SAFI SANA. Content kama hizi zinahamasisha wengi kuona kuwa wanaweza fanikiwa kwa kufanya yale wanayoyapenda bila kujali wengi wanasema nini. Nimependa sana hii....
Daaa watu mmejaliwa kk tumia elim yako .ukiwa na hofu ya mungu ndan yako mana kumbuka kwamba shetan ana mbinu nying za kufelisha maisha ya watu napia .mtangulize mungu popote utakapo weka mguu
Kwa wale wote wanaohitaji kuja kufanya biashara au kusoma China. Nimeanzisha channel kuelekeza mambo ya kuzingatia ua-cam.com/video/Hw292GHnVMQ/v-deo.html
Huuu ndio usomi unaotakiwa sio kukaa mtaani ukisubili kuajiliwa bila kujiongeza 👏🏿👏🏿 #tenga
Very smart man...I love people like this..very inspiring
SAFI SANA. Content kama hizi zinahamasisha wengi kuona kuwa wanaweza fanikiwa kwa kufanya yale wanayoyapenda bila kujali wengi wanasema nini. Nimependa sana hii....
salute kwako kaka
Vizuri kaka. speaks kama hizi hutujenga wengi na kutufanya tuendelee na juhudi binafsi kila iitwapo leo.
Hongera braza...mradhi mtu aipende kasi yake na kushirikisha MUNGU mafanikio huja...glory
Kilakitu kinawezekana kikubwa ni uthubutu💪🏽💪🏽💪🏽
Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia kwako Ndugu Mungu akubariki sana
Daaa watu mmejaliwa kk tumia elim yako .ukiwa na hofu ya mungu ndan yako mana kumbuka kwamba shetan ana mbinu nying za kufelisha maisha ya watu napia .mtangulize mungu popote utakapo weka mguu
jackrin aman well said
@@baga4670 haa
Mashaallah mungu akitaka kupa hakuletei barua vijana wajitume sna ndio mafanikio yaweko
20000000000
mashallah kaka mungu azidi kukuongoza
Mm nikupe hongela kaka umeona mbali sanaa
Safi Sana brother mungu akuongoze
Masha allah mungu akuzidishie zaid
Safi sana 🎉🎉🎉🎉
jamani mi nimwalimu wako nimekufundisha umbwe secondary nafurahi mwanafunz wangu kuwa ivo jamani hongera sana naomba ela
duuuuh
Edina Chami 🤣🤣🤣naomba ela
Haaaa makubwa
mmmh shida kweli
😝😝😝😝kazi yako ilikuwa kufundisha na ulipat mshaara, xx unataka hela km mwalimu ten o mwananvhi
Kaka nakuoenda jamani njoo unioe ,Mimi Ni Mke Bora material
Hongera sana,Novarty Tenga.
Mungu akuzidishie nimependa kwa kweli
Mapito yako km yangu.... Umenipa moyo nakaza buti
Hongeraa sana bro umeniinsper
Mashaallah kk Allah akuongoz
Duuu hongera ila usiweke sana mambo yako pabrik .cz unaijua selikar.utasikia kz unayo fanya na mambo yako .nitofaut..utasikia umeibia selikali
jackrin aman sio kweli
Leila Innocent sio kweli nn
jackrin aman kaibiaje serikali wakati hajawahi kuajiriwa na serikali
fahmi jape unakumbuka yule mm walie sema kaihujumu ........ Kisa anamali kuzid uwezo wa mshahala wake
jackrin aman nani?
Great brother
Dislikes huku pia??????kweli binadamu tuna shida kweli nway congratulations bro
Ndugu yangu watanzania tushalogwa we tuache kama tulivoo 😂😂😂 yan hata uelezee kitu kizur vipi dislike lazimaaa
We bhana Ni bure kbsa,
Mashaa allah mungu akubariki zaidi
Maryam Marym k
Naomba kujua hiyo passo n pesa ngapi ya TZ ?na kenya n pesa ngapi
Never give up on your dreams
Penye zahabu lazima pawe na majalibu big up broo
hongera bro thanks God kwakutufunza
Vido vidox!!!!! Plzz naomba nomber za huyo broo plzz nakuomba unisaidie
Hongera sana Mangi
Eee mtangazaji unanenepa maashaallah
sweet luc 😂😂😂😂😂😂😂
Hizo fislike ni za wazungu hawaelewi kiswahili
Mungu akujarie
Mashaallah kaka mungu.akusimamie kwakila jambo
From grass to grace
Dah yan wenye moyo kama wako hakuna kabisaa hasa ukitizama wadada wa kibongo dooh ndo kabisaaa
Naitaji no za huyo bro naitajinkujifunza ktk biashara kuna kitu nimekiona
Asante kwa kutuelimisha
safii kk
Wanao shinda ista kutukana watu wanalalama hari ngumu wenzao wanao jielewa ndio kama ao wanatusua
We ndo UNAPENDA kazi yako ,mtu asiangilie elimu yako ,aangalia UNAPATA nini
Nitakuja huko Tenga motors
Hongera
Safi nahitaji gari nisaidie
daaah, bravooo
Usenge muache ,uyo hana kampuni ya magari bali ni agent wa magari yaliyo tumika (used)
Ongera kaka
very good
Hakika nimeamini kila kitu ni kusmua kazi zipo
Good job brother 👍
MashaAllah
Mtoage na namba za simu sasa
😀😀 za nini sasa?
Kichwa cha Habari hakiendani na maelezo yaliyomo ndani... Nilijua Alianzia Chips mpaka kwenye Magari... 😂😂😂😂 CLICKBAIT...
🤣🤣🤣🤣🤣 nami pia nlidhani hivyo
@@noorndanie9893ok tufanye kaanzia kwenye chips
Ongela
Keep it up bro
Mashaallah
hongera
Pitia link hii uone interview ya huyu kijana nyingine
ua-cam.com/video/ZN-3poi0kZs/v-deo.html
Anazambi huyuuu mwongo alafu unaimba gospel
@JOSEA WILLIAM Dislike it
Hatuna haja ya kupitia huko ukipitia wewe mwenyewe inatoshaa karibu Tenga Motors 😂😂😂
Kwa wale wote wanaohitaji kuja kufanya biashara au kusoma China. Nimeanzisha channel kuelekeza mambo ya kuzingatia
ua-cam.com/video/Hw292GHnVMQ/v-deo.html
Natafuta kaz
hongera kaka, umefanya vizuri sana
Nikajua umeanza kwa chpc kumb kaz mtaji ndo mtaj
Nami nilifikilia hivyo
Huyu alikuwa na mtaji tayari anatuzingua
Huyu alikuwa na mtaji tayari anatuzingua
+Amri Haruna
Hapana alitumia udalali kukuza mtaji Wake safi sana.
Akili nyingi xna huyu jamaaa
chafu Miro mchagaa pure
honger sn
Mbona ww miradiayo uliuza nn
Vido vido
Sf sana
hongera
hongera