Wachungaji wafetheheshana katika Muhathara..Kukuru kakara..bySheikh Mazinge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @annelisejohns5664
    @annelisejohns5664 3 роки тому +4

    Kazi nzuri Sana yakutangaza dini ya Allah Shukran sheikh Allah atakulipa kwakila jambo

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f Рік тому +2

    MASHA ALLAH ALLAH Akuhifadhi Na Akupe Afya Mazuri Na Akupe Elimu Zaidi Ili Ufaidishe Watu Waijuwe Haki Waifwate Twakuombea Maisha Mema Na Umri Wa Kheeri

  • @user-wv3th2ln4d
    @user-wv3th2ln4d 3 роки тому +2

    Aki nimecheka sana sheikh mazinge nakupenda wallah Allah akupe umri mref

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 роки тому +2

    Ujue uyo Gerrison anajua kukweli Allah(s.a.w) amfanyie wepesi asilimu

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому +5

    Sheikh Mazinge unajua kutuvunja mbavu wallah!

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Рік тому

    Samahani awape Moyo huohuo mungu awahifadhi nyote mungu amsamehe madhambi yenu nawapenda kwa akili ya Allah dada yenu kutoka MSA likoni

  • @user-wv3th2ln4d
    @user-wv3th2ln4d 3 роки тому +2

    Shukran sana masheikh

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 роки тому +2

    mazing.umefuraaahi una wakaanga mmh

  • @halimamajid5252
    @halimamajid5252 5 років тому +9

    Hahahahaahahha. Mashaallah.... Allah awaajaalie kheir ya Duniani Naya aakhera inshaallah.

    • @yussufsheikh5111
      @yussufsheikh5111 3 роки тому +1

      Mungu awabariki masheikh wetu na mungu awape umri ndefu. Hawa mapastor hawana elimu na wamepotea.

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 3 роки тому +2

    Mashallah

  • @mamasamihamama2127
    @mamasamihamama2127 5 років тому +9

    Dini ya haki mbele ya mwenyenzi MUNGU ni uislam.Inshallah Allah atawalipa mashekhe wetu kwa kazi ngumu mnayo ifanya.

  • @njambuyakariuki
    @njambuyakariuki 3 роки тому +3

    TAKBIR

  • @mohamcpsi
    @mohamcpsi 5 років тому +9

    SRATUL AL IMRAN 3-19
    Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
    Quran 3-19
    Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allah , then indeed, Allah is swift in [taking] account.

  • @mohdsalum5428
    @mohdsalum5428 3 роки тому +1

    Mutkf nyny , njoon kwny uislmu

  • @yasinadan3356
    @yasinadan3356 3 роки тому

    Imebadilika kuwa mhadhara wa wakristo kwa wakristo

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 років тому +3

    ...Maaskofu wanaumana....!..INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN...!
    ALLAH awape pumzi muzidi kuwafungua macho waliopotea IN SHAA ALLAH

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому +3

    Mashallah Allahu Akhbar

  • @mtelezihalisi5074
    @mtelezihalisi5074 5 років тому +5

    Allah Akbar

  • @fatjum5900
    @fatjum5900 5 років тому +4

    MaShaaAllah masheikh wetu

  • @mariamum350
    @mariamum350 5 років тому +5

    Mashallah jazaka Allah kheir

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +13

    daa mazinge una wakaanga wachungaji kwa mafuta Yao allah akurinde

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +5

    Murtad Ali hana Elimu Sadakah imemuharibu Kanisani! !!!!

  • @yussuphmwiwindi9445
    @yussuphmwiwindi9445 5 років тому +3

    Jamani nimecheka sana wallah

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +4

    Allah awalipe masheikh wetu

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому

    MashaAllah 🙏 🤲

  • @laylarajab146
    @laylarajab146 5 років тому +4

    Sheikh Yahya Allah akupe Umri mlefu wenye kheri nawe pamoja na masheikh wengie

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 років тому +4

    mashaalah

  • @halimakhassimu1051
    @halimakhassimu1051 5 років тому +4

    Manshallah

  • @abdiwahab7027
    @abdiwahab7027 4 роки тому +3

    Mashaallah

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 11 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +8

    Hawa wote wachungaji wapelekwe Madrasa hawana Elimu

  • @dgtechcomputer2031
    @dgtechcomputer2031 3 роки тому

    Hayo maswali muulize ndacha ndio utajua hujui

  • @salimsalum7796
    @salimsalum7796 5 років тому +6

    Wana vitabu vingi hao

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 3 роки тому +1

    😂😂😂 Douh!! Shekh Mazinge umekua kunifurahisha wallah, waambie hao ukweli dini ya kweli ni uislamu tuu hakuna nyingine na haichomozi Zaid ya uislamu na Muhammad ndio mtume wa haki

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 4 роки тому +2

    MURTADI HUYO NI COMEDIAN

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +2

    Sheikh Mazinge Hahahahaha....

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 2 роки тому

    Mbona celewe uyo aliye na shuka nyeupe ni mkristo ama

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 роки тому

    Shamba la mananas

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому

    Mwish wanagomban wenyew😂😅😇

  • @andiwo100
    @andiwo100 4 роки тому +1

    Tazama mihadhara katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi ua-cam.com/video/a2pgCyZZ5pU/v-deo.html

  • @radjabuntunzwenayo1061
    @radjabuntunzwenayo1061 5 років тому +1

    nashukuru sana kwa muhadhara mumetufanyia lakini nataka kuongea na mazinge inboox

    • @maulidkhamis9446
      @maulidkhamis9446 5 років тому

      radjabu Ntunzwenayo na Mimi nataka kuongea na mazinge inbox namba yangu ni 0773358343

  • @abdillahramadhani2983
    @abdillahramadhani2983 3 місяці тому

    Watajua tarabu ukweli uko wpi

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 роки тому

    Hakuna Raha hii jamani

  • @hanifaali9526
    @hanifaali9526 5 років тому +2

    Huyu pastor mborana hata haelewi kinacho zungumziwa, yeye anajua tu kupiga makofi kanisani na kupewa sadaka Hana lingine.

  • @user-rp5jr7ig4q
    @user-rp5jr7ig4q 9 місяців тому

    Alii ni msomali ama?

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +2

    Haha

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka Sana

  • @abdaazyare3242
    @abdaazyare3242 5 років тому

    Hapo ni stage gani

  • @abdaazyare3242
    @abdaazyare3242 5 років тому

    Ni state gani ya islii?

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 4 роки тому

    Sasa biblia iwe kwa lugha moja kwani wao peke yao ndo wanastahili wokovu

  • @NGINDA99
    @NGINDA99 Рік тому

    HII NI DRAMA HAKUNA NA KUMCHEZEA BWANA YESU NA WAFUAZI WAKE LAKINI SISI TUTASIMAMA IMARA NA KUMWAMINI MUNGU KATIKA JINA LA MUNGU BABA , MWANA NA ROHO.

  • @BURHANDAWAHMAN
    @BURHANDAWAHMAN 5 років тому +1

    Gershon haha umeaibisha wakristo.

  • @sevenscounty409
    @sevenscounty409 4 роки тому

    Jesus did not speak Hebrew....
    He spoke aramaic

  • @mwanaishamlima2047
    @mwanaishamlima2047 4 роки тому

    Mashallah

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +1

    Hawa wote wachungaji wapelekwe Madrasa hawana Elimu

  • @danmunesh6233
    @danmunesh6233 5 років тому

    Allah Akbar