MZUKA WA ZUCHU UWANJA WA CCM KIRUMBA, AMCHEZESHA DK MAGUFULI RAGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 182

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +26

    Tungelijua watanzania, tunge mlinda sana JPM 😢ila MAGAIDI yalituwahi, JPM FOR LIFE. TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA DAIMA.

    • @EmmyDulu-fe2sl
      @EmmyDulu-fe2sl Рік тому +1

      Personal I have not until todate come into terms with the sudden death of an African superHero leader his excellence late Dr JPM

    • @hamadiayossy
      @hamadiayossy 10 місяців тому +1

      Sana mkuu

  • @umminelson8487
    @umminelson8487 3 роки тому +20

    Kizuri kweli haki dumu Allah akuepushie adhabu za kaburini 😭😭😭

  • @fazilimudekerezajacques3628
    @fazilimudekerezajacques3628 9 місяців тому +1

    Vraiment coup de chapeau ma sœur zuchu, tu sais tellement chanté, que le bon Dieu vous protège contre te ennemis, malgré la Chez vous on est vois pas que tu es le meilleur chanteuse, viens ici au Congo

    • @FirdausiNzeyimana
      @FirdausiNzeyimana 4 місяці тому

      C'est vrai mais elle sait parlé que Swahili et l'anglais

  • @FadhilaBakari-g9o
    @FadhilaBakari-g9o 2 місяці тому +1

    Nakupenda zuchu unajua sanaaaa

  • @mercyosoro5978
    @mercyosoro5978 2 роки тому +3

    Am Kenyan but I really loved Magufuli so much and I miss him😰

  • @michaelmtamagendelo7625
    @michaelmtamagendelo7625 3 роки тому +1

    Nice songs tisha sana mdg wetu zuchu

  • @sweetmelody1191
    @sweetmelody1191 3 роки тому +8

    Nitamiss hiyo smile yako tu magufuli😭😭😭😭gone too soon yani naona nikama jana

  • @gabrielrobert8677
    @gabrielrobert8677 2 роки тому +2

    Show bora saana

  • @brucemasese6462
    @brucemasese6462 3 роки тому +3

    Kali hii performance

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 2 роки тому +1

    alitupenda sana Rais wetu

  • @dottosebastianophilipo2693
    @dottosebastianophilipo2693 3 роки тому +6

    Daaah 😭😭😭 hii nyimbo inanilizaa saana pindi napoisikiaa

  • @jovinekyolike2657
    @jovinekyolike2657 2 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nikisikia hii nyimbo inaleta huzuni sana moyoni.. Kupata jembe mwingine ni Mungu tu

  • @mectilridamartine1498
    @mectilridamartine1498 2 роки тому +4

    Hakika nimelia san leo rest in peace jpm 😭😭😭😭

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 2 роки тому +2

    Duuh! Kuna vitu vinaishi magu bwana we acha tu🙏🙏🙏

  • @ismailmneka2967
    @ismailmneka2967 2 роки тому +3

    Kiukweli Hadi leo huwaga nahic kama Bado npo ndotoni ila mungu alikupenda Zaid R I P # JPM Rais wakwel

  • @officialfredoo3549
    @officialfredoo3549 3 роки тому +6

    Ndio maana pale Uhuru hii nyimbo ilipigwa wakat unaondolewa kupelekwa dodoma ,,,,ilifahamika unaupenda sanaa,,,pia waombolezaj waliucheza kukufarij

  • @doricyisack1640
    @doricyisack1640 3 роки тому +2

    Duh ulikua na uwezo was kuucheza wimbo huu wewe mwenyewe lakini leo hautikisiki Wala hauoni kwa kheri baba yetu kipenzi we love u so much tangulia baba nasi twaja umeniliza baba

  • @paskomangee8409
    @paskomangee8409 4 роки тому +6

    Noma sana zuchu I love u

  • @jullyjudy4962
    @jullyjudy4962 3 роки тому +8

    We love him bt God love him more rest n peace hero

  • @carolineundisa8509
    @carolineundisa8509 3 роки тому +9

    I can't stop crying 😭😭😭,baba lala salama jembe

  • @annaisaya7267
    @annaisaya7267 3 роки тому +10

    Kuna wakati nahisi Kama bado upo Ikulu na utakuja kuzungumza nasi so sad baba yetu 😭😭😭😭Mungu akuepushie adhabu ya kaburi!

  • @mwlraphaelwakiingereza1394
    @mwlraphaelwakiingereza1394 4 місяці тому +1

    Daah, yaani imenikumbusha mbali sana. Kama namuona Dkt Magufuli.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому +2

    Wanapiga tumepita hapa ya Kifo cha Rais wetu wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli.....Ebu weka Like yako nione....

