KIJANA MZALENDO Afunguka Mazito "TUMEJIPANGA KUMCHANGIA MPINA VIKAO 15 ALIVYOONDOLEWA BUNGENI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • KIJANA MZALENDO Afunguka Mazito "TUMEJIPANGA KUMCHANGIA MPINA VIKAO 15 ALIVYOONDOLEWA BUNGENI"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

КОМЕНТАРІ • 196

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 24 дні тому +26

    Mpina anafaa sana Tanzania ni Roho wa Mungu aliyezaliwa aheshimiwe Kwa Ujasiri wake.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 24 дні тому +23

    Mpina ni mzalendo sana yuko tayari kwa lo lote. Na wewe mwandishi ni mchaw tu. Huko duniani si ajabu walitoa cho chote kwa sababu kweli watanganyika wanateseka sana. Hatuna wabunge zaidi ya Mpina

  • @Uhuru1234
    @Uhuru1234 24 дні тому +18

    Weka utaratibu tufanye contribution hata kidogo,ili mpina aendelee kuishi bila stress

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 24 дні тому +17

    Tunamzungumzia Mpina ndiye tunayemjua.Hawo wengine ni wabunge wa Samia wala hawana shida na matatizo ya wanainchi au lasilimali ya Tanganyika.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 24 дні тому +19

    Mpina ndiye tunamkubari sisi kwani ameonyesha uzalendo wa hali ya juu.

  • @user-wz9fu4hd7i
    @user-wz9fu4hd7i 23 дні тому +5

    Mimi nafikiri hapa ni Tulia kukosa uzalendo, ukitaka kuona mambo ni ovyo angalia bajeti ya muungano na ya Zanzibar hapo utagundua kitu,kama uelewi nitafute nikueleweshe,,,

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 21 день тому +2

    Mwandishi wa ovyo kabisa, issue za kanda ya ziwa, kanda ya mashariki, kanda ya magharibi nk yanatoka wapi?

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 24 дні тому +7

    Naungana kumchangia mpina, ufanyike kampeni umma wote ujue kwamba ambao hawaungan na bunge na spika wachange

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 24 дні тому +3

    Kweli kabisa mpina ndiyo Mwamba wengine vichuguu 😅😅😅😅Safi sana kijana 💪💪💪💪 vichuguu mpooo 😅😅😅 🤸🤸🤸🤸 mpina km magufuli mpina km Makonda wengine vichuguu

  • @user-xx8fb4ed5u
    @user-xx8fb4ed5u 24 дні тому +6

    Waacheni tu sheria wanatunga wenyewe halafu wakiukaji ni wao pia, halafu hii tanzania viongoz hawatak kuambiwa ukwel, tukutane 2025

  • @MashakaKalamba
    @MashakaKalamba 24 дні тому +11

    Sijasomea uandishi wa habari, lakini ninaona kasoro KUBWA kwako mwandishi.

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 24 дні тому +29

    Speaker anaweza kuwa Rais wa Mabunge si kwasababu ya umahili wake, ni kwasababu wazungu wanataka kutuibia mali zetu zaidi.

    • @user-qe5cb7vy6o
      @user-qe5cb7vy6o 24 дні тому +2

      MPINA NI MZALENDO HALISI BUNGE LA SASA SI CHOCHOTE LIPO KWA AJILI YA KULINDA WEZI TU ANAYE WAKOSOA KAMA MPINA WANAMWONA WA HOVYO KUMBE WA HOVYO NI NI WAO TU MSEMA KWELI SIKU ZOTE HAPENDWI.

    • @user-us4tk2tk3c
      @user-us4tk2tk3c 23 дні тому

      Mmmmh 😊😊😊😊😮😮😮

    • @josephgermanosanga9265
      @josephgermanosanga9265 23 дні тому

      Josephkadeghe unaweza kuwa 100% correct in a sense that hawahitaji mtu ambaye anaweza challenge wizi. Wazungu kimsingi africa ndio shamba lao la bibi . Tunatakiwa kizazi cha sasa tufikiri nje ya box , loans and grants are key weapons to africa from western nations, wanatupa ili kusoften power na wao ndio njia kuu kuweka mambo yao kilaini

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m 23 дні тому

      22:24 hapo ni point kabisa

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 23 дні тому

      Point kabisa
      MaKiti moto ni mabaya sana.

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 24 дні тому +7

    Hatuna spika, kwakweli

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 24 дні тому +5

    Huyu spika sio! Mtakuja kuona huko baadae.

