PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 484

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому +5

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @johnchiponde316
    @johnchiponde316 4 роки тому +35

    Aiseee,,All the best,,Mungu akulinde Ramadhan Hamis Ntunzwe..Amen

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @williamibrahim2823
    @williamibrahim2823 4 роки тому +49

    Kaka Ramadhani baba kichwa kizuri hongera sana

    • @adamkabila7113
      @adamkabila7113 4 роки тому +1

      William Ibrahim umeona nimempenda anakichwa kweli anaelezwa kwa utulivyu

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 4 роки тому +47

    IQ yake ya kumbukumbu iko juu sana ,, japokuwa umri umeenda.. Haki haipotei mzee wangu.

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 роки тому +41

    Bonge la story ya kutisha, na jamaa anajua kuongea 👍

    • @aminaam281
      @aminaam281 2 роки тому

      Ningejaliwa Mimi ningeringa

  • @tumainicareen5282
    @tumainicareen5282 4 роки тому +12

    Mungu hatokuacha mtangulize MUNGU mbele kweli wanadam hatuna huruma Hongera Rais wetu mtetezi wa wanyonge

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 4 роки тому +29

    Anaeona mzee IQ yake zaid ya flyer over, Allah akufanyie wepesi Inshaallah

  • @nelsonpharles8556
    @nelsonpharles8556 4 роки тому +10

    Pole sana mzee kwa imani utalipwa haki yako Mungu aksaidie ktk hilo.

  • @nestor384
    @nestor384 4 роки тому +47

    Kamishna Mpya naye kamezwa na mfumo tuongeze kui-share hii video mpaka Mhe. Rais na Mhe. W/Mkuu iwafikie kwa mara nyingine ikiwezekana kamishna mpya naye awe sacked keshasahau wajibu wake na kiapo chake! My motherland watu wanasota kiasi hiki kupata haki zao japo wakiwa na maelekezo ya Rais vipi wale ambao hawana na masuala yao hayajafikia kule ambako swala la Ramadhan lilifikia!!! Mungu endelea kumsaidia Ramadhan mpaka siku moja apate haki yake na wadharimu wote wawajibishwe🙏🏻

    • @ustadhyassir3460
      @ustadhyassir3460 4 роки тому +1

      Yatupasa tuwenae bega kwa bega kupaza sauti zetu zimfikie mueshimiwa raisi hawa tra wanataka kumletea dhuma huyu mwenye haki yake

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 4 роки тому

      Kabisa yani kweli

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 роки тому +4

    Naamini hii taarifa utawafikia Vuongozi wetu haki itatendeka! Pole sana kaka Mwenyezimungu atatenda jambo!

  • @justinegabriel5854
    @justinegabriel5854 4 роки тому +3

    Mungu akubariki sana Baba Magufuli tunakupenda watanzania Ongoza nchi mpk utakapo amua ww kuachia kiti we love you much much much much Dadyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
    Very
    Be blessed

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 4 роки тому +7

    Pole sana mzee,,, TRA hawana namna ya kufanya zaidi ya kumpa haki yake huyu mzee

  • @zuberimasoud5728
    @zuberimasoud5728 4 роки тому +14

    Very sad! Pole sana Mzee na hongera sana kwa kuonesha subra kubwa!

  • @msuyaherbalresearcher7184
    @msuyaherbalresearcher7184 4 роки тому +19

    Watanzania hebu tuvae vazi la Mh.Raisi wetu,tukitenda haki kwa wenzetu.TRA mmezoea kuzulumu na kula pesa za zuluma.Mshindwe

  • @faridakhamis7994
    @faridakhamis7994 4 роки тому +5

    Asalam aleykum kaka pole sana kwa msuko msuku uliyo kufika wallah unavyo ongea mpka iman

  • @changboy5658
    @changboy5658 4 роки тому +31

    Story ya Mzee unatengenezea movies nzuri mno. Mzee Ana akili sana na ni mjanja mno. Naomba Waziri na raisi au watendaji wake wasaidie aione hii taarifa maana wanamuonea sana huyu mzee. Pole sana mzee Uko vizuri.

