Jifunze kuoka keki plain na ya kuchambuka kwa njia rahisi | Plain cake recipe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • ingredients
    250g butter
    210g sugar
    4 medium eggs
    250g bread flour | all purpose flour
    1 tbsp baking
    essence of your choice
    I used
    vanilla
    rose
    banana
    _____________________
    ▫️For more updates please join my social media family ❤ 👇
    ✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_map. .
    ✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
    __________________________________________
    ✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
    _____________________________________
    ✔More videos to watch;
    🔴✅jinsi ya kupika keki ya machungwa/ Orange cake video 👉 • ORANGE CAKE / KEKI YA ...
    🔴✅ Jinsi ya kupika chapati laini na za kuchambuka bila kukanda unga sana/ How to make no knead soft chapatis 👉 • Jinsi ya kupika chapat...
    🔴✅ Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka / How to make delicious and fluffy cake 👉 • Jinsi ya kupika cake l...
    🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 • Jinsi ya kuchoma kuku ...
    🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele / Rice pudding 👉 • Mapishi ya pudding ya ...
    🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉 • Jinsi ya kupika mkate ...
    🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...
    #plaincake #kekilaini #shunaskitchen

КОМЕНТАРІ • 412

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 4 роки тому +1

    Ahsnte kwa elimu yako yaani we ni mwalimu kwa hakika maana unatoa recipe ipasavyo kwa utulivu huna haraka mashallah

  • @OresterMapunda-u2n
    @OresterMapunda-u2n 6 днів тому

    Mi ni mgeni ila somo lako nimelikubali Dada Mungu akubaliki sanaa kwa somo zur

  • @thureyyahameir3438
    @thureyyahameir3438 4 роки тому +6

    Hellow........chief...mm nafatilia sna mapishi yko....mashaa allah unatufunza mengi kwa kwel.......leo nimeona hii post ya keki ila mm nikipka nafata vpmo inakuja vzry....sehem moja tu naona cjajuwa inakuwajee.....nikisha eyepuwa keki yngu nikiweka ipoe bas baadae inarudiiiiii inakuwaa flat???heb nisaidie kwann??

  • @apiogaudencio3613
    @apiogaudencio3613 3 роки тому

    Shuna nakushukuru sana kupitia wewe Leo napata kipato kikubwa kutokana na kipika chapati ambazo nilijifunza kwako God bless you mama your very few interested people whom I meet throughout the journey of my life keep it up.

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  3 роки тому

      Ameen. Hongera sana na nimefurahi mno kusikia kupitia video yangu ya chapati umeweza kupata fursa ya kuingiza kipato. Asante pia kwa kuchukua muda wako kuniandikia feedback nzuri. Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi 🙏🙂.

  • @terrycarty6815
    @terrycarty6815 4 роки тому +5

    The best receipe have seen so far 💕🎂👏🏽👏🏽

  • @azizamufty6327
    @azizamufty6327 4 роки тому

    Ur the best Dada ... Yaan nmepikaa cakeee ikatokaa mchambukoo kwa maraa ya Kwanzaa... Nmefwataa vpimoo vykooo vyoteee... Nashukur sanaa... Jazakhallaw kheir...

  • @ukhtykhadijaduba7521
    @ukhtykhadijaduba7521 3 роки тому +2

    MashaAllah habibty nilifnya receipe yako siku ya idd ilikuwa tamu sanaa alby mashukuru😘😘😘💗💖

    • @naomisonda1076
      @naomisonda1076 3 роки тому

      Mbona Mimi keki haichambuki jamani ninafeli wapi? Nikipika inashikana kama chapati ya maji haichambuki.

  • @joycemwakibinga4380
    @joycemwakibinga4380 2 роки тому +1

    Nimejaribu na imetoka nzuri saana ..asante sana mwalimu wangu ...MUNGU akubariki sana kwa ujuzi.

    • @ModesterMsana
      @ModesterMsana 3 місяці тому

      Jmn kama hauna vanilla au banana haifai?? Mm huwa vinanipa allergy na nataman kweli yaani

  • @lavalava3304
    @lavalava3304 4 роки тому +2

    Shukran habibty mashallah usikae sana tuletee mambo mazuri zaid vitu vya chumvi sana tunapenda

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому

      In shaa Allah dear, asante sana kwa kuangalia

  • @zuuhjk1167
    @zuuhjk1167 4 роки тому

    Mashaallah ahsante sana kwa elimu nimejaribu keki imetoka vizuri sana imechambuka mno nilifanya vipimo vya kilo moja,Allah akuzidishie kwa elimu hii unayotupa 😘😘

  • @user-of8mb1zb1i
    @user-of8mb1zb1i Рік тому

    Mashallah napenda unaongea taratibu na napendwa wallah najifunza vingi kwako

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 Рік тому

    dada wewe ni noma,nimejaribu kutumia njia yako ya kupika maandazi aicee nimekuwa fundi

  • @AkidaMohamed-iv2hg
    @AkidaMohamed-iv2hg 4 місяці тому

    Asante mwanangu shukurani
    Nimependa keki yako au mapishi yako ya keki

  • @iddahsewangi8483
    @iddahsewangi8483 4 роки тому

    Uko vizuri dada na sauti yako nzuri ya kueleweka. Nitajaribu leