NOW I’M HERE: ANEZYLITTA “Niliacha Shule Nikiwa Form Two”
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- NOW I’M HERE: ANEZYLITTA “Niliacha Shule Nikiwa Form Two”
Katika kipindi cha Now I'M HERE wiki hii tumefanya na Mwanadada Mrembo na Mjasiriamali ambaye ni Mmiliki wa kampuni ya Annezylitta designs inayojishughulisha na home interior designs.
Kupitia Now I'm Here, Annezylita, amesimulia historia yake yote kuhusiana na maisha yako ambapo ameweka wazi kuwa aliacha shule akiwa kidato cha pili na kujikita rasmi kwenye biashara.
#NOWIAMHERE
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS
goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII,
BONYEZA LINK www.youtube.co....
mtoto wa scaba scuba,nyumbani pesa ipo lakini kakomaa kiakili,haya ndio mafanikio maishani ukiweza kuwawekea watoto wako mazingira ya kufight hata kama una pesa nyingi,well done Zena!!
Nashangaaa watu wanasema ela za home skia kuna watoto wakishua kibao nawajua na bado wanafanya ufala tuu mtaani at least binti anaakili yakufanya kitu congrats InshaAllah mungu akusimamiee upige zaidi
MashAllah habbty
My ALLAH give you more than what you prayed for...
Mashallah ukipata bahati ya wazee wenye pesa au kujielewa lazima uitume hii nafasi hongera my dear
Allah akuhifadhi.
Nasaha:
Jitahidi usichanganye lugha ili wasoifaham lugha ya kigeni wafaidike.
Mimi nimekuelewa sana.
Namshukuru Allah.
I really love entiriour design bt not in term of colors or wall papers bt in term of decorations like flowers. vases. Pillow .mirror frames and alot of thing i am medical student bt i love entiriour design iiiiiii looooooveeee iiiiit 😍 and one day inshallah ntatimiza ndoto zangu allah akipenda
Am seeing people slandering her! Like seriously her English ain't bad!, Tanzanians don't seem to be considerate when their own speak in English, so sad.........N by the way speaking English ain't a big deal, times r changing , u have to keep up with the change, n accept it. Have a positive day all
Not ain't ts isn't....
Ange ongea tu kiswahili. Hizi zezeze zina tusumbua na kipindi ni cha kiswahili. But keep it up girl kuna wengine wana miaka 49 lkn hawajui wafanye kitu gani ktk maisha yao. Hawa oi kwakua bado wana subiri mama awapikie awapakulie
Congratulations to her!!, I have 15 years and i work at ponally company in Korea.... I'm Tanzanian too 😘😘
little chinuny good
little chinuny please can you find for me a job
@@halimajuma9613 mmh I'm not sure!!!
little chinuny okay
@@halimajuma9613 mh!!
Congratulations lady Zena hujaangalia pesa za wazazi but you struggle very hard never give up keep it up mungu akuongoze
MashaAllah that is so cute sister if u have talent then u need to use it guys coz sio kilamtu anaeza faulu kupitia shule nimuhimu kutumia ile Mungu kakuzaa nayo kabla hujasoma
dah MashaAllhu mungu akuzidishie mwenyewe ufanikiwe zaid ya ulipo fanikiwa 😘 nimependa xna ila. natamani nijue njia za kutoka ktk maisha kama ww
MashaAllah may Allah grant you whatever yo heart desires for...... keep up the good work
Young Beautiful Girl congratulations for what ur doing and Allah be with u In sha Allah
AbdulAziz Sharif waonyeshe unjigonga ww😂
Congratulations my dear nakufurahia kwa mwenendo wako wa kazi mashallah ,mungu akubariki na awabariki wazazi wako ❤
Nicely presented.... What an in spiry interview....little invincible Xena Shareef Scaba Scuba.
Mamy unafanya vzr hongera...achana na watu wasiopenda maendeleo ya watu hasa hao wanaocomment vibaya waweza pewa mtaji lkn usiwe na akili na marifa ya kuutumia ww una akil na maarifa ndo mana ukafika hapo..nimejaribu kusoma comment za watu weng wanaocoment vby weng ni wakristo, mnaweza pewa mtaji lkn mkaumalizia kweny pombe 🙄.big up mamy 😗
MaashaAllah bint Allah akuzdizshie ujuz amin
Wow. She's so beautiful and her English is perfect
Nmekupendaaaa Anezylitta..
Nimependa unavyopigana na maisha well done!!
Beauty with brains, MashaAllah be blessed ukhty, put God first may he lead you to the right path.
A strong lady,blessings
Yupo makini ila kiingereza anachokinguzumza ni kibaya kabisa ni bora angezungumza lugha yetu murua na tamu kiswahili. Watanzania tuipende na kuithamini lugha yetu hasa pale inapokuwa inatakiwa.
Nan kasikia “you can learn small small”😂🤣🤣🤣🤣🤣
Ya onekana anapenda kinge sana. Rudi basi kasome bcz as a business lady it will help you to reach your business in international markets
Waoow mashallah ninge pata shoga kama weww mamy ninge frai sanaa maana ningekuwa mbali kimaendeleo.
njoo uwe shoga angu
@@jumamasudi7421 😂😂
@@azizaabdi1265 niambie
@@jumamasudi7421 poa
Mtegemea cha ndugu.....................
Mashaallah you so Elegant
MashaAllah go girl and welldone!! Proud of u
Masha Allah .uko vizuri my dear
MaashaaAllah baraka llahu fiyk my little sister
Firstly lots of love from Kenya
You motivated me a lot. thank you Zena
Inspirational
Mashallah❤️
Make sure you find a right person to marry you Allah swt will help you. But don't rush into marriage and always do istikhara you will get perfect decisions.
daaah nimepata somo hapo thanks zenah
Anajitahidi, lkn sidhani kama amepitia maisha magumu ktk ukuajiwake na nikawaida kwa watt wakiarabu mm haijanishangaza hata Kidogo,I mean ni yakawaida sana kwasababu ni mtt wa kifahali
Hongera sana
Masha'Allah
mashallah
Watoto wengi wanaosoma international schools ndivyo wanavyoongea. Masaa mengi wapo shule kuliko nyumbani kwa hiyo haiwezi kuepukika
Limbukeni tu. Mimi nimeishi ugenini miaka 20 na watu wote hamna alokuwa akijua kiswahili ila nikiongea na watu wa nyumbani nakuwa natumia kiswahili na naona raha huwa nikikutana na waswahili tukawa tunaongea kiswahili. Hasa nikienda nyumbani nakuwa naona raha watu wakiongea kiswahili
Well done
Nimependa sana
Mashallah Congratulations little girl keep going👏👏
Mashaallah kwakujistir lkn watanzania mbon muuu muuu aaaaa aaaaa nying san tumajifany wazung san vepe akaaa akiongea mzung kiswahil anaongea vzr kulik ss watanzania embu tuamken kiakil tundumishe lugha tuongeen kiswahil ban akaaa hii ss hatar
Very focused😘😘😘😘😘😘
Asalaam alaikum a from Uganda a like u so mush but a hope u cuva u head every day
MashaAllah
umependeza kbsa umejiifadh adi raha
Punguzeni kingereza chenu wengine hatujasoma
🤣🤣🤣🤣🤣 Devotha malugu malugu kingereza chapita na juu pole sana .🤣🤣🤣🤣
😃😃😃😃
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Muulizaji na muulizwaji wote waswahili lakini camera na mike katengeza mzungu
Na Pemba ndio Asili usitutupee yakhee! Babayo ajua huyo
Young but very smart
mashallah my sweet hart
Masha Allah binti mdogo Lkn ana akili Mungu akuzidishe
Masha Allah. Always an inspiration to me and many others. All the best insha Allah. ❤
Me naona ungechagua lugha moja tu ingependeza zaidi sio kiswanglish hicho hatukuelew ...yaan interview ni mbaya
Usijali
Masha allah zena
Mimi niko kenya Mombasa 001natafuta mtanzania tufanye biashara ya vyakula nguo na kadhalka kama uko tayari weka namba yako
0714395406
@@shabanshaban8308 thanks sana tukutane whtpps
0718253057
@@doreenleonard2245 na Shaban shaban mko bongo ama kenya
@@daprince7545 Niko bongo
NI jambo zuri, amejitahidi sana, lakini hii title kama vile inapumbaza vijana, msiache shule. Kwao wana uwezo, huenda yeye hakupenda kusoma, lakini kuna kipindi atakaa katika meza moja na wasomi, akashindwa kujitetea au kujiendesha kisomi. na sio wote kwetu tuna uwezo wa kupewa mtaji kutoka nyumbani. so ni vema sana tukashawishi watoto kujifunza pia shuleni.