  • @winifridakephas3941
    @winifridakephas3941 2 роки тому +1

    Mungu akusamehe madhambi zako,tunakukumbuka sana Magufuli 😥😥

  • @julianajohn5256
    @julianajohn5256 2 роки тому +4

    Hivi huyu mzee angedumu sjui ingekuwa tz ya furaha sana na huyu mzee wetu

  • @issaniyongere8792
    @issaniyongere8792 3 роки тому +2

    Zuchou ongela sana sana tunakubali hio mwimbo hadi Burundi 🇧🇮 . Na Africa imepoteza leader ! Mungu amulaze mahari pema 🙏🙏🙏🙏

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 2 роки тому

    from now on this is one of my best song ever

    • @nadinekapakasi6314
      @nadinekapakasi6314 2 роки тому

      I like i luv,i ...'i....idnt know how to explain this...'just...

  • @jacksonashumu6228
    @jacksonashumu6228 4 роки тому +3

    Star is always star shines Zuchu

  • @tysonlymo3604
    @tysonlymo3604 4 роки тому +9

    Love u zuchuuu❤❤❤❤❤💋💕💕💕

  • @rosemarynabwire2963
    @rosemarynabwire2963 3 роки тому +5

    😭😭😭 Magufuli mpenzi wa watu

  • @emanueljosephat1605
    @emanueljosephat1605 3 роки тому +1

    umetsha sana magu kukonga nyoyo za waTZ kweli we mwanasiasa uliebarikiwa bhana hata kama unamapungufu

  • @serengetimigration3868
    @serengetimigration3868 Рік тому +3

    Rest in Peace, the Legendary of Tanzania and Africa in general 😭

  • @VailethBarnabas-m6q
    @VailethBarnabas-m6q Місяць тому

    Nakumiss sana uncle magi wangu😭

  • @VailethBarnabas-m6q
    @VailethBarnabas-m6q Місяць тому

    Nakumiss sana uncle magu wangu😭

  • @rewardalexzanda873
    @rewardalexzanda873 4 роки тому +5

    Ana sauti amazing sana

  • @beatricemgalla7175
    @beatricemgalla7175 3 роки тому +4

    Umelala baba😭😭😭

  • @jumannemfinanga3324
    @jumannemfinanga3324 4 роки тому +9

    Nyimbo bora kabisa y ccm zuchu kam hukubal niww kwanz anatukumbusha shule yamsing jualiteremke!!

  • @annalila3059
    @annalila3059 Рік тому +2

    Mlipenda sana raisi wenu 🎉🎉 mungu azidi kumlaza pema❤

  • @jumarwambo7420
    @jumarwambo7420 4 роки тому +10

    Hii nyimbo nimeiona inatumika sana ndo mana nikaja kuangalia

  • @agripinaligelele9367
    @agripinaligelele9367 4 роки тому +2

    Nyimbo nzr sanaaa

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas Рік тому

    The good ones don't last. You did well President Magufuli.

  • @linesnyanjama2617
    @linesnyanjama2617 2 роки тому +1

    Enyewe zuchu alibarikiwa na talanta

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 роки тому +2

    Daah wallah 😭😭😭😭😭

  • @Zenajumanne-b3b
    @Zenajumanne-b3b 4 роки тому +3

    Zuchu tupo pamoja

  • @aishaharuni2937
    @aishaharuni2937 3 роки тому +7

    Rest in peace magufuli

  • @peragiaisdor6315
    @peragiaisdor6315 3 роки тому +1

    Lala baba 😰😭😰

  • @manfredbaraka67
    @manfredbaraka67 2 місяці тому

    Just remembered this champ

  • @khadijambaraka2936
    @khadijambaraka2936 2 роки тому

    I love magu

  • @julianazacharia7691
    @julianazacharia7691 2 роки тому

    Mmh ange kuwa hai hii nch ingekuwa mbal leo jmn xa mung amempend na xix hatuwez kumzuia?

  • @y5y5prime58
    @y5y5prime58 Рік тому

    Mung Akurehm baba wew utakumbukwa daim😭😭😭😭😭😭

  • @emilykassiano6173
    @emilykassiano6173 3 роки тому +1

    Yangu machozi tuuuu

  • @subirachuttar8098
    @subirachuttar8098 4 роки тому +5

    Ccm chama laoooo.

  • @abbymwesh4206
    @abbymwesh4206 2 роки тому +1

    Ngetaka kuwa mtanzania toka leo

  • @احمدالخروصي-ل8ك
    @احمدالخروصي-ل8ك 3 роки тому +1

    Kama masihala vile kumbe kishaondoka jpm dahl inauma sana pumzka kwa aman jembe retu la ukwel daima tutakukumbuka baba

  • @makambakhamisi5520
    @makambakhamisi5520 2 роки тому

    Atakuja kutokea raisi akakaependwa kayu mungu alize roho yake mahari pema peponi amin

  • @yayalukonovic-tk2cs
    @yayalukonovic-tk2cs Рік тому

    Magu umetuachia shida tu Tanzania😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ianomarioca5256
    @ianomarioca5256 6 місяців тому

