Dah YESU wetu ni mzur sana nawapenda waislamu kwa kua siku moja watamkiri YESU Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao na kubatizwa kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu sema Amen
Abdallah Kambangwa >laiti ungejua yale yaletanyo aman ungekuwa huru kama Mungu alimfukuza Luzifa na malaika wenzake wakawa pepo wabaya ninyi mnawaamini kuwa ni wazuri hongereni ndioaana mtume wenu hajui litakalo mpata kwenye kiyama hajui atajinjwa au atakarangwa je? wewe unae jisifia ndini ambayo haina matendo vip hukumu anaetoa ni Mungu peke yake wewe watoa wapi mamlaka ya kumlaani shetani na siyo tu shetan hata wanadamu wenzio unawaita makafiri je? wajijua wewe uko wapi na jee?kesho yako itakuaje? pia mnajisifia eti alie arabuni ni muhamadi kweli kusoma hamjui hata picha hamuon neno "arabuni " maana yake ni "mdhamini" na huyu mdhamini ni Roho mtakatifu ambae ninyi hamuwezi kumpokea maana haonekani
Allah ilinde dini yako, hakuna wa kuivunja hali ya kuwa watakao taka ivunja ni wanadamu ulowaumba mwenyewe, yaarabu nashkuru kuniumba nikiwa ndani ya dini ya kiislam na unifishe ndani ya dini hii iliyo ya khaki.
ukhty sakina @ asante kwa kujiona unajua kumbe unaungua na jua tatizo elimu ya dunia ni tofauti na elimu itokayo kwa Mungu .yiyi hata jina la Mungu hamlijui mmebaki uitia cheo tu ukubalini wokovu utokanao na injili acheni kungangania dini tena mnasema eti uislamu ndiyo dini sijui hata kama mnajua maana ya uislam kama mngejua mgekua vielelezo vya kuwahubiria watu injili ya wokovu aliyoiitia Mungu ili watu muache mambo ya dunia mumfwate yeye aliyewaumba na kuacha kujisifia kansu na vibarakashee ambavyo nje mnaonekana wasafi lakini moyoni ni wachafu wenye kumtukana Mungu na weye majivuno iweni wapole kama huwa na wanyenyekevu kama lilivyo jina la wislamu mmejaa matuzi weye kuhukumu kana kwamba ninyi hamjawahi kukosea kiongozi wenu hajawahi kurudi akawaambia kwamba mpo sahii sisi tunao mwamini Mungu kwa njia ya imani katika jina la Bwana Yesu tunauhakia na ujaziri wa kujivunia jina la Bwana maana yeye ndiye yule jana leo na hata milele alisema na adamu kwa neno alisema na Musa kwa neno na manabii wote mwisho akajidhihirisha kwa mwili aliouumba ndani ya tumbo la bikira mariamu ili kwa huo mwili ufanyike sadaka ya kulipa madeni ya watu wote katika dunia wale watakaoiamini injili na kuliamini jina la Bwana kisha kajitoa nafzi yake ili Damu yake iwe dhabihu safi mbele za Mungu / ukweli kimwili alikua mwanadamu asilimia mia ila Roho alikua Mungu na dio maana alisema sisemi mimi bali Baba ndie anasema ndani yangu tatizo watu masikio magumu na mioyo ni migumu laiti mngejua kusoma mngeelewa lakin kusoma hamjui mpaka msomewe na wasio na uelewa tangu lini kipofu akamwongoza kipofu mwenzake ? mmebaki kubishana na kuongea hata mzicho kielewa mnashangilia sijui huwa mnaitwa mzikitini mnaambiwa kesho tutakuwa na mkutano mjitokeze kutushangilia kana kwamba mpo kwenye mechi ya simba na nyanga badilikeni na mwombeni mungu awafungue macho na masikio na mioyo yenu maana Nabii isaya anasema watu hawa wamefungwa macho yao yanatazama hayaoni masikio yanasikia hawaelewi na mioyo ni migumu hawaamini .
