Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

PART 3: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 кві 2020
  • PART 3: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA...
    GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo....
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
    ( +255 676 229628)
    Email: globaltvbest@gmail.com
    abbymrisho@gmail.com
    HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 386

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 5 місяців тому +8

    Ramadhani Hamisi Ntunzwe, Allahuma Ghifirllahu Warahmahu Waskanhu Filjanna, MwenyeziMungu atakulipa haki yako duniani na kesho akhera Mzee wangu.

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi7940 4 роки тому +14

    MALIPO YA TRA NI SYSTEM.. WALITAKA WAKUMALIZE USINGEENDA NA JAMAA YAKO

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 4 роки тому +8

    Isingekuwa TRA nadhan Watanzania kwa wakati huu tungekua tunaisha vzr kama Dubai, au libia ya Kipindi cha Gadaf.

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 4 роки тому +45

    HUYU anawakilisha WATU WENGI wanaoangaishwa na TRA NA kuteswa na maafisa wa TRA.

    • @maijajumbe8957
      @maijajumbe8957 4 роки тому +1

      Mungu anawaona mjue mpeni haki yake

    • @abhambomihambo6754
      @abhambomihambo6754 4 роки тому +1

      Hapa ndio namuelewa muheshimiwa rais km kuna kila sababu za kutumbua hata kila siku mpka watu wakae sawa na kuendana na kauli mbiu ya Hapa kazi tuu....yaani hata hawaogopi Executive order na hawasomi saa za nyakati km wakati wa ubabaishaji umekwisha na Magufuli kashatuamsha watanzania wengi,kwa hiyo tumbua huyo ndio walewale,miaka 20 na wako wa wengi wa aina hiyo fukuza wote hao lao moja na ndio chanzo cha sabotage mpka anatumbuliwa kamishna mkuu lazima ufumue mfumo mzima wa watendaji na kuanza upya

    • @aikamosha5644
      @aikamosha5644 4 роки тому

      Hivi mzee baba uko wp? Naomba nitumbulie hawa watu,wanafanya mzaha kwa hii issue, fanya yako Uncle magu msaidie mnyonge alipwe haki zake,nakuaminia sn Uncle magu.

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 роки тому

      Wanaoangamizwa sema hivyo

    • @dowhatyourepassionateoftra1668
      @dowhatyourepassionateoftra1668 4 роки тому

      Kuna muda kama 1995 wameshawahi kumtoa baba Yangu Milioni 2 kisa tu ni chuki za watu. Kuna muda Mtumishi amesoma anaumia kuona mfanyabiashara hata hajamaliza la saba anawazidi Hela. Mana wasomi wengi wanajiamini kuwa kusoma ndo watakuwa juu kimaisha Kumbe hawajui kuwa wanajiingiza katika kifungo cha maisha cha mshahara kinawadanganya

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 роки тому +6

    Ewe mwenyezi mungu ,mwingi wa huruma.mja wako huyu msaiidie Allah mjuzi hujawahi shindwa.yaani huo niuonevu,Nahilo ni deni mwenyezi mungu awaazibu mnanyanyasa kwa jasho lake.mungu awallani

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 4 роки тому +12

    Pole Sana, inabidi Rais wetu mtetezi wa wanyonge aliingilie tena Jambo hilo

  • @mkubhimkubhi
    @mkubhimkubhi 4 роки тому +6

    Hii nchi inaonekana ni ya watu wachache. Kwa kusema hivi kuna baadhi ya watu watasema ni kuwa huu ni uchonganishi na uvunjaji amani. Lakini si kweli na ni kawaida kwa baadhi ya watu hawa kusema hivi kwa kuwa hawajui vipi wakibiliane na ukweli. Na kuthibitisha hili kuwa hii nchi ni ya kundi fulani la watu wachache fuatilia sakata hili kwa kumhoji Kamishina je wale watu waliolianzisha sakata hili la kumata mali za mfanya biashara huyu walichukuliwa hatua gani. Na kwa nini hawajafikisha Mahakamani kujibu tuhuma za kuipatia serikali hasara na kutowajibika ipasavyo katika kazi zao. Nyie vyombo vya habari ulizeni maswali ya msingi na sio maswali ya mepesi na ya kipuuzi kama hilo swali ulilllo muuliza kwamba labda walimwona yeye ni mkali sana na ndio maana wakaogopa kuja kuzungumza naye. (Sorry, with that such question, you sound not smart guy)

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 4 роки тому +17

    Hapo serekali ya magufuli inapofeli lakini vitu vingine poa. Pengine magufuli hajui Kama watu wanakomolewa na kuonewa na TRA.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 роки тому +14

    TRA wafukuzwe kazi wote, halafu iundwe upya na waipe a new name. Hili jina limeshachafuka mno.

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому +24

    Huyu ni genius, apewe haki zake

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 4 роки тому +28

    Mashaallah nakupendea akili yako mungu aliokupa kaka...usichoke kupigania haki yako na mungu atakusimamia ....madhalimu hao wanakula moto huku duniani bado akhera wataenda kujibu!!!

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 роки тому +4

    Pole sana Baba.
    Mheshimiwa Rais uko wapi?
    Huyo baba anasumbuka kiasi hiki kwanini?...

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 4 роки тому +17

    MAGUFULI MAGUFULI WHERE ARE YOU,KUNA NINI HAPO NINA UHAKIKA HAYA YOTE UMEYASIKIA HEBU MALIZA HILO

    • @festokomba5404
      @festokomba5404 4 роки тому

      Ndugu Mkuu kagawa madaraka mwacheni watajua tuu

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 4 роки тому +13

    Hii kesi ni ya mheshimiwa Rais,tunamuomba aende nae chemba aongee nae kama anavyoongea na wale jamaa wa kukamata ndege zetu,mwite mpatie Bilioni moja au hata milioni mia nane muombe yaishe maana ulishatoa amri kwa hiyo swala liko kwako mkuu.

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +6

    Mungu akulinde wana nia mbaya juu yko kwa uwezo wa Mungu watashindwa

  • @davidmadudu8859
    @davidmadudu8859 4 роки тому +6

    Sasa mfanyabiasha mkubwa kama huyu anafanyiwa hayo yani mpaka rais ashatoa tamko bado haitekelezwi mfano sisi wafanyabiasha wadogo zaid kweli tutatendewa haki dah kweli rais bado anakazi majipu mengi mpaka atachoka kuyaminya

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 роки тому +1

    BABU SEA NA PAPIKOCHA nandio itakuwa kama vile kesi haina kichwa wala miguu gonga like kama unaamini kunafigisu kama mfano wa kesi ya babu seaaaaaa

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 4 роки тому +3

    Watu wa TRA kuweni makini na hili jambo viongozi wetu wa TRA kuweni makini sana jambo dogo sana hili mnachafua taswira Zuri ya TRA tufunike kombe haraka twende mbele

  • @uswegemwakajinga4218
    @uswegemwakajinga4218 4 роки тому +3

    Mtafute mh Raisi kwa Mara nyingine umjurishe kwamba haujaripwa hela yako had Leo wakati yeye alikwisha kutoa sauti ulipwe hela pole sana mtanzania mwenzetu uliyemzalendo na kwa nchi yako na wenye roho mbaya wakiendelea kukuvunja moyo mungu akusimamie upate haki yako

  • @thaubannaftal7265
    @thaubannaftal7265 4 роки тому +3

    Hii nchi ya ajabu sana rais keshatoa maagizo hayajatekelezwa hata moja na rais yuko kimya.

  • @johnsonlweyemam7944
    @johnsonlweyemam7944 5 місяців тому +1

    HII NCHI NI NGUMU SANA ..KUMBE NDO MAANA JPM ALIKUWA ANAWATUMBUA HAPO HAPO WATENDAJ WAZEMBE

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 5 місяців тому

    Yaani kk yangu kila siku nakusihi watakuua selikali ya nchi hii ngumu Sana mimi nimeinua mikono na hata kula yangu anaijua mungu kwakua bado una mtaji achana nao

  • @barakamaendeleo5202
    @barakamaendeleo5202 4 роки тому +3

    Sijaelewa ni kwa nn wnamzungusha hivi huyu mfanyabiashara inaashiria hata alowaweka kwenye hizo nafasi hawamweshimu kabisa maana wamepuuza agizo la rais mkuu tumbua hawa hawafai kabisa

    • @ziadisalim495
      @ziadisalim495 4 роки тому

      Pole sana mzee hakiyako utaipata endelea kupigania mungu yupamoja nawe

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +3

    Pole sana bwana Ramadhani Ntunzwe ! Haki ya mtu haipotei! Ingawa itachelewa! Hatari sana!! Wanazidi kumletea zengwe kila siku!!

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 4 роки тому +4

    Rais waziri mkuu simumusahidie huyu Baba mbona wanampiga umasiki jamani

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 4 роки тому +7

    TRA hawataki mtu msafi kama huyu wanataka watu wanaotoa rushwa.

  • @BMx-zj3lz
    @BMx-zj3lz 4 роки тому +6

    Wapo watumishi wengine na wakuu wa idara wanatumia nyadhifa zao kunyanyasa wengine, hapo wanamtishia ningekuwa rais nafukuza wote.

  • @mrdeniskomba2596
    @mrdeniskomba2596 4 роки тому +1

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.... Magifuli/Majaliwa nauhakika taarifa wanazo pengine wanalitungia sheria. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tuendelee kuvuta subra. Inauma sana kwa ofisi ya mashetani TRA.

  • @abburakkaan5694
    @abburakkaan5694 4 роки тому +3

    Tatizo magufuli anawaogopa TRA sifahamu kwa nini!!

  • @alijuma1189
    @alijuma1189 4 роки тому +2

    Sasa hao t r a wanaona taabu gani kumlipa pesa zake

  • @bahatimnanka4848
    @bahatimnanka4848 4 роки тому +2

    Pole sana mzee M/MUNGU abariki kazi ya mikono yako

    • @cyprianokassase8293
      @cyprianokassase8293 4 роки тому

      Nashangaa sana hadi sasa imekuwa ni comedy. Angalia wasije wakakuua. Jipe moyo nadhani wakubwa wamesikia

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 5 місяців тому

    Wote mlioshiriki kumuua ntunzwe Ramadhan mungu hatowaacha Salama

  • @greengenerationtv9012
    @greengenerationtv9012 4 роки тому +4

    Yan TRA wanakela sanaaa tena sana kuna madudu Mengi sanaaa
    Sema baba semaaaa

  • @Juls7ur
    @Juls7ur 4 роки тому +4

    hii kesi sio kwamba viongozi hawa jui huyu jamaa ana lalamika kwenye vyombo vya habari, bali hawawezi au hawataki kumsaidia. pengine hakuna pesa.

  • @shd12m55
    @shd12m55 5 місяців тому

    Huyu jamaa hajapata haki yake mpaka mwaka huu 2024 ameamua kujiua dah eehh mwenyezi mungu hawa watumishi wengine hawa

  • @idrisasimba368
    @idrisasimba368 4 роки тому

    YAANI AFISA WA TRA WANAPENDA RUSHWA USIPO WAPARUSHWA NDIO WANAKUDIDIMIZA HADI WAKUFILISI YAANI HUYU MZEE ANGEWAPA RUSHWA 2016 HUU MGOGORO USINGEKUWEPO .WAMLIPE FIDIDIA ZAKE TATIZO LA MGOGORO HUU LIISHE ASANTE SANA MH RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGE

  • @glorymushi7397
    @glorymushi7397 4 роки тому +4

    Pole kaka Mungu hawezi kukuacha atakupambania tu

  • @msafiriandrea3523
    @msafiriandrea3523 4 роки тому +3

    Onesha kuwa sina hatia ee Mungu utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya uniokoe na watu waongo na waovo.

  • @mandegoro9322
    @mandegoro9322 4 роки тому +1

    Mm nakushauri kuwa badala ya waandishi was habari na mivutana na TRA wakati walikunyanyasa hali iliyopelekea mhe.. Rais akaagiza wakurejeshee mzigo wako pamoja na kukufidia, Mwandikie mhe. Rais Magufuli barua ya wazi kuwa bado suala lako bado lina mivutano na linapelekea kuathiri biashara yako na kutishia usalama wa maisha yako na unaomba aingilie kati.

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 4 роки тому +10

    Tunzwe baba uwe makini awa watu TRA wanamupango wakukuuwa

    • @devisgosbert1623
      @devisgosbert1623 4 роки тому

      mtu wa kigoma sio rahisi kumuua mzee watu wazito hawa

  • @angelkileo7851
    @angelkileo7851 4 роки тому +4

    Mzee kaza uzi mpaka kieleweke wamezoea unyanyasaji aoo

  • @doljaston7807
    @doljaston7807 4 роки тому +2

    Unaweza kununua uchawi kwa sababu TRa

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 4 роки тому +5

    Ili jambo lina onesha wazi kuwa kwamana TRA wote wanafahamu ili tatizo TRA wote niwafisadi

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 4 роки тому

      Wababaishaji wananataka wampe makashikashi akate tamaa nayeye anaakiri hawamuwezi.mambwa hayo watanzania wa 1990siyo wa Leo wanaakiri na wamesoma.

  • @mdroman6547
    @mdroman6547 4 роки тому +4

    Rasi wetu mpendwa tunaomba msimamia huyu kaka apate haki yake

  • @blesslory7653
    @blesslory7653 4 роки тому +3

    Hili linamaanisha maagzo yte kwe ziara ya rais hayatekelezwi

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 4 роки тому +3

    pole sana, magufuri lais wawanyonge jmn muokoe uyo baba amepata tabu sana

  • @jamalsalim8693
    @jamalsalim8693 4 роки тому +6

    Ww ni kamanda Ramadhani

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 4 роки тому +4

    Sio tra serekali wana jenda kwako kaka shituka.kama tra wanazalau amri ya raised kuna mini?

  • @natashafuture8263
    @natashafuture8263 4 роки тому +7

    Mzee anaongea kwa uchungu adi roho inaniuma siwamlipe haki yake jamani mbona wanamsumbua sana

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 4 роки тому +3

    baba waendee kigoma kwanza maana mbona wanatingisha kibirit .awa mbwa

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 4 роки тому +4

    Mungu atasimama nawe kaka yangu haki ya mtu haipotei

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 4 роки тому +3

    TRA acheni upumbavu!!!! Kuna wasomi mmepelekwa huko lkn mnatuharibia wafanyabiashara kwa tamaa ndogondogo za wafanyakazi wa TRA ,,, Sheria ziko wazi aliyeomba rushwa afukuzwe kazi mlipeni huyu pesa zake"**" yaan nngekuwa mm ndo Mzee Magu nawabomoa TRA tokea mkurugenz mkuu mpk wa kufagia hapo makao makuu** yaan mpka jengo mnalotumia

  • @erickmbegalo1152
    @erickmbegalo1152 4 роки тому +15

    Hivi jamani hii hbr kweli rais bado hajaiona? Mbona mzee wawatu mnamsumbua hivo? Bora mwambie moja kwa moja Kama anapata au laa. Kweli kabisa tra mnatutisha mpaka hapo,,, huyo anapesa na anapata shida hivo je mwenzangu na mm tutakimbilia wapi?????????

    • @Aysha-ms3ln
      @Aysha-ms3ln 4 роки тому

      Yani mi nilivyoona part 3 nikadhani magu ndo anazungumza mwisho wa picha

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 роки тому

      Hii ishu imenifanya nimekosa imani imenitoka. Naamini hii ishu ilishafika juu. Nachosikitika ni kwa nn hakuna tamko la serikali kuwa ntuzwe madai ni ya kweli au si ya kweli ili achague aidha kwenda mahakamani au kukubali matokeo. Sasa kutokana na ukimya huu naamini hakuna mpango a kumlipa huyu bwana wanamzungusha tu. Ntuzwe nenda mahakamani TRA achana nao biashara zako hamishia hata nje maana TRA wako juu ya sheria kwako. Ndio maana pamoja na kuwaanika uovu wao lakini bado wanakutesa na kukufilis. Nakutakia ramadhan njema Mwombe sana MUNGU ikiisha tafuta manasheria peleka TRA mahakamani.

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 4 роки тому

    Inasikitisha saaana kuona amri ya Raisi bado haijafanyika. Hii inaonyesha kuwa wafanya biashara woote wanaonewa sana na Serikali haijali kitu.

  • @mwaminilikane2281
    @mwaminilikane2281 4 роки тому +2

    Mungu yu upande wako amini nasi wote tunaofuatilia sakata. Inshaalah haki ya mtu haipotei bure.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 4 роки тому +7

    Ushauri wangu,
    "Uende ukapime sumu mwilini.
    Maana kitendo cha kuachwa chumbani peke enu kinanipa hofu.

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 5 місяців тому

    Hii sio T.R.A...Tunayoijua hili ni genge la vibaka kupitia mgongo wa serikali

  • @hamisyasinwapi9122
    @hamisyasinwapi9122 4 роки тому +1

    Nchi za afrika na viongoz wao shenzi sana.ndio maana huwa tunauwana kwasababu ya visasi km hv.

  • @farajibugi9924
    @farajibugi9924 4 роки тому +4

    Mzee wangu Kama unahitaji haki yako nenda haraka kwa wazuri mkuu au rais ndio ukawaulize hao wakuu kuwa pesa yako utapata au vp lakn hao jamaa huwez pata haki yako watakuuwa mzee

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 4 роки тому +4

    Hii kesi ya huyu jamaa itaondoka na kundi la watu, Rais anawasikilizia wanalimalizaje hili swala wenyewe tuvute subira ya hii episode

  • @trybatinemahenge9358
    @trybatinemahenge9358 4 роки тому +4

    Rais mwenye dhamana huon

  • @justamarydawson6908
    @justamarydawson6908 4 роки тому +1

    Jamani rais wetu mbona humsaidi huyu mfanyabiashara wevwe ndiye pekee tumaumia tunaomba mumsaidie raisi wetu

  • @wlisonjoston7088
    @wlisonjoston7088 4 роки тому +9

    Ikiwa mnamtenda huu mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu? Ambao ni cc wakina hohe hahe. Tra mwogopeni MUNGU Mungu malipo ni hapa hapa duniani.

  • @robbygmaka6914
    @robbygmaka6914 Рік тому

    Majambazi wenye zamana ndo wanajificha kwa kivuli cha serikali yetu kwa kujita TRA

  • @jacobmigera2626
    @jacobmigera2626 4 роки тому +4

    Dunia Majanga hayato kwisha; hivi tamko la Mh; Magufuli kuhusu huyu ndugu lili kuwa fake; mbona anaendelea kusumbuliwa; Ndugu Kasimu Majariwax2; Mnalijua swala hili ''Please!! Let' this issue come to an end; mpaka auwawe Na watu wasio julikana ndo mtashituka?? We are watching you gays; Haki itendeke

  • @happynicholaus6474
    @happynicholaus6474 4 роки тому +8

    RAIS magufuri yupo wapi

  • @weremamwita9740
    @weremamwita9740 4 роки тому +2

    Yaani TRA bado kuna uchafu mwingi mno, ilipaswa hata kamishina mkuu awajibike kuingilia hili. hivi hakuana viongozi huko? tokeni tuwatambue nia zenu!

  • @BonifaceSambo-ze6jh
    @BonifaceSambo-ze6jh Рік тому +1

    Aahaaaa digrii na ma PHD yamefumaniwa na STD VII au darasa saba.

  • @muonambali
    @muonambali 4 роки тому +1

    Hii nchi ina uozo kila mahali. This is a BIG shame. Where is the rule of law!?. Pole sana mzee kwa haya madudu unayopitia.

  • @mashachaney2048
    @mashachaney2048 Рік тому

    Huyu Mwanaume amebeba maumivuuu jamaniii..Khaaa.Mungu wangu dah!!!.. Kila nikiangalia Natokwa machoziii tu.Hasa akisema hasara za Dada na mke wake...

  • @janethjackson1257
    @janethjackson1257 4 роки тому +1

    Mh Rais tunaomba uje tena jamani bado haki aijapatikana kwa mtu huyu Tunaomba,sana,sana

  • @lindamorio1111
    @lindamorio1111 4 роки тому +1

    Tunakuombea Mungu Azidi kukulinda, maana hao wahuni wanaonekana kukufanyia mipango mibaya kila kukicha. Mungu Akuwekee jeshi kubwa la Malaika mahali popote. Hadi wakupe haki yako.
    - Endelea kusema na kutangaza huo uhalifu.
    - Andika notes, kila kitu.
    - Nenda na kinasa sauti ili ukitoka usisahau chochote na kila aliesema ajulikane wazi na njama zao.
    Muheshimiwa Rais, tafadhali msikilize huyu mnyonge.