    6❤❤❤❤

  • @ashamohd5218
    @ashamohd5218 4 роки тому +4

    Jamani zuchu namkubali xana

    • @georgezanzibar5094
      @georgezanzibar5094 4 роки тому

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Рік тому +1

    Daaaah nikiionaga hii nyimbo namkumbuka Rais chaguo lamungu magufuli

  • @mwinjilistiboniphacealfred6035
    @mwinjilistiboniphacealfred6035 3 роки тому +4

    LALA SALAMA RAIS WANGU SITOKUSAHAU MILELE R I P BABA YANGU

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 4 місяці тому

    2024 still we miss JPM

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +3

    Kweli kizuri hakidumu, Rest In peace Rais Wetu 😭😭😭😭

  • @leilahjumah1228
    @leilahjumah1228 4 роки тому +1

    Nice songs

  • @nichorasandrew2770
    @nichorasandrew2770 4 роки тому +7

    Zuchuu

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 2 роки тому +1

    2022 r.ip JPM

  • @tysonlymo3604
    @tysonlymo3604 4 роки тому +7

    Piga kelele kwa zuchu wakeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 4 роки тому

    Pole lukamba hapa kazi tuu

  • @faririch9247
    @faririch9247 3 роки тому +1

    Hv kwel mm Leo n wakuangalia clip za hayat n wakt. Nlizoea kuangalia nakujivunia raid wng??😰😰😰

  • @joshuaissangachannel
    @joshuaissangachannel Місяць тому

    R.I.P 😢😢😢😢😢😢

  • @arafamupa8141
    @arafamupa8141 4 роки тому +3

    ❤❤zuchu

  • @joharjiresi6055
    @joharjiresi6055 4 роки тому +2

    Da zuchu

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 2 роки тому

    Nimelia akii

  • @ritalissu1123
    @ritalissu1123 4 роки тому +1

    Baba huyo tunampenda sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    REFA AMEWABEBA SANA YANGA. TFF ANGALIENI MECHI YA MARUDIO UTAONA REFA HAJATENDA HAKI.

  • @samuelabisai9575
    @samuelabisai9575 4 роки тому +2

    wcb for life's

  • @daudaabdul1260
    @daudaabdul1260 3 роки тому

    Rest in peace john Joseph pombe magufuli we love you but God love you so much😭😭😭😭

  • @NaimaKhamissy-cx7sh
    @NaimaKhamissy-cx7sh Рік тому

    Haki me bado namlilia huyu baba hadi leo😭😭

  • @lazarojembe8532
    @lazarojembe8532 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @stevenmaile9538
    @stevenmaile9538 2 роки тому

    ika saa tisa na nusu

  • @liliangodorn2332
    @liliangodorn2332 2 роки тому

    Nimelia sana jmn

  • @ricksonlyimo5594
    @ricksonlyimo5594 3 роки тому

    Uyu binti ana kisauti kibaya bas tu ila akiwekewa beat safi kwer ngoja aimbe kavu kavu duuuu ni tatizo

  • @n.o.m4385
    @n.o.m4385 3 роки тому

    he died a hero considering...not a bad way to go Mr. President

  • @fatumaabass7226
    @fatumaabass7226 4 роки тому +1

    Young c 🙏🙏🙏😥

  • @salomesamson6904
    @salomesamson6904 2 роки тому

    Haitakaa itokeee nmekaa paleeee

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 2 роки тому

    nyimbo hii aliimba,

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +2

    JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA 😭

  • @zainabuissa1598
    @zainabuissa1598 2 роки тому

    Pumzika kwa aman baba yetu mpendwa mh

  • @saidybuge9283
    @saidybuge9283 2 роки тому

    Inauma dah

  • @KabobaMaster-y6g
    @KabobaMaster-y6g 7 днів тому

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 4 роки тому +2

    Sio masiala kwanymbo hii nimependa San ccm

  • @tumainimnzava320
    @tumainimnzava320 3 роки тому

    Mbona.kama baba yetu yupo jaman

  • @astusilima6974
    @astusilima6974 4 роки тому +2

    Saf sana

  • @devotaemili9170
    @devotaemili9170 4 роки тому +2

    Waaaaw

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 4 роки тому +2

    👏👏👏

  • @omarymkoti7840
    @omarymkoti7840 4 роки тому

    Nzr

  • @reginangowo9307
    @reginangowo9307 4 роки тому

    Nice zuchu

  • @babamalik765
    @babamalik765 3 роки тому +1

    Rip baba

  • @ismailwaryoba4420
    @ismailwaryoba4420 3 роки тому

    Halafu et aliiba kula jaman magu alikubalika sana

  • @maigeezekiel698
    @maigeezekiel698 4 роки тому

    Naikubal sana hii nyimbo

  • @naseershiner8043
    @naseershiner8043 3 роки тому +1

    Nimekuja kujifariji