MPE MIC NA USTADH SULEIMAN MAZINGE,USTADH YUSUF WAMBUGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • KUTANA NA SULEIMANI MAZINGE ,USTADH YUSUF,USTADH SAIDI KATIKAMUHADHALA AINA YA KUKURUKAKALA UKUNDA TOWN =TAREHE 5.4.2019

КОМЕНТАРІ • 127

  • @abdallahtsuma5610
    @abdallahtsuma5610 3 роки тому +1

    A.a nmempeza sheikh mazinge kumuona katika mihadhara

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 років тому +5

    Masha Allah, shekh YUSSUFU unaelimisha na asietaka kuelewa hiyo ni jeuri yake tu,Allah awatangulie mashekh wetu katika kila hatua

  • @aminachowa1123
    @aminachowa1123 5 років тому +3

    Inshallah mungu awazidishie elmu mpate kuwaelimisha hao wakristo kwama hapo kuna kazi kweli kweli

  • @naheedahfarid8875
    @naheedahfarid8875 4 роки тому +1

    Mashallah shekh yusuf wewe wanimaliza na majibu yako yani hawa watu unawaleta paka yani raja tu kiskia daawa yako Allah akuweke na said pia awape kher na imani yenu izidi Ameen

  • @ashajuma8686
    @ashajuma8686 5 років тому +3

    Shukran mashekh wetu kwa mafunzo mazuri...Allah awalinde

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 роки тому +2

    Inalilahi wakirsto nishida mungu awape mogozo mastahd mungu awape kheri na baraka 🙏

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      ua-cam.com/video/P5aFppM13H4/v-deo.html

  • @ayanaamri3584
    @ayanaamri3584 3 роки тому +1

    Allah awalipe kher inshaallah

  • @osmankitale2330
    @osmankitale2330 5 років тому +2

    Sheikh wetu yussuf na said mungu awahifadhi na asanta kwa kumleta mazinge leo kitaeleweka tu shukran masheikhs

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 5 років тому +6

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu Mashekhe zangu Allah swt awa zidishie kushikamana kwa ajili ya Allah swt na Mtume sw.

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +6

    Masha Allah, ma ustadh wetu Allah awalipe kwa juhudi zenu insha Allah

  • @alimabaraza1135
    @alimabaraza1135 5 років тому +2

    Masha"Allah Shukran sana ustath Yusuf kwa kufika ukunda Mungu akujalie kila la heri akuepushe na kila la Shari ...amin yarab

  • @itangishakajimmy1566
    @itangishakajimmy1566 4 роки тому +2

    Shukran kwa kuendelea mna fundisha wasio jua pia na kuelewa

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 роки тому +2

    Wakristo wanatumia sanaa andiko la kusema Yesu alikuwepo Kabla ya Ibrahim Kutaka kuthibitisha kuwa Yesu ni Mungu, maana alikuwepo kabla ya Ibrahim.
    Wanasahau kuwa Suleyman alikuwepo na Mungu hata kabla hajaumba Dunia na mbingu, Mbona na yeye hawasemi kuwa ni Mungu?
    Tazama MITHALI 8: 22- 31, "
    22. Bwana alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale.
    23 Nalitukuka tokea milele, tangu awali, Kabla haijawako dunia.
    24 Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji.
    25 Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa.
    26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia;
    27 Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;
    28 Alipofanya imara mawingu yaliyo juu; Chemchemi za bahari zilipopata nguvu;
    29 Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
    30 Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima mbele zake;
    31 Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu.
    SASA MBONA HAWASEMI SULEYMAN NI MUNGU? AU NI UTATU KATIKA MUNGU?

  • @mamasamihamama2127
    @mamasamihamama2127 5 років тому +3

    Mashallah mashekhe wetu Inshallah Allah atawalipa kwa kazi ngumu mnayoifanya.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +1

    Shukran sheikh Suleiman mazinge,Mpe dozi huyo mkristo mpka kieleweke

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 8 місяців тому +1

    Mazinge haliwezi patikana.

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 3 роки тому +1

    Mashallah, mfundishe vizuri mualimu ataherewa tu.

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      ua-cam.com/video/P5aFppM13H4/v-deo.html

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 2 роки тому +1

    Mashaa llah Allah bariik fii kwa kazi ya Allah na mungu awalinde na kila hali

  • @adijahmunyasia1449
    @adijahmunyasia1449 4 роки тому +1

    Mashaallah tabarak Allah maustadh wetu..Allah awafanyie wepesi katika hii kazi ya kujitolea in Shaa Allah. Wakristo kiswahili mtihani

  • @husseinurissak7428
    @husseinurissak7428 2 роки тому +1

    Mashallah

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      ua-cam.com/video/P5aFppM13H4/v-deo.html

  • @MohamedHassan-tf3kn
    @MohamedHassan-tf3kn 5 років тому +2

    MashaAllah Allah awahifadhi Masheikh wetu

  • @badiriamohamed515
    @badiriamohamed515 3 роки тому +1

    Allah atawa jazi Kheri... Inn Sha Allah

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 3 роки тому +1

    Inshaa llah mungu awa zidi shie subra kuelewesha mtu mbishi

  • @mariamvicent7312
    @mariamvicent7312 5 років тому +2

    Maa shaa Allah
    Jazzak Allahu khayra

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +3

    Mazinge uwii

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +4

    Watapata tabu sana amjui nani yusuf wambugu na dr mazinge mutatibiwa2 musijali

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 років тому +3

    mashaAallah

  • @omarykusah9719
    @omarykusah9719 Рік тому +1

    Kiswahili hawajui

  • @user-hd4gf3ct4k
    @user-hd4gf3ct4k 5 років тому +1

    Mashaa Allah mungu awape subra na Iman ma sheikh wetu

  • @abdulrazaqmusamohammed219
    @abdulrazaqmusamohammed219 5 років тому +2

    Maa sha Allah

  • @alidanger5663
    @alidanger5663 5 років тому +3

    Masha Allah

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +7

    Waelimisheni mpaka waelimike

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 роки тому +1

    Duhh cjawah kuon mkiristo akaulizw sual alaf atow jibu lzm ataruk ruk n aanz kutafut maneno aunganishe unganish muna matatiz gn ww unaulizw wp yesu kaingia kanisan ohh mm cjui hiv Mara vile wapi ukiristo n dini cjui hiv cjue cle wapi yesu kasem aabudiw au aitw mungu cjui kw sbb yy alikuw hiv ww Kama kwel yy mungu angeabud Sasa alikuw akimuabud nn ? Anawez anijib hili

  • @nak3477
    @nak3477 4 роки тому +1

    Kher kwa mashekh wetu

  • @razakialiyas25
    @razakialiyas25 2 місяці тому +1

    Sheikh yusuf nataka kufundishana

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 років тому +11

    Kiswahili tu kimempiga chenga huyo mkristo
    ‘.....’AKACHUKULIWA JUU KATIKA UTUKUFU’.....Sio kuchukuliwa kivitendo Kwa kubebwa (KUPAA) kupelekwa mbinguni.....bali tafsiri ya AKACHUKULIWA JUU KATIKA UTUKUFU ni kuwa na kiwango cha Juu cha Utukufu yeye mwenyewe ‘...!
    Mfano: Mtu akikwambia wewe unachukuliwa juu kiimani.....Utasema Maana yake ‘KUCHUKULIWA JUU MBINGUNI KIIMANI (kwa kupaa)?‘..!...hapana maana yake UNACHUKULIWA KWA KIWANGO CHA JUU KIIMANI..!
    ....Jibu liko wazi tu...muwafundishe na lugha ya kiswahili...!...MAANA za LUGHA huwa zinawachanganya ndani ya BIBLIA...!

    • @SharifMustafa
      @SharifMustafa 5 років тому +1

      Huyo muinjilisti mtarajiwa anajipandisha uchizi asiyo kuwa nayo. KAnga'ngana yesu ni bwana mara oh yesu ni bwana kamili ,ila sisi waislamu hatushangazwi na kauli hii kwa sababu bibilia yao inawafunza kwamba mungu wako ni mume wako kwa hio huyu hapa kaolewa ni mke wa yesu ndio maana anasisitiza sana kuwa yesu ni bwana .

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 5 років тому +1

      #SharifMustafa ....Wakianza kuongea hao wainjilisti unaweza kuona wana haki Au wanajua maandiko’ kumbe ni hasara tupu’ ..!
      Wanapoteza sana Watu hawa watumishi wa kanisa...hawawaambii waumini iliyo kweli..!

    • @SharifMustafa
      @SharifMustafa 5 років тому

      @@ismailyusuph740 wanatangaza imani yao vitu vya kujitungia kichwani. Yesu bwana aliulizwa andiko yeye kakazania yesu bwana ...sasa huu si niulofa jamani.

  • @yussufsheikh5111
    @yussufsheikh5111 3 роки тому +1

    Huyu jama hajui kiswahili, eti kanisa linatajwa jina la mungu, ilhali andiko liko wazi msikiti linatajwa jina la mungu

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 років тому +3

    Hao wakristo hawaelewi maandiko.msiba!

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +4

    Hahaha bwana Yusuf mtakatifu

  • @shacshac7120
    @shacshac7120 5 років тому +2

    mpe mike hawana jipya usifanye mchezo na maustadh wamejiamini alhamdhulilah walimisheni hao

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 2 місяці тому +1

    Mualimo suleiman uko wapi???

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +1

    TAKBIIL ALLAH AWAJALIE AFYA NJEMA MPIGANIE DINI YA ALLAH MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 років тому

      Amin sote

    • @sidisaid4833
      @sidisaid4833 5 років тому

      MashAllah bro yusuf na soleman Allah awaifadhi

    • @ishaq9925
      @ishaq9925 5 років тому

      @@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp hizi namba she hee kira nikisevu haiku ji wasap kwa nn

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому

      Allah awabariki mashekh wetu Amiin

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +3

    Mashallah haha

  • @yussufsheikh5111
    @yussufsheikh5111 3 роки тому +1

    Huyo jama haelewi kitu chochote huwezi ongea na jengo.

  • @aliroro9344
    @aliroro9344 Рік тому +1

    😂😂😂Ynii kuna watu nimashipaaa sanaa 🤣

  • @user-gt8qq8tx6s
    @user-gt8qq8tx6s 5 років тому +9

    We live in a world where 2 + 2 = 5
    Just as 1 + 1 +1 = 1
    If you are confused
    Who is god?, Jesus
    Is Jesus the son of Mary?, Yes
    Who created Mary?, God.
    Who is God?, Jesus
    Jesus is the begotten son., Yes
    Who is his father?, God.
    Who is God?, Jesus.
    Jesus is a servant of God?, Yes
    Who is God?, Jesus.
    Jesus died on the cross?Yes
    Who resurrected him?, God.
    Who is God?, Jesus
    Jesus is a messenger?, Yes
    Who sent him?, God.
    Who is God?, Jesus.
    Did Jesus worship while on earth?, Yes
    Whom did he worship?, God.
    Who is God?, Jesus.
    Did God have a beginning?, No
    Then who was born on 25 DEC?, Jesus.
    Who is God?, Jesus
    Where's God?, In heaven
    How many are there in heaven?, Only one God.
    Where's Jesus?, He is sitted on the right hand of his father.
    Who is God?, Jesus.
    Then how many are they in heaven?, Only one God
    Then how many seats?, One
    Where's Jesus?, Seated next to God.
    Then how are they seated?, On one chair
    Its only understood by those with the holy spirit.
    Who is God?Jesus.
    Ha haha what a confusion.
    So beautiful to be a Muslim.