  • @josephkidima-nc3di
    @josephkidima-nc3di 23 дні тому

    Hongera Sana kijana Nkindikwa unatelimisha vizuri Sisi watanzania kudai haki zetu❤

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 23 дні тому +2

    Bahati mbaya mtangazaji umeegemea upande fulani tofauti na hitaji la kutoegemea upande wowote hivyo unafanya mahojiano hayo yapungue ladha.

  • @user-qj2tq4wm9x
    @user-qj2tq4wm9x 24 дні тому +3

    Huyo muandishi Hana ueledi kwenye kuuliza Maswali ya kisiasa au ni muoga anaogopa kuuliza maswali kwa faida ya watazamaji

  • @user-hb8er6dq2q
    @user-hb8er6dq2q 22 дні тому +1

    Nami ntamchangia mpinaaaaaaaaa

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8t 23 дні тому +1

    Mwanadamu anaweza kumchagua mtu HATA kama hafai ila Mungu huchagua anayefaa maana anijua Hadi mioyo ya waovu sijawahi msikia spika wa bungu aongee lolote kuhusiana na vitu mbalimbali kupanda Bei bati ciment nk lakini kuchaguliwa mbunge wa bunge la.

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 23 дні тому +2

    Nahisi tukiendelea hivi GEN - Q itaanza Tanzania

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 24 дні тому +1

    Uko sawa kaka

  • @macleanuronu2899
    @macleanuronu2899 23 дні тому

    Hongera kijana mzalendo japo umekutana na mwandishi chawa lakini umeeleweka sana

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 24 дні тому +2

    Yaani rais Samia ameifikisha Tanganyika pabaya

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 6 годин тому

    Mwandishi sijamuelewa mbona kama 😢😢😢

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 23 дні тому

    Mwanangu hongera hakika wapo tz mmesoma kwelikweli ww ni hazina tz

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 18 днів тому +1

    Mwandishi hujitambui. Mimi hungeendelea kunihoji.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 21 день тому

    Uko sahihi sana, mbunge pekee wa watanzania ni Mpina pekee wengine wapo Kwa ajili ya matumbo Yao.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 24 дні тому +1

    Wana Kisesa simameni imara Kuona Mpina anakuwa Mbunge wenu 2025, hawa Wana hila watalikata jina lake juu Kwa juu lisifike katika hatua ya kuchaguliwa. Ee MwenyeziMungu mpe Mpina uzima afike ktk kipindi hicho.

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv 24 дні тому +2

    kifupi tulia sijawahi kumuelewa!! tangu alipoingia kwenye siasa!!

  • @josephinepancrasy3194
    @josephinepancrasy3194 18 днів тому

  • @user-ub2sm5vy2z
    @user-ub2sm5vy2z 22 дні тому +1

    Mimi sina mda na bunge letu linaonekana kuujumu lataifa wazwaz na linattea matumbo yao na chama chao mm wanawafukuza wabunge imara ili mambo yao yaende sawa lakin ipo siku

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 24 дні тому +1

    Mpina juuuuuuu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 24 дні тому +1

    Munguatampigania mpina ccm hawana jipya

  • @raykas9976
    @raykas9976 24 дні тому +1

    Kuwa spika wa mabunge Duniani ata msukuma anaweza kuwa. Huko kuna utaratibu miongozo ilishawekwa , lkn kwetu utaratibu uliopo ni wa kukilinda chama Tamara.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 23 дні тому +2

    Alishinda u spika wa wabunge duniani kwa sababu wabunge wa mataifa makubwa hawajagombea kwa sababu wameona ni upuuzi aliowashinda ni spika wa Ethiopia na malawi

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n 24 дні тому

    Good

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 24 дні тому +1

    Amesema mambo mawili, kujitambua na kujithamini. Na si ukabila kujipigania. Ni uzalendo. Mwondoeni Samia hana uchungu nanyi sababu anafaidi Zanzibar kwao na sasa anauza Tanganyika. Wanaccm Watanganyika, machawa wa CCM , wabinafsi wafaidi wachache waunga mkono wa Samia wote wasiokuelewa ni mazuzu kama ulivyowaita bila kumung’unya.

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 23 дні тому +1

    Huyo siyo spika wa bunge, ni spika ya redio

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 24 дні тому +1

    Mimi ni chadema lakini naungana na Mpina . Ni mtu anayewakilisha wananchi.

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 21 день тому

    Mmmhhh ngoma ni nzito. Tanzania tumwogope Mungu. Tuombe huruma ya Mungu pekee.

