Cheche za Tundu Lissu Kwenye Mkutano wa BAVICHA, “Vijana Tambueni Wajibu Wenu kwa Nchi”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 99

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 3 години тому +3

    Viva Lisu viva chadema Lisu washaaaaataaaa

  • @saitotimollel8495
    @saitotimollel8495 5 годин тому +18

    wanachadema msifanye makosa kumkosa mh tundu antipas lisu . MUNGU ANA KUSUDI NAYE PLEASE.

  • @datiusmartin6040
    @datiusmartin6040 5 годин тому +8

    Lissu>>>>

  • @josephatmbilinyi8947
    @josephatmbilinyi8947 2 години тому +3

    hongera lisu

  • @vicentjosephat6501
    @vicentjosephat6501 5 годин тому +11

    Togather man

  • @NkwabiMasanja
    @NkwabiMasanja 5 годин тому +10

    Lisuuuuu

  • @EmmanuelMbise-h1c
    @EmmanuelMbise-h1c 2 години тому +3

    Lissu 💪💪

  • @Jedidiah_Unit
    @Jedidiah_Unit 5 годин тому +19

    Tuleteeni Lisu Bavicha..🎉

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 4 години тому +4

    Lisuuuu🎉🎉🎉

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 3 години тому +2

    Asanteni sana Bavicha

  • @salestinNchimbi
    @salestinNchimbi 3 години тому +5

    Lisu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ThekraJanga
    @ThekraJanga 2 години тому +2

    Tunamtaka Lisuuuuuuuuuu

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 4 години тому +7

    Mhe lissu❤❤❤

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 5 годин тому +11

    We really really love you lissu

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 3 години тому +5

    Hongera Mh. LISU Kwa Hotuba nzuri sana yakuwatia Moyo VIJANA nikweli umekomaa kisiasa

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 години тому +2

    Tundu oyeeeeeeeee

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 5 годин тому +10

    This is your time Mr President Lissu

  • @selestinilaurenti4572
    @selestinilaurenti4572 19 хвилин тому

    🎉🎉🎉🎉lisu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 2 години тому +2

    Jezi km za simba

  • @FrolaMwanja-yk1ck
    @FrolaMwanja-yk1ck 4 години тому +8

    Mimi mwanachama wa ccm ,lkn namwunga mkono lisu ,chama cha chadema wabalishe mwenyekit sio huyo huyo miaka nenda rud, utafikir chama cha mtu mmoja

  • @MoyoMwimbwa
    @MoyoMwimbwa 4 години тому +8

    Asante kiongozi tukopamoja 🇹🇿✌️✌️✌️🤝

  • @OsamaIsare
    @OsamaIsare 2 години тому +1

    Lisu for chairman🎉

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 5 годин тому +17

    Rais wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️

    • @Omarimakuka
      @Omarimakuka 3 години тому

      Thubutuuu😊😊😊😊

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie 3 години тому +1

      ​@@Omarimakukarudi kwenu yemeni watanganyika tunamhitaji sana lisu

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 години тому

      😂😂😂😂

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 години тому +1

    Lisu🎉🎉🎉🎉

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 5 годин тому +8

    Twendeni na Lissu

  • @AnthonycharlesAnthony
    @AnthonycharlesAnthony Годину тому

    Lisu💪💪💪

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 17 хвилин тому

    Lisuuuu

  • @IbrahimuMartin-i5q
    @IbrahimuMartin-i5q Годину тому +1

    Lisu ni mwamba

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 4 години тому +6

    if we miss Lisu we are finished.please please please,in our unit let's us vote for Lisu,we need changes and having new constitution.

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 5 годин тому +6

    Mwamba hiyuuu

  • @RWABUz
    @RWABUz Годину тому

    Hiyo tisheti unyama sana!! Alooo

  • @NungulaRais
    @NungulaRais Годину тому +1

    Hii hapa

  • @JosephEnocy
    @JosephEnocy Хвилина тому

    Tupeni nafasi ya kumpigia Lisu pia wananchi tunamhitaji, muda na trh ya kupiga kura jamani tuwekeni wazi

  • @PeterPhilimoni
    @PeterPhilimoni 5 годин тому +6

    Jembe langu Lissu

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 години тому +1

    Together is one

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 5 годин тому +9

    Lisu anatosha kuwa mwenyekiti taifa

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Годину тому

    Lissu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 5 годин тому +6

    Lisu jembe

  • @JumaNurudini
    @JumaNurudini 53 хвилини тому

    Yani humu yale majizi ya ccm ndo hayamtaki lisu

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 4 години тому +2

    Who is speechless

  • @CharlesJoseph-mk7ih
    @CharlesJoseph-mk7ih 4 години тому +2

    ✌️✌️

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 5 годин тому +7

    Lissu na heche wanatosha

  • @AlexJames-x8w
    @AlexJames-x8w 5 годин тому +5

    Chiukua kijiti kutoka Kwa Mbowe ukipeleke chama kwenye ufanisi zaidi. Mungu akusimamie!

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 45 хвилин тому

    Ondoa mbowe asubuhi saa moja

  • @SulePonda
    @SulePonda 5 годин тому +6

    Lissu for President

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 2 години тому +4

    Hili jamaa linachukua kiti

  • @adammseven7085
    @adammseven7085 Годину тому

    ✌️✌️✌️✌️

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 13 хвилин тому

    Mbowe akiiba uchaguzi lissu anzisha chama

  • @AhmadWande
    @AhmadWande Годину тому

    Mm ni ccm lkn chadema mumbadirshe mwenyekiti chama kimekuwa cha ukoo mmoja Sasa

  • @HabibKhamis-b2x
    @HabibKhamis-b2x 2 години тому

    Hv hawa wanosimamaga nyumba mbona huwa wankimbiaga wakwanza nawengi wanakua an vitambi

  • @MarkMfoi
    @MarkMfoi 5 годин тому +3

    Sawa baba tupo na wewe

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 46 хвилин тому

    Lisuu amewaasa vema kabisa msilete wafu legelege

  • @AnossyMbonekela-sb6ol
    @AnossyMbonekela-sb6ol Хвилина тому

    Karmax alisema "You young people you have nothing to loose you may loose slave which is sure that you don't like it"

  • @nestor384
    @nestor384 4 години тому +3

    Tuleteeni Tundu Antipas Lissu M/mungu ana mpango naye
    Twende naye mpango wa Mungu utimie

  • @dianerditto
    @dianerditto 5 годин тому +3

    Huyo wa nyuma nilijua makonda😅

    • @MalabaKamatta
      @MalabaKamatta 4 години тому

      Ukorofi huo😅😅😅😅😅😅😂😂

  • @WilfredMaho
    @WilfredMaho 4 години тому +3

    Twende na lissu

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 5 годин тому +5

    Lissu ni jembe langu Zanzibar tuna OMO hapo lazima utatoa hutoi

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 28 хвилин тому

    Chawa wa wamagharibi

    • @shukurugasper4571
      @shukurugasper4571 12 хвилин тому

      Wewe tokea umekuwa chawa wa mama umepata nn???

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 10 хвилин тому

      @shukurugasper4571 maendeleo

  • @theodoryitambu7652
    @theodoryitambu7652 4 години тому

    Jaghamba anguu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 години тому +3

    Shoga ni baba yako lisu ni rais wetu hautamuweza ni mkubwa wao

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 3 години тому

    Ccm tunasema mpen lisu chama achana na hyo mpenda madaraka

  • @BichongolaInvestment
    @BichongolaInvestment 4 години тому

    TUNDU LISSU TUNA IMANI NA WEWE

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 2 години тому

    Anawafundisha Leo nyie ni wasomi chambueni mambo msitumike Kwa masala msiyoyajua masna jamaa speech Yake ni shada Tu duh,,,,

  • @Ars-t2k
    @Ars-t2k 2 години тому

    Lissu umakamu unamtosha. Burasa yakuongoza chama nadhani hana

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo Годину тому

      KUANDIKA hujui unakosoa mtu aliye kuzidi Kila kitu

    • @NurdinRamadhan-c6x
      @NurdinRamadhan-c6x 58 хвилин тому

      Mimi Naona watu Wana mihemkooo

    • @NurdinRamadhan-c6x
      @NurdinRamadhan-c6x 57 хвилин тому

      ​@@YohanaMasebowatu wanaenda na mihemkoo lissu yeye angetulia KWANZAA

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 3 години тому

    Tundu Lissu anatosha

  • @amanijm746
    @amanijm746 3 години тому

    Mmekata speech. Shame on you

  • @babahancytv4938
    @babahancytv4938 4 години тому +2

    Mh tuko na ww mpaka kesho

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 години тому

    Peoooples

  • @Terrapinvillage
    @Terrapinvillage 2 години тому

    Kambarage alikua mwanzilishi wa chama kipi? Taa au tanu? Tusomeni historia vyema

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 2 години тому

    Siwezi kumpa Lissu kura yangu daima ameonyesha udhaifu mkubwa kwenye kinywa chake

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 3 години тому

    HUYU LISU NI CHA MANENO SANA SI MTENDAJI!!
    KAMA SIO MBOWE BASI BORA MTU MWINGINE LAKINI SI HUYU LISU

    • @eidurbyakuzana1175
      @eidurbyakuzana1175 2 години тому

      Mh umetumwa kuendeleza umaskini na hali ngumu ya afrika

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Годину тому

    ua-cam.com/video/ceONKcsAxk0/v-deo.htmlsi=9W5LfJ_FUUXibkeX

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 4 години тому

    Nyie wajumbe sisi Wanaicnhi tunamtaka Lisu na Heche

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 5 годин тому +1

    Sema Achana na sera zako za kutetea Mashoga utafika mbali utafanikiwa kisimama kwenye Gape ilo

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 години тому

      Ushoga anatetea anayekugonga mtaro choko wewe

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 3 години тому

      @emmapaul1766 Jina lako na Mdomo wako Haviendani kabisa Yesu akukumbuke UTUBU

  • @samwelmabula5642
    @samwelmabula5642 4 години тому

    Mkutano wa Bavicha kama kamati ya harusi tu,wajumbe wachache sana

    • @giztony2009
      @giztony2009 Годину тому

      Hicho hicho chama ndo kilishinda 2015 kupitia lowasa kwa hiyo saivi nyie ccm mngekuwa chama cha upinzani

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 3 години тому

    ✌️✌️✌️