PAULO MTUME WA SHETANI...MCHUNGAJI AJITIA KITANZI MWENYEWE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #Mazinge

КОМЕНТАРІ • 111

  • @nak3477
    @nak3477 4 роки тому +10

    Huyu mazinge anafanya kaz kubwa na nzr..allah amlipe malipo makubwa....

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому +2

      Tafadhali tumia herufi kubwa kutumia jina la Allah

  • @aishamusa941
    @aishamusa941 4 роки тому +3

    Shukran kazi zenu nzuri sana mungu awazidishie elmu ❤️❤️❤️🇺🇸

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 роки тому +2

    ManshaAllah masheikh wa kislamu n mungu anawaona kwmba mnaeneza diini tukufu la kiislamu n mnawafungua mandugu ztu kikiristo macho lkn hawaoni kitu

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +1

    Shukran mazinge waelimishe hao wakiristo kwa kua Paulo sio mtume wala mpango huo haupo

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 4 роки тому +5

    Chapeni kazi ya Allah bila kuchoka nasisi tuko nyuma yenu kuhakikisha dini ya Allah inafika kwa kila mtu

  • @mohamedmohamed-fs1tl
    @mohamedmohamed-fs1tl 2 роки тому

    mashaallah Allah bariik my brothers

  • @aliothmanmohammed2477
    @aliothmanmohammed2477 4 роки тому +5

    Mazinge mashallah Allah hakupe pepo inshallah kaka yangu

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому +1

    Mashallah Allah azidi kuwapa afya njema namuendelee nakazi hii kuwafungu hawa nduguzetu walio potea 🇶🇦🇶🇦

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому

    Ni pepo tu juu yako kwa Allah hamna lengne.sheikh Suleiman

  • @theoriginaldhol3032
    @theoriginaldhol3032 3 роки тому

    Mansha Allah bro sulayman Mazinge he explained everything in detail and easy to understand May Allah reward him abundance

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому

    Mashallah Shk. Mazinge na wenzako Allah awalipe kheri Inshallah

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому

    MASHAALLAH 🙏 🤲 TABARAKALLAH ♥️❤️

  • @fatjum5900
    @fatjum5900 4 роки тому +4

    MaShaaAllah 🙏

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +2

    Watanyooka tu mazige baba lao

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 роки тому +3

    Mashallah

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 3 роки тому

    Mazinge 🙏💪

  • @victorkoros1763
    @victorkoros1763 3 роки тому

    Iko sawa

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 роки тому +2

    Siku ya hukumu hakuna mkiristo atakataa kuwa hakuambiwa kuwa njia wanayo fuata ni ya shetani, Uislamu ndio dini ya haki kw Mwenyezi Mungu

    • @shaddycollins9760
      @shaddycollins9760 4 роки тому

      Uache kujidanganya ndugu soma Quran soma vitabu zote za waislamu utapata ukweli,

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому +1

      @@shaddycollins9760 Acha kufuata wazungu na ufuate mafundisho ya Mungu kw mitume waliposema Mungu ni mmoja tu na tusiwaabudu ila Mungu wa pekee, ingekuwa ukiristo ni dini nchi inayotokea mitume wengi wangekuwa wakiristo kama wewe

  • @shaameshaame2136
    @shaameshaame2136 4 роки тому

    mungu hawezi kutahiriwa na binadamu aliemuumba.

  • @mwanahamisially5234
    @mwanahamisially5234 4 роки тому

    Wasipoelew leo bas ten Allah awaongoze ktk hak nawaifuate

  • @Michoarbah
    @Michoarbah 4 роки тому +5

    #tumewapiga aise mm siwez kuacha Islam ata iweje

  • @didamansour7825
    @didamansour7825 4 роки тому

    Assalam alaikum Sheikh Yahya
    Muhadhara mzuri sana but it just stopped in the middle of it. Haufiki hadi mwisho.

  • @user-pz8cb9cj3i
    @user-pz8cb9cj3i 4 роки тому +3

    mbona haikuendelea basi hi mikafir itanyoka2 kwauwezo wa allah masheikhi wetu allah awape nguvu mudumishe jambo hili la kheir

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 роки тому +4

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mkombozimstaff4830
    @mkombozimstaff4830 4 роки тому +2

    Safi

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 роки тому

    Mashallah, Allah akuzidishie elimu

  • @mrbill413
    @mrbill413 4 роки тому +2

    Mshallah

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 роки тому +2

    Hawa wakristo kwni walifungwa macho ama vipi mpaka hawaelewi Bible yao enyewe

  • @BayuyuHussein
    @BayuyuHussein 6 місяців тому

    Allahu Akbar ❤❤❤

  • @hamza89945
    @hamza89945 4 роки тому +3

    The truth is there I don’t know why Christians can’t see it

    • @yussufdaudi9408
      @yussufdaudi9408 4 роки тому

      Akuna dalili ya ukiristo ni dinii wafuata matamanio yao tu

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 4 роки тому +1

      There is a seal in their hearts and in their ears, they shall not see or hear. Pengine mungu awahurumie.

    • @shaddycollins9760
      @shaddycollins9760 4 роки тому

      @@hanifaali9526 nyie mungu akufunulie uchue ukweli ucje ukaingia jehanum,

    • @ayushiabubakar1930
      @ayushiabubakar1930 4 роки тому

      Wachugaji mbona munakaa mazezeta swali lipo wazi tu ametumwa Nanani wacheni miujza towa Aya mungu asema nimtume

    • @hanifaali9526
      @hanifaali9526 4 роки тому

      @@ayushiabubakar1930 wamezoea uongo sasa kujibu pengine waongeze siasa ndani yake.

  • @fatimahussen3234
    @fatimahussen3234 4 роки тому

    Mashallah shekh

  • @shaddycollins9760
    @shaddycollins9760 4 роки тому +1

    Mazinge wewe ulikua mkristo lakini ukatoka Sasa umeamua kupiga ukristo vita nisawa tu, wewe Ni sawa na Yule mwana mpotefu ile siku utatamani kuokoka mda utakua umeisha, Amos 8:11, nakuhurumia Sana Tena Sana,,

    • @FarxiyoSomali
      @FarxiyoSomali 4 роки тому +1

      maashlah mualim mzingejasakalahu khyr

    • @ahmadakishingo1935
      @ahmadakishingo1935 4 роки тому +2

      Mazinge Mungu amempa macho na masikio nayo ameyatumia kuona na kuiskia haki

    • @shaddycollins9760
      @shaddycollins9760 4 роки тому

      @@ahmadakishingo1935 ole wake mazinge maana hajui anacho fanya, mahali alipo anaelekea motoni direct, Kuna siku atatamani kumpokea kristo kumuokoa lakini itakua ngumu, Biblia tu ndo neno la mungu, mungu hawezi Leta Biblia alafu baadae alete Quran iche ipinge Biblia, Biblia tu ndo neno la mungu, maisha yangu yote sitaamini kitabu chochote isipokua Ni Biblia, Qur'an Ni uchawi sio neno la mungu, qoran 74:24 Qur'an 2:102, kulingana na Quran malaika wawili walishukisha uchawi,

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому +1

      @@shaddycollins9760 ww utapotea na utazidiii kupoteza, yesu hajui dinii Inaitwa ukristo wala hajawahi kusikia, hiyo ni dinii ya warumi waliyo laaniwa na Munguu. Wataka kujua zaidii kuhusu ukristo nitafutee nitakufungua machoo. Hapa ndipo pa ukweliii na uzimaa wa milele na kamaa wataka kuongozwa na shetani maamuzii ni yakoo. Soma waefeso 1:13 utapataa ukweliii

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    Kasina is totally only a comedian

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +1

    Paulo alioteshwa namajini ambayo wengi wacungaji ndio ndugu zenu

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому +1

    A question, who among the disciples
    of Issa their so called Jesus prayed as Jesus God or Son of God or anybody among Jews who did?

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 2 роки тому +1

    Sasa nyinyi mapasta mwatuchanganya. Vipi mtu mmoja anaweza kuwa na sura mbili kama shilingi? Huyu Paulo amezingirwa na fafanuzi mbili zinazogongana kabisa. Basi enyi Watu wa Kitabu, mtafuata aliyofundisha Yesu au Paulo? Basi najisalimisha kwa Mola aliyetakasika na porojo za hao makafiri.

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 4 роки тому

    Kweli wakrsto hwajijui Ataritupu

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    Patches ,after patches from the pastors

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    All prophets were middle eastern contrary to Paul is westerner (lahaula)

  • @myself4128
    @myself4128 3 роки тому

    Mambo alofanya paulo Muhammad hakufanya hata jambo moja,paulo aliishi maisha matakatifu hakuwahi kuoa mke wa mtu kama muhammad(Zainab) na wala hakuoa katoto ka miaka6(aisha) alihubiri injili yenye nguvu kwa uweza wa Roho mtakatifu na alifanya miujiza mingi mnona alikufa kwa ajili ya kuitetea imani,,,
    Je nini kilimuua mohammad? Uroho wa nyama..alitiliwa sumu

    • @mariamabdallah115
      @mariamabdallah115 3 роки тому

      Utakufa kafiri wewe usie jielewa motoni wala hakuna wakukutetea hata huyo paulo wako hatokujwa kafiri mkubwa wewe

  • @mwanahamisially5234
    @mwanahamisially5234 4 роки тому

    Hii mada huiwez omba msaad mchungaj mchanga😁😬😂

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 3 роки тому

    Mashaallah

  • @mwanahamisially5234
    @mwanahamisially5234 4 роки тому

    Paul hakuw mtume Wala mwanafunz wa yesu

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 4 роки тому

    Paulo alitumwa na nimtume wa mungu hata Mohamad hafiki kwa utume wa paul nyinyi nikupotosha maandiko ya Paulo.

    • @masharubundevu3765
      @masharubundevu3765 4 роки тому

      Ww hujuwi kitu bendera tu unafuata upepo kz kubiruwa maandishi tu kalamu ya mwandishi inakupotosheni

    • @salummkunza2285
      @salummkunza2285 4 роки тому +1

      Pole sana ndugu,umeshindwa kuelewa yote hayp?

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 3 роки тому

      Umesoma kitabu chochote wewe, ama unajiropokea tu?

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 3 роки тому

      Kweli wakristo ni Mbumbumbu .Yani Somo lote hilo bado hakuna kitu ameshika ama kuelewa? Bonzo

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 3 роки тому

      @@chiefmkalikibz1503 mbumbu ni waislamu maana hakuna siku mutaambiana ukweli hata quran yenu ina jua Paul ni mtume wa mungu mutaenda motoni

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 4 роки тому

    Ujumbe umekatishwa
    Maswali na majibu hakuna

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    Paul said was given his mission by Jesus so where is the allegation given by God , where was the instance and when?

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    And the so called pastors*

  • @nahimanahussein707
    @nahimanahussein707 4 роки тому

    Si mtume wawazungu

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    And these called Pastors are conspiring to make patches and cover up of the truth

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 4 роки тому

    Shuklan

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    The blue shirted Kasina is attacking the shaikhs instead giving points and evidences

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 4 роки тому

    Mimi na naposikiza hoja nasikiza za waislam but wakristo Sisizi juu nikijalibu kuasikiza ua wanasema vitu vyauongo

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 роки тому

    Ww mkiristo ht hjw unaaema nn?kwanza hmn vitabu hivo citabu vimeandikwa na wayahudi

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 4 місяці тому

    Hawa wachungaji ni wajinga sana😂😂😂

  • @chengem.costantine6110
    @chengem.costantine6110 4 роки тому +1

    Masheikh wahuni sana nyie mnaowasema alafu mnatumia maandiko yao..tafuteni maandiko yenu ya kweli.😂😂😂😂...akili yake haichunguziki MUNGUBABA mnaweza mkajiona mpo sawa kumbe hamna kitu.

    • @hajimohamed9711
      @hajimohamed9711 4 роки тому

      chenge M. costantine mkiwa kanisani mnadanganya nahao wachungaji wenu ili wapate kujaza matumbo yenu mazinge anawalesheeni mpate kuelewa ila bado mpo kwenye kiza,nikuulize swali kuna andiko kwenye biblia linalosema kristo ni dini au yesu nimkristo

    • @chengem.costantine6110
      @chengem.costantine6110 4 роки тому

      @@hajimohamed9711 na wewe nikuulize andiko gani linasema mimi MUNGU wenu ni muislamu au mimi ni mkristo???ukilipata niletee

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому +1

      #chengeMcostantine ....Tatizo wakristo mnaongea kimdomo mdomo maandiko yako mbali nanyi ‘...!..Sheikh Mazinge anatoa MAANDIKO ya biblia...!
      Paulo a.k.a Saul of Tarsus ni Phylosophy mmoja ‘ mjanjamjanja ambae alikua ni FUNDI MATURUBAI na mtengeneza mahema (TENT MAKER) Ndio alianzisha ukristo yeye na WAPAGANI wa ANTIOKIA miaka 14 baada ya Yesu kupaa mbinguni ‘ Kwa mujibu wa maandiko ya biblia...!
      Sasa ww zingatia na ukasome maandiko’ usiwe mtu wa kufuata ushabiki..!

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 4 роки тому

      Niliandika unakuwa unajiamin🤣🤣🤣hawezi kukupa andiko Qur'an sababu huiyamin angesoma Qur'an ungesema uamin...anakufunza bibilia sababu we mwenyewe hujui bibilia yako

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 роки тому

      Halafu maandiko ya biblia yakipingana weye unafata lipi katika hayo? Utafata ya yesu au ya paulo? Naomba jibu moja tu kwa ufupi yupi unamfata? Halafu anashindwa kumtetea paulo katika biblia anaanza kutafuta qurani! Je kaiamini qurani? Km kaamini asilimu tu maana qurani inasema. " HAKIKA DINI YA HAQI KWA MWENYEZIMUNGU NI UISLAMU" haya silimuni basii

  • @shaddycollins9760
    @shaddycollins9760 4 роки тому +1

    Sinagogi maana yake Ni msikit wa yahuti mbona hawakusema msikit wa waislamu, katika ufunuo Isha sema msikit Kama sio wawayahudi itakua Ni wa shetani, ufunuo 12:9,

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому

      Mbona hujatoa Yesu kaingia kanisani kuhubiri na kucheza ngoma?

    • @shaddycollins9760
      @shaddycollins9760 4 роки тому

      @@kijanahodari2080 soma zaburi147:1, mathayo 21:12 yesu akaingia hekaluni, maana ya hekalu Nini Kama sio kanisani,,
      Mimi Niko na swali Biblia inasomwa msiktini ama kanisani,

    • @ahmadakishingo1935
      @ahmadakishingo1935 4 роки тому

      Je kitabu alichokuja nacho yesu ni biblia au injili ww kichwa maji

    • @ahmadakishingo1935
      @ahmadakishingo1935 4 роки тому

      Mskiti huwa mskiti na kanisa huwa kanisa hata ukiwa mskiti wa wanyamwezi bado utakuwa mskiti

    • @shaddycollins9760
      @shaddycollins9760 4 роки тому

      @@ahmadakishingo1935 wewe mwenyewe hujielewi umekamatwa na waarabu, Biblia maana yake Ni maandiko matakatifu, ushawaiona kitabu chochote kimeandikwa Biblia ikiwa Haina neno la mungu, Qur'an inawapeleka jehanum wewe, Qur'an 27:82_2:223:

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 роки тому

    You are talking to people who are Summum,bukmmum,u3myun as described in the Holy Quran what you expect?

  • @josephmtemi5658
    @josephmtemi5658 4 роки тому

    Biblia haisomwi kimsikiti msiti😁😁😁😁👅👅👅

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому +4

      #josephmtemi ....Kweli Kwa sababu msikitini hatufichi maandiko’ Biblia ukiisoma kikanisa Kanisa matokeo yake Ndio Hayo...!...mnaacha maandiko ya biblia mnafuata maneno ya kiushabiki ya wachungaji....!
      ...Kasome imani yako kanisani hapa ni MAANDIKO tu...!

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 4 роки тому +5

      Yan haya ni maandiko😂😂😂yapo kwa bibilia🤣ila mnayakataa😂😂😂yani inasomwaje sasa bibilia mnasomaga mkiwa mmekunywa mvinyu😂😂😂nyie makafir haya maandiko yanatoka kwa bibilia sio Qur'an.. Qur'an haina michangaiko Quran ni haki na ni nuru na nimuongozo kutoka kwa Allah

    • @aishamusa941
      @aishamusa941 4 роки тому +2

      Msiba wakristu amkeni

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому +6

      Mimi pia nilikuwa mmoja wao nilipoteza mda kuingia Sunday school kudanganywa na nikawa sugu ila nilipo fanya uchunguzi for 2 yrs nikagundua hakuna nabii aliye leta ibada za kanisa kumuabudu Yesu,kusujudia sanamu na kuvaa misalaba

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 3 роки тому

    Mashallah