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 4 роки тому +2

    Nenda mahakamani ndio utapata haki labda. Inaelekea hakuna maelewano tena hata maneno ya Raisi hawakufatilia.

  • @davidmshana3960
    @davidmshana3960 4 роки тому +2

    Bro hili tatizo umelitaka wewe mwenyewe coz ungekuwa na Oditar na Mwanasheria yote haya yasinge kufika. Huwezi kumiliki milioni zaidi ya mia 5 ukakosa hao watu. Tujifunze kupitia hili

    • @kushahandakama8875
      @kushahandakama8875 4 роки тому

      Mtazamo wako ata angekuwa nao kwan asingeombwa rushwa

    • @davidmshana3960
      @davidmshana3960 4 роки тому +1

      Kushaha Ndakama angekuwa na hao watu duka lisingefungwa kirahisi. Mwanasheria angefanya kazi yake na oditar angefanya kazi yake kisheria

  • @evancemwaitubi6382
    @evancemwaitubi6382 4 роки тому +3

    Ukitaka kuonja machungu ya nchi hii fanya km unataka kufanikiwa weee, na ukitaka kuonja matunda yake kuwa masikini mpaka unakufa.

  • @sirajibakari8150
    @sirajibakari8150 4 роки тому +4

    Magufuli aliwatuma hawa jamaa wa TRI wamfirisi huju mzee ila mungu yupo

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 4 роки тому

      Una uhakika mzee ?

    • @jeepwrangler8753
      @jeepwrangler8753 4 роки тому

      @Machage Machage mpumbavu wewe , Huna akili , magufuli huyo mbwa ndo anahusika na huu ushenzi

  • @evansm8802
    @evansm8802 4 роки тому +1

    Kwani wanapinga uamuzi wa raisi ,na kwanini raisi yupo kimya au waziri mkuu.

  • @magrethmbawata1269
    @magrethmbawata1269 Рік тому

    Mwambie mungu asimame juu ya hakiyako kama ni mkristo funga siku unazoweza kwamaombi utaona majibu bro.amen

  • @liliansamson674
    @liliansamson674 4 роки тому +12

    Mafisa oneni aibu, malizeni huu mgogoro wa huyu mzee.

    • @ericjonstz3120
      @ericjonstz3120 4 роки тому +1

      babu nikushauri kitu,, pamoja na kila unapoitwa nenda na waandishi wa habari pia simu yako danlod app inayorecod mazungumzo yote mnayofanya, kua makini babu

  • @hawangeu2465
    @hawangeu2465 4 роки тому +2

    Ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya tatu
    TRA whatch out, this is ridiculous

  • @beatricenicholausiwasa7601
    @beatricenicholausiwasa7601 4 роки тому +9

    mie najiuliza rais ameshidwa hii kesi

  • @BonifaceSambo-ze6jh
    @BonifaceSambo-ze6jh Рік тому

    Kwanza walifanya makosa kufungua duka bila kujua wewe unalipaje kodi,wakati wewe umechangia mapato makubwa serikalini.

  • @EddazariaMsulwa
    @EddazariaMsulwa 4 роки тому +1

    Mzee ana akili nyingi sana anajua anacho zungumza na kuhoji

  • @idrisaallysalum9447
    @idrisaallysalum9447 4 роки тому +3

    Global Publishers Hamjui taaluma yenu, inatakiwa "ku-balance" story kwa kwenda upande wa pili...

    • @husseinmbago399
      @husseinmbago399 4 роки тому

      Wamesema wataenda na upande ule hawawezi kutoa zote hapo

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 4 роки тому

      mbona kuna medi waliwahoji watu wa TRA inabidi uitafute uangalie.

  • @winterkasela9033
    @winterkasela9033 4 роки тому +1

    Mzee ni darasa la saba lakini anafaa kufanya kazi ofisi ya raisi

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 4 роки тому +3

    Hapo ujue wana unda kesi ili deni life iwe ngoma droo usikie tuna kudai 🤣🤣 wana jua hazipo rekodi za miaka ya nyuma na huwez kua nazo we nenda dodoma kaombe kukutana na waziri mkuu mbona simple tu wakaa kuongea na viombo vya habari tu

  • @aminamaulidi1788
    @aminamaulidi1788 4 роки тому +1

    Pole sn Baba yng haki yk utaipata kwa mung lakin malipo hp hp

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 4 роки тому +4

    Mungu muekee rehma huyu kaka katika utaftaj wa mali zake

  • @ahmadkazema1055
    @ahmadkazema1055 5 місяців тому

    Pole sana mzee wangu,.kila kitu kina mwanzo na mwisho,haki ya mtu huwa haipotei..pole kwa kupotezewa mda wako,pamoja na adha zote zilizowapata wana familia yako..

  • @idrisaallysalum9447
    @idrisaallysalum9447 4 роки тому +1

    Nafikiri SERIKALINI Kuna tatizo kubwa, inakuwaje habari mbaya dhidi ya TRA zinatajwa lakini Serikali IPO kimya tu?....TRA Kuna matatizo mengi makubwa kwanini Serikali kuu IPO kimya tu?

  • @petersume2780
    @petersume2780 4 роки тому +2

    Hii ni aibu sana kwa TRA

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 роки тому +4

    Watakuua hata sumu ya hewa usiende kirahisi rahisi vikao vya siri watakudhuru hao ukose yote kua makini zote husda tu yani sisi binamu hatumuogopi muumba wala siku ya mwisho Allah nihakimu atakusaidia

  • @rosekweka9544
    @rosekweka9544 4 роки тому +3

    Jamani raisi baba yetu tunakuomba umuone huyu baba anavyoendelea kuteseka na hela yake sema neno baba TRA niwauwaji tunaomba wafungwe awastaili kukaa uraiyani kabisa Tena wafilisiwe

  • @user-tz9ic7jn4j
    @user-tz9ic7jn4j 4 роки тому +2

    Pol sana Baba Mungu yupo

  • @greengenerationtv9012
    @greengenerationtv9012 4 роки тому +2

    TRA kwa huyu jamaa mmechemka atawatia aibu na kuwachafua jitahidini mmalizane nae......!!!

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Рік тому

    Sema waandishi wanaofatilia hili swala naona pia hawako competent kwenye maswali ya msingi

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 роки тому +6

    Mhe Rais anapotoa maelekezo awaagize wasaidizi wake wafanye follow up. Awape clear deadlines na a demand periodic updates. Kama si hivyo itakuwa kazi bure.

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 4 роки тому

      Huyu ana potea mwenyewe nilimsikia akiongea alijingiza mazungumzo ya pemben na watu wa TRA walipane kimya kimya ila pesa kidogo na akanza nao mjadala sasa mjadala wa nn nao rais kagiza ulipwe mara ana dai wanataka kuumua leo ni rahis kumwona hata waziri mkuu nae anafaham si nenda kamwone umweleze tu kua jamaa sasa wanataka hv na hv amebaki kuongea na viombo vya habari tu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 роки тому +3

    TRA wamechukuwa njia ndefu ya kutatuwa jambo hili. Wakati Rais na waziri mkuu alivyosema mukapige hesabu ya mapato aliyopoteza. Kupata hesabu ya mapato yake, ni kupekuwa record ya kodi alizolipa za miaka iliyopita hiyo itawapa mapato aliyopoteza kwa miaka mali yake iliposhikiliwa. TRA haiwezi kulipa tu hesabu anazozidai bila ya kupiga mahesabu. Kama alikuwa akilipa kodi ya mapato ya millioni 100 kila mwaka basi mapato yake ystakuwa hayo pamoja na interest na usumbufu. Ndiyo TRA ilikosea kufunga duka lake, kapoteza mauzo na wafanya kazi wake wamepoteza mapato. TRA waanze mahesabu kutoka hapo, na kumulipa mali aliyopoteza.

  • @revmckenzie1503
    @revmckenzie1503 4 роки тому +3

    Nchi ya Wagaratia wasio kuwa na Akili

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 роки тому

    Nenda Ramadan kwa Raisi Magufuli usiogope nenda officini kwake au kwa waziri mkuu Majaliwa in sha Allah watakusikiliza