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +1

    Wakiristu mtaelewa tu tatizolenu biblia huwa mnaisoma ila hamuielewa

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому

    Mwanaume mbishi na wakijua haki ndoanazidi Kuwa mkali asipo silimu moto unamstahiki

  • @mohamedissack8053
    @mohamedissack8053 5 років тому +2

    Mazinge ni simba waisilamu

  • @adandiba6289
    @adandiba6289 4 роки тому +2

    MPE MIKEEE LOL

  • @mapendomrosso2270
    @mapendomrosso2270 5 років тому

    Yusufu wambugu kama mmetumwa kumpinga Kristo kwa mwamfuli wa uislamu msema maana wengine mmesoma mnaakili lakini mmekua wajinga kwa kutojijuabkwenu maana kama mngelijua yale yaletayo amani mngeliyatafuta lakini mmebaki kushikamana na majini mkiyakubali eti kuna mema na mabaya huo ni ujinga mpokeeni Yesu awaokoe maana mtaangamia katika uasi wa kora

  • @agnessmutua7749
    @agnessmutua7749 5 років тому

    Nyinyi waisilam malipo iko hapa.

  • @mohamedissack8053
    @mohamedissack8053 5 років тому +1

    Kkkkkkk

  • @mapendomrosso2270
    @mapendomrosso2270 5 років тому

    kweli waislamu hana elimu inamaana mtoto wa kiume asipo tairiwa hawi nwanaume hii ni elimu gani? unahitisha mkutono unashindwa kuwa na hoja senye mashiko poleni pia kaniza siyo jengo bali makutano hata hapo mlivyokutanika maanake ndiyo kaniza kaniza nibkusanyiko la watu walio kutanika kwa ajili ya Mwenyezi Mungu tu

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 років тому

      Kwani hujatahiri?,unalalamika nini

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 4 роки тому

      We Mapendo kama hujatahiriwa shauri lako maana humfati Yesu hapo!

    • @mapendomrosso2270
      @mapendomrosso2270 4 роки тому +1

      Fatma Zullu tohara ni agano la Mungu na Yakobo enzi hizo mi hainuhuzu japo nimetahiriwa ila kwa sasa haina maana inahitajika tohara ya moyoni siyo ya mwilini maana sasa linasimama agano lenye Nguvu la Damu ya Yesu iliyo mwagika kwa ajili ya walimwengu wote wenye kuitii injili

  • @jacksonshem4787
    @jacksonshem4787 5 років тому

    shda waislam wabish sana nyie hv ugaid mwataka uleta mpka kwenye titabu vya mungu ????

  • @gaboonviper9705
    @gaboonviper9705 5 років тому +2

    Dawa yenu mchungaji Ndacha mmemuacha wapi,😁😁nxt time nataka wakutane na mazige,,mpashwe mtoroke kama mlivyotoroka Nyahururu 😁😁mkarangwe vizuuuri akitumia aya za Qur'an na Biblia 😁🖐🖐

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому +2

      Mmbea uyooo 😊yuwafikiri kila mada lazima ndacha ausike ☺

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 років тому +1

      Hahaha,mndomo hauripiwi kondi

    • @gaboonviper9705
      @gaboonviper9705 5 років тому +1

      Sio hivo,,ni mdomo haulipiwi kodi 😁😁😁🖐

    • @SharifMustafa
      @SharifMustafa 5 років тому

      Tokea lini mbwa akapambana na simba? Haiwezekani kabisa Amir yusufu ni simba na mchungaji ndacha ni mbwa na hio ni bibilia imesema kwamba wachungaji wote ni mbwa wenye choyo. Ndacha mwenyewe hawezi kupinga kwamba yeye ni mbwa

    • @gaboonviper9705
      @gaboonviper9705 5 років тому

      @Sharif Mustafa@,,hivyo divyo mna-behave after kupulizwa matakoni na shetani mkiomba😁😁😁,,,Qur'an yathibitisha hili,,🖐🖐njoo upinge hilo

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 років тому +2

    Ma shaa Allah

    • @kimsi682
      @kimsi682 Рік тому

      ua-cam.com/video/P5aFppM13H4/v-deo.html