  • @FortinathaMvikule-cm1im
    @FortinathaMvikule-cm1im 24 дні тому

    Umeeleweka Sana Baba

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 24 дні тому +2

    Dunia ipi imemchagua?wazungu wanafiki mno,humpa cheo mtu hata fala,ilimradi alinde maslahi yao tu,huyo watampa kila aina ya sifa na tuzo"huyu wazungu wanajua yeye na serikali nzima wanalinda maslahi yao,ko lazima wampe hivyo vyeo,ila kiuhalisia pale hayupo mtu,

    • @JosephKembe-ee6bd
      @JosephKembe-ee6bd 24 дні тому +1

      Kwakweli mpina ni mbunge anatakiwa kuwa mpinzani ili wananchi fufatirie binge kama awali

    • @mosesmaduhutv7985
      @mosesmaduhutv7985 24 дні тому +1

      Tukipata wasukuma kama huyu 8 tu mbona banachimbika

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o 23 дні тому +1

    MWANDISHI NI MBOBEVU WA MAJADILIANO.
    MAANA KUTOKANA NA MASWALI ALIYOULIZA NDIYO MSEMAJI AMEPATA KUELEZA MAENEO MBALIMBALI.

  • @Uhuru1234
    @Uhuru1234 24 дні тому +1

    Mpina na mtetezi wa wa Tanzania, wengine wanajijua wenyewe wanacho kifanya

  • @sandaymgunyi6268
    @sandaymgunyi6268 22 дні тому

    sawa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 днів тому

    Speaker wa kucheka na kufurahisha wageni na kuumiza wanainchi ili wasipate nafasi. Angekuwa ni mtanganyika angekiona cha moto.Kwa kweli hapa hatuna Speaker bali ni Speaker wa wageni wanaotoka Inchi za Inje ndiyo sababu aliongwa tu.

  • @islamsultan8563
    @islamsultan8563 23 дні тому

    MPINA NI MBUNGE IMARA💪

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 2 дні тому

    HUYO MWANAHALISI TV WA MIDIA MWAMBIENI ARUDI AU AENDE TENA AKAJIFUZE KUHUSU UWANAHABARI ANAULIZA MASWALI YA UPUZI

  • @marcmathewmuyala1937
    @marcmathewmuyala1937 2 дні тому +1

    𝙈𝙥𝙞𝙣𝙖 𝙣𝙙𝙞𝙮𝙤 𝘼𝙎𝙄𝙇𝙄 𝙔𝘼 𝙐𝙎𝙐𝙆𝙐𝙈𝘼, 𝙖𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙖𝙠𝙞𝙣𝙖 𝙅𝙊𝙎𝙀𝙋𝙃 𝙈𝙎𝙐𝙆𝙐𝙈𝘼 𝙝𝙖𝙤 𝙣𝙞 𝙈𝘼𝘾𝙃𝘼𝙒𝘼 𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈 𝙏𝙐

  • @user-ub2sm5vy2z
    @user-ub2sm5vy2z 22 дні тому

    Atume nomb

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 24 дні тому

    Mzee Magu alisema ukiona.wapinzani wanakusifia jichunguze hauko sawa na ukiona mzugu anakupa cheo jichunguze hauko sawa pia

  • @charlessheks7166
    @charlessheks7166 11 днів тому

    Hata mimi nikotayar kumchangia mpina..

  • @mvunge7108
    @mvunge7108 24 дні тому

    Kweli kabisa Tulia hovyo mno, walitizama vigezo gani?

  • @marcmathewmuyala1937
    @marcmathewmuyala1937 2 дні тому +1

    𝙇𝙐𝙃𝘼𝙂𝘼 𝙉𝙄𝙆𝙊 𝙋𝘼𝙈𝙊𝙅𝘼 𝙉𝘼 𝙒𝙀𝙒𝙀. 𝘼𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖 𝙈𝙗𝙚𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙢𝙗𝙚𝙮𝙖

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 19 днів тому

    Mwaka 2017 ilipopitishwa sheria kwamba mikataba inayohusu raslimali ya nchi ipitishwe na Bunge ulikuwa wakati wa Mwaminfu Magufuri ambaye hakutaka kujitajirisha
    Wabunge wetu mwaka 2017 walipiga makofi kupitisha sheria ya ulinzi wa raslimali za Nchi leo tena wanageuka wanasariti kile walichokipitisha 2017 huu Ni udhaifu mkubwa Sana wa Bunge linaloitwa la awamu ya sita japo tunajua Ni Bunge lililochaguliwa awamu ya tano

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 6 днів тому

    Mwandishi usihoji sana huyo msemaji Yuko vizuri,Huyo msemaji ndio wanaotakiwa kuongoza nchi.yuko vizuri..mwandishi wewe mwenyewe ni waoga.hamko huru kutangaza maovu ya viongozi.Angalia madereva wa tanzania wanalia na mikataba lakini makampuni ni yao

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 24 дні тому +1

    Wao wakikchagua wanaona anawafs mbona hawachagui viongozi WA Bukinafaso akili ndogo utaeelewa hao ni wezi

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 22 дні тому

    Ikitokea Mpina kuchangiwa, hata mimi nijulishwe nitachangia kwa change kidogo!

  • @abrahamnyagawa1304
    @abrahamnyagawa1304 22 дні тому +1

    Tunataka mpina awe raisi wa nchi hii ya Tanganyika.

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 24 дні тому

    Kwa yeyote mwenye mapenzi mema na hili taifa tuko tayari kumchangia mweshimiwa Mpina

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 20 днів тому

    Unajuaje kama hao mabeberu wamemzadia kwa sababu anakuulizia bunge kuhoji serikali na wao wanapata faida ya kuiba rasilimali zetu.

  • @evelina9621
    @evelina9621 24 дні тому

    Sipka.asijihusishe.na.mambo.madogo.yy.ana.cheo.kikubwa.awe.makini.namuomba.awe.makini.anakili.lakini.sikuliwe.mihemuko.yaccm.yake.alinde.hadhi.cheo.chake.amshukru.mungu.mengine.ayaache

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 24 дні тому

    Yuko wapi polepole humfrey?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 24 дні тому +2

    Watanzania tunajua fika kwamba serikali ya ccm awamu ya 5 ilimuweka huyu Spika kwa maslahi mapana ya Waheshimiwa sana wa nchi na sio kwa faida yetu wananchi. Mambo aliyokwisha pitisha kwa nguvu kinyume kabisa na maana ya chombo hiki ni mengi akishirikiana na wingi wa wabunge wa ccm tunaowapa ridhaa,ama kupora uchaguzi nk

    • @gracemairusya2950
      @gracemairusya2950 24 дні тому

      awamu ya tano alikuwa ndugai huyu gender ndo ilimbeba.akawa naibu
      Uliona Ndugai alikataa kupitisha tozo wakamuengua

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 24 дні тому

      @elibarikimolle awamu ya 5 alikuwa Ndugai. Huyo tulia kawekwa na Samia

    • @Jumacharlesmadale2958
      @Jumacharlesmadale2958 23 дні тому

      Awamu ya tano alikuwa Job ndugai

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 23 дні тому +1

    Wabunge tunawajua wanaotutetea wengi wapo Kwa ajiri ya maslahi Yao.

  • @IsayaKivambilo
    @IsayaKivambilo 21 день тому

    Kwa anae ijua siasa hapa waheshimiwa wawili spika Kwa nafas yake yupo sahihi na mpina yupo sahihi Ila Hana sapota

  • @benardtitus266
    @benardtitus266 23 дні тому

    😢😢😢😢

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 22 дні тому

    Kwanini mumeongeza tozo kwenye bili za Tanesco maisha kwa sasa.magumu na munaongezea tena ugumu. Wabunge hamutendi haki kutotetea hali za watu munaowawakilisha

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 22 дні тому

    Dunia kumuona sio shida wala sisi sio wa Dunia sisi watanzania,na Duniani wanapendwa wanawauzia vipande vya nchi yetu

  • @issamustapha7700
    @issamustapha7700 22 дні тому

    Haina sauti

  • @evelina9621
    @evelina9621 24 дні тому

    Huyu.msemaji.anaongea.vizuri.wazungu.wanaleta.vitu.vivyo.haribika.kweli.kabisa.wazungu.wabinafsi.waulizeni.wanakaa.ulaya.waongozi.wote.wakija.kuchekac..

  • @melkiorndemera6474
    @melkiorndemera6474 22 дні тому

    Ata Mimi pia

  • @Niika870
    @Niika870 23 дні тому

    Yaani Basi tu, tunaumia sana raia wa kawaida, Dawa zilizo expered zinauzwa kweny maduka ya madawa, unanua mseto hupon maralia kumbe zilisha expere , zimejaaa, Hospital za uma hazina madawa kabisa, Ajira hakuna vijana wanazagaaa tu

  • @DaudiLengai-ym5fx
    @DaudiLengai-ym5fx 22 дні тому

    Nipo tayari kumchangia Mpina kadri ya uwezo wangu

  • @2003hintay
    @2003hintay 22 дні тому

    Hapo ni kujitangaza lakini hakuna kitu hapo wachangie wajiorodheshe mawakili lakini utashuhudia watakapoachwa utashangaa, waliungana akina mwambukusi walivochemka. Hakuna kitu hapo ni kutafuta umaarufu tu

  • @johnmawewebusobe7138
    @johnmawewebusobe7138 22 дні тому

    Tunaomba namba tuanze kumchangia

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 23 дні тому +1

    Na wewe mtangazaji uliza vitu vya pointi, tusije hasira zote tutazihamishia kwako, angalia sana hayo maswali yako, usiyaegemeza saaana kwenye uchawa, watu tumevurugwa

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba 22 дні тому

    mtoe namba haraka ya kuchangia tumchangie mwamba wa magufuli wako wawili2 mpina na makonda japo makonda ni muoga kidogo

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 24 дні тому

    Yaani, watanzania tuna ushabiki Sana na Mambo ambayo hatuyajui,, wengi tunafuata mikumbo tu, inakuwaje mwenzio anatoa mawazo yake,then unatukana au unamtukana mtu huyo

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 21 день тому

    Mmmmhhh huruma ya Mungu tu yatosha. Baba wa mbinguni wewe wajua yote. utuhurumie.

  • @musamhaya5319
    @musamhaya5319 22 дні тому

    Boss kwa mbuge msukuma ni mnafiki kabisa,anahongwa hela kwenda kuuza bandari zetu----huyo msukuma ni fisadi,jizi na anahongeka sana kuihujumu nchi na wananchi.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 23 дні тому

    Viongozi wa Tanzania wanawaonea wananchi kwa upole wawo. Wanafanya wanavyotaka bila wasi wasi kwa kujuwa kuwa hatuelewi na wala hatujuwi haki zetu.

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 18 днів тому

    Katika bunge aliyekuwa MBUNGE wa kweli ni Mpina peke yake wengine ni washangiliaji tuu

  • @user-xx6pp8co4n
    @user-xx6pp8co4n 23 дні тому

    Zungumzieni tena vifaa. Vya ujenzi

  • @sainatv2688
    @sainatv2688 21 день тому

    Mimi waga nawaza hawa viongozi tunawapa sisi kazi kwa kutuomba kura lakini wakishapewa uongozi wanakuwa juu yutu wakisikia unahoji kitu hata mwenyekiti wakitongoji anaweza kukupiga makofi badala sisi ndo ikibidi akizingua kiongozi tumchape hata viboko maana sisi ndo mabosi wake

  • @danielkanso
    @danielkanso 21 день тому

    Mpina ni mbunge kweli kweli kuhusu haki huyo jamaa hana lakupoteza spika ameingia chaka

  • @chaleteubadi4530
    @chaleteubadi4530 21 день тому

    Dunia wamemchagua wazipendi nchi za Africa ndo maana wamechagua sipka asiye faa

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 24 дні тому

    Hivi huyu Jerome amepitia angalau "basic training course" ya taaluma ya habari au ni kanjanja!

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 19 днів тому

    Hili suala la Sukari toka nje ni uhujumu uchumi. Ingekuwa nchi zenye watu wanaojielewa hawa mafisadi wa CCM wangewajibishwa tena haraka tu. Inashangaza wanafanya mambo ya kuua viwanda na Raisi anazunguka duniani kukopa 😂😂😂

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 21 день тому

    Izalendo siyo kutetea makosa kila.mtu ni mzalendo mpina alikosea pale kuzungumza nje ya bunge kama alivyoagizwa.

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 19 днів тому

    FANYENI CHAP. TUNAELEKEA GIZA NENE MNOOO

  • @user-ub2sm5vy2z
    @user-ub2sm5vy2z 22 дні тому

    Tunamchangia mzarendo mpina

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 24 дні тому

    Tunafanyaje? Sasa

  • @user-ub2sm5vy2z
    @user-ub2sm5vy2z 22 дні тому

    Kibaraka wawazungu

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 23 дні тому

    Mimi pia nikotayari kumchangia nasubiri utaratibu.

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 7 днів тому

    Mpina mzalendo

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 22 дні тому

    Nami pia huwa najiuliza, hao wabunge duniani wanatumia vigezo gani? Au weusi wake ulimbeba? Kumbuka sujasena, "uafrika"

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 24 дні тому

    Mpina ndo kiongozi

  • @kambalakafuko7695
    @kambalakafuko7695 23 дні тому

    Weka namba tuanze mchango

  • @user-uy8cw3zc4b
    @user-uy8cw3zc4b 24 дні тому

    Tupo tayari kumtetea ruhaga mpina ijapo kuwa kwa maneno nakujitolea nafsizetu