Naraynah Qarshy really
masela achen kusapoti ujinga nakujipendekeza kwan huyodada hanautofauti wowote nawafuaji wanguo, yani wabaguzi warangi asanaww muha mwenzangu achashule ukione chamoto pumbavu, ,
Nice but evaluation for education is required
Bigup good grl
Mashallah go girl....Mm nataka hiyo beautiful dress you wear it's so amazing
Naweza kukununulia?
Izo lugha kama wageeeeeeeni toka ulaya😁
Oya kizungu ULAYA ZANZIBAR kiswahili tuu mnabowa .
Tracy Brian once said Money follows money
Mashallah
Jamani eeee punguzen uzungu mana c kile atumiae smartphone anajua kingereza
Ndo ivo wengne hatujui kityuuu
Kizungu chenyewe
Watoto wa kitajili bwana hawo wasituchanganye akili apa 😎😎😎
Hahahahahahahahhah..
Tatizo neema alizotujalia Allah munazitangaza halafu husda isitokee kitu si kitu mtandaoni
Anaongea swa english ...lakini ana
akili sana mashallah .
Wewe 💖💖🌷😍😍💞
Kwani kiswahili hamjui mbona mnachanganya madawa kiswahili chetu kizuri jamani
Vipi tutakupata kupitia online
Umejitahidi lkn bila ya msukumo wa baba usingefikia hapo. Tusiige tusome ili tuweze kufanya hayo mambo kiutaalm
Only 19
Well done diaa
Sasa huyu mtoto wa kishua kakulia pesa 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶 anahaki
Nimenda story ya huyu dada
kumbe ulipewa mtaji wengine wakutupa mtaji hatuna
You got a plan?
Yaani tuko tu rabi rabi nafsi
@@hbgwaay naomba mtaji pls
@Jazzy Boss unakosea jazzy boss wengine hatuna hata wakutuambia laki mbili kaanze biashara maarifa yapo sana ila hakuna wakunishika mkono na kuniambia haya njia hiy nenda
I like the video
👌👌👌😘😘
kiswahili kina tatizogani au unampezi dubai hajui kiswahili ndio mana
J.B WETE J.B WETE watu kama nyie mnatia aibu
Nice mamy
Mtangazaji ongea lugha moja una haribu interview
Wewe
Mnayumba na hii caption yenu...Kwhy na sisi tuache chuo kisa zena kaacha mbwa nyie amjui kuandik maneno yakumfany mtu aanggalie video
"FAMILY MATTERS"
😂😂😂😂unlike our family in my father's house you have to study come rain come sunshine😂😂😂uwe danda uwe mwerevu utasoma utake usitake
Uuuwiii mbavu zangu
Damn daah
Naomba number ya Zena plse
jomon naomben namba zake anipe na Mimi Kazi maana daaaah c o p
Huyo kazaliwa pesa kazikuta kwao sio MTU wa mfano kwenye jamii
Kwel kabisa alfu sio kwamba anamyaka hizo yupo kwenye 23 kabisa
Ni Kweli
sure
Maida Hassani hata miaka yake kadanganya
Nassrah Khattab umri pia kadanganya
Why was this suggested to me? Too yellow for me.
ukiongea kiswahili je inakuaje
Chagueni lugha moja tu either English ar kiswahili mnaboa.
Ww pesa imetoka kwenu hvo cna chakujifuza zaidi maan hujahaso ww ila hongera kwa kuendeleza mali
Pumbavu kiswahil kigereza viji schan yam am am nying shule fo two pumbavu wew kwanin mna penda ku fek mbuz nyinyi stpd
Lkn anaongea sawa .na angehojiwa kwa kizungu yy anhejibu kwa kiswahili mngesema kafika fom2 hawezi english lkn .Mashallah .nazani sio fom2 ya serekali
😀😀😀😀😀😀😀
Asante
Kaka umepanik
😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kuongea kiswahili tukakuerewa vizuri nishida tabu kweli kweli. hv kwa nn hamuonagi wazungu awanaga mda wakumix rugha ovyo ovyo badirikeni. mara the mara with nn sasa hiki