    • @mariuscyprian1235
      @mariuscyprian1235 4 роки тому

      Kwa hiyo mpaka wakati huu mzee baba ajaiona au ndio anajipanga ila watanyonyoka wengi manyoya hasa TRA

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 4 роки тому

      Chezea muha wewe

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 4 роки тому

      Haki yako ni ya lalih

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 4 роки тому +12

    Sasa nimeamin viongoz wa ccm ndo wanao fanya wApinzan kupata kura nying Nilitaman MH Rais angeongoza tena hata miaka 10 ila najua zipo changamoto lakin hongera Rais wetu

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 4 роки тому +22

    Kiupande wangu nimejifunza mengi sanaaaa ambayo sikuwa na yajua namshukuru huyu mfanya bishara

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 4 роки тому +5

    Mungu akusaidie kwa kweli, watu wanadhambi sana, Mungu yupo nawe. Nakuombea upate haki yako.

  • @RopaiOnlineTv
    @RopaiOnlineTv 4 роки тому +19

    Uyu ni ndugu wa brother k

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому +5

    Kumbe wafanyabiashara wakubwa ndio wanavyo pata hela. Kuna na TRA kukandamiza wafanya biashara wadogo na wananchi wa kawaida. Alafu huyo mkurungezi wa TRA juzi tu alikataa rushwa ya wachina wale wa Tabora kumbe angechukua kama wangempanga vizuri. Hii nchi badooo Sana rushwa ni ulemavu tunao. Kaka Ramadhani pole kwa yote, endelea kupambana nauona haki hiyo inakuja🤗💪💪👌👍👍

    • @jonathanakhabuhaya1693
      @jonathanakhabuhaya1693 4 роки тому

      Kukataa rushwa ya Wachina ilikuwa geresha tu. Shida ni kuwa walimletea mzigo Ofisini moja kwa moja.Walipaswa kupitia kwa "mshikaji" wake

  • @annahayasanday7174
    @annahayasanday7174 4 роки тому +4

    Nimekupenda baba, uko makini sana Mungu azidi kukulinda.Haki yako haitapotea kamwe,una msimamo sana Mungu hawezi kukuacha.Hili ni funzo kubwa sana kwetu

  • @jamesassanga9220
    @jamesassanga9220 4 роки тому +7

    Big up kwa waha!!! Wanajiamin sana

    • @endruwguzula5993
      @endruwguzula5993 4 роки тому

      yani huwa tunaonekana wabishi ila tunatetea haki ye2 mpaka mwisho

  • @amosurio8045
    @amosurio8045 4 роки тому +12

    nakuomba Sana mzee wangu uwe makini na awo watu

  • @emanuelandedela2771
    @emanuelandedela2771 4 роки тому +2

    Yaani ni Kama move yakutafsiriwa. Ahsante mzee wetu nimejifunza zaidi ya kwenda chuo kikuu.

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 4 роки тому +4

    Mmm kazi iko. Pole sana.

  • @stevenkatina968
    @stevenkatina968 4 роки тому +19

    Mko vizuli jmn ushauri wangu mtafuteni waziri mkuu direct in box mmtumie hiyo clip jmn mzee huyu kaumizwa sana jmn

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 роки тому +11

    Hawa TRA wanarudisha Sana uchumi wa nchi

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu amlinde Raisi wetu wa wanyonge Magufuli, pole ndugu yetu Ramadan pia wewe ni smart sana

