MDAHALO MKUBWA KAYOLE MATOPENI 22/4/2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • hii mjadala imefanyika katika mtaa wa Kayole Nairobi County 22/4/2019

КОМЕНТАРІ • 90

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +10

    Masha Allah, Masha Allah, mna kazi nzito walimu wetu ila kwa uwezo wa Allah awafannyie wepesi kwa kila palipo na uzito insha Allah

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +3

    Allah akbar masha Allah ma shekhe. Wapi shekhe yahya aseme tena na tena mtume wa ulimwengu mzima ndio ni waulimwengu mzima

    • @abuamso3390
      @abuamso3390 5 років тому +1

      Jamani waislamu lazima tujidai kwani sura tul maida ishasema wazi dini imekamilika na makafir hakuna siku watatushinda so waache watapetape ili dini uislim ni kitabu chetu ishatupa ushindi hakuna kitu kwa quran chakosekana its a complete cord

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 років тому +1

    Yesu alitumwa kwa wana wa izrail c kwa wakenya sawa👍👍👍live dubai

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 років тому +4

    SubhanAllah. yani mashekh mna kibarua Allah awalipe malipo kesho yakhera Amiin

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 років тому +5

    Uislam raha kweli jamani

  • @MohamedHassan-tf3kn
    @MohamedHassan-tf3kn 5 років тому +5

    Allah awalinde Masheikh wetu

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 років тому

      Allahuma Amin

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 5 років тому

      Muhamad alirongwa vipi unauma mini mungu alie uwawa yeso kauwawa katumbikwa kwenye msalaba wa laaana akashindwa kujitoa katika kifo akamlilia Allah akamsaidia alie rogwa na alie uwawa nani mbora mungu kauwawa na viumbe zake

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 5 років тому

      Allahumma Amiin

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 років тому +2

    ماشاء الله
    Mungu awajazi kula lakhery maustadhi wetu

  • @shabanichacha4562
    @shabanichacha4562 5 років тому +5

    Islamic is a true way to heaven

  • @mwatimasaleh423
    @mwatimasaleh423 5 років тому

    Mashalla mungu awazidishie nguvu masheikh mzidi kupigania dini ya haki Islamic

  • @ashaboke8849
    @ashaboke8849 5 років тому +2

    Maasha Allah sheik

  • @ahmedmohamed9040
    @ahmedmohamed9040 5 років тому

    Mungu awalipe masheikh,
    Taabu kweli kufunza asiyejua hajui

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому +4

    Kila nikiona wahadhiri wetu nafadhaika Sana jamani waislamu wote tutembee kifua mbele utukufu uko kwa mungu kupitia Muhammad S.A.W

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому +1

      Rehema Amadi. kabisaa yani tujivunie na dini yetu ya haki .MashaAllah waadhiri Wajitahidi na ao wenye masikio lakin hawasikii wana macho lakin hawaoni

    • @rehemaahamadiahmadi566
      @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому

      Kabisa ndugu yangu

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 років тому +3

    ALLAH AWALIPENI KWA KAZI YA IMANI NZURI YA DINI YA PEKEE ISLAMIC

  • @abdirizakaadan1153
    @abdirizakaadan1153 5 років тому +2

    Mungu ahifathi masheqe wetu waendelee kumfikisha kila mahali

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +2

    Masha Allah tabarakallah

  • @kamandaafande766
    @kamandaafande766 5 років тому +4

    Kenya mnaendelea na mi hadhara Tz akuna sikuhizi dahhh!!!!!

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 5 років тому

      Miadhara ipo kama kawaida tanzania ila waadhiri wamejiongeza wanafanya miadhara kwa style nyingine ya kuuza madawa ya kisuna

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 5 років тому

      fundi magari anasemea ya haina hii

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому

    Sheikh Yahya mnanyima watu raha, mada zenu fupi na mnazirusharusha kwa kuzkatakata

  • @vincentnyakundi2388
    @vincentnyakundi2388 5 років тому +1

    Na mbona mnakatakata video, this is not the full video

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 5 років тому

    Mashaallaaah kenya

  • @drgerishonodare3572
    @drgerishonodare3572 5 місяців тому

    Mwongo tu sanaa huyu Sasaka😢

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому

    Garison alazimisha somo lake kuingia vichwani mwa watu hata jaso jamani Hahaaaaa hilo kwa kanisa banaaaa si kwa waislam

  • @hanshiabdirahman3115
    @hanshiabdirahman3115 5 років тому

    Mash Allah

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 років тому +1

    Yesu ni bwana wewe ni nani 😆😆😆

  • @drgerishonodare3572
    @drgerishonodare3572 5 місяців тому

    Ngugi Salim unaleta ukora.

