Kwani Nini hizi interview zinawaumiza nyuma mwiko? Yaani wanaumia unatamba na mchezaji Ambae hakuwa kwenye mipango ya Simba ,mchezaji hatakiwi mkataba umeisha timu ilishafanya maamuzi ya kumuacha halafu watu wameokota jallalani halafu wanajisifu
Mbona maelezo ni mengi sana? Kwa sisi watalaam wa Philosophy hio ni dalili mbaya sana ya kiwango cha maumivu ambayo mtu ameyabeba, anaweza kujiua 😂😂😂😂😂😂
Yaani tatizo la madunduka linaanzia hapa kwa huyu mzee Masatu, ila nawaombba msiseme tena hamuataki viongozi wenu matakapokumbana na kono la nyani tena
Ndo shida ya kushabikia timu ndogo Simba imekukanda 5 bila imekukanda 4 kwa 1 na kukutoa kombe la FA imekukanda 6 leo unaongelea goli 5 kwa 1 sisi wanasimba tunakuona mpira umeanza kufuatilia mwaka jana maana shabiki wa Yanga anayejua vipigo vya simba hawez ropoka eti kono la nyani kweli utopolo wenye akili wawili
Mzee said
Eti Ayoub 20 last year 17 nimeona mzee Masatu kawa Kisugu anasifiq sana😅😅😅
Gambaa umemukubusha ukamdaka mzee Et unatupa jezi tu duh😅😅😅😅
Chagamba tupeleke kwa mzee saidi
Huyu mzee siyo mtu wa mpira bora mzee said
Gamba mtafute mzee said
Huyu mzee ndio atakufa tilipu hii kashaaid kua mungu amchukue😊
Haya maneno gamba yaricord mwisho aa siku wanalumbana wachezaj hewa
Ila huyu mzee😂😂😂😂
ni heri mzee SAID kulikoni huyu yy ni kusifia tu nakuahaid mambo mengii halafu ya uchonganishi
Mzee masatu pole tabu iko palepale
Uku sahih mzee
Mkeeka mada mzungumzie mm nimefungu bada kuona mada ya fei toto
😂😂
Faster Bana.....
Huyu mzee masatu hajielewi 😂😂😂.
😂we Mzee mdomo utakuponza
Chagamba mtafute mzee saidi
Amiin inshaallah
❤
Chagamba lete vitu😅😅
Duuh
Xavi mtupu
😂we Mzee mdomo utakuponza 17:39
Simba nguvu moja
Duuuuh
😂😂
Mzee Masatu polepole saa 7:00 hii wengine watasahau njia za kwenda kwao.
Mzee chunga mdomo wako watoto hawalali na PESA tutakukumbusha maneno yako
MATOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂😂
Washauri viongozi why mnatuma maombi ungesema mnataka yanga
Mzeee anaanza ugua akili sasa
Uyo mzee ata uguwa siku moja
Changamba mwabia you mzee apuguze maneno itamkositi yanga mbigwa tena
Ww sio. Kwawachezaji awa labda muwaloge
Yanga kuwa bingwa msimu ujao labda mpungunze usajili sahivi muweke akiba fedha za kununua mechi za kutosha ligi kuu ili mtoboe ubingwa
Nenda darasan ten
Jitaidi uwe unajitambua kama Mzee saidi mshabiki wa waukweli we unakulupuka kama msemaji wenu
Hata wewe Mzee masatu ukifa utasahaulika watasahau mdomo wako
Mzeee muongo huyu
Mzee hilo domo litakuponza pamoja na uchawa wako huo shauli yako mm Niko pale nakusubilia
HUYU MASATU COMEDI CHAGAMBA ÀCHA KUMHOJI CHOCHOTE MLOPOKAJI TU MZEE SAIDI NDO MTU WA MPIRA
Kwani Nini hizi interview zinawaumiza nyuma mwiko? Yaani wanaumia unatamba na mchezaji Ambae hakuwa kwenye mipango ya Simba ,mchezaji hatakiwi mkataba umeisha timu ilishafanya maamuzi ya kumuacha halafu watu wameokota jallalani halafu wanajisifu
Mbona maelezo ni mengi sana? Kwa sisi watalaam wa Philosophy hio ni dalili mbaya sana ya kiwango cha maumivu ambayo mtu ameyabeba, anaweza kujiua 😂😂😂😂😂😂
HATA MAFISI MBUGANI SIMBA AKISHAKULA NYAMA MAFISI YANA SHEREHEKEA KUPATA MIFUPA 😂😂😂😂 MATOPOLO MACHOGO MAFISI FC 😂😂😂😂😂 MAFISIIIIIIIIIIII
@@captainmligotv3478MACHOGOOOOOOOOO MAFISIIIIIIIIIIIIIIÌI 😂😂😂😂😂😂 MAFISI FC
Tatizo unamuhoji mtu mwenye muhemoko ndomana kipindi chako hakinogi
ULIZWA WEWE KINOGE 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
Yaani tatizo la madunduka linaanzia hapa kwa huyu mzee Masatu, ila nawaombba msiseme tena hamuataki viongozi wenu matakapokumbana na kono la nyani tena
Kwani kono la nyani limeumbiwa Simba tu😂😂😂
Ipo siku kitawakuta
Kaa wewe boya wa msukuleee
Kakojoe ukalale uko utopoloni
TULIWAPIGA 6 KONO LA NYANI NA KIMOJA MNACHO MKUNDUNI MPAKA LEO 😂😂😂😂 MATOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
Ndo shida ya kushabikia timu ndogo Simba imekukanda 5 bila imekukanda 4 kwa 1 na kukutoa kombe la FA imekukanda 6 leo unaongelea goli 5 kwa 1 sisi wanasimba tunakuona mpira umeanza kufuatilia mwaka jana maana shabiki wa Yanga anayejua vipigo vya simba hawez ropoka eti kono la nyani kweli utopolo wenye akili wawili
Hata mwaka jana mlitamba hivi hivi wakati wa usajili lakini mwisho wa ligi mkabahatika kuongeza jina lingine tetesi fc aka danadana fc
MATOPOLO MACHOGO MAFISI FC 😂😂😂😂😂 ENDELEA KUFURAHIA MIFUPA 😂😂
Mdomo mwingiiiii, vitendo zero
Ukisha ona wazee kama huyu anashinda kijiweni,jiulize maswali! He talks rubbish only!
AMESTAAFU ANAKULA RAHA ZAKE WEWE TEMBEZA MITUMBA MITAANI 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂
Washabiki wa Simba huo usingizi wa pono hutawaisha lini? Au kudanganyana ndo wimbo wenu
USINGIZI WA PONO MLILALA NYIE MIAKA 26 MEAMKA JUZI TU 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
😂😂
Jitaidi uwe unajitambua kama Mzee saidi mshabiki wa waukweli we unakulupuka kama msemaji wenu
KULUPUKA NDIO NINI?? MATOPOLO MACHOGO FC FC WEWE 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO