku eshim na kutulia Ili muishi sio pessa Wala ufundi kitandani utakae mtuliza mwana mke 😂
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijui kwann, mtu akiachwa lazima ataonyesha maumivu yake mbele ya watu basi apo lingekuwa demu lingeanza kulia lia kisa kuachwa😏 wahovyo 🤗 unapenzi jipya la zamani kulitaja uko kwio🙃🙃😏😏😏We pita na beat km utaki kumtaja mbosso Khan
Kuku kukrukukuu kukuu🤣😂😂
#ovadia👌
Malaya huwa hawaumii pale penzi linapovunjika
@rumdeesonsoa1811 Ushaachwa tenaa? mwezi wa huba ndi ndi ndi huu 🤭😃😃😃😃 huyo kakudhalilisha na vya sirini au vya mwilini😆😆😄 make kutoa connection tu shikamo 🙌🙌 afu wababe wanazivujisha kwa makusudi 👌🤣🤣
@@StrongbowArrow2004kuachwa,kusalitiwa ni uchungu sanaa na mtu uliye mpenda wewe eeeh ila stability kuzowea
Ili penz lilikua la motoooo😅😅😅
Kagongewa 😅😅😅😅😅
Sema hiyo kitu ukutoke
Mambo ya tiktok ile ni content sio kila kitu ni Sirius pale...
Vizuri sana mnachaguaga wanawake wa aina hii halafu mnawaachaa wanawake wa asili yenu halafu baadae mnalia. Kwendaaaa mna deserve it. Na I hope atakuchukulia kila kitu na sio kugawana mali. Achukue kila kitu
Haoo bado wanapendana ndio maana wanalaumiana sana
Namaanisha YNW MELLY rap wa marecan
Vijana wengi wanasumbuliwa na utumwa wa upumbavu uitwao mahusiano na hata wakiwa kwenye maisha ya NDOA bado huishi Kwa ule ule upumbavu uitwao mahusiano 🚮 hakuna anaefunzwa utaratibu Kwa ufupi wengi ni wapumbavu wanaofata maisha ya mtandaoni
Watu wamemgongea na si mayai
Kucha yuko gym anatanua kifua wenzake wanajaza mimba 😂😂😂
Huku kenya tunasema kagongewa
Mwana ume mweusi kumiliki mwanamke mweupe. Huku ukiwa Una kipato cha muuza karanga ujue umelimia nyani?
Unadhani jamaa pesa hana
@eleven-in5qw pesa Hana pesa za kukata mauno.
@@EmmanuelNyinyigwa-m1o bro nani kakwambia dancers Wana kazi mmoja
Si mwanaume ako six pack mwanamke alikosa nini?😅
Huwa tunabadika kila dakika😂😂😂😂 yni htueleweki
Six cars😂😂😂
@@rogath_silayo 😀😀😀
Six pack sio mapenzi na ukiwa Na six pack haimaanishi uko caring 😊
Six pac imepigwa tukio..Nimelia sana🥲
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shoga huyo ndo maana kasalitiwa😂😂😂😂
Subiri zamu yako ifike. Utajinyonga kama yule jamaa wa Arusha
Blackyoungmaestro:usiseme ukamaliza dunia mzunguko unamuongelea hivo?
Tafuta hela wewe achana na six pack :: mwanamke wanataka pesa not six pack
Hana lolote tusubiri mwanamke nae atoe tamko!
😂
Mie naomba mniletee habari ya malle kes yake imeishia wap jamani
Kwani angekaa kimya ingepunguza nini ni ujinga tu
Ungejuaje wameachana na watu kibao mtandaoni wanamuuliza walijuwa hao ni wapenzi ikabidi ajibu watu ila si ww