Namna ya kugawa mtaji wa Biashara Kitaalam

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @judithjohn1937
    @judithjohn1937 11 місяців тому +3

    Asante nimeelewa kaka zamu ya mwenyzi Mungu Sasa kunipa mtaji

  • @SALAMAJuma-s1s
    @SALAMAJuma-s1s 4 дні тому

    Asante broo kwa somo nimelipenda narudia kila mara sikiliza somo zur😊

  • @SALAMAJuma-s1s
    @SALAMAJuma-s1s 4 дні тому

    Asante broo nimekulewa Asante mungu akubariki ❤

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 5 місяців тому

    Asante sana kaka. Jinsi ya kutangaza matangazo kwako tunafanyaje

  • @RukiaRobert-b9f
    @RukiaRobert-b9f Місяць тому

    Ubarikiwe

  • @LennySilas-jo3oj
    @LennySilas-jo3oj 10 місяців тому

    Gratefully 🎉🎉🎉 proud of your business educational you provide to us🎉Thank you in advanced

  • @JenipherMakubuli
    @JenipherMakubuli 8 місяців тому

    Ahsante brother, nina mtaji mdogo nataka machimbo ya mitumba

  • @venerandammasi
    @venerandammasi 11 місяців тому

    Thankyou so much coach🙏

  • @vinneygodlove2854
    @vinneygodlove2854 8 місяців тому

    Thanks much Sir ❤

  • @aminagaju870
    @aminagaju870 11 місяців тому

    Shukrani mnoo Kuna kitu nimejifunza hapa kikubwa mnooo yaan barikiwa sana kaka

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo 11 місяців тому

    Mwalimu barikiwa sana❤

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 11 місяців тому

    Nazidi kushukur mr kelvin kwa muongozo mzur ubarkiwe

  • @priscagidion9244
    @priscagidion9244 7 місяців тому

    Asante kaka nimepata mwanga sasa

  • @josephaugustino646
    @josephaugustino646 3 місяці тому

    Aise najifunza vitu kaka barkiwa

  • @SALAMAJuma-s1s
    @SALAMAJuma-s1s 4 дні тому

    Mm ndio uyo natumia mtaji wte kununua mzigo 😅😢

  • @FainessiMateasi
    @FainessiMateasi 11 місяців тому

    Kaka somo kubwa😊😊

  • @festoamos_tz
    @festoamos_tz 11 місяців тому

    Hii shule ni kubwa mnoo. Nimejifunza kitu muhimu sana. Asante mtaalam @kelvinkibenje

  • @_afyatips_
    @_afyatips_ 11 місяців тому

    Madini 🔥🔥🔥

  • @upendolairumbe889
    @upendolairumbe889 11 місяців тому

    🙏🙏

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara 11 місяців тому

    Fact

  • @IDDYMNGATWA
    @IDDYMNGATWA 10 місяців тому

    Ukiwa namtaji wamilioni mbili alaf unaitaji kufungua duka la leje leja utaugawaje please

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 8 місяців тому

      Mbona % ameweka hapo? Chukua milion 2 gawanya kwa kiasi cha percent alizoweka hapo

  • @jumamusa2186
    @jumamusa2186 11 місяців тому

    Kaka naomba uniambie chimbo la kununua spices na unga wa lishe
    Spices kama pilau masala mix

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  11 місяців тому +1

      Machimbo yako kariakoo mtaa wa Tandamti lilipokua soko kuu la zamani

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 8 місяців тому

      Ilala sokoni kuna mtaa unaingia kule njia ya train ya umeme inapopita kuna mashine za kusaga spices wanauza viungo bei rahisi kuliko kariakoo

  • @shabaniramadhani8891
    @shabaniramadhani8891 8 місяців тому +1

    Uzuri wako wewe sio motivation speaker ila una shea mawazo,fikra na maono pamoja na uzoefu. Hili somo unalipata kwako tu maana ni zaidi ya mafundisho