Miraji wewe unafaa kuwa mchambuzi huna ushabiki panapo takiwa kuongea ukwel unasema tofauti nawoo sijui bahasha ndio zinawafanya wasiwe wakwel Sana mwamba SIMBA nguvu Moja my brother
Chagamba kaa ukijua MOI hawarudishii mabega yaani total shoulder replacement. Sasa pole pole huyo Bwana anavyokugonga kwa nguvu mabegani aaah shauri yako.
Chagamba mzee saidi hatujamuona muda sana
Interview mlikuwa mnafanyia ukutani saizi ni sehemu moja hivi imejaa matangazo balaa ,hongera chagamba na miraji kwa kudaka madili
Wote wenye kumuulizia mzee saidi, chagamba yuko saba saba na mzee saidi yuko kwenye mishe mishe zake❤
Chagamba umechoka kupigwa makofi 😂😂😂😂😂 umeona isiwe tabu ukatafuta kijiwe kizuri nice bro
Aisees nimesachi sana mzee saidi bila mafanikio chagamba vpeeee yupo wp huyo mzee bhana kwa usajiri huu wa mnyama sijamsikia
Mimi nimekuwa mwana finest online kwa sababu Mzee Saidi na Miraji ila hasa hasa Mzee Saidi
Chagamba tupeleke kwa mzee saidi maana hatujamuona siku nyingi sana😅😅😅
Umejua jinc ya kuyakimbia makof ya mraji Ni kumutafutia kit😂😂😂😂😂😂😂
Simba nguvu moja💥🔥🔥
Pamoja Sana familia hamjawahi kuniangusha
miraji uchambuzi kasomea wapi? Kwasababu ana pwent sai😊
Miraji wewe unafaa kuwa mchambuzi huna ushabiki panapo takiwa kuongea ukwel unasema tofauti nawoo sijui bahasha ndio zinawafanya wasiwe wakwel Sana mwamba SIMBA nguvu Moja my brother
Mimi naweka ndani ya begi maneno yako ayo saa mbovu 🤣🤣🤣🤣🤣
chagamb iko kijiwe cio iko tuxhazewe mukicimama na miraji uk hakikupiga makofi kwenywe mabega, ndo inakuwa frexh2
Haha dah sema chagamba kama mabega hujayakatia bima itakula kwako maan anapiga mabega na nguvu zote
Nimecheka kinoma et unavo mpiga piga
😂😂😂acha apumzike bhn Saba Saba ikiisha mabega yatakua yashatulia kidogo na ligi ianze ata pigwa sana
Mjifunze kusoma na kuandika kabla ya kutoa maoni
We ukiwa unawasikilizagaa unakaa ama unasimama
Nakuelewa sana miraji unaongelea mpira na sio ushabiki jmn ndugu zangu tukamfollow kwa wingi
Namkubali sana mwamba uyo udambuzi wake
Aaaha wapi Mzee Said??? Yule anajua anajua sana
Yani miraji bana et "hakuna noma" Umenichekesha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
Matola mbna amumzungumzii
anaitwa nouma sio hakuna noma😂😂😂
UYO MIRAJI ANAMUITAJE HAKUNA NOMA WAKA KIJANA NDO NOMA YENYEWE, KAMA HAKUNA NOMA SI MANAKE HAKUNA MAKALI YOYOTE
Mwananchi
Mzee Said yuko wapi jamn😢
Ww chagamba tupe Mzee saidi bana
Changamba umeamua kukaa ili upumuwe kidogo Yale makofi eti 😂😂😂 ila mzee wangu said Bado changamba atupe rahaaa
Miraji na chagamba ila mnanipaga raha sana ila miraji hua unachambua mpila vizuri sana huna makandokando bg up sana mwamba
milaj nakukubari sana
Shabalala asije kumroga mwenzake
Kabisa
Namba ya miraji ama chagamba tafadhali
❤
Mirajiii bhn kumbe mutuuu 😂😂😂😂😂😂
Kramo yupo jamani
Mzee said yupo wapi chagamba
Kikubwa zifanyike Dua tu Kwa wachezaji Hawa waliosajiriwa Hakka Kuna vitu vikubwa vinakujaaaa
MAKOLOOOOOOOOOOO 😂😂
Chagamba unazingua nenda kwa mzee said
Leo memkaa pazuri😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee saidi yuko wapi chagamba😭
Chagamba kaa ukijua MOI hawarudishii mabega yaani total shoulder replacement. Sasa pole pole huyo Bwana anavyokugonga kwa nguvu mabegani aaah shauri yako.
Mzeeee said wapiii mbn hatumuoni 😢😢😢😢
Sipati picha awepo Mzee Said, Milaji mala moja, na Chagamba 😂😂😂 sijui itakuahe sikuiyo. Milaji mala moja nawapata kwa udhuli nikiwa kongo koroweizi
Nkubal @miraji
Chagamba nakubali wananguu
Chagamba please tuletee mzee saidi nawafatilia nikiwa dubai
Chagamba tunamuomba mzee said
Chagamba mlete mzee saidi sasa ili tucheke jamaniii maana azizi ki yupo Kwa makolo 😢 😂
Naomba kuungwa kwenye group la simba changamb
Si tusiokuwa maarufu tunasubiri liggi ianze tuone
Leo chagamba makofi hajapigwa sijapenda kabisa😂
Familia mzee said yup wap talifa za ki amezipokeaje
Chagamba watu tumetoka Shinyanga au Kigoma huko tunatafuta banda hata tuwasalimie hata simu hupokei . Sisi ndio familia ujue sio poa
Chagamba mkisimama ndiyo maongezi yanakuwa na mzuka! Ukipigwa pigwa kidogo
Chagamba tume miss kuona unapigwa mabega
Miraji uiisema kuna wachezaji wakiachwa utafurai mbona kimya
Ninyi wawili naomba niwaulize swali hivi!?huyu jamaa anayeitwa mchome anajifanya kama ni Simba ni Simba kweli huyu jamaa!?
Watalaumiwa wachezaji sawa mmkome mangungu wa watu
Chagamba miraji haipendezi tunataka msimame maana kunavitu tunavikosa juu yenu ukipigwa pigwa makofi sisi huku tunafurahi kweli
Xavi mtupu
😂😂😂😂😂😂😂
Nakubal
Chagamba mtafute mzee said na masatu
Chagamba tuna muomba na mzee wetu mzee saidi umfate alipo maana alipo tupo
Pia viongozi we2 wawalinde bas wachezaji we2 isije yakatoke ya yule kramo
MUNGU IBARKI CHAMA LANGU SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tunawapataje wekeni namba za sim
Eth yanga ya kipindi cha bakari
Niunge kundin
Kwani wewe Chagamba ni Kolo au mwananchi
Huyu sio boka muite boyka
Chadrack Issack Boka waziri wa tamisemii
Hahahahaaaa
Wwkeni namba ya sim jinsi ya kuwatumia chochote
Zipo kwenye chini upande wa kulia
*kwenye video*
Vi Mzee saidi jamani wiki sasa hatujamuona