"HATUTAKI WAKIKUYU HAPA LAMU!!" ANGRY MUSLIM LEADERS VOW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @henryndungu366
    @henryndungu366 Місяць тому +66

    This man should be arrested immediately. That is hate speech and should not be tolerated.

    • @MrTabasamu
      @MrTabasamu Місяць тому +2

      Wamekuwa wakichochea hivi na hawaulizwi na mtu.

    • @suleimanjannabo313
      @suleimanjannabo313 Місяць тому +8

      This is very true, all Kikuyu have land documents, we don't have any documents. All the farmlands and beachlands belong to them.

    • @OmariNjia-i8q
      @OmariNjia-i8q Місяць тому

      Why

    • @marwanmunywoki414
      @marwanmunywoki414 Місяць тому +6

      Ukweli... Hate speech gani? Wakikuyu wakonatabia mbaya sana btw

    • @MrTabasamu
      @MrTabasamu Місяць тому

      @@marwanmunywoki414 Si ulie.

  • @youngvlog7605
    @youngvlog7605 Місяць тому +106

    Bro am a somali and our religion doesn't teach us to be tribal i stand with our kikuyu brothers .....tunawapenda nyote wakenya ❤

    • @BenjaminKashuru
      @BenjaminKashuru Місяць тому +7

      @@youngvlog7605 hakuna siku msomali atakuwa msomali wa Kenya... msomali atabaki kuwa msomali tu...akikuja Kenya yeye ni mkimbizi

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi Місяць тому

      @FearlessAfrican hapo Kwa mke no way dada zenu Wana ua akijua bwana una pesa......Kisha siku mkiacha kuongea Kikuyu mbele za makabila mengine and embrace Kiswahili hapo mtaanza kua Sawa lakini uko na mm Kisha mkikuyu mwenzako akija una switch to Kabila yako hio Ni ubaguzi ndio maana unaona mpeketoni hawajui kuzungumza Kiswahili vzuri kimewashinda and it's a national language Tena mji wa waswahili mwapeleka culture yenu

    • @susanmukuru7081
      @susanmukuru7081 Місяць тому +4

      Sasa huko lamu tunakujia nini???? Do u not see the land that God has blessed kikuyus with, land of milk and honey?

    • @swalehmbarak7590
      @swalehmbarak7590 Місяць тому

      You are a big lier, and selfish ww huko kwenu garisa ushaona mp kabila engine.

    • @highhigh7476
      @highhigh7476 Місяць тому +2

      I am Somali 💯 support the issue Wacha Kila kabila iwe leaders kwao

  • @kimanimuniu6732
    @kimanimuniu6732 Місяць тому +36

    That's tribalism....how does Kikuyu fight Muslim religion in that....non sense... Kenya belongs to everyone

    • @euticusmuhanji458
      @euticusmuhanji458 Місяць тому

      Kikuyus are the ones who make this country tribal,,,nyi ndo mnalead wengine

    • @umojapress2857
      @umojapress2857 Місяць тому

      @@euticusmuhanji458 Yes i am tribal. Your takataka tribe doesn't matter

    • @WilliamblackwoodKenafric
      @WilliamblackwoodKenafric Місяць тому +1

      @@euticusmuhanji458 wewe hiyo ujinga wako utapeleka kwa waluhya sio wakikuyu..hiyo chuki mko nayo..endeni mkalambe matako ya mwarabu na muajiriwe gatemen nao..wewe support mwarabu kivyako..i gzess kuna waluhya kadhaa wanaojitambua...

    • @Mosesnjiraini-r8d
      @Mosesnjiraini-r8d Місяць тому

      You shoulld be behind bars as quickly as you finished preaching this gospel.Tell us whether these kikuyu are building economies in central province or coast province.

    • @collinsokoth1046
      @collinsokoth1046 Місяць тому +1

      Kila mtu arudi kwao, watu wa Lamu furusheni hizo ma ghasia zirudi central

  • @anthonymwithaga
    @anthonymwithaga Місяць тому +29

    I had respect for this guy but it is all gone. Every Kenyan has a rightto live in any part of Kenya long as one learns to respect one another.

    • @Waflora24
      @Waflora24 Місяць тому +1

      Asome katiba! Acha uchochezi ndugu!

    • @abdulissaahmed7946
      @abdulissaahmed7946 Місяць тому +1

      You can keep your respect to yourself

    • @princematumbo
      @princematumbo Місяць тому

      They have rights to be anywhere in the nation but not in Kikuyu land, Kikuyu's don't accept other people

    • @lodekivin131
      @lodekivin131 29 днів тому

      Wewe toka amu uende kua MCA othaya

  • @makembogeorge
    @makembogeorge Місяць тому +79

    If it was a kikuyu speaking like this he would be arrested, this how far double standard has taken this country

    • @dancestarwema
      @dancestarwema Місяць тому +3

      well... black Americans tell whites... 'You will never understand racism against blacks unless you are black'... I don't support the tribal nonsense by Lamu leadership... HOWEVER... Kikuyus have been speaking this way since 1964... (in embassies.. pubs... late Michuki.. Moses Kuria.. Gachagua... the list is long)... Now that the Kikuyu are on the other side you lament?... what goes round comes back...

    • @ZippyBeulah
      @ZippyBeulah Місяць тому +1

      We want peace in Kenya let us make Kenya great. We mungu nguvu yetu ilete baraka kwetuhaki iwe. NGAi na mmlinzi na tukae na undugu pamoja n amani

    • @susanmukuru7081
      @susanmukuru7081 Місяць тому +1

      ​@@dancestarwemathe other side and no one is complaining.

    • @JamesNgala-g3c
      @JamesNgala-g3c Місяць тому +2

      Mkenya anahaki na uhuru wa kuishi popote wacheni ukabila na chuki isio na faida kwa wakenya. Msiingilie dini na siasa hio inaharibu Imani ya dini.

    • @Breakthrough-jl2gb
      @Breakthrough-jl2gb Місяць тому +1

      @@JamesNgala-g3cBiashara za Wasomali zimejaa Central Kenya na Wakikuyu hawalalamiki. These people are beating drums of war.

  • @sakajiwa8342
    @sakajiwa8342 Місяць тому +29

    If i look at you, you should be in Yemen. What has Kikuyu done to you? You dont own Lamu, and never will you. Period!

    • @somaliguy312
      @somaliguy312 Місяць тому +1

      You also indeed you are from congo wachana na bajuni kumbaf

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 Місяць тому +83

    Mmh am a muslim but our religion doesn't teach us this stupidity

    • @reginamuthoni2484
      @reginamuthoni2484 Місяць тому +3

      Ni ruto, ni zakayo mwenye hii kazi ata sisi tunajua waislamu hawana huu ujinga, na huyu mzee ajichunge saaaaaaana, hii ni Kenya

    • @joshuanaibei7164
      @joshuanaibei7164 Місяць тому +1

      Yuko right.....one of the goals of the devolution was to bring power to the grassroots!

    • @Answering-missionaries-kenya
      @Answering-missionaries-kenya Місяць тому

      Haujielewi

    • @lucykungu3114
      @lucykungu3114 Місяць тому

      Wakikuyu waislamu hoiye mtajua hamjajua.

    • @salimkamau1697
      @salimkamau1697 Місяць тому

      Kujua nini??

  • @andrewmuigai6573
    @andrewmuigai6573 Місяць тому +21

    Kama ni vita mnataka semeni tuko tayari otherwise lamu hatutoki na tutasimama viti vyote mpaka cha governor

    • @NahashongichineMuturi-g9e
      @NahashongichineMuturi-g9e Місяць тому

      Kabisaa

    • @IqbalIlhan
      @IqbalIlhan Місяць тому

      Nakwenyu mbona kabila zingine amutaki waisraeli wa kenya wengine na vita jua muislamu ako tayari kufa je wewe uko tayari?

    • @NahashongichineMuturi-g9e
      @NahashongichineMuturi-g9e Місяць тому

      @@andrewmuigai6573 wakiamua mkono utembee SI wakikuyu tuko sawa kumtembeza mkono 😂😂

    • @marwanmunywoki414
      @marwanmunywoki414 Місяць тому

      Mtapigwa... Vita hamuwezi, labda mpigane na viazi na cabbage

    • @WahomeStanley
      @WahomeStanley Місяць тому

      Na matako ya mamako​@@marwanmunywoki414

  • @obongitai.ronald2837
    @obongitai.ronald2837 Місяць тому +72

    According to the Constitution, all KENYANS hAve a right to live anywhere within the Republic Lamu not exception.......... NIS and DCI kazi kwenu....this is dangerous for the nation.

    • @hamniwezzi3665
      @hamniwezzi3665 Місяць тому +2

      Watashangaa sana hawa ndio wataondoka

    • @honestyfirst2165
      @honestyfirst2165 Місяць тому +6

      As long as Kenya common man and women vote along tribal learn, this type of tension will never cease.

    • @hamniwezzi3665
      @hamniwezzi3665 Місяць тому +2

      @@honestyfirst2165 This is beyond voting; it's absolute SHAMELESS INCITEMENT by people who are indeed NOT indigenous to the place they currently live but have the guts to talk about the same. Bunch of id-ots!

    • @reginamuthoni2484
      @reginamuthoni2484 Місяць тому +3

      Very dangerous

    • @emmanyamburamwangi9598
      @emmanyamburamwangi9598 Місяць тому

      This is tribalism... Tribalism... And it is not good to incite....Kenyans... Please read Quran vizuri na uone hakuna haki kwa Yale yote umenena... Twatoa alla ah asamehe wewe..

  • @vanessakagotho7155
    @vanessakagotho7155 Місяць тому +48

    We are busy fighting tribalism and sending tribalistic 'leaders' home then this???????? Can he be arrested!!!! We want a united country,tribeless,religion less coz we are one!!!!!

  • @virginiakuchta7199
    @virginiakuchta7199 Місяць тому +22

    Seriously, this is as clear as it can be, they are out to fight the Kikuyus.

    • @nassernasser1457
      @nassernasser1457 Місяць тому

      When you have suppressed the indigenous what do you expect, they welcomed them when they were 400 only, they are 50k in numbers now, if you know how kikuyus behave when they dominate an area you know, they have zero respect for boundaries, they walk all over Hadi kwa bedroom, people have to push back

  • @trizajoy8252
    @trizajoy8252 Місяць тому +95

    Kenya belongs to everyone shame on you

    • @mkambamohamed8000
      @mkambamohamed8000 Місяць тому +10

      Mbona hakuna mcoast mbunge huko kwenu

    • @Omwami-lc4dd
      @Omwami-lc4dd Місяць тому +16

      Pwani ni ya wagiriama na wadigo waraabu go back to saudi arabia

    • @abdallahngwale7158
      @abdallahngwale7158 Місяць тому +11

      Wakikuyu ni wabinafsi sana ndio wanasababisha hayo yatokee

    • @AdhamAdam-r9c
      @AdhamAdam-r9c Місяць тому +1

      Kweli kabisa ​@@Omwami-lc4dd

    • @geedupyo
      @geedupyo Місяць тому +8

      But Kikuyus also act as if the presidency is theirs.... they think their votes alone are enough to make a president.... they're SELF ENTITLED....

  • @full_ArmourOfGod
    @full_ArmourOfGod Місяць тому +36

    I rebuke and cancel these words in the name of mighty Lord Jesus Christ.

    • @maureenmoraa111
      @maureenmoraa111 Місяць тому

      Don't misuse the name of God in vain. I hope you also cancelled Riggy G's words about some company he was talking about.

    • @peterwairegi450
      @peterwairegi450 Місяць тому

      Amen

    • @SimonMuasa01
      @SimonMuasa01 Місяць тому

      Amen plus I also add Ruto and all this corrupt politicians masquerading as Christians in that prayer

  • @josephmuriithi1031
    @josephmuriithi1031 Місяць тому +12

    This was the reason why they are all targeting security positions like NIS, DCI and the rest .Now these goons have to be checked.

  • @leonardrono3868
    @leonardrono3868 Місяць тому +14

    This is not the Kenya we want how can this mzee talk as if there's no kikuyus who are Muslims, i am a Christian but that's not right.

    • @idakroll8828
      @idakroll8828 Місяць тому

      This is a big shame in Kenya that people are still backing tribes, the country is for every Kenyans the Lamu people should also go to kikuyus land and stay calm,

    • @manfuadhashim7236
      @manfuadhashim7236 Місяць тому

      The problem is they have been welcomed and they want to lead the indigenous people on their own land

    • @swalehthuku1507
      @swalehthuku1507 Місяць тому

      I'm akikuyu Muslim but I'm ashamed of his words.. Hana kichwa kizuri huyu apelekwe mathare hospital.

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 Місяць тому +3

    I lived among Kenya tribes 1963/1967 and really felt a party thereto. Pains me to hear such words, reconcile, please! A Muslim from Zanzibar

  • @christinenderitu5448
    @christinenderitu5448 Місяць тому +14

    God of Israel fight for Kikuyu's you created them Amen

    • @moisesmoises3276
      @moisesmoises3276 Місяць тому

      Amen

    • @mahmoodmohammed1679
      @mahmoodmohammed1679 Місяць тому

      God of ISRAEL didn't create us? He created only kikuyus?

    • @mcuedits5526
      @mcuedits5526 Місяць тому

      Amen

    • @pastorkaira2758
      @pastorkaira2758 Місяць тому +1

      God of Gikuyu as always will fight and win for his children the Agikuyu.

    • @Hashtag-g3u
      @Hashtag-g3u Місяць тому +1

      There is only one God for all of us who created us all equally .this thing of saying God of Israel is what some people power in genocide acts.Ngai wa kirinyaga is what you should say our ancestors believed in God even b4wazungus came with the Bible

  • @cazaofGod
    @cazaofGod Місяць тому +6

    In fact this man need to be told that Kikuyus are not only In lamu, they are all over the world dominating all other tribes in Kenya including ice land and antatica ukienda you will find kikuyu with a land full of ice. By the way does he know we kikuyu lives peacefully with everyone?

    • @bettyk9975
      @bettyk9975 Місяць тому +1

      That's BS go and try buying land in nyeri as a somali

  • @katrinanie9989
    @katrinanie9989 Місяць тому +14

    Look what ruto has done to our beautiful land

  • @StanleyMwaniki-m1f
    @StanleyMwaniki-m1f Місяць тому +18

    Ndio maana nyinyi mko na umasikini
    Let us come and show you how to make money and kenya is for all in all place
    We are proud to be kikuyu ❤

    • @fredoliech7308
      @fredoliech7308 Місяць тому +1

      These people are far much better than you bwana, your tribe are well known in wash wash businesses

    • @StanleyMwaniki-m1f
      @StanleyMwaniki-m1f Місяць тому

      @fredoliech7308 don't worry, we need money

    • @janemwirikia6817
      @janemwirikia6817 Місяць тому +1

      ​@@fredoliech7308which better waswahili kazi Yao ni ombea na kuuza mihadarati😂

    • @mcuedits5526
      @mcuedits5526 Місяць тому +3

      Blessed to be Kikiyu

    • @EddieGodo-b6v
      @EddieGodo-b6v Місяць тому

      You have no morals and you want Kenyans to bow to you?

  • @josephinemuringo2453
    @josephinemuringo2453 Місяць тому +16

    Are you even Kenyans? Mtarudi Zanzibar.

  • @lizk1244
    @lizk1244 Місяць тому +32

    Muslim is a religion there is alot of kikuyus who are Muslim 😂😂😂😂😂❤🎉

    • @saidhashi2856
      @saidhashi2856 Місяць тому +2

      Ndio nashangaa hata mimi... wapiganie haki zao kama waswahili lakini wasitumie jina la waislamu. Hio sio poa.

    • @kilokelly
      @kilokelly Місяць тому +2

      Even if you are a Muslim and your kikuyu hawakutambui😂 Religion of peace 😂😂😊

    • @saidhashi2856
      @saidhashi2856 Місяць тому +1

      @kilokelly
      Hiyo ni uwongo. Kila msikiti imejaa watu kila aina Kenya hii.
      Wale wanahasira tu.

    • @somowako8256
      @somowako8256 Місяць тому +2

      Wisdom detected ... exactly there are many Kikuyu Muslims huyu mzee anaongea shit

    • @hamniwezzi3665
      @hamniwezzi3665 Місяць тому +1

      @@saidhashi2856 Hawa hata ni waarabu

  • @informe2108
    @informe2108 Місяць тому +25

    Kikuyus will stay in Lamu whether you like it or not. Fanya vile unataka wacha vitisho baridi🤣. Si muanze vita mjue MUNGIKI vizuri. Kikuyus will colonize you in your own land like they have done in North Rift.
    Tumepigwa Eldoret na wakale but we still dominate them in every aspect of life in their own land. Kikuyus fought for the freedom you are enjoying and must be respected buana na si tafadhali!!