YESU NI MWANA WA MUNGU ABADANI. Makafiri ni nyinyi Waislamu, mmekuja kuwapinga Mungu wa kweli YEHOVA na Manabii wake watakatifu,,, Manabii WOOOTE WANASEMA MUNGU ANA MWANA
Eeeh mola wetu ALLAH mtukufu muumba wa vitu vyote vilivyopo duniani tunavyovijua na tusivyovijua hakika viumbe wako si wakamilifu tunaomba utusameh madhambi yetu
Fatuma Sumish mungu hana mtoto wala mungu haja zaaa wala haja zaliwa wala hafa nani na chochote kile iweje leo hii wa maskofu mna waongopea watu wenu mna wambia yesu nimwana wa mungu
*Yohana **3:16** Kwa Maana jinsi mungu aliupenda hata akamtoa mwanae wapekee ili kila mtu amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele* *Yohana 14:6 Yesu akamwambia: Mimi ndie njia na kweli na uzima*
Ukweli ni kwamba dini nyingine tofauti na uislam ni dini babaishi historia zake ukichimba ukweli ni maslahi ya watu uislamu raha bana ni universal na uko uniform kila pahala watu waswali wakitamka na kusoma aya zile zile historia yake ni Allah mwenyew uliza about kristo utapata ushahid wake maskini wamepotosha adi utume wa issa aleiykh salaam afu wanakaririshwa hawajitambui mpk papa kiongoz wao anawakana na kusujudu ila hawaelewi yan
hawa jamaa wapotoshaji wanatumia ujanja kama nyoka,waanabadilisha maneno kiujanjaujanja wanasoma sawa wanaeleza tofauti kidoga kama nyoka wa edeni alivyomdanganya Adam ,lkn tatizo ni kutokumjua MUNGU muumbaji kwamba anaweza yote hakuna jambo gumu LA kumshinda MUNGU, bora kumjua Mungu wa Lugha zote kuliko kuamini mungu wa lugha moja
Ile Sauti iliyotoka mawinguni niya Mungu Baba mwenyewe akisema Yesu ni mwanawe,, Luka 3:21-22 21 Ikawa, watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu naye amebatizwa, naye anaomba, mbingu zilifunuka; 22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
Hiyo Yohana 5:37-38 Yesu anawaambia mafarisayo, nani kweli hao mafarisayo hawajawahi kuisikia Sauti ya Baba yake walioisikia sauti ya Baba yake ni Wanafunzi wake Yohana 5:37 37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona. 38 Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye.
Hakuna aliye penda kuzaliwa muislamu wala mkristo sote tulijipata katika dini za baba zetu na mama zetu kwa hivyo t uwache matusi sisi sote ni watoto WA Adam as.kulingana na mm nilizaliwa muislamu Nika amini uislamu lakini mafundisho ya uislamu na dini ya uislam ni nzuri mungu atupe ufahamu sote amin
Kabisa HUSSEIN umegonga ndipo. Dini ya mtu lazima iafikiane na zile za mama , Baba na Babu zetu .kwanzia hapa ndo kila mtu hujigamba na dini aliyoinona kutokona na nasaba hii .waama nasaba yangu yote iliona uislamu kutoka waliotangulia mbele yao na nashukuru nikiamini Mia kwa mia uislamu ndo dini ya haki na ya mwenyezi Mungu

Mohd Eddy > ukweli ni Kwamba Mungu ni Mmoja nae ni Roho asiyeonekana tatizo ninyi wanadamu mnapenda kushabikia Nino la Mungu kanakwamba mpo kwenye mechi ya zimba na yanga badala mwelimishane kwa upole na unyenyekevu ninyi waislamu mnajifanya mnajua sana na hakuna mnacho kijua kumkana Yesu ambae manabii walitabiri habari zake leo mnajifanya mnawaamini manabii na mitume wote hali walitabiri habari zake Yesu aliye fanyika dhambi kwa ajili ya Ulimwengu wote leo mnamwona zii kitu sijui kama tangia umezaliwa ulisha chinja mnyama yoyote kwa ajili ya dhambi zako kama inavyo agiza torati ya musa kama hujafanya hivyo unasubiri nn
Kama upo na ROHO MTAKATIFU unaweza elewa otherwise msijisumbue kuelewa utatu huu maana HAMTAKAA MUELEWE MPAKA SIKU YA HUKUMU MTAKAPOKUTANA NAYE AKATI HUKU MNAMKANA
Alafu iyo yohana 5:37 ungeanza 5:1-37 ili mjue Yesu aliokua anasema nao ni watu wa aina gani na pia mjifunze anapowaambia sauti ya baba yangu hamkuisikia wala sura kuiona ana maana gani sio kukurupuka na kupindisha maandiko, muombe mfundishwe na tunaojua sio hao wapiga domo, Biblia sio gazeti au kitabu cha hadithi Biblia ni muongozo wa maisha utafeli ukiisoma vibaya na utafanikiwa ukiisoma vyema. Mungu wa mbinguni awabariki wote wamtafutao kwa haki .
inasikitisha xna kuona mkristo anamwacha yesu aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele na kwenda kusilimu , mimi nina swali moja na ambayo imewashinda waisilamu wote kujibu, the question is just simple if Allah is the god that people must worship, please give provide me with a verse from Quran that says Allah is the true God and eternal life?? I can change my faith and become a Muslim at any time
Ww utaingia motoni kufata wazungu wako kuabudu binadam hata cc wailam tunaujua yesu ni na bii hata kat guruani yupo na mmungu ni huyohuyo mmoja ukiwa ukiwa hufatilizii utaona hawajui dini kumbe ww umepoteaaaa maskini mazinge kashtukaa kaona ataingizwa motoni mmungu kampenda ww endelea kuabudu mipicha ya yesu wa kizungu mcheza filamu
@@oliviakemuto1412 mmungu ni mmoja angekua mwingine tusinge ona ktk quruani yesu aliandikwa na mama yake ila wazungu ndio walibadili dini ya yesu kua sio wana isrzel walimpiga wakasulubu paulo akasema yesu mungu yy yesu hajasema yy mungu aliomba msada bada ya kusulubiwa na katahiriwa hv mungu anatahiriwa huo ni kukufuru
Mashallah Allah akuzidishie kwa kazi unayoifanya
Subuhanallah mashaallah tabarak kweli kabisa shekh wangu u islamu ni dini ya haki
Sheikh Suleiman mazenge we love you our sheikh
MASHALLAH ALLAH AFANYE WEPESI popote penye uzito kwenye kazi hii adhwiiim.....amiin
Allahuma Amin thenks Alhabib
hussein mwenja muvi
Pumbav zenu nyie makafir waislam msiekula kitimoto
W
Maa Shaa Allah, Allah awabariki Ma Sheikh Wetu, Alhamdulillah.Wanaelewa Hawa ila Ushindani tuu.
Asante sh mange hawajielewi hao uyo yesu nimuungu Mara mwanawamuungu ukweliwao hawause
Masha allah
Allah waongoze sana mana kazi mnayo ifanya si ndogo kuwaelimisha ao mpaka kuelewa si kazi ndogo
Jazakallahu Kheyr Sheikh Suleimani Mazinge
Nashkur mungu kunijaalia kuw muislam maana mtihan upo kw wakiristo alaf n wakaid sn ila tuwaombee duwa ipo cku mungu atawajaalia wataslim
Alhamdulilah, mungu awaongeze watu katika njia ilo nyoka shukran sana mazinge
Manshallah sheikh wangu Suleiman mazinge.... Am abig fan of you..... Hapo uliweza n kumwambia almayo ukwli
Allah akuzidishiye sheikh Sulaymaniyah mazinge
Nilijikuta nasema rahaaaa kwanguvu pare alipouluza laha sio lahaaa wallah najivunia kua mwisilam
Dah YESU wetu ni mzur sana nawapenda waislamu kwa kua siku moja watamkiri YESU Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao na kubatizwa kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu sema Amen
Mungu wa mbingu na nchi ni mkuu sanaa
Hamna muumin wa kweli akakiri ukafir
shekh mazinge Kauli nzuri tumia, ishaalar kwa daawa yako
Alhamdulillah Nashukuru Allah kwakuzaliwa Muislm, nipo kwenye dini ya haqak
Dini ya haki mbele mwenyezi mungu ni uislam si ukresto na si dinii
Abdallah Kambangwa >laiti ungejua yale yaletanyo aman ungekuwa huru kama Mungu alimfukuza Luzifa na malaika wenzake wakawa pepo wabaya ninyi mnawaamini kuwa ni wazuri hongereni ndioaana mtume wenu hajui litakalo mpata kwenye kiyama hajui atajinjwa au atakarangwa je? wewe unae jisifia ndini ambayo haina matendo vip hukumu anaetoa ni Mungu peke yake wewe watoa wapi mamlaka ya kumlaani shetani na siyo tu shetan hata wanadamu wenzio unawaita makafiri je? wajijua wewe uko wapi na jee?kesho yako itakuaje? pia mnajisifia eti alie arabuni ni muhamadi kweli kusoma hamjui hata picha hamuon neno "arabuni " maana yake ni "mdhamini" na huyu mdhamini ni Roho mtakatifu ambae ninyi hamuwezi kumpokea maana haonekani
Abdallah Kambangwa mpumbavu ni mpumbavu tu.
MashaAllah..
@@sidisaid4833 we ndo fala kweli
Alhamdhulillah kwa kua ktka dini ya hakhi Allah atujaalie tufe tukiwa waislam
Yuko wapi hatumsikia tena
Ma Shaa Allah masheik wetu,Allah awalipe fil duniya wal akhera In Shaa Allah.Leo nimekua wakwanza kucommet na wapili kuview
Aamin aamin
@@mudkhamis3078 Assalama Allaykum
Assalama Allaykum
Jazak'Allahu Khayran Ndugu yangu
Allah ilinde dini yako, hakuna wa kuivunja hali ya kuwa watakao taka ivunja ni wanadamu ulowaumba mwenyewe, yaarabu nashkuru kuniumba nikiwa ndani ya dini ya kiislam na unifishe ndani ya dini hii iliyo ya khaki.
Maashallah
ماشاءاللہ
Allah awajalie mwisho mwema na mdumu ktk kaz yake aamina
Asante sana Mazinge niko nanyinyi.
Yeyote aliyesikia almayo akisema sheikh masenge gonga like hapa
Chezea kubanwa nn 😂😂😂😂😂chaajab kitab nichao lkn wanafundishwa
Masha Allah, hongereni masheikh kwa kazi nzuri mnayoifanya , Allah awajaalie mwisho mwema yaa Rabbi
Allah hakujalie mwisho mwema ustadhi mazinge
ukhty sakina
@@mapendomrosso2270 uso haya n wewe mpotevu unojipotosha
ukhty sakina @ asante kwa kujiona unajua kumbe unaungua na jua tatizo elimu ya dunia ni tofauti na elimu itokayo kwa Mungu .yiyi hata jina la Mungu hamlijui mmebaki uitia cheo tu ukubalini wokovu utokanao na injili acheni kungangania dini tena mnasema eti uislamu ndiyo dini sijui hata kama mnajua maana ya uislam kama mngejua mgekua vielelezo vya kuwahubiria watu injili ya wokovu aliyoiitia Mungu ili watu muache mambo ya dunia mumfwate yeye aliyewaumba na kuacha kujisifia kansu na vibarakashee ambavyo nje mnaonekana wasafi lakini moyoni ni wachafu wenye kumtukana Mungu na weye majivuno iweni wapole kama huwa na wanyenyekevu kama lilivyo jina la wislamu mmejaa matuzi weye kuhukumu kana kwamba ninyi hamjawahi kukosea kiongozi wenu hajawahi kurudi akawaambia kwamba mpo sahii sisi tunao mwamini Mungu kwa njia ya imani katika jina la Bwana Yesu tunauhakia na ujaziri wa kujivunia jina la Bwana maana yeye ndiye yule jana leo na hata milele alisema na adamu kwa neno alisema na Musa kwa neno na manabii wote mwisho akajidhihirisha kwa mwili aliouumba ndani ya tumbo la bikira mariamu ili kwa huo mwili ufanyike sadaka ya kulipa madeni ya watu wote katika dunia wale watakaoiamini injili na kuliamini jina la Bwana kisha kajitoa nafzi yake ili Damu yake iwe dhabihu safi mbele za Mungu / ukweli kimwili alikua mwanadamu asilimia mia ila Roho alikua Mungu na dio maana alisema sisemi mimi bali Baba ndie anasema ndani yangu tatizo watu masikio magumu na mioyo ni migumu laiti mngejua kusoma mngeelewa lakin kusoma hamjui mpaka msomewe na wasio na uelewa tangu lini kipofu akamwongoza kipofu mwenzake ? mmebaki kubishana na kuongea hata mzicho kielewa mnashangilia sijui huwa mnaitwa mzikitini mnaambiwa kesho tutakuwa na mkutano mjitokeze kutushangilia kana kwamba mpo kwenye mechi ya simba na nyanga badilikeni na mwombeni mungu awafungue macho na masikio na mioyo yenu maana Nabii isaya anasema watu hawa wamefungwa macho yao yanatazama hayaoni masikio yanasikia hawaelewi na mioyo ni migumu hawaamini .
@@mapendomrosso2270 yani cna mda wa kusuma hii comment yako na cna mda wa kubishana nawe so fata dini yako niache kwenye dini yangu tusibabaishaneee
ماشاء الله!
TabarakaLLAH
Hao kiboko yao ndacha
alhamdulinllahi kuwa mm ni muslim kwakweli wenzetu mmepotea mnajiaibisha tu
Hongera sna najma kwa kushkuru kwahilo, hakuna dini ya kweli ispokuwa ni uislam pekee
Unajiabixha ww
Uslaam raha
YESU NI MWANA WA MUNGU ABADANI. Makafiri ni nyinyi Waislamu, mmekuja kuwapinga Mungu wa kweli YEHOVA na Manabii wake watakatifu,,, Manabii WOOOTE WANASEMA MUNGU ANA MWANA
Eeeh mola wetu ALLAH mtukufu muumba wa vitu vyote vilivyopo duniani tunavyovijua na tusivyovijua hakika viumbe wako si wakamilifu tunaomba utusameh madhambi yetu
Manshaallah Allah awalipe kwakazi kubwa mnayo fanya
Uislamu Neema
Naam
Allah akuzidishe Hekma sheikh Mazinge
Allahuma Amin
Mbowe
Upuuzi mtupu
Kweli njaa zinawapeleka makafr
MashaAllah Mungu awazidishie elimu yenu
Allahuma Amin
Jinga ww
Fatuma Sumish
mungu hana mtoto wala mungu haja zaaa wala haja zaliwa wala hafa nani na chochote kile iweje leo hii wa maskofu mna waongopea watu wenu mna wambia yesu nimwana wa mungu
Upotoehaji huuu waislamu
Wakristo hamuoni aibu wachungaji wanashindwa kutetea Imani yenu
As salaam aleykum,,,,Allah awape ufafanuzi kwa kila watakalo,,,washushiye ujasiri kwa lolote watendalo,,,In shaa Allah,,,
Waalaykum salaam
Aamiin
Wamejichanganya kisawa sawa ndugu zetu. Mimi huwa sijui wanamuomba mungu au yesu? Haina mantik naona. Mungu awaongoe.
Allah akuhifazin inshaAllah
Mashaa Allah
Hongeren allwa atawalipa
MashaAllah
mashallah
mashallah sheikh wetuu miss u..Allah akbat
Muhimpundu Assiya
Ahaaaaaaa,,,mazinge
Allahuakber❤❤
ManshaAllah😍
Mashaallaah
Ma shaa Allah
TabarakaLLAH
Nampenda San mazing
*Yohana **3:16** Kwa Maana jinsi mungu aliupenda hata akamtoa mwanae wapekee ili kila mtu amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele*
*Yohana 14:6 Yesu akamwambia: Mimi ndie njia na kweli na uzima*
Hilo andiko halimuhusu Yessu hebu someni maandiko wenyewe sio mnawafuata Hawa wachungaji biblia imewafananidha na mbwa Hao wachungaji wanawapotosha someni wenyewe mjue ukweli
Nakuongeza.. Tuandikie Isaiah 23:17
Ndugu zangu Waislam mnamkataa Yesu Kristo,ghadhabu ya Mungu itakaa juu yenu. Msifanye mioyo yenu kuwa migumu,wakati ni sasa.
shida sio kukataa shida n kubeba imani bla akili tutakubali vip akat maandko ya kwenye bible yenyewe hayajasema yesu n mungu someni jmn
aman chidundo hakuna undugu kati ya mkristo na waislam
Jazaakumu llahu khayra
Imamu Online Tv uislam rakhaa sanaa
Maashaallah Allah wajaze kheir wahadhir wetu Aaamin
Kila mtu ni kiumbe Cha Mungu lakini wanaosikia neno na kutii amri za Mungu ndio wana wake.....na Yesu ni mwana wa Mungu...
Waislamu tumshukuru mungu katupa hidaya tumekuwa waislam. Tuwaombee wengine nao waione dini ya haki.
Jadhaakallahu kher
جزاكم الله خير
amin
Masha Allah
Hahahaha mashaallah sheikh mazinge nakupenda sana ndugu yangu
Ushawahi fanya kazi kwa Mall of America?
Ukweli ni kwamba dini nyingine tofauti na uislam ni dini babaishi historia zake ukichimba ukweli ni maslahi ya watu uislamu raha bana ni universal na uko uniform kila pahala watu waswali wakitamka na kusoma aya zile zile historia yake ni Allah mwenyew uliza about kristo utapata ushahid wake maskini wamepotosha adi utume wa issa aleiykh salaam afu wanakaririshwa hawajitambui mpk papa kiongoz wao anawakana na kusujudu ila hawaelewi yan
Kumbuka Mungu hakuleta dini
MashAllah
Mnakufuruuu nyiee
Mashaallahu
Maashaah
MUNGU AWASAMEHE KWA KUPOTEZA WATU WA MUNGU MAZIGE NA WEZAKO ASIRA YA MUNGU HITAWAKA JUU YENU NDIPO MTAKAPO JUWA KWELI YA MUNGU ....
Uislam rahaaa
Alaahu akbar
muhadhara mzuri
Mazinge wew kipoko 👌👌
Muovu hukimbia Mezani pasipo fuata na mtu bali sisi Waislamu ni wajasiri kama Simba ..May Allah bless all Ummah of Muhammad(p.b.h)
hakika....Allahuma amin
amin thuma amin
Kila lahle waslaamu mungu atujalie tuwe watu wa peponi
Jazaakumu Allahukhairi.
Aaamin aamin
Uislam raha mno☝️☝️
takbiiiiiiiiiiil
Najma Alzaabi Allah akbar
Najma Alzaabi allahuaqbar
Pastor mazinge Umetoa neno lenye Moto ndani yake. Pia wokovu ni neema kwahio usipate tabu watakao sikia watakombolewa
Salallahu Alaihi Wasalam
Wanadamu wengine wamepotea et mungu anamtoto pole sana mungu akuongoze INSHAALLAH
hawa jamaa wapotoshaji wanatumia ujanja kama nyoka,waanabadilisha maneno kiujanjaujanja wanasoma sawa wanaeleza tofauti kidoga kama nyoka wa edeni alivyomdanganya Adam ,lkn tatizo ni kutokumjua MUNGU muumbaji kwamba anaweza yote hakuna jambo gumu LA kumshinda MUNGU, bora kumjua Mungu wa Lugha zote kuliko kuamini mungu wa lugha moja
Nilicho gundua mwisilimu ana ijua biblia kuliko wakristo wanyewe mana kutaja andiko mbaka akune kichwa wakati mwisilimu anataja bila kufikiria
Ile Sauti iliyotoka mawinguni niya Mungu Baba mwenyewe akisema Yesu ni mwanawe,,
Luka 3:21-22
21 Ikawa, watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu naye amebatizwa, naye anaomba, mbingu zilifunuka;
22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.
Muhammad alikufa akasaulika na Yesu yuko hai na nimwokozi wa ulimwengu wote ninyi wislamu mulipotezwa na shetani
Maandiko?
Acha ujinga mitume yote no wa mwenyezimungu kafiri ww
Wakristo hamujielewi
Nabii issa mwenyew atakufa au hujui hilo?
Sema baba w2 wa pn
Hiyo Yohana 5:37-38 Yesu anawaambia mafarisayo, nani kweli hao mafarisayo hawajawahi kuisikia Sauti ya Baba yake walioisikia sauti ya Baba yake ni Wanafunzi wake
Yohana 5:37
37 Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.
38 Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye.
Haki uislamu ni raha 🇸🇴🇸🇴
Hamna mkristo hapo ni kamchezo kama ni mkristo hajafundishwa vizuri sisi hatukaagi kwenye mashindano ya dini.
Usiludie usemiwako nilazima kushindania injili
Mubishabe amamuache nyote wawili siwaamini najuwa .Mungu ana dini
Ingekua mmungu hana dini asonge teremsha mitume na kukataza mabaya tungekua sawa na wanyama
ni dhambi sana
Hakuna aliye penda kuzaliwa muislamu wala mkristo sote tulijipata katika dini za baba zetu na mama zetu kwa hivyo t uwache matusi sisi sote ni watoto WA Adam as.kulingana na mm nilizaliwa muislamu Nika amini uislamu lakini mafundisho ya uislamu na dini ya uislam ni nzuri mungu atupe ufahamu sote amin
Kabisa HUSSEIN umegonga ndipo. Dini ya mtu lazima iafikiane na zile za mama , Baba na Babu zetu .kwanzia hapa ndo kila mtu hujigamba na dini aliyoinona kutokona na nasaba hii .waama nasaba yangu yote iliona uislamu kutoka waliotangulia mbele yao na nashukuru nikiamini Mia kwa mia uislamu ndo dini ya haki na ya mwenyezi Mungu
Kabisa HUSSEIN umegonga ndipo. Dini ya mtu lazima iafikiane na zile za mama , Baba na Babu zetu .kwanzia hapa ndo kila mtu hujigamba na dini aliyoinona kutokona na nasaba hii .waama nasaba yangu yote iliona uislamu kutoka waliotangulia mbele yao na nashukuru nikiamini Mia kwa mia uislamu ndo dini ya haki na ya mwenyezi Mungu
kuwa mwisilamu nilahasana namushukulu mungu kuona mm nimwisilamu asantii mungu
Takbri !!!!!!
Hiiii jamani hawa wakristo ndo tuseme hawajuwi kama ni mungu mmoja au hawanaadabu wataadhibiwa kesho akhera wache tu
wadanganywa kanisani
Mohd Eddy > ukweli ni Kwamba Mungu ni Mmoja nae ni Roho asiyeonekana tatizo ninyi wanadamu mnapenda kushabikia Nino la Mungu kanakwamba mpo kwenye mechi ya zimba na yanga badala mwelimishane kwa upole na unyenyekevu ninyi waislamu mnajifanya mnajua sana na hakuna mnacho kijua kumkana Yesu ambae manabii walitabiri habari zake leo mnajifanya mnawaamini manabii na mitume wote hali walitabiri habari zake Yesu aliye fanyika dhambi kwa ajili ya Ulimwengu wote leo mnamwona zii kitu sijui kama tangia umezaliwa ulisha chinja mnyama yoyote kwa ajili ya dhambi zako kama inavyo agiza torati ya musa kama hujafanya hivyo unasubiri nn
Muumin wa kweli wa mwenyezi Mungu lazima ale kitimoto kama huli wewe mdo haramu kumshinda hata nguruwe
Kama upo na ROHO MTAKATIFU unaweza elewa otherwise msijisumbue kuelewa utatu huu maana HAMTAKAA MUELEWE MPAKA SIKU YA HUKUMU MTAKAPOKUTANA NAYE AKATI HUKU MNAMKANA
Waisilamu mmebaki kushangiliwa tu,ukisikiliza mada waisilamu mnashindwa kazi kutukana
Alafu iyo yohana 5:37 ungeanza 5:1-37 ili mjue Yesu aliokua anasema nao ni watu wa aina gani na pia mjifunze anapowaambia sauti ya baba yangu hamkuisikia wala sura kuiona ana maana gani sio kukurupuka na kupindisha maandiko, muombe mfundishwe na tunaojua sio hao wapiga domo, Biblia sio gazeti au kitabu cha hadithi Biblia ni muongozo wa maisha utafeli ukiisoma vibaya na utafanikiwa ukiisoma vyema.
Mungu wa mbinguni awabariki wote wamtafutao kwa haki .
Clack Bonny
Ali Murtad ni mlevi maana analotamka haieleweki,kweli njaa ndio inawapeleka kanisani
Suleiman mazinge kiboko yao
Kwani sauti ikitoka mawinguni inamaanisha Mungu anakaa mawinguni? Hapo sauti ikitoka kwa spika inamaanisha mnenaji anakaa Kwa spika?
inasikitisha xna kuona mkristo anamwacha yesu aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele na kwenda kusilimu , mimi nina swali moja na ambayo imewashinda waisilamu wote kujibu, the question is just simple if Allah is the god that people must worship, please give provide me with a verse from Quran that says Allah is the true God and eternal life?? I can change my faith and become a Muslim at any time
Waislama wote jehanam,a.k.a moton
Usimuhukumu mtu kwa kufuata mataminio ya nafsi yako Kama kwenda motoni Munastahiki nyinyi kwenda motoni kwa sababu mumeikana dini ya haki ( Uislamu )
Saffi sana mazinge
Unawaona waislamu wanamcheka.Muhubiri sababu mapepo yamewatawala.masikini wanangojea jehamanamu tuuinasikitishaaaa
mazinge na hao wafuasi wake wote moto unawangojea nyinyi....
Richard Erick kwann unasema ivyo
Hawa waislamu wanajisifu kwamba wao ndo wamjua Mungu kwani nani kawambia,sisi wote tuasubiri Mungu mwenyewe atuhukumu
Kwasababu anapotosha watu.....