  • @mwitikageofrey6175
    @mwitikageofrey6175 4 роки тому +8

    Mungu akupe ujasir na uvumilivu na akuzidishie maarifa zaid

  • @tafsiriyaqurantukufukwakis966
    @tafsiriyaqurantukufukwakis966 4 роки тому

    Asalam alaikum, namshauri ndugu Ramadhani Hamisi afanye video au Audio clip rasmi Kwenda kwa Mheshimiwa Raisi Magufuli, kisha aitume clip hiyo kwa njia ya whatsapp (aelezee kila kitu Kwenye clip hiyo) In Sha Allah itamfikia Raisi Magufuli, Raisi ndio atayekusaidia In Sha Allah, inavyo onyesha TRA hawana nia ya kukulipa kitu kwa njia ya kihalali (wanakuzungusha tu)

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 роки тому +10

    Very smart guy

  • @nyangarojumanne3034
    @nyangarojumanne3034 4 роки тому +2

    Nindugu wa bro k

  • @zuhurajuma1528
    @zuhurajuma1528 4 роки тому +6

    Hiyo nihaki yako inshaallah utaipata namungu atawaadhibu kwa aina yoyote ile🙏

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 4 роки тому +12

    Wamemtekenya Magu kubaya
    Kama namwona mzee baba akila watu vichwa

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 4 роки тому +1

      Nataman awaleee....Hawa wanyanyasaji

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 4 роки тому +3

    Pole sana mzee duuh Ni hataree sana

  • @saadomari7150
    @saadomari7150 4 роки тому +12

    Haki inayocheleweshwa ni sawa na haki inayodhulumiwa,wote wanaofanya hii dhuluma wanastahili kumalizia maisha yao gerezani.

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 роки тому +52

    TRA hamuendi mbinguni,mtachomwa moto na hizo pesa za dhuluma kama mnasomeshea watoto wenu mnatengeneza kizazi cha laana.vizazi vyenu vitalaaniwa shenzi nyie

    • @reyonceramadhan9486
      @reyonceramadhan9486 4 роки тому +3

      Na mungu awalaani kabisa kunyanyasa wanyonge ili hali wanajaza matumbo kwa dhuluma

    • @smarty1064
      @smarty1064 4 роки тому +4

      saitoti saitoti unadhani wanaamini kama kuna mbinguni?

    • @yahyashariff5693
      @yahyashariff5693 4 роки тому +2

      Pesa ya dhulma hakuna itako wapeleka, watajibiwa hapa hapa duniani

    • @hosenimwelekwa6200
      @hosenimwelekwa6200 4 роки тому

      Hahaaaa kweli

    • @samsonmathew7562
      @samsonmathew7562 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @mathiasmsese6128
    @mathiasmsese6128 4 роки тому +21

    sijaelewa why mtu aliyekabidhiwa kumlinda mtu hapokei simu. something is not right we need to dig more

    • @eliaalex8118
      @eliaalex8118 4 роки тому +2

      Ezekiel Leonidas ina wezekana lakn angalia usi tafutwe

    • @Amani715
      @Amani715 4 роки тому

      Exactly my point. And when he is out there he is busy saying how he is helping a common mwananchi, hypocrite. The fact that Mr. Ntunzwe sent him a message he was in a position to see how important it is given the fact that he was delegated by His Excellence President Magufuli to make sure this issue is closed. Why can’t people do one simple thing? I would record each and every meeting so as they don’t deny the day His Excellence gets to know this. There is a need for a reshuffle at TRA. Total madness 😡

  • @hmk..
    @hmk.. 4 роки тому +3

    Pole. Global TV good interview

  • @makepoundbemillionire9688
    @makepoundbemillionire9688 4 роки тому +2

    Babu rama pole nakujua wew muha

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 роки тому +2

    Mzee anapangilia point by point, tra walimchukulia simple wakadhani mluga kumbe anajielewa

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 4 роки тому +19

    Hivi kwa maagizo yote haya YA MH, Bado Watu wana fanya danadana, Kweli Hao wasaidizi pasua kichwa,

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 4 роки тому

      Fortunata Angelo Hela za kumlipa watatoa wapi, washalipa ada za vyuo Malaysia na nyingine nyumba ndogo, nyingine jaza jedwali mwenyewe 😏, pagumu hapo, lazima atafutwe bwege mmoja wa kuchapwa ili huyu alipwe 😖

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 4 роки тому +15

    Muheshimiwa 2naombaa ulifanyiee kazii ilii uyu nimoja kati ya watanzaniaa milion48 wanao nyanyaswa Na TRA Na Askarii

    • @bahatimayala6494
      @bahatimayala6494 4 роки тому +1

      Pole sana mtanzania harisi uliye jawa na uzarendo pambana mzee mungu yu pamoja nawe haki ya mtu haipotei bali hucheliweshwa tu serikali yetu tukufu ipo haki yako utaipata

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 роки тому +40

    Siku nyingine usipande magari yao watakuua hata kwa sumu ya hewa.tumia magar yako

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 4 роки тому +3

      Mungu akiwa upande wako utapitishwa ktk misukosuko nakutoka dhahabu safi....

    • @issamichoro.5278
      @issamichoro.5278 4 роки тому +3

      Safari xote kuanzia leo uwe na watatu kila ulipo

    • @just_this_way
      @just_this_way 4 роки тому +4

      Comment imeendana na jina lako, wajina wako, SAITOTI wa kenya aliuwawa kwa sumu ya hewa (cyanide)

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 роки тому +1

      Hii comment iweke kichwani mwako.....iko hivyo sumu ziko aina nyingi Sana......kuwa makini sana

    • @hopesesilius6104
      @hopesesilius6104 Рік тому

      Sahihi

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 4 роки тому +3

    Kelli mwerevu kama mayahudi👍👏

  • @kwilasangwala201
    @kwilasangwala201 4 роки тому +2

    Hongereni global Tv, kwa ufuatiliaji mzuri.

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 4 роки тому +11

    Maaana nakumbuka ulisema kua kesi zot uleshinda ulizo mbakiziwa na TRA nakusubili tu uon utapewa kesi ipi tena na mwanzo wa yot ni mzgo kukamatwa kutok south na kuvunjiwa maduka yako ya thamn ya milon 800 na chanzo kuvunjww ni chen tu ya shiling miatano tena usio iuza ww asant mungu allah ww ndie kila kitu

  • @watakaniitaje1215
    @watakaniitaje1215 4 роки тому +6

    Muandishi unaongea kama unaogopa jamani😆😆😆
    Mpigieni Rais 🤣🤣🤣🤣

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 4 роки тому +1

    Global is the best we want enclusive part3

    • @ericstephenm.844
      @ericstephenm.844 4 роки тому

      Nenda pia Tanzanite UA-cam channel. Wao ndio wameanza kutoa stori hii na ipo kamili kabisa!

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 4 роки тому +6

    Da! TRA ni matapeli uwiiiiiiii inaumiza sana

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 7 місяців тому

      Hawa TRA. Ni nguruwe kabisaaaa

  • @madeintanzania2995
    @madeintanzania2995 4 роки тому +15

    This is another covid-19, Mr. Presedent please make your decissions!!

  • @fabianmilanga4980
    @fabianmilanga4980 4 роки тому +2

    TRA wezi aisee

  • @hassankasigwa477
    @hassankasigwa477 4 роки тому +11

    Yaani watanzania wahaogopi maagizo ya raisi bado walitaka kufanya magumashi tu
    Sasa CORONA tutaiogopaje bana mpaka ituue kwanza

  • @joshualukumay5667
    @joshualukumay5667 4 роки тому +1

    mi nkisikia ivi nakata tamaa ya biashara .ila pia waziri mkuu na raisi nimewapenda. mungu awabariki.

  • @bwerumaster6691
    @bwerumaster6691 4 роки тому +6

    Dah bonge la movie!! Kanumba RIP angekuwepo angefanya bonge la movie!

