ASKOFU MABOYA AMPA MANENO MAGUMU NABII MKUU GEORDAVIE KUHUSU MSIBA WA MWANAE NIC DAVIE USIWASIKILIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 209

  • @JeskajumaTanzaniaJeska
    @JeskajumaTanzaniaJeska 6 місяців тому

    Amina Sana nabii mungu akuzidishie. Iman

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 10 місяців тому +3

    Amen Asante kwa mahubiri Mazuri sana.

  • @mosesambrose5709
    @mosesambrose5709 9 місяців тому +1

    Neno lenye nguvu ,neno lisilo goshiwa , Mungu akuweke ,Dr.bishop Maboyaa

  • @tumainirwela6488
    @tumainirwela6488 9 місяців тому

    Poleni familia kwa msiba huu mzito. Asante mch Maboya kwa ujumbe mzuri sana kwetu na kwa familia.

  • @Mwk77
    @Mwk77 9 місяців тому

    Pole sana kwa mtumishi wa Mungu Geodavid na familia yote.ubarikiwe mtumishi wa Mungu Apostle D,Maboya ,kwaneno la faraja kwa watumishi wa Mungu.Halleluyah

  • @nemeskilagula5288
    @nemeskilagula5288 9 місяців тому

    Amina Bwana amekutumia kwavkiwango kikubwa sana Barikiwa

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 10 місяців тому +10

    Wallahi amemwambia George maneno magumu sana. Salute kwako Maboya. Umejua kumfariji hakika!!

  • @justinantanturo9860
    @justinantanturo9860 10 місяців тому +1

    Dady you are the best. Umeongea neno limegusa mioyo ya watu Mungu ameonekana kupitia wewe hakika Mungu alikuandaa kwa ajili ya kusimama katika siku ya leo. Wewe ni baraka sana

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 10 місяців тому

      MM KILE KITU NASHANGAA WATU KUVAA KAMA FREEMASON

  • @GilbertOdero-k1n
    @GilbertOdero-k1n 10 місяців тому +1

    Ujumbe Mzuri sana,nimebarikiwa sana.

  • @johngondwe8605
    @johngondwe8605 10 місяців тому +2

    Bishop Maboya, my role model

  • @annethmjwauz
    @annethmjwauz 10 місяців тому +3

    Nimefarijiwa na neno la mungu mtumishi maboya

  • @elizabethguga7396
    @elizabethguga7396 10 місяців тому

    Asante sana kwamaneno yako yabusara mtumishi yamemipa Imani sana ubarikiwe babà amen

  • @ZilpaShomi
    @ZilpaShomi 9 місяців тому

    Amina mtumishi kwa ujumbe mzuri mno hakika Kila aliyemsikiliza kwa makini amepata, roho mtakatifu atusaidie kuifahamu kweli.

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 10 місяців тому +18

    Sijawahi kusikia neno la Mungu km hili ktk kanisa la ngurumo,kweli tumshukuru Mungu kwa kila jambo, mengine yanafanyika kwa kusudi,leo kweli nimeona kitu cha Mungu kupitia Maboya,👏👏

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 місяців тому +5

    Maboya ni mwanafalsafa wanaomuelewa wachache ubalikiwe mtumishi wa mungu amen 🙏

  • @AgataMatei
    @AgataMatei 9 місяців тому

    Mungu awafariji ktk msiba huo naitwa mchungaji kutoka Geita katoro na Mungu akubariki mtume maboya ni baba yangu

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 10 місяців тому +2

    Amen Amen man of God ❤❤ umeongea point

  • @DoriceSawaki-vg4sb
    @DoriceSawaki-vg4sb 10 місяців тому +9

    Taifa limebarikiwa kuwa na watu wenye hekima mnoooo , Maboya Mungu akubariki Sanaa hata mm nmefarijika pia!

  • @luthmwandinde8930
    @luthmwandinde8930 10 місяців тому +1

    Huwa sikubari mahubir yako ila Leo umefariji kweli na umeongea maneno ya faraja yenye ukweli Big Amen

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 10 місяців тому +1

    Ngurumo ya upako siyo kanisa ni club entertainment and fashion for the blinds who doesn't want to do biblical research. Kama huwezi kuchunguza ukweli juu ya mahali ulipo ukabaki kutetea bila facts ujue nafsi yako imetekwa. 1Yohana 4:1, Mathayo24:11, Yeremia 23:16-33.

  • @levinawhite6786
    @levinawhite6786 10 місяців тому +3

    😢😢mungu akuweke aminaaaaa

  • @respiciusbuberwa136
    @respiciusbuberwa136 10 місяців тому

    Aminaa baba yangu

  • @BathshebaNyabika
    @BathshebaNyabika 9 місяців тому

    Hakika n mungu ametumia kinywa chako kufariji familia

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 10 місяців тому +2

    Amen Baba maboya

  • @dicksonjonas1799
    @dicksonjonas1799 10 місяців тому

    Ameen Bishop,,barikiwa snaa kwa ujumbe mzurii uliutoa🙏

  • @samwelibenson1802
    @samwelibenson1802 10 місяців тому +2

    NACHUKUA NAFASI hii KUMPA pole nabii mkuu jor Devi MUNGU awe pamoja na wewe katika kipindi hiki kigumu amen 🙏

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 10 місяців тому +3

    Haleluyaa, Haleluyaa Yesu ni mwema kweli yupo mfariji. 🙏

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 10 місяців тому +5

    34 year's very young 😢😢😢RIP my boy you not alone Jesus is there with you ❤❤

  • @IsayaMeikasi
    @IsayaMeikasi 10 місяців тому

    Pole Sana Baba Geodevid na Mungu akujaze faraja kipindi hiki kigumu na hakika Yesu anakupenda.

  • @subirachristopher1984
    @subirachristopher1984 10 місяців тому +2

    Polen sana, nimeumia sana, pia bishop maboya umeongea vema, nimetiwa moyo na mm pia

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 10 місяців тому +6

    Nakubali sana Bishop Dunstan

  • @catherinejustine5302
    @catherinejustine5302 10 місяців тому

    Amina polen sana

  • @bahatilyimo659
    @bahatilyimo659 10 місяців тому +3

    Ni msiba mzito sana. Mungu awatie nguvu. Apostle Dastan Maboya amenitia nguvu kwa maneno ya hekima. Nakumbuka yalivyonipata 2014 mwanangu wa kipekee. Niliumia lakini Mungu alinitia nguvu sikujua kama ningekuwa hai lakini Mungu ndiye aliyenishika na mkono wake wenye nguvu na Uweza.

  • @magdalenasanga4711
    @magdalenasanga4711 10 місяців тому

    MUNGU awe faraja yenu, Asante askofu maboya Asante Kwa faraja

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 10 місяців тому +9

    Kweli anayepaswa kuzikilizwa Ni Mungu tu binadamu wengi wanateuliwa na ibilisi kuharibia wengine msisikilize mtu songs mbele kila Mtu na maisha yake poleni familia ya mtumishi wa Mungu.

    • @manesasanga
      @manesasanga 10 місяців тому

      😂poleni Sana watumishi

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 10 місяців тому +1

    Amen Baba 👏👏👏👏

  • @getrudeosujaki889
    @getrudeosujaki889 10 місяців тому +1

    Poleni sana

  • @HappyKaaya-n4j
    @HappyKaaya-n4j 10 місяців тому +3

    Mungu aendelee kukuweka mtumishi wa mungu maboya kwa maneno ya hekima nayafaraja kwa nabii mkuu na familia yake na kanisa pia

  • @momylaviel
    @momylaviel 10 місяців тому

    Amina mchungaji maboya Mungu akuwekee

  • @ErickMahese-wm4yp
    @ErickMahese-wm4yp 4 місяці тому

    Amen

  • @jennipherChristian
    @jennipherChristian 10 місяців тому +1

    😂😂 nakupendaga sana Dastan Maboya... Unahubirigi kifalsafa.
    Rest in Peace Nisher😢😢😢

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 10 місяців тому

    Aninaaa sanaa. Umeimba vizuri mchngaji Mabeho. Mwenye masikio na asikie.

  • @theresiamalya7130
    @theresiamalya7130 10 місяців тому

    Ubarikiwe Baba yetu ,kwa ujumbe mzuri.

  • @edwardkimaro2103
    @edwardkimaro2103 10 місяців тому +1

    Shalom to all.I salute Apostle Maboya🎉🎉.Nimemfahamu Dastan Maboya Zaidi ya miaka 25 ilopita na nimewahi kuwa Mwanafunzi wake miaka ya 94/95 Kazi zake ni Njema majira yote.Hakika Familia na Mtumishi Geor Davie hata Sisi sote Tunaofuatilia Msiba huu Umetugusa Nimefarijika....Nabii Mkuu Kuwa Jasiri Kwa Aliyekuita Itimize KAZI Njema ya Muumba Wetu.IMEKUWA

  • @apostlesamuelkiariemuthoni7754
    @apostlesamuelkiariemuthoni7754 10 місяців тому

    May God comfort you.

  • @lightmoshi3131
    @lightmoshi3131 10 місяців тому

    Nimefarijika sana🙏

  • @gavanaletika4480
    @gavanaletika4480 10 місяців тому

    Amina maboya

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 9 місяців тому

    Kweli maboya, umejua kunifarijii.. ety tulia askofu yuko mbele?

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 10 місяців тому

    Jina la Bwana libarikiwe tunamshukuru Mungu kwa maisha ya kijana wetu Nisher.

  • @edinahalexander5306
    @edinahalexander5306 10 місяців тому +4

    Mungu ni Mungutu,atabaki kuwa Mungu,mambo yote tumwachie Mungu anajua,

  • @NyotaMariamu-h1y
    @NyotaMariamu-h1y 10 місяців тому +1

    Baba pole kwa radi hiyo iliyo kupata, Mungu awe faraja kwa familia yote.sijambo rahisi , ila Mungu awatiye nguvu.

  • @faithmwailunga6954
    @faithmwailunga6954 10 місяців тому

    Umejua kutoa neno la faraja baba, Mungu akubariki sana

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 10 місяців тому +2

    Haya mahubiri ni ya watu wote wafiwa na wasio wafiwa. Mchungaji uko vizuri saana. Mungu akubariki mnooooo. Sijawahi kukusikiliza na hii ni mara yangu ya kwanza ila una madini mazuri snaa.

    • @madamharrieth9453
      @madamharrieth9453 10 місяців тому

      Ana madini Sana Mobeyo hata mi ni first time kumsikia

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 10 місяців тому +3

    Napemda Sana huyu Baba maboya Mungu akubaliki sana

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 10 місяців тому

    Ni wale wale.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 10 місяців тому +2

    Naomba Mungu hawa walio Baki wazae huyu Mzee apate wajukuu

  • @mwakilulelefrancis280
    @mwakilulelefrancis280 10 місяців тому

    🎉 UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @mako331
    @mako331 10 місяців тому

    Njaa mbaya jamani

  • @AgataMatei
    @AgataMatei 9 місяців тому

    Wafariji jamani nimeona Askofu maboya mtumishi amepawa na msiba wanani Niver ni mtoto

  • @MonicaKombo-sj6ql
    @MonicaKombo-sj6ql 10 місяців тому +2

    Nimependa mahubiri yako mtumishi, umewapa faraja saana,

  • @japhetbukuru5300
    @japhetbukuru5300 10 місяців тому

    Braza injili ya kinabii iache kama ilivyo!. Maboya ni Apostle, Geordavie ni nabii

  • @dinavencesafar3055
    @dinavencesafar3055 10 місяців тому

    Barikiwa mtumish
    Pia pole Nabii Geordave roho wamungu akufariji

  • @gavanaletika4480
    @gavanaletika4480 10 місяців тому

    Amina

  • @ElizabethKiyeyeu-ko2nq
    @ElizabethKiyeyeu-ko2nq 10 місяців тому

    Mungu awatie nguvu familia na kanisa

  • @HelenaNkwera
    @HelenaNkwera 10 місяців тому

    Mm nimemuelewa uyo nic anawatoto nje kwaiyoo anamkumbushaa asiwafukuzee awachukuee awalee na kuwasomeshoo🎉

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 10 місяців тому

    Congratulation for good message. God bless you.

  • @margretben6920
    @margretben6920 10 місяців тому +1

    Hakika yuko mfariji. Mtumishi Dastan Maboya umetumika kufariji wengi sio Mtumishi Davie pekee.

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 10 місяців тому

    Ohhh poleni sana wazazi na familia hakika kifo hakina mwenyewe RIP kijana wetu

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 10 місяців тому

    34 tunalingana ase 😢😢😢😢huyu maboyo kiboko

  • @asakyalabwe2862
    @asakyalabwe2862 10 місяців тому

    Tuliimba sana tukiwa Iringa tukiwa vijana wenye nguvu.
    Mungu akubariki

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 9 місяців тому

    Pamoja na maneno mazuri mbona mnatiliwa mashaka sana!!!kulikoni????mbona kama hamuhaminiki,ñdg kuna nini???

  • @yovystevemsowoya1418
    @yovystevemsowoya1418 10 місяців тому +1

    Hapo kwa mkapa kweli asee

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 10 місяців тому

    Muhubiri yuko vizuri sana

  • @Emmanuelthomasmwalu
    @Emmanuelthomasmwalu 9 місяців тому

    rest in peace

  • @shalomtv1803
    @shalomtv1803 10 місяців тому

    Poleni sana katika kipindi kizito, MUNGU awape Faraja ya kweli

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 10 місяців тому

    Mungu akubarik kwamanen yafaraja😢

  • @levinawhite6786
    @levinawhite6786 10 місяців тому +1

    Nakukubali Bishop,

  • @upendomoto5752
    @upendomoto5752 10 місяців тому +1

    Mungu

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 10 місяців тому

    Mungu awatie nguvu Mungu awape faraja.
    Mungu endelea kusimama na watumishi wako.waendelee kufanyika kwa kondoho wako.🙏🙏🙏😭😭Mungu akupumzishe kwa amani ndugu yetu katika pumziko la milele na mwanga wa milele akuangazie🙏🙏🙏🙏.Ewe mwenyezi Mungu watie nguvu Kondoo wako asiwepo hata mmoja wa kukata tamaha wote wadumu katika amani nakushilikiana na watumishi wako🙏🙏🙏🇺🇲

  • @jamsonkanyiki6038
    @jamsonkanyiki6038 10 місяців тому +1

    Apostle maboya wewe Guinness

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 10 місяців тому

      AMekua pombe tena ama ulimaanisha genius

  • @mwakilulelefrancis280
    @mwakilulelefrancis280 10 місяців тому

    Amen B SHOP

  • @aaronmabondo6263
    @aaronmabondo6263 10 місяців тому

    Atawatafuna wote vima ninyi....masonic is masonic

  • @LinerMziray
    @LinerMziray 10 місяців тому

    Mchungaji abarikiwe kweli wewe ni mchungaji umekuwa mfariji kupitia neno .mungu akutunze na azidi kukupa hekima. Maana umefunikaaaaaaaaa😂❤😊

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 10 місяців тому

    Nimefurahi mno kusikia injili ya YESU ikihubiriwa hapo .kwa kweli nimefurahi kusikia madhabahu ile imetumia mda mwingi kumtaja yesu hapo.

  • @goshenprayersministries
    @goshenprayersministries 10 місяців тому

    Poleni sana RIP NISHER

  • @Chingagirl123
    @Chingagirl123 10 місяців тому

    Interview za mwisho za Nisher hakua sawa.Please Parents talk to your children’s.

  • @paulmaduhu5855
    @paulmaduhu5855 10 місяців тому

    Na salam alekum tena?

  • @HelenaNkwera
    @HelenaNkwera 10 місяців тому

    Nic sialisema anawatoto 2

  • @asifiwedeus4122
    @asifiwedeus4122 10 місяців тому

    Sijawahi kumsikia Geodav akimuhubiri Yesu

  • @bernadinlesulie476
    @bernadinlesulie476 10 місяців тому

    Tumuachie Mungu wa mbinguni

  • @juliethshangali7562
    @juliethshangali7562 10 місяців тому

    Roho mtakatifu ndio mfariji

  • @ngosimabwai322
    @ngosimabwai322 10 місяців тому

    Amakweli pesa sikilakitu napia pesa haiwezi nunua Uhai wa mtu😢😢😢

  • @familykabange6328
    @familykabange6328 10 місяців тому +1

    mtumishi wewe umewayi kuhubiri mzazi mzuri uwacha urizi hadi ku wajuku ,manayake Mchungaji DAVI SIYO MZAZI MZURI,atoke mchama ya Freemason Bado kafara ifatayo ni MKE wake.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 10 місяців тому +1

    Acha Mimi nikiangalia watoto waliyozsliwa na mtoto wangu huwa machonzi yananitoka

  • @thomastemu9938
    @thomastemu9938 10 місяців тому

    RIP Nisher

  • @sevelinamartin7752
    @sevelinamartin7752 10 місяців тому

    RIP Nisher😭👏🙏

  • @leonardlubala393
    @leonardlubala393 10 місяців тому +6

    Nani aliye waloga Watanzania kila msimba ya mtu maarufu tuna unganisha na freemasons??
    Huo ni ujinga na upumbavu kwanza wengi hata hawa elewi freemason ni nini na hutenda mambo yao kwa namna gani. Uongo ulio enezwana wachungaji wa kilokole wenye elimu ndogo ya Biblia na kujia kuli pambanua vizuri neno la Mungu.
    Na kwa ujinga huo watu wengi wanajengeka kuwa na hofu hofu zisizo na misingi.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 10 місяців тому +2

      Wewe mchungaji wa kipagani tupe elimu,maana naona kama wewe una ufahamu mkubwa juu ya Biblia.

    • @philipofelician4328
      @philipofelician4328 10 місяців тому

      Mbona makasiliko

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 10 місяців тому

      Lakin huyo Baba yake mmmh

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 10 місяців тому

      ​@@philipofelician4328tuambie wewe unayemfahamu huyo Geo Davi

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 10 місяців тому +4

    KWANZA NABII MKUU NI YESU PEKEE NA CASPECT HAWA WATU CHUNGENI SANAE FREEMASON NDIO WANAVAA TAY YA RED NA NGUO ZA BLACKE.

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 10 місяців тому

      Hongera Mary wewe utakwenda Mbinguni maana unavohukumu Ni ukakasi kwa kweli wabaya wazuri wote Ni wake

    • @aquinomsigwa6998
      @aquinomsigwa6998 10 місяців тому +3

      Nabii mkuu, ukuu upi, Jina la Bwana libarikiwe Yesu Kristo ndio mkuu.

    • @sophiekivuyo6028
      @sophiekivuyo6028 10 місяців тому +1

      sawa ata kama freemason lkn ww ni mwanamke ni vizuri ukatuliza komwe lako wakati wenziee wanaomboleza😮😮😮

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 10 місяців тому

      Hata kama wanaomboleza ila Mimi kiukwel huyu mzee sionagi tofaut na mfalme zumaridi nahisi kabisa ni ma agent wa brother shetan 😂

    • @philipofelician4328
      @philipofelician4328 10 місяців тому +1

      Msihukumu msije hukumiwa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 10 місяців тому +1

    Mchungaji Maboya ujue kabisa. Sijawahi kusikia mahubiri ya mfiwa. Niliona tu akivutiwa na mamic. Sasa kupitia msiba huu ajifunze kufundisha watu neno la Mungu kwa kuwa watu wengi wanamfuatilia bado anayo nafasi ya turekebisha mizaha na kuhubiri injili ya kweli kama Mtumishi Maboya. Poleni wote kwa msiba mzito.

  • @stevenmwedwa6905
    @stevenmwedwa6905 10 місяців тому

    Rip nisher mungu akubariki mtumishi......my condolences to the family 😢😢