Nimependa Sana usomaji wako na KIPINDI hiki. Mungu akubariki sana. Umenifundisha kitu kikubwa . Jamani tujifunze kusamehe na kuwapenda maadui zetu. Na tumtafute sana Mungu.maana yeye ndiye uhai wetu
Mfikirie sasa kutengeneza makala (documentaries) kuhusu viongozi wa taifa hili hapo zamani + pamoja hata na ma-chief kadhaa. Mfano makala kuhusu Mtemi Mkwawa, vita vya Majimaji, nk. + na kwa namna unavyoelezea ingependeza zaidi.
Dah,ww Jamaa upo poa sana umenifanya nijue vitu vingi dunian ambavyo nisingejua mpaka kufa na nmejifunza sana na mm kwasasa naweza kutoa hoja sababu umenifundisha,endelea na Mimi nipo pamoja naww man
Sijajua ni kipaji tu au ulipata pia maarifa kwa mtu, na kama ulipata kwa mtu huyo mwalimu wako si atakuwa baraa, maana story zako si kuelimisha tu bali mvuto pia wa maneno unaleta hamasa kubwa sana wa kusikiliza zaidi na zaidi. GOD BLESS.
we kaka unaweza kutafsiri picha nakushauri ujaribu na kututafsiria picha za wazungu na seasen tunakutana na masauti ya ajabu tunaomva utuletee iyo sauti boss
bado naendelea kukusifu kwa sauti ya dhahabu uliyo nayo ambayo ukimuhadthia mtu stor anaisikiliza kwa umakin saan serikali sijui iko wap utakuta mtu kama ww unakufa maskini na kipaj chote hicho anyway bado naendelea kueshiimu na kuogopa kabiisa uwezo wa denic mpagaze katika kuandaa haya na uhakika global waa asset kubwa saan
km unamkubali mtangazaji huyu gonga like apa twende saw
Nimependa Sana usomaji wako na KIPINDI hiki. Mungu akubariki sana. Umenifundisha kitu kikubwa . Jamani tujifunze kusamehe na kuwapenda maadui zetu. Na tumtafute sana Mungu.maana yeye ndiye uhai wetu
Unasimulia vizuri sana mkuu endelea hivyohivyo nafatilia sana habar zako
Edgar na Denis ur so great fantastic fantastic u make African youth so great this is true history of our time.
Asante Muliro. Hivi ni yule Muliro wa Kibondo?
@@mpagazedenis8395 ndio nipo kisumu for unafanya kazi nzuli mungu akubariki
Uko vizuri muandaaji, tumejifunza vitu Vingi kwenye hii Makala yako na hata ile ya kwame Nkuruma
Yaani nasikiliza mpaka tangazo gold voice bg up.
Jamaa noma sana. Dondosha comment. Yko kama unamkubali jamaa
William Nyankongo
William Nyankongo namkubali mno
Hawa ndio viongozi wa kuigwa
Napenda sana hizi story zinanikumbusha sana kazi nzuri kaka
We love mandela May Allah gives you paradise I. Shaa Allah
Ur de best ma brother unajua kuliko wanavyokuchukulia
Asante sana global TV. Mpo vizuri.
Mtangazaji uko Sawa...Big up
Daah......barkiwa kwa kipaji
Masimulizi moto kabisa..kazi nzuri aisee!
Mfikirie sasa kutengeneza makala (documentaries) kuhusu viongozi wa taifa hili hapo zamani + pamoja hata na ma-chief kadhaa. Mfano makala kuhusu Mtemi Mkwawa, vita vya Majimaji, nk. + na kwa namna unavyoelezea ingependeza zaidi.
Kiswahili chako kinaelewa saanaa , ungekua mwalimu wanafunzi wangepita kiswahili sana dope
Dah,ww Jamaa upo poa sana umenifanya nijue vitu vingi dunian ambavyo nisingejua mpaka kufa na nmejifunza sana na mm kwasasa naweza kutoa hoja sababu umenifundisha,endelea na Mimi nipo pamoja naww man
Jamaa bomba sana na story kali, bigup sana mkuu tangaza zaidi na zaidi
nakuerewa Sana sikosi kila simulizi zako Ananias Edgar Big up Mani
Big up 2 you kwa kazi zako nzuri
From Qatar 🇶🇦 nakuelewa sana kaka unatisha kama Simbaa
yupo powa sana napenda jinsi anavyo toa history daaaah ananifanya natamani kulud clasic
I appreciate the way you narrate these wonderful stories! Big u sana mzee baba
Niceeeeeeeeee kama zoteeeee
Ningependa kuwasiliana na bro Denis Mpagazi
Nipo Eric 0753665484
Ahsante sana Anania Edgier
Ningependa uwe mume wangu uwe tu unanihadithia hadithi beautiful voice mash Allah
ha ha ha
Mashaa allah kaka uko vizuri sana zaidi ya sana
kaka nakubari sana kazi zako mungu azidi kukupa uhai na maarifa
Upo vzr br, nasubili ya Mwal.Jk.Nyerere.
Hongera sana Mpagaze
Ahsante sana
Uko vizuri kwenye uchambuzi nimezipenda sana. Hongera sanaaaa
Ahsante sana kaka
Bado nakukumbusha utupatie story ya Steve BIKO mwanaharakati wa South Africa pls pls
Aaaa,kaka BG up
NAPENDA HISTORY YAKO BROTHER
bless sana bro napenda sana simulizi namisemo yako
I really like the way you have presented! Well done 👍
napenda hizi historia unazozipenda
Hongera sana kaka unajua kuongea sana
well done Ananias Edgar, your voice punch is superb
ningependa kujua historia ya samour toure
Usimsahau simulizi ya jk, kenyata pia usikae sana kutoa vitu kama hivi ili tusikusahau
Ok poa
bomba ya mtangazaji big up
Sijajua ni kipaji tu au ulipata pia maarifa kwa mtu, na kama ulipata kwa mtu huyo mwalimu wako si atakuwa baraa, maana story zako si kuelimisha tu bali mvuto pia wa maneno unaleta hamasa kubwa sana wa kusikiliza zaidi na zaidi. GOD BLESS.
Sauti ya huyu Ananias inatisha sijawahi kusikia sauti ya muvuto kama hii,Ananias thank the Lord you,re a talented journalist. I assure you
Akiiandaa mpagaze akiisoma Edgar,,, eebana kila kitu shwari bana..... shukran kwa historia hii
Asante
@@mpagazedenis8395 Karibu mkubwa wangu,,,, akujaalie afya njema na ufasaha zaidi kwa kazi yako...MUNGU.wetu aliye hai
Uko vzr Sana bro
Napenda kupata ratiba ya hizi historia
Man you are so pleasant,watazania tuna bahati sanna yakua na watu wazuri.
Aisee we jamaa una bonge la sauti yani huchoki kusikilizwaaa😊😊
Kabisaaa
Napenda vionhoz kama hawa kwani wananifunza maisha ya uvumilivu na HAKI silazima niwe kiongozi Wa kitaifa
big up ndela
Kila siku lazima niskilize walau histolia moja,,unajua sanaaaaaaa mkuu
Guys keep you're promise, mmeanza kuwaangusha wafatiliaji wa makala zenu, ni hayo tu
A leader stay with his people
Wewe ni mwalimu mbele ya walimu nyuma ya walimu hongera sana historia unaitambua sauti nyororo
Nakukubali sana
nzuri sana Ananias
Uko vizuri kwa simulizi
Ukweli ni kwamba hiyo misemo na mifano yako ndio inanikosha zaidi. Pongezi sana Ananias Edgar.
Imekaa safi! Somo limefika.
Uko sawa bro
safi sana simulizi nzuri sana😂
NAmunga mukono hawawanaweke tunao owanisumukubwa tunapititia mengi unakata muhaharifu anayekuhatarisha maishayo unasikia wanamupingia Sim mutupendani muturiyezanaye
Aksante.
Msamaha ni ushindi. Mungu amrehemu shujaa huyu.
Ila hao watu Mungu anawaona jamani miaka 27 duh!!
Nilikua nangoja hisitoria ya Mandela sana BG BG buroo
Hongela kwa kazi nzuri Ananias eddiga
Kiswahili lugha nzuri sana
Daa!! Wewe jamaa ni kiboko, sio siri unajua kusimulia
Ukomakini_Sana Brother.
Napenda xana historia mnazotupatia znatufunza mengi xana
Brother unajua kusimulia
Hv ndy safi sio story za dudu baya
Hahahahahaha
Nice sana hio
Uko vizuri bro hongera sana
Edger ww n bonge la mtangazaji, una saut ya pekee na unawez kuoganaiz masimulz na kuleta mvuto. Gud xn
Nakukubali sana
Uko vizuli iendele
Kweli kbx yan
Wow! Hongera kwa kumbukumbu hii.
Story inakwenda na comedy ndani yake,I enjoyed it.
Nakukubali sana brow
Broo historia unaweza
we kaka unaweza kutafsiri picha nakushauri ujaribu na kututafsiria picha za wazungu na seasen tunakutana na masauti ya ajabu tunaomva utuletee iyo sauti boss
Asante kaka kwa kazi nzuri
nice one
Tunaingoja kwa sana hii
I like it bro..your up%%%%
Hello edger unafanya kazi nzuri .
hahahaaaaa we kaka mkali ADAM alitimuliwa
History has never been this sweet and enlighteneing. Keep up the great work. Waiting for the story of Jomo Kenyatta and Colonel Muammar Al Gaddafi
bado naendelea kukusifu kwa sauti ya dhahabu uliyo nayo ambayo ukimuhadthia mtu stor anaisikiliza kwa umakin saan serikali sijui iko wap utakuta mtu kama ww unakufa maskini na kipaj chote hicho anyway bado naendelea kueshiimu na kuogopa kabiisa uwezo wa denic mpagaze katika kuandaa haya na uhakika global waa asset kubwa saan
magufuli
unafaa kuwa mbunge 2020 Kwani utakua unatoa hoja nzuri
Broo wewe ni moto wakuotea mbali,Asante baba kwa kutufunza
Historia nzuri Aksate
Nashukulu kwan nimepata funzo.
Mko vizur saana
Nawashukuru Sana naomba niwapongeza kanisa wenu Briton ndishi mwz
Saut yako kama ya masoud masoud wa tbc taifa bg up bro
safi sana broo unajua
Edger uko vizuri kaka,unanikumbusha zuberi msabaha
vzr brother
Hahaha mkeo akipika chkula kinamchanga mwambie honey jitahidi wawe yawe ynaiva kumtia moyo edger umetisha mbaya nafunga comment from r chuga arusha
shany flonk brooume toxha xana
shany flonk 😂😂😂😂😂 naona me nimecheka kuliko ww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimependa history zenu
Mpo vizuri sana
Hujawahi kutoa taarifa isiyokuna, una kipaji kikubwa sana
Noma sana ww mwalimu w History full
Appreciated broh..keep it up
kwende na nyerere sasa
I like the topic openners "ukipika jitahidi na mawe yaive"😅
Hahahaa