Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
NILITOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI:BIASHARA YA MADAWA/MAUAJI YA KUTISHA, (S02EP06-PART 03)
Вставка
- Опубліковано 5 сер 2024
- #Mbanga #StoriYangu #Dupamdupange
Ni kumbukumbu za maisha ya kijana wa kitanzania, akitoroka nyumbani kwao Tanzania na kuingia nchini Afrika kusini kwa lengo la kujitafutia maisha, anakutana na mikasa ya kutisha karibu utazame hii ni MBANGA.....
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media
Napenda elimu inapatikana hapa
Dogo ni msimulizi mzuri. Story yake ina mlolongo ulionyooka!
The best story ever ❤
Safi sana bro dumpa.... kip it up broo.
Dah atimae 🔥🔥🔥🔥
pamoja sana mkuu
big up man dupa..mzee wa kuchechemua
Nilikuwa naisubiria sana hii Brother Dupa
Apo safi broo
Dupa Naomba Jitahidi story żako uzimalizie maana nimegundua nyingi hazina mwisho wake
Please malizia mdau canada 🇨🇦
Hapo kwa kazi ni kweli
Big up san broo
Huyu mbona kama ana simulia story aliyo hadithiwa 😁😁
Achausengeee
@@jacktarimo8213 wewee mtoto choko nini unataka kufirwa eeeh
Oya brother dupa apo mweshoni umezingua mzee,
Mshikaji alitaka kutugea namba ujue,
Sema nn Wana kibao hatujapenda io
Next time jirekebishe mzee
Kwani uongo
Huyu jamaa msela.... Ila ana akili kinyamaaaa
jamaa maisha kashindwa sbb ya usela
Mwishoni kaongea vitu vya maana sana.
Boys unaongea umetulia super mjombaaa
Dupa unalaza kutuletea story
Du sio poa
South African bule kutibiwa Hospitall za serikali…. Ugonjwa wowote ule hata operation unafanyiwa bule
Ughaibuni story za warembo sare tu
DOGO KAONGEA UKWELI
SEMA JORBUG NDIO KUNA UBAYA UBWELA WOTE
Anakuwasha unawaka dupa buana hahahaahaha
Husein alikamatwa na wauza ngada wenzao waka kakamatwaa
Muwaambie na migration watoe passports kwa wananchi bila rushwa
Namba 😂😂🤣🤣
Mbona anajing'atang'ata au sio kweli?
Brazamen umeadisiw ujawai kuingia pande izi acha kuchalazia next time utakufa kibudu
Acha kutisha watu wewe sadali south sio wote washenzi wengine tunapiga mishe zetu na mambo yanaenda😅
Uyujamaa kunamengine anayaongea vizur ilamengine anachomekea kama kuusukubebabange kwenyechupa nakupelekamkoa mwengine kadanganya
Du sio poa