  • @barryryoba1489
    @barryryoba1489 4 роки тому +6

    TRA Mnanyanyasa Sana Na Kuzulumu Wanyonge, Hata Kama Mnajiona Mnafanikiwa Sana Kimaisha Na Hii Zuluma Bado Mtateseka Sana Na Ngono Zembe Hatimae Kufa Kwa Ukimwi.. Na Pia Hata Kama Watoto Wenu Wanasoma Shule Za Juu Bado Wataishia Ulevi, Anasa Na Hatimae Kifo Kwasababu Watu Mnaowazulumu Wanatoa Kilio Kikubwa Sana Kinachofika Mbinguni Na Hamtabaki Salama Hata Kama Mmejaza Hizo Pesa Za Zuluma Kwenye Magunia.

  • @alicelucas4082
    @alicelucas4082 4 роки тому +18

    Huyo baba lazima atakuwa muha, hatunaga ujinga.

  • @mamaamourtamba7801
    @mamaamourtamba7801 4 роки тому +2

    IQ yako kubwa sana big up baba

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 4 роки тому +6

    Baba una akili nyingi. Mungu akulinde sana.

  • @mariambuhanza5953
    @mariambuhanza5953 4 роки тому +3

    duuuh! hii kubwa kuliko kwa Imani utapata haki yako mzee

  • @enockadam887
    @enockadam887 4 роки тому +1

    Never give up keep going

  • @danielvitus8903
    @danielvitus8903 3 роки тому

    Shikamoo mzee Wewe noma Sana, unaweza kujielezea mno ambae hakuelewi kamloge kigoma mzee nakuomba uwendelee kukaza mzee Wewe nizaidi ya chuma kunawatu kibao unaweza kuwapa ujasiri zaidi kupitia Wewe km utalipwa Mungu atakusimamia.

  • @msuyaherbalresearcher7184
    @msuyaherbalresearcher7184 4 роки тому +12

    Hao wafilisiwe na kufukuzwa kazi

  • @abdallaanton5210
    @abdallaanton5210 4 роки тому +8

    Duuu watamuuahuyu ee mwenyezi MUNGU msaidie mjawako anatetea hakiyake kamaulivyotuagiza tusidhurumu wala tusikubali kudhulumiwa

  • @allyabdulatif934
    @allyabdulatif934 4 роки тому +3

    Mkuu was nchi anakuona mnyonge wa mungu anazulumiwa da futa wate hawa kazi

  • @SaluEddy
    @SaluEddy 7 місяців тому

    Mzee mungu yupo na ww akubariki

  • @awadhhadi446
    @awadhhadi446 4 роки тому +1

    Mzee wangu jpm nakukubali sana

  • @samsonmathew7562
    @samsonmathew7562 4 роки тому +2

    TRA nu takataka sana hawa nguruwe

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 4 роки тому +5

    Huyu Mwanahabari aidha hajui kuuliza maswali, au ni mwoga. Bw, Kayombo wa TRA alipaswa kuulizwa moja kwa moja ni kwa nini TRA imekaidi kwa miezi 9 kutekeleza amri ya Rais ya kumlipa Ramadan. Alipaswa kujibu ni nani ktk TRA anazuia malipo hayo, na kwa nini. Alipaswa aulizwe wale wafanyakazi watatu wa TRA Rais aliosemaa wafukuzwe kazi walishafukuzwa au la, na walishapelekwa mahakamani. Kayombo ajibu ni kwa nini wafanyakazi wawili wa TRA wanaohusika na sakata hili walihamishwa kinyemela kwenda mikoani badala ya kuchukuliwa hatua. Alipaswa kujibu hizo milioni 900+ ambazo TRA iliagizwa kulipa zitatoka fungu gani au zitalipwa na nani. Mwandishi ulipaswa kumwuliza Kayombo ni utaratibu gani TRA ilitumia kumkadiria kodi ya kumwumiza Ramadhan, na ni kwa nini ilifunga duka lake na kutumia polisi kumweka mahabusi. Kayombo atwambie ni kwa vipi maafisa wa TRA walishirikiana na wafanyabiashara wawili ili hao wafanyabiashara wamlipe Ramadhan badala ya wao TRA kumlipa. Kayombo ajibu ni kwa nini wafanyakazi waandamizi wa TRA kila mara wanamsihi Ramadhan asimwambie Waziri MKuu au Rais jinsi sakata hili linavyokwenda. Kayombo aseme kwa kukataa kumlipa Ramadhan, na kupenda kufanya vitu kisirisiri, watendaji wakuu wa TRA, akiwemo yeye mwenyewe, wana interest gani katika sakata lote hili nk. nk. Na mwisho Kayombo atwambie kwa nini watendaji wakuu wa TRA, akiwemo yeye mwenyewe, wasifukuzwe kazi kwa utovu wa nidhamu wa kumdhalilisha Rais. kayombo aseme ni kwa nini ydeye na watendaji wakuu wa TRA wasifilisiwe mali zao na kupelekwa mahakamani kwa uhujumu uchumi (kama TRA inavyofanyaga mara nyingine) kwa kuisababishia TRA na Ramadhan hasara. Haya ndo maswali ambayo waandishi wa habari wa kimataifa (kama CNN,BBC na ALJAZEERA) huwa wanauliza. Naomba mwandishi wa habari umtembelee Ofisini Mkurugenzi Mkuu wa TRA na Bwana Kayombo ili waweze kujibu maswali haya. Aidha wasiliana na Ofisi ya Waziri Mkuu na Rais kupata habari zaidi. Wananchi tunangoja kuona haki ikitendeka.

  • @jamallysayd3886
    @jamallysayd3886 4 роки тому +3

    Allah atakulinda mzee wetu

    • @mulebamnaku4130
      @mulebamnaku4130 Рік тому

      Hizio siasa kayombo funguka mpe ni ela yake, mbona mnamishahara mono njaa gani hiyo,

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 4 роки тому +5

    Mi namuomba mungu hawa tra awape korona wafe wote kifo cha panya kisha akawachome juzi tu aamekula hela zangu nying sana hawa ni majambazi kwa njia ya sheria

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 4 роки тому +5

    Inaumiza Sana pole

  • @salminmabrouk9567
    @salminmabrouk9567 4 роки тому +5

    Du mtihani babu kubwa kuliko wote

  • @isihakazombokooo1647
    @isihakazombokooo1647 4 роки тому +12

    Mtafute waziri mkuu naimani utampata hao ni wezi mnooo.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 роки тому +7

    Wana habari tunawapongeza sana kwa kufumuwa ukweli wa mambo. Endeleeni kupata ukweli pande zote ili Tanzania iwe nchi ya haki kwa wote

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 4 роки тому +3

    Mungu akusaidie, You are rl at big risk!!

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 4 роки тому +3

    Hizi ndio habari za kutuletea watanzania kwakua tunajifunza mambo muhimu mnaboa sana pale mnapotuletea upuuzi wakina amba ruti!nimependa sana hii story mungu mkubwa atamsaidia huyu baba

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 роки тому +1

    Duh, jamanii kufarik kwa Mzee magu, ni pengo kubwa sana,

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 4 роки тому

    Safi sana na pole sana Ramadhani

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 4 роки тому

    Safi Sana Global Tv hizi ndio news tunazozitaka hii nchi inawatu wa hovyo sana yani mpaka agizo la Mheshimiwa Rais watu wanakaidi na kutaka kufanya dhuruma hii ni dhalau mbaya sana.Naamini Rais wetu ameshasikia hili na haki yake itapatikana tu.
    Global TV naombeni mtoe namba kuna watu wengi wamepata shida na hawa watu
    TRA
    NSSF
    Tanesco
    NSSF wanafikia hatua ya kumwambia mtu eti fail limepotea haya mambo yanatia maudhi sana.
    Nice Global TV

