DULLA MAKABILA AWASHIKA SEGEREA NA SINGELI, MAGUFULI AMVULIA KOFIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Hivi ndivyo msanii wa Singeli Dula Makabila alivyokiwasha kwenye mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo unaoendelea katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020

КОМЕНТАРІ • 173