HEKIMA ZILIZOFICHWA - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

КОМЕНТАРІ • 72

  • @cosmasmakoa3117
    @cosmasmakoa3117 11 місяців тому +1

    Hakika baba mungu atufungulie milango yetu iliyofungwaa ameen.

  • @RukiaAthman-z2o
    @RukiaAthman-z2o 2 місяці тому

    Nimemuona mungu kupitia nabii mkuu baloz wa aman ki ukwel sijawah ona

  • @ISSA-up3zq
    @ISSA-up3zq 9 місяців тому

    Amina mkuu kiukwel nimewai vunjwa moyo kwa swala la kuomba kwa kiasi nmebalkiwa na ujume huu

  • @KamangoSebastien-yv6cr
    @KamangoSebastien-yv6cr Рік тому +3

    Merci beaucoup pour la belle prédication nabii mukuu

  • @RukiaAthman-z2o
    @RukiaAthman-z2o 2 місяці тому

    Amina sana baba yangu tufundishe

  • @HatangimbabaziSenzoga-f9i
    @HatangimbabaziSenzoga-f9i Рік тому +2

    Mafundisho mazuri kweri MUNGU Yehova ajioneshe kwangu sasa naa zijazo mpaka mwisho wa Dunia Amen

  • @MulastNewtb
    @MulastNewtb Рік тому +1

    Tazama nabii wa Mungu🙏

  • @JohnSwain-s1r
    @JohnSwain-s1r Рік тому

    Mungu mwenyewe Ana majeshi ya mlaika wakiongozwa na malaika mkuu wa Vita mikaeli aliye pigana n shetani kwa iyo ilewa somo hapo unaweza ukawa kanisani huna walinzi ila nyumbani kwako unarundo la walinzi.sasa si umtegemee Mungu.

  • @ruthnaiyeso9944
    @ruthnaiyeso9944 Рік тому +1

    Man of Wisdom❤

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 Рік тому +2

    Shukrani Daddy kwa hekima za Kiroho unanivusha🙏🙏

  • @BethuelKipngetichmutai
    @BethuelKipngetichmutai 5 місяців тому

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 Рік тому

    Ameeeeeen Kipekee nimekuelewaaa kabisaaaaaa vizuuu Nabiii

  • @MulastNewtb
    @MulastNewtb Рік тому +1

    Naiwe kwangu🙏

  • @vickystellah3194
    @vickystellah3194 Рік тому +1

    Hallelujah be blessed Man of God

  • @LibestusLukumbuja
    @LibestusLukumbuja 6 місяців тому

    Huyu ndo Nabii wa KWELI

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому +1

    Amen..nimeinuliwa juu sana milele sitoshuka kamwe ...Haleluya

    • @renathamgeni3869
      @renathamgeni3869 Рік тому

      Amina nabii.wa.bwana.mungu snipe. Loho.na.moyo.wa.unyenyekev

  • @King_David2.
    @King_David2. 11 місяців тому

    God's kingdom administer❤❤

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior Рік тому +2

    BARIKIWA SANA MTUMISHI HEKIMA HIZI ZA KIROHO

  • @SaimonNdalahwa-lc9ci
    @SaimonNdalahwa-lc9ci 5 місяців тому

    Hiv n mtumish gan wa mungu wa kwel anawategemea wanadamu?wanadamu hawana lolote maan n mavumbi t ,mlinzi wa milele n yesu t pekeake ambapo ..ukiwa nae maadui wanadamu hawakuwez mpaka shetanshetan hakuwez jaman mungu n mungu t na atabk kuwa mungu na mtakatifu sku zote haogopi kifo maan n her auae mwili na roho kuliko auwae mwili t.jna la mungu libarkiwe

  • @nellykibukila5677
    @nellykibukila5677 6 місяців тому

    Amen ours dady .

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Hakika baba umenibariki Sana keamahubiri yako kuliko mtumishi yoyote duniyani umekuw baraka kwetu sana

  • @donasianaloyce3202
    @donasianaloyce3202 Рік тому +1

    Kweli hii busara na ni mafunuo,Mungu akulinde sana.Amen

  • @renathamgeni3869
    @renathamgeni3869 Рік тому

    Amina Nani. Mkuu

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 Рік тому +1

    Powerful Anointing Teaching Father

  • @amissitundula8568
    @amissitundula8568 Рік тому

    Ibyo nibya Mungu unazarau maisha ya watu

  • @keshenizabron1472
    @keshenizabron1472 Рік тому

    So amazing tiching

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 Рік тому +1

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ni viongozi vipofu hakika Mungu azidi kukuinua waumie zaidi nakuelewaga sn baba nipo marekani nakufatilia unajielewa baba

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 Рік тому

    Achana na hao mtumishi.Hao ni wanadamu tu. Hata Yesu aliwasaidia mengi akawaponya magonjwa yao akawalisha mpaka na mikate na samaki lakini bado walimsulibisha wengine wakamuita ana pepo.

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 Рік тому +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @okanpaul238
    @okanpaul238 Рік тому +1

    Tumtumie vyema nabii mkuu....siku moja tutamkumbuka....maana ni wachache kwenye hii dunia

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 5 місяців тому

    The source of annointing is only in christ jesus...kuweni macho wapendwa wa yesu kristo

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Amina nimepokeya🙏🙏🙏

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 Рік тому +1

    Lord, give us eyes that see beyond the horizon.

  • @godfreykaaya2344
    @godfreykaaya2344 Рік тому

    Good subject

  • @ElizabethMtambo-pv2ql
    @ElizabethMtambo-pv2ql Рік тому

    Mafundisho mazuli ee mungu nione

  • @MajolaChimanyo-zx7ik
    @MajolaChimanyo-zx7ik Рік тому

    Mtumishi Mimi nakubali Sana mahubiri yako

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 Рік тому

    Come on Father.

  • @WorshippersofGodarmy-ef3tb
    @WorshippersofGodarmy-ef3tb Рік тому

    Ubarikiwe sana nabii mkuu Kwa ufaham mkubwa mkubwa sana na hekima kubwa kama Kuna watumishi wa kweli Tanzania wanaokupinga basi huyo mungu wanayemtumikia Bado hawajauona mkono wake siku wakiuona watakukubari na kuona kweli kwamba wewe ni mfano Tanzania na Africa hata Dunia yote ikutambue umekuwa unanitia moyo sana hata kama Niko Zambia kwa Sasa kanisani kwangu huwa nawaambia washirika kwamba Tanzania tuna nabii wa kuigwa, mfano wake hakuna, Africa, japo wapo wanaojitahidi Nigeria, kama nabii Jeremiah omoto, na wengine wengi lakini hakuna Africa kama geor Devi wa Tanzania,yesu kristo ameweka vitu vyema kwenye moyo wake, kweli kanisa limeshawishika sana na wametamani kama ungetembelea Zambia wilaya ya mpika Sasa wengi wanakufuatilia kupitia UA-cam, wanajionea wenyewe matukio Yako, ubarikiwe unanitia moyo na mimi, najua kwa sehemu ya utumishi ambao mungu ameweka ndani yangu nitafanya kwa sehemu kama unatoonyesha namna mtumishi anatakiwa kuwa, ni mimi Alfred asanwisye mwankotwa namba ya watsap kwa anatependa kuwasiliana na mimi, ni +260777431008 ya Zambia hiyo) kwa Tanzania ni +255763444450 hii haipo watsabu mpaka tu ninapokuwa nimerudi Tanzania

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 Рік тому

      sasa hii c njaaa inayokusumbua ndugu yangu, text ndefu isiyokuwa na maana, namba za nini, mtegemee Mungu ndugu

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 9 місяців тому

    Nyote ni watata,ipo ck MUNGU atashuka awakaange kiboko

  • @SelinaChares
    @SelinaChares Рік тому +1

    Amen baba

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 Рік тому

    Ameeeeeen

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Рік тому

    Nisawasawa ibadani kuingia na kapelo Tena mtt wakike

  • @EmmanuelSanare-bc7si
    @EmmanuelSanare-bc7si Рік тому

    Amen

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +2

    Mafundisho potofu, kwa watu vipofu.