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 років тому

    Mungu hana mtoto we we mkristo vip nyie

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому

    Mada zenu ni nzuri sheikh but ni fupi

  • @fetynurdin7088
    @fetynurdin7088 5 років тому +1

    polen saana

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    Mashallah

  • @zephaniahvitus5540
    @zephaniahvitus5540 5 років тому +2

    Dini halimpeleki MTU mbinguni isipokuwa matendo yake na Neema ya Mungu tu

    • @muhammadabdi774
      @muhammadabdi774 5 років тому

      Dini ni kama passport na vitendo ni kama Visa na mtu bila ya hiyo mbili hawezi safiri.
      Au dini ni kama funguo na vitendo ni kama meno.ili mlango ifunguliwe hamna budi funguo enye meno ipatikane.

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому

      @@muhammadabdi774 kabsaa

    • @nooordubem2802
      @nooordubem2802 5 років тому

      Wacha zako kaka,kwani Mungu alikuwa mjinga ndio akaleta dini kwa viumbe wake ndio iwe uongofu kwa watu duniani???...dini ni njia bwanawe!

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 років тому +2

    Kama majini Wanaswali JIULIZE Ibada wanamfanyia nani?

  • @omarymtotela2487
    @omarymtotela2487 5 років тому +1

    Nawapongeza viongozi wa Kenya kuruhusu mihadhara uku tz hakuna kabisaa viongozi wababaishaji hawataki kujua ukweli

  • @maryjohn8785
    @maryjohn8785 5 років тому

    Bishaneni

  • @ahlanwasahlan373
    @ahlanwasahlan373 3 роки тому

    😃😃😃 kumepambazuka

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 4 роки тому

    L

  • @AbdulWahid-hp8qr
    @AbdulWahid-hp8qr 5 років тому +1

    Maashallah

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 5 років тому

    Hawa watu wanaojiita wakristo, hawana akili

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 років тому

    Sasa huyu akisema eti Muhammad alirogwa eti hafai kuwa mtume,na je yesu aliyepigwa mijeledi na akasulubishwa nani hafai kuwa mtume,hayo ni ukosefu wa elimu

    • @ramadhanmusa8505
      @ramadhanmusa8505 5 років тому

      Nooor Dubem hawajielewi hawa ndugu zetu wa damu

  • @maryjohn8785
    @maryjohn8785 5 років тому

    🤣😂🤣😂

  • @sofiamamaa5145
    @sofiamamaa5145 4 роки тому

    Nyinyi waislam wacheni kubisha wenyewe ata Quran haimuezisoma paka ujifunze arabic Bibilia hamjaielewa kabisa coz maana zake ni za ndani...wacheni kubisha just openup your eyes end minds stop being blind folded use your comon sense ata stile y kuomba yenyewe hamuoni mna busu arzi afu eti mtu akipita kw mbele eti unaaza tena sasa waomba Mungu alojuu au kitu cha apa apa chini duniani

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 років тому

    Gerishon anahubiri umesaya au ukristo?cjamuelewa!

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 років тому

    Mkimaliza MKASWALI NA MAJINI YANAWASUBIRI msikitini mnamwabudu MUNGU WENU IBLIS

    • @dullyvidully7798
      @dullyvidully7798 5 років тому +1

      We ushawahi kuona mskitini akatolewa jini si makanisani uko ndo mnakotowana majini nyie kenge

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 5 років тому

      Joseph Bonday kuswali na majini nikawaida ni waislamu wenzetu...majini ni viumbe vya mwenyezi mungu so kuabudu mungu pia ni Aki yao kwani ata yesu aliwatuma wafuac wake waubiri injili Kwa kila kiumbe akimaanisha hadi majini sio mapepo mnayo kuwa nayo kanisani kila siku Toka Toka waende wapi na umo ndio kwao

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 років тому +1

      @@bwegelanyakhaido3088 Yesu alipo waagiza kuhubiri Injili kwa kila kiumbe ALIKUSUDIA BINADAMU TU.SIO WANYAMA WALA MAJINI(MAPEPO).NDIO MAANA MSTARI HUO ANAENDELEA NA KUSEMA " AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA, ASIYEAMINI ATAHUKUMIWA".WANYAMA NI VIUMBE ILA HAWANA UTASHI WA KUAMINI, VILEVILE MAJINI HAWANA SIFA YA KUAMINI

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 років тому +1

      Pia MAJINI NI MAWAKALA WA IBLISI HIVYO HAWANA SIFA YA KUMFANYIA IBADA MWENYEZI MUNGU ILI HALI WAO MKUU WAO NI YULE IBLISI NA SHETANI.

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 років тому

      Kama WATAKUWA WANAFANYA IBADA, BASI ITAKUWA IBADA YA KUMTUKUZA KIONGOZI WAO AMBAE NI SHETANI NA IBLISI KWA KUWA ALISHAMUASI MWENYEZI MUNGU HIVYO HATAKUWA NA MSAMAHA KWA ADHABU YA MOLA

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 років тому

    Yesu alitumwa kwa wana wa izrail c kwa wakenya sawa👍👍👍live dubai