Asante sana nimeelewa sana, sina swali maana maelezo yapo clear kabisaa, naamini hizi taarifa nilizopata zitanisaidia sàna siku za usoni lakini pia naamini nitaendelea pata mwongozo zaidi kutoka kwako Mungu akubariki sana , akuinue na kukufanikisha kwenye kila hatua zako, kibali chako kizidi sana
@@Dorah-q8w passport lazima, Visa lazima. Passport yako nduo inakusaidia kupata visa. Haya kwa video hiyo Nimeeleza vizuri tu. Ila passport Peke yake haitoshi
Mimi Ninafahamu Kwa china unagongewa visa ukifika kwako kama unakaa sio zaidi ya miezi mitatu,na unaruhusiwa kurudi tena na tena irimradi usizidishe miezi mitatu,lambda kama NI issue ya masomo hyo itahitaji visa Nina marafiki wanaenda china mara Kwa mara kufata mzigo visa wanagongewa wakifika airport.waeleweshe watu vizuri Acha kuwaza kupoga pesa Kwa watu wavivu wa kutafuta taarifa kama watanzania.
@@Dorah-q8w ahaaa kumbe wewe na ubishi wote ni mambo ya kuambiwa, nilidhani umeenda. Mimi nimeenda mara nyingi na naandaa safari za kibiashara. China huendi kama unaenda Mbeya au Kenya.
@@Dorah-q8w visa unagongewa Ubalozi na ubalozi lazima ufanyie enterview. Usimini story za vijiweni. Na visa ya mara ya kwanza ya kibiashara ni siku 30 tu ndani ya miezi mitatu
Respect brother
Asante sana nimeelewa sana, sina swali maana maelezo yapo clear kabisaa, naamini hizi taarifa nilizopata zitanisaidia sàna siku za usoni lakini pia naamini nitaendelea pata mwongozo zaidi kutoka kwako
Mungu akubariki sana , akuinue na kukufanikisha kwenye kila hatua zako, kibali chako kizidi sana
@@heroes1932 Amina. Asante sana sana
Asantee sana 🙏🙏
shukrani
Asante baba nimeelewa mnoo
shukrani
Unaelezea vizuri sana nimekuelewa 🙌
Asante sana
Shukran sana kaka mungu akubariki kwa hii elimu
Amina. Asante sana 👏
Kaka nipe namba yakoo
Ahsante sana Kelvin..una namba ya simu kwa whtsp? Please..
Naomba namba yako kaka
Mungu akubariki sana naamini ipo siku nitakutafuta unisaidie nijifunze zaidi
@@neemanyove9130 karibu sana
@@kelvinkibenje sijui napataje mawasiliano yako maana instagram natuma Dm naahisi pia ni ngumu kuziona sababu una DM nyingi
Jamani kwani china mpaka visa,mbona passport Tu unaruhusiwa kukaa soku tisini na unapakia mzigo
@@Dorah-q8w usipotoshe watu please. Huwezi ingia china bila visa
@@Dorah-q8w passport utaenda nayo nchi za East Africa tu labda na South
siku moja nitakutafuta kaka
karibu sana
Shukrani kaka umenyooka mnoo mungu akuwekee sanaaaa na akubariki mnoo🎉🎉
@@IsackKimaro-i3d Amina. Asante sana
Kwa hiyo unakataa hatuendi na passport?
@@Dorah-q8w passport lazima, Visa lazima. Passport yako nduo inakusaidia kupata visa. Haya kwa video hiyo Nimeeleza vizuri tu. Ila passport Peke yake haitoshi
Kaka nitumie namba yakoo
Mimi Ninafahamu Kwa china unagongewa visa ukifika kwako kama unakaa sio zaidi ya miezi mitatu,na unaruhusiwa kurudi tena na tena irimradi usizidishe miezi mitatu,lambda kama NI issue ya masomo hyo itahitaji visa Nina marafiki wanaenda china mara Kwa mara kufata mzigo visa wanagongewa wakifika airport.waeleweshe watu vizuri Acha kuwaza kupoga pesa Kwa watu wavivu wa kutafuta taarifa kama watanzania.
@@Dorah-q8w ahaaa kumbe wewe na ubishi wote ni mambo ya kuambiwa, nilidhani umeenda. Mimi nimeenda mara nyingi na naandaa safari za kibiashara. China huendi kama unaenda Mbeya au Kenya.
@@Dorah-q8w visa unagongewa Ubalozi na ubalozi lazima ufanyie enterview. Usimini story za vijiweni. Na visa ya mara ya kwanza ya kibiashara ni siku 30 tu ndani ya miezi mitatu
Nondo
@@upendolairumbe889 Asante sana