  • @teresajepkemboi-mw6zs
    @teresajepkemboi-mw6zs Рік тому

    🎉

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 Рік тому

    Mtfe makes life better there after🧐🧐🧐🧐

  • @DAZIZUbeàutysalon
    @DAZIZUbeàutysalon Рік тому +1

    Amen

  • @Rastermirish
    @Rastermirish Рік тому +1

    Unafundisha mpaka nafurahii

  • @edipidiusmoses1073
    @edipidiusmoses1073 Рік тому

    Huyu mzee ni tunu baba hata wakisema Mabaya mengi juu yako nitatumia mazuri machache unayofanya kuku safisha ,binafsi sio mtu wa kufuatilia ama kuamini juu ya watumishi mbalimbali but wewe ni nabii hakika

  • @PFD123
    @PFD123 Рік тому +2

    Hivi Nyie kizazi cha Nyoka hamuonj kabisa Huyu Ni WAKALA WA SHETANI mafundisho gani haya hata hayana chembe ya roho mtakatifu

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому +1

      Hebu lete mafundisho yako ya kweli tuyaone wacha upumbavu

    • @lameckmshana-gg6oq
      @lameckmshana-gg6oq Рік тому +1

      hawajui ety , si YESU alisema mna macho lakn hamtaona mna masikio lakini hamtasikia ndio haya sasa

    • @esterpeter8295
      @esterpeter8295 Рік тому

      Umenena vyema

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 Рік тому

      Hiv watu kama nyie huwa mnafataga nini kwenye hii channel mnajifanya hamueliwe kumbe mnamueliwa kuwen wa wazi tu

    • @israelyeremia3439
      @israelyeremia3439 Рік тому

      Wajinga ndo waliwao.

  • @ashatybella8641
    @ashatybella8641 Рік тому +1

    Nilizani😂billnas yupo hapo 😂

  • @deodatusmchunguzi1835
    @deodatusmchunguzi1835 Рік тому

    HAKIKA BABA UMENIBARIKI KATIKA MAUBIRI YA LEO MUNGU AKUBARIKI

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 Рік тому

    Nabii analindwa na malaika wa BWANA. Mwangalie Elisha alilindwa na nini (malaika na farasi wa moto). Acha utani na Roho zenu. Funguka akili zenu. Mtafute Yesu wapendwa. Yesu yu karibu kurudi, na mwisho wa dunia u karibu.

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 Рік тому

      Kam mwisho wa dunia umekaribia uza vitu vyako vyote hadi nguo zako coz mwisho wa dunia siumekaribia

    • @simonstephenuphamba5991
      @simonstephenuphamba5991 Рік тому

      Kweli ujinga umekujaa na giza limekufunika, Njoo ufunguliwe utoke gizani wewe!!!

  • @Elizabeth-em3bp
    @Elizabeth-em3bp Рік тому

    Ma bogard wa nini????
    Nguvu za Mungu ni kidogo kukulinda wewe.....kaa jili....hapana hunishawish kukusikiliza hata kidogo. Nooooo

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 Рік тому

      Na wewe kalale mlango wazi mungu ataulinda

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 Рік тому

      Acha unafiki mpaka ume comment anamana emeshaangalia na kusikiliza sasa unajifanya nini

    • @Elizabeth-em3bp
      @Elizabeth-em3bp Рік тому

      @@salimkingu2108 kapakwe grisi ulainike achana na sisi

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 Рік тому +1

    Ameeeeeeeeeeeeeen

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому

    Amen