    • @rodrickluchetu7527
      @rodrickluchetu7527 Місяць тому

      Eti nini😂😂repeat it again,,,,

    • @BenjaminKashuru
      @BenjaminKashuru Місяць тому +2

      Ati Kikuyus are the only tribe that fought for independence??????are you sure of what you are saying???

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k Місяць тому

      Si waliuza mashambazao juu ya njaa zao 😅😅😅😅 wanyamaze wanatupigia kelele

    • @cazaofGod
      @cazaofGod Місяць тому +2

      Where was this man when our grandfathers were in the forest fighting for independence? 🤫

    • @Shawnpeter2024
      @Shawnpeter2024 Місяць тому

      Shungwaya is bantu land southern somalia tuliwaachia waminjikenda wapokomo sisi.tulitokea Yemen .sisi si watumwa waarabu nyoka nyeusi nyie

  • @felixmakinda7689
    @felixmakinda7689 Місяць тому +33

    Praying 5 times a day, but roho chafu kama fuko!

    • @BensonKamenju
      @BensonKamenju Місяць тому

      Fuko ni wewe ,

    • @GideonKohen
      @GideonKohen Місяць тому

      They only understand the language of bullets

    • @Ommywhity7
      @Ommywhity7 Місяць тому

      Ibada na hii siasa nitofauti pumba ww abawox kindhiri ww

    • @stanowacabros9244
      @stanowacabros9244 Місяць тому +4

      😂😂😂😂ukweli kabisa. Roho mbovu, chafu kundu yeye

    • @bobysimpson
      @bobysimpson Місяць тому +1

      Kamati ya roho chafu

  • @DaudReece
    @DaudReece Місяць тому +66

    Nyinyi waarabu rudini Arabia, Kenya ni taifa us watu Weusi.🇰🇪🇰🇪

    • @simonkamau8145
      @simonkamau8145 Місяць тому +3

      Warudi Saudi

    • @benjaminmunyao4301
      @benjaminmunyao4301 Місяць тому +5

      Huyu arudi uarabuni

    • @halimamistri8638
      @halimamistri8638 Місяць тому +3

      Munaitanga watu warabu saaile mumekuja kwao kuchukuwa mashamba yao coast ni warabu nyinyi murudi kwenu baara hamna bahari.

    • @DaudReece
      @DaudReece Місяць тому

      @@halimamistri8638 Africa Kwa jumla ni Eneo La Watu Weusi. Waarabu Kwao ni Arabia, coast ya Kenya Watu natives pale ni Kina mijikenda na Taita ambao ni Bantu's Watu Weusi. Sijawaskia wakilalamika, Lakini waarabu wameleta Shida na Kwao no Arabia.

    • @DaudReece
      @DaudReece Місяць тому +2

      @@halimamistri8638 Coast ni ya Kina Taita na Mijikenda, Hawa Warabu wanaleta Kisirani Nchi LA Watu Weusi, Warudi Kwao Arabia.

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 Місяць тому +3

    I'm from LAMU....lakini kama mkikuyu amenunua shamba, lamu apo sioni shida yoyote ni biashara willing seller,willing buyer,win win situation....na sijaskia mkikuyu mbajuni yeyote akilalamika kuwa kuna mkikuyu amemuibia shamba, meaning that wameuza wenyewe,...

  • @MrAloncyo
    @MrAloncyo Місяць тому +51

    This is dangerous politics, 2007 pia tulianza hivi,

    • @vanessakagotho7155
      @vanessakagotho7155 Місяць тому +2

      Exactly....and what's sad,it's the elderly wanaeneza chuki....

    • @abdallahngwale7158
      @abdallahngwale7158 Місяць тому +2

      Si nyinyi mnamshangilia Gachagua

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 Місяць тому +2

      Only Coast people get him, you can't relate when intruders invade your home and try to rule you in your own homeland inauma kusema ukweli

    • @ngashjr
      @ngashjr Місяць тому

      ​@@earlybird5647 Rule you..... Nah... More like do better in life than you

    • @Don.Aw6752
      @Don.Aw6752 Місяць тому

      ​@@abdallahngwale7158how do you forget your tribal king duale

  • @Kimtaaonline
    @Kimtaaonline Місяць тому

    Well said maalim.....❤❤❤❤
    Wakikuyu wanajifanya kama Kenya ni yao wao wakieka vikao na kuongelea mambo yao ya mlima Kenya kama wakikuyu kuna ubaya gani watu wa Lamu wakieka vikao vyao na kujijadili future yao kama wao wenyeji wa lamu na kama waislamu...
    Ivi ushaona wapi huko mlima kenya kuna kabila la pwani limepewa sehem na serikali wapewe hadi title deeds na kukabidhiwa mashamba kiujanjaujanja....
    Shame on corrupt kenya leaders for dividing the country in tribal secs...

  • @annegraceatwork8616
    @annegraceatwork8616 Місяць тому +6

    IF IT WAS RIGATHI OR A KIKUYU TALKING LIKE THIS HE WOULD BE ARRESTED WITHIN 24HOURS AND CALLED TRIBALIS!"RUTO WILL USE ANY OPPOTUNITY TO FIGHT MULIMA THIS ARE NOT REAL MUSLIM ´S THIS MUSLIMS ARE COMPROMISED "RUTO SPEAKS NANDI TOO SO WHY BLAME RIGG FOR TALKING KIKUYU? SHETANI ASHINDWE

  • @marthandungu8948
    @marthandungu8948 Місяць тому +2

    Proud to be born in Central,full of wisdom

  • @stepheng7716
    @stepheng7716 Місяць тому +8

    This must be revisited... with action and by the law if the land.

  • @benguriongurions6586
    @benguriongurions6586 Місяць тому +13

    Christians wake and pray for Christians in coast and more lamu cos now is not about Kikuyu but religion of Islam against Christianity in kenya

    • @crispuskasanga8487
      @crispuskasanga8487 Місяць тому

      Religion of peace😂

    • @Abun70242
      @Abun70242 Місяць тому

      Don't blow things out of proportion. I'm a proud Kikuyu Muslim, this is not lslamic teaching.This is cheap politics meant to please his people.

    • @SimonMuasa01
      @SimonMuasa01 Місяць тому

      Yes, but first, let's get rid of Ruto and all those false clergy who lied to us that Kenya Kwanza was going to form a Christian country, they are the sole reason why most youths don't go to church, and it's time we leave this tribal stupidity and think internationally like supporting Israel and Trump just like the way our Christian brothers in America do.

  • @bettykaguri2904
    @bettykaguri2904 Місяць тому +26

    Shame on You

    • @rosemuthoni8109
      @rosemuthoni8109 Місяць тому +1

      Yes

    • @saidhashi2856
      @saidhashi2856 Місяць тому

      Azoee mapema. Waislami ni Wakikuyu pia. Wapiganie haki yao kama jamii ya waswahili.

  • @mercygitonga4664
    @mercygitonga4664 Місяць тому +18

    Nyinyi waislamu mumejenga miskiti mpaka nyeri...murang'a...karatina....huku si kwa wakikuyu?
    Mzee wewe umelipwa!

    • @mariamwangara3786
      @mariamwangara3786 Місяць тому +2

      He is just using Islam to elicit an emotional reaction. He is just being tribal which is really pathetic.

    • @DNC55-v2j
      @DNC55-v2j Місяць тому +2

      Imagine that ! Uyu hajui we are tolerant, maybe we should rethink

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому

      ​@@mariamwangara3786He isn't using Islam. He is taking the truth about tribalist from central who invade our land and at the same time wants to rule us. That's unacceptable.

  • @mariamwangara3786
    @mariamwangara3786 Місяць тому +6

    What a shame!!! Asiingize uislamu hapo...pure hatred!! To think that he is an elderly person...🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️

  • @anthonymwithaga
    @anthonymwithaga Місяць тому +5

    Stop dragging religion into your own failures. NCIC must take action against this rouge person.

  • @erickochollah8626
    @erickochollah8626 Місяць тому +4

    Huu upuzi utaisha tu siku moja. Sasa ukabila ama dini lapigwa vita?? Mvi mnayo ila akili yakufiria kuwa maneno mnayoyaongea husababisha vurugu baini ya makabila na dini kwa jumla. Kanisa likijengwa lakuuma na Masjid ulijengwa je? TUEPUKANE NA WATU KAMA HAWA WAKENYA!! KENYA NI YETU SISI WOTE.

  • @davidotieno7275
    @davidotieno7275 Місяць тому +6

    This is poisonous to the peace and stability of Kenya be careful with such HATE SPEECHES . ASK RWANDESE WHAT HAPPENED IN RWANDA

  • @twirrerThuita
    @twirrerThuita Місяць тому +7

    The irony he finishes with Salaam alaikum, peac upon you, after preaching tribal hatred

    • @GideonKohen
      @GideonKohen Місяць тому +4

      That's why we should support Israel fully

    • @FearlessAfrican
      @FearlessAfrican Місяць тому +1

      @@twirrerThuita It looks like the word peace have many definitions.

  • @drcnkariuki
    @drcnkariuki Місяць тому +3

    The drums of war has started sounding early

  • @DavidKinuthia-x2n
    @DavidKinuthia-x2n Місяць тому +15

    I.C.C should mark this kind of leaders who are ready for tribal animosity and clashes among pple.

    • @Mrm84
      @Mrm84 Місяць тому +2

      Thus is a ticking time bomb!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Real hate speech.!

    • @GideonKohen
      @GideonKohen Місяць тому

      ICC is an Islamic entity..

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому

      Don't forget that pwani si Kenya. Stay away from other people's land and you won't hear this kind of rhetoric

    • @collinsmwangi2079
      @collinsmwangi2079 Місяць тому

      ​@@hassanalhussein3982mmejaa Nairobi nyinyi Somali refugees ata nyinyi mrudi kwenu

    • @omunilihanda2238
      @omunilihanda2238 Місяць тому

      Mjipange

  • @chibbodangote
    @chibbodangote Місяць тому +19

    THIS IS TRIBALIST AWA WAISLAMU WATOKE KENYA BANA

    • @somowako8256
      @somowako8256 Місяць тому

      You are very stupid this man's verbal diarrhea is not what all Muslims stand for so stop this nonsense ur spewing unnecessary venom

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому

      Pwani si Kenya. Nyinyi ndio mutoke kwetu murudi kwenu Kenya

    • @pro-Russia
      @pro-Russia Місяць тому

      ​@@hassanalhussein3982kwendeni huko mumekuja juzi wakati wa slave trade mnadhani nyinyi ni wenyeji? Hakuna Mahali mkikuyu anaenda

  • @smuthonimk7861
    @smuthonimk7861 Місяць тому +18

    Why is he speaking in his mother tongue, he should be speaking English if he doesn't want Kikuyus to speak Kikuyu. Kana atîa mani😂😂😂

  • @kiungakk
    @kiungakk Місяць тому +24

    This is inflammatory. Not needed in the current Kenya nation

  • @andrewchege1224
    @andrewchege1224 Місяць тому +8

    Tembea Muranga uone tuko na Kijiji Cha waislamu na Shule kubwa ya Uislamu na madrasa bona hawafikuzwi?, usitumie dini kwa mambo yasio.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 Місяць тому

      huja waelewa hawajasema shule wa dini wanaongelea mamulaka serekalini ...acheni kufafanua maelezo kitafauti

  • @patrickshikolishikoli940
    @patrickshikolishikoli940 Місяць тому +4

    Wewe ni mwarabu Rudi Yemen ikiwa wataka hivyo. Kenya ni ya watu wote ambao Wana uzalendo

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Місяць тому +2

    Yes tell them the true ahsante sheekh kua mstari wa mbele kutetea uislam kwetu lamu

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Місяць тому +8

    Alisema ukweli ni ukabila lkn wanao TETEA MLIMA hamkuwasikia?Kwa kweli Kila jamii Ina kwao yaani makazi asilia ,na waamu kwao ni lamu.mbona garisa haijawahi CHAGUA hata MCA wa jamii ingine.

    • @FearlessAfrican
      @FearlessAfrican Місяць тому +1

      Kamukunji walikataa kusimamisha Mkikuyu wakaachia Wasomali.

    • @Twigars
      @Twigars Місяць тому +1

      ​@@FearlessAfricannilikuwa kwa hiyo meeting tukaombwa tusichague mbugua the chairman to hawkers by then ,the mp msomali alipewa kiti roho safi ....

  • @EzekielKagunda
    @EzekielKagunda 22 дні тому +1

    Namnapia huyu mchenzi makofi...tutakuoza nyanya mkikuyu wa age Yako akunyooshe huo mdomo

  • @jepeuxautoworld4769
    @jepeuxautoworld4769 Місяць тому +4

    Dunia ni mapito mzee KUISHI NI MAPENZI YA MUNGU.

  • @omaromy3056
    @omaromy3056 29 днів тому

    As a kenyan muslim love my kikuyu brothers regardless of how

  • @brianwilly5619
    @brianwilly5619 Місяць тому +8

    Need to be arrested wth immediately effect plz!! Gover where u????

    • @novicasimovic7973
      @novicasimovic7973 Місяць тому

      True this guy need to be arrested this total nonesene

  • @Davidonyango-qx9et
    @Davidonyango-qx9et Місяць тому +2

    Why they pick on only kikuyus? There must be a problem

  • @annekamau8578
    @annekamau8578 Місяць тому +29

    Mzee mkubwa huyo hana haya ni chuki tu. Sijaona Muislam na chuki kiasi hicho😭😭

    • @saidhashi2856
      @saidhashi2856 Місяць тому

      Wakona shida kama Waswahili lakini anatumia jina la Waislamu wote.

    • @hamniwezzi3665
      @hamniwezzi3665 Місяць тому +1

      Hauwajui vizuri Waarabu wamejawa chuki.

    • @JumaWanyonyi-b1y
      @JumaWanyonyi-b1y Місяць тому

      Mmefikiwa

    • @Mrm84
      @Mrm84 Місяць тому

      Mungu anasikia. Is this what Islam teaches you mzee? Such deep hatred.

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi Місяць тому +2

      Wakikuyu nyinyi pia mtuache kubakia miji ya watu na huko central hamtaki makabila mengine

  • @margaretandalo7834
    @margaretandalo7834 Місяць тому +2

    Is not about religious this is political issues.

  • @samuelkamau3147
    @samuelkamau3147 Місяць тому +6

    Sasa yeye ndio analeta tribalism
    Wakikuyu wamemeet just for less than 2 months wanaita tribalism lakini raila akiita wajaluo hizo miaka zote hio ni kutetea haki

  • @josephmetu7191
    @josephmetu7191 Місяць тому +2

    I saw negative comments attacking this man but in context of Kenya he is right even Gachagua was defending his community by his unpopular opinions of "one vote one shilling" which aimed benefiting his community leaving behind the marginalized people.

    • @omarshaban4830
      @omarshaban4830 Місяць тому

      Very true...... most of Kenyan only understands how to speak fluent English to support this stupid thing called tribalism in there communities but not in coast regions ....and thinking they are doing much better.....while busy ignoring reality of a divided country under tribal bases....

    • @mwangimbuti1078
      @mwangimbuti1078 Місяць тому

      Was it applying in Mt Kenya only? Stop misleading the public.

    • @KITCHENTV-dw9gs
      @KITCHENTV-dw9gs Місяць тому

      Did he tell any tribe to leave central Kenya

    • @SimonMuasa01
      @SimonMuasa01 Місяць тому

      This guy deserves to be treated like Gachagua, wachukuwe hivo viti wampige.

  • @kagamedimaria4787
    @kagamedimaria4787 Місяць тому +5

    Hawa watu warudi kwao Oman 🇴🇲 ghasia nyinyi

  • @abdiwahabahmed945
    @abdiwahabahmed945 Місяць тому +1

    Interesting when lamu bajunis are given chance to work they are not performance just nagas.we are all Kenyans use your vote to choose your potential leaders.

  • @lucieahkarugah4810
    @lucieahkarugah4810 Місяць тому +6

    Uchochezi na mnapiga makofi, kuna wakikuyu waislamu pia

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 Місяць тому

    Tumshukuru sana Nyererw kwa kuindoa aina hii ya matabaka Tanzania

  • @user-tiki22
    @user-tiki22 Місяць тому +8

    Ukabila umeanza under Ruto regime. And I say so because he can’t arrest them

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому +1

      Ukabila ulianza kutoka Jomo Kenyatta

    • @user-tiki22
      @user-tiki22 Місяць тому

      @ usiniletee

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому +1

      @@user-tiki22 Nisikuletee Nini? Huo ndio ukweli

    • @user-tiki22
      @user-tiki22 Місяць тому

      @@hassanalhussein3982 haijathibitika especially if is coming from you. Fake news propaganda tu

    • @Davidonyango-qx9et
      @Davidonyango-qx9et Місяць тому +1

      Kenyatta the father started Tribalism

  • @bigrockbigrock8789
    @bigrockbigrock8789 Місяць тому +1

    Kenyatta displaced many people in coast region and replaced with his tribes men, historical injustice

  • @peterndungu3615
    @peterndungu3615 Місяць тому +3

    This is what Kalenjins did to Pallavi Mishra because he wasnt a Kalenjin. The guy used to help the community (scholarships, employement). They voted for mtu wao, a burukenge mwenye hawasaidii...Acheni ujinga.

  • @peterwambugu5139
    @peterwambugu5139 Місяць тому +4

    Hata nyinyi mrudi yemen

  • @calvinowino569
    @calvinowino569 Місяць тому +3

    This man should be arrested for spreading tribal hate and religious intolerance

  • @samuelmugo2824
    @samuelmugo2824 Місяць тому +18

    That will not change our minds 2027 ruto must go home

    • @emmanuelsang7885
      @emmanuelsang7885 Місяць тому

      Nani hana kwao

    • @samuelmugo2824
      @samuelmugo2824 Місяць тому

      @@emmanuelsang7885 sugoi is a must 2027 wacheni vitisho baridi

    • @JumaWanyonyi-b1y
      @JumaWanyonyi-b1y Місяць тому

      Pia ruto na wakumwakilisha mmefikiwa

    • @JumaWanyonyi-b1y
      @JumaWanyonyi-b1y Місяць тому

      Wakikuyu mmefikiwa

    • @petermachoka2977
      @petermachoka2977 Місяць тому +2

      I am not a kikuyu but nyi wasomali mjaribu kuwaguza. Tunawaona sana na hiyo dini ya terrorism

  • @EphantusTalia
    @EphantusTalia Місяць тому +3

    Wah bona central kuna waislamu wamechaguliwa, tena kuna mosque na huwezi sikia utoto kama huyu... Aki huyu ni baba ya mtu surely.

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v Місяць тому +1

    Mombasa,lamu ni sehemu ya dola ya ZANZIBAR,muingereza mkoloni ,ameipa kenya kwa hila ,tunataka ,lamu,mombasa,mafia zirudi NEW ZANZIBAR STATE

    • @Wuod_Lou
      @Wuod_Lou Місяць тому

      Hio ni ndoto,Amka utakojoa.Coast iko KENYA kwa sasa,Mngeungana kabla ya independence

  • @VirginiaMuthoki-wt6ig
    @VirginiaMuthoki-wt6ig Місяць тому +5

    Mpeketon was big bushes the land was idol only animals lived. Watu Wa Lamu were on the island. Mpeketon Sio Lamu. Leave Kenyans there

  • @JesusisKing254
    @JesusisKing254 Місяць тому +32

    Sasa Ruto anatumia waislamu kupiga watu wa kanisa na wakikuyu ama what is happening.this guy should be arrested .... preaching division anybody can stand anywhere its the votes that matter huyu ni mjinga wa mwisho...junet anasimamia watu wa nyanza and he was voted in what's the problem?? None....

    • @petermuiruri2687
      @petermuiruri2687 Місяць тому

      This Muslim leaders should take care what he is talking about

    • @HamdiHamdiAbdi
      @HamdiHamdiAbdi Місяць тому +2

      Ni kama gachagwa tu kwa watu wa mlima atiwe yeye ndani kwanza

    • @anneekiru5071
      @anneekiru5071 Місяць тому

      Incitement

    • @LeahKaruga-f3v
      @LeahKaruga-f3v Місяць тому

      Ndio maana mkawachinja kama mambwa, mnafic ww wauwe tena kama kuna damu umeitishwa na huyo unae mwabudu, waingiza dini sasa

    • @RakimAziz-n6r
      @RakimAziz-n6r Місяць тому

      Jinga wewe na bado

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 29 днів тому

    Kenya 🇰🇪 ukabili unawatafuna sana . Tanzania 🇹🇿 Wamewazaje....😢😢😢

  • @josephmwaniki6414
    @josephmwaniki6414 Місяць тому +17

    This man should be in jail where is the government

  • @rajumrecords711
    @rajumrecords711 Місяць тому +1

    Mpeketoni Kikuyus, Kwale Shimba Hills wakamba... Better have this conversations coz Coasterians are not tribal . They have their own preferences.

  • @mohamedabdirahman74
    @mohamedabdirahman74 Місяць тому +3

    The country with no leader

  • @Sijambo
    @Sijambo Місяць тому +2

    Msilaumu huyu mzee ,amesema ile wamrpangs . Kutumsliza sisi wakikuyu kwa vile hao ndiyo wanaogopa sana , baadaye kumaliza wakristu . Mungu wetu hatakibali . Wakikuyu ni kama wayahudi . Utawachukia naye Mungu anawapenda zaidi .pole kwako na wenye nia ka yako .

  • @peternjihia977
    @peternjihia977 Місяць тому +3

    Usilete ujinga Kenya si ya Arabs ama Somalians. Wewe unakaa alishabab

  • @MohamedKindambaAdjussah
    @MohamedKindambaAdjussah 26 днів тому

    Praying 🤲🏾🤲🏾🤲🏾 to 🇰🇪

  • @leonardshello3247
    @leonardshello3247 Місяць тому +4

    Huyu si mkenya bali ni mwarabu tena mchochezi na anastahili awe jela.

  • @levite16
    @levite16 Місяць тому +2

    This person should be arrested, immediately. Lamu is Kenya and every kenyan anauhuru wa kuishi popote, kuna mutaa keruu umejaa waisilamu. Your so immature in politics.

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M Місяць тому +5

    Wewe hebu toa waisilamu kwa mdomo wako wala sio uisilamu kabisa Dini hatuna ukabila ..we are al kenyans tiga wanaa wee mm mkikuyu muisilamu kutoka kiambu na naishi Mombasa.. na hatutoki ng'o

    • @saidhashi2856
      @saidhashi2856 Місяць тому

      Mwambie ukweli.. huyu mzee anachuki sana.
      Ni sawa kusema shida zako lakini sio kutumia jina la Waislamu.

  • @talaisimba3425
    @talaisimba3425 Місяць тому +2

    Kenyans have a right to live anywhere they want. This guy is a fool.

  • @fredrickkilonzi3180
    @fredrickkilonzi3180 Місяць тому +9

    Don't incident people pliz Kenya n yetu zote

  • @suleimanjannabo313
    @suleimanjannabo313 Місяць тому +1

    This is very true, all Kikuyu have land documents, we don't have any land documents, farmlands, beachlands belong to them. No, Swahili has land documents.

    • @joynewton
      @joynewton Місяць тому

      A big lie. Most land titles are with the waarabu. A wise investor will go for a property with title not allotment letters. Period

    • @DNC55-v2j
      @DNC55-v2j Місяць тому

      @@suleimanjannabo313 This is the type of myth that will bring us problems. Kikuyus aren't better off than any other Kenyan but Ruto has decided to take us the Rwanda route . It's ok.

  • @fredrickkinyua346
    @fredrickkinyua346 Місяць тому +4

    Dci should arrest this man

  • @amedeogikonye4694
    @amedeogikonye4694 Місяць тому +1

    The tribal seed Gachagua is planting is bearing fruits.

  • @dynamicdestinyacademy9384
    @dynamicdestinyacademy9384 Місяць тому +3

    And so Somali want to take over kenya sad state of the nation...😢😢😢😢😢😢

  • @mosesndegwa-wo3sz
    @mosesndegwa-wo3sz Місяць тому +2

    They will be loosers.Wacha waanzishe vita lamu watajua hawajui.Nyinyi waraabu niwakukuja.mlitoka gulf.

  • @davidwaini5911
    @davidwaini5911 Місяць тому +6

    If not arrested then kenya is unfair state.Kenya belongs to all.Dont be tribal.

  • @margaretngunjiri9049
    @margaretngunjiri9049 Місяць тому +1

    The kingdom of THAYU IS ON THE WAY. Huyo mzee atabaki peke yake na chuki zake. THAI THATHAIYA NGAI THAI. NOITHUI TWARIKWO NA TWIKUO.

  • @naominafftali3874
    @naominafftali3874 Місяць тому +3

    What if others do the same😮 please this place called kenya is a peaceful country hatutaki ukabila

  • @WilliamblackwoodKenafric
    @WilliamblackwoodKenafric Місяць тому +2

    NYINYI NA DINI YA UISLAMU..HIYO SIO YA KENYA..NYINYI WAARABU KWENU SIO LAMU..KWENU NI UARABUNI..PACK AND LEAVE WAJINGA NYINYI.

  • @kamaugitogo5461
    @kamaugitogo5461 Місяць тому +11

    Uchochezi Na uongo mzee

  • @crispuskasanga8487
    @crispuskasanga8487 Місяць тому +2

    Hii nugu ikamatweb mara moja iwekwe ndani.Ukabila umepitwa na wakati.Mimi ni mkamba na ukambani kuna wasomali,wagikuyu na makabila mengi ya wakenya.we need peace.ukabila huu umepitwa na wakati.

  • @judythiongo3502
    @judythiongo3502 Місяць тому +3

    Haturudi! jinyonge nani! we are here to stay nyinyi ndiyo mutahama

    • @AhmedMulusa
      @AhmedMulusa Місяць тому

      Si mtachomewa kwa manyumba

  • @kiharathechairman2192
    @kiharathechairman2192 Місяць тому +1

    Huyu ni mwendawazimu,,,hatutoki lamuuuu

  • @Fagiolachuma-gc1pl
    @Fagiolachuma-gc1pl Місяць тому +19

    I can't believe he just said all that crap, tribe, religion !!!

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Місяць тому

      Even masai in Narok said the same thing. Why only people from coast shouldn't say it?

    • @missc5119
      @missc5119 Місяць тому

      @@hassanalhussein3982 and they were condemned for it. if that is the case kila mtu arudi to "their respective" regions.

    • @collinsmwangi2079
      @collinsmwangi2079 Місяць тому

      Ata nyinyi waidlamu mtoke Eastleigh basi​@@hassanalhussein3982

    • @omunilihanda2238
      @omunilihanda2238 Місяць тому

      ....he's right. Inauma huh?

  • @ngothoalex
    @ngothoalex Місяць тому +1

    This stupid man need to be arrested,we want a change in Kenya not tribalism..kwanza rudi kwenu uarabuni..

  • @BagambiMukhtaary
    @BagambiMukhtaary Місяць тому +6

    Toa ujinga.usiingize waislam kwa siasa

  • @nunyabizactually6928
    @nunyabizactually6928 Місяць тому +2

    Uzuri ni kwamba internet never forgets✅N TJRC kama bado iko na wale wa kuangalia uchochezi should take this seriously