  • @enessamramba5542
    @enessamramba5542 4 роки тому +2

    Jaman unapokuwa na shida za kiofisi kama hizi ndo utajua kama rais bado anakaz kubwa sio TRA tu Tanzania 🇹🇿 watu wa chini tunaumia sana basi tu

  • @catherinebassanga2252
    @catherinebassanga2252 4 роки тому +7

    Mbona kama wanafanana na mh raisi

  • @annkim2690
    @annkim2690 4 роки тому +4

    😭😭😭mpaka dadake alikufa jamani Mungu anawaona vile mmemfanyie huyu mwanaume

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 7 місяців тому

      Nayeye mwenyew leo amekufa kw kujipiga risas😢

    • @annkim2690
      @annkim2690 7 місяців тому

      @@imamuhamisi4421 waa ameruka mikojo akaangukia mavini

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 4 роки тому +3

    Makonda Makonda simu nane na msg bado haupokei!!!Kweli mkuu!!!!! uko busy kweli kaka.

    • @alamnyopo9739
      @alamnyopo9739 4 роки тому

      Mimi pia imenitia mashaka...yawezekana kuna kitu nyuma ya pazia....🤔

  • @عائشهعائشه-م9ق
    @عائشهعائشه-م9ق 4 роки тому +4

    Asante sana

  • @happymaiga4963
    @happymaiga4963 4 роки тому +7

    Wana movie mwende kwa Ramadhani mkafanye movie stories take itapendeza sana.

  • @reyonceramadhan9486
    @reyonceramadhan9486 4 роки тому +7

    TRA uozo mtupu ivi kunyanyasa wafanyabiashara mpaka lini kichwa cha mzee sio poa

  • @sarahmwakilasa3989
    @sarahmwakilasa3989 4 роки тому

    Mungu akisaidie haki itendeke

  • @barakashilumba1103
    @barakashilumba1103 4 роки тому +1

    Umewakomesha ilo nifunzo kubwa maana wamezoea kulakula vya wanyonge.dah! Pole sana pia kwakumpoteza dada ako pia mke wako mungu atamuweka sawa t

  • @pashcompomongo3347
    @pashcompomongo3347 4 роки тому +4

    Haki haipotei.. haki yako utaipata japo kwakuchelewa mungu yupo

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 4 роки тому +15

    Kumbe kamishina mkuu mpya nae ni jipu tumbua magufuri

  • @saitotierick6745
    @saitotierick6745 Рік тому

    Pole Sana hatuna viongozi wa kusaidia watu tunao viongozi wa kuua watu tu

  • @machaliakulima76
    @machaliakulima76 7 місяців тому

    Kusema kweli Mh Waziri Mkuu ndugu Majaliwa kwa kesi hii ya babu Rama umeshindwa kazi

  • @bahatisejua9944
    @bahatisejua9944 4 роки тому +6

    Huyu niusalama wa Taifa hawaTRA huwahawajui kwambawengine siowafanyabiashara wapokwaajili yakuchunguza hatahizo hela zamtaji zaserikali.

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 роки тому +1

    Mungu ni mwema atakushindia

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 4 роки тому +8

    Kudadek wanavimba matumbo kwa pesaa zetu wajinga hawaa

  • @ndundetommasz9158
    @ndundetommasz9158 4 роки тому +10

    It's so painful, I thought this nonsense only happens in Kenya, kumbe it's all in Africa

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 4 роки тому +1

      Afrika imeoza....sio kenya tu.

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 4 роки тому +1

      NDUNDE TOMMASZ
      Kenya is worse

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 4 роки тому +2

      This is exactly why I don't want to invest in Tanzania or Africa in general, so much injustice and corruption, na sisi Watanzania ambao tuko nnje tunakuombea ulipwe haki yako

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому +2

    Kweli hyu Mha ni kiboko na ana akili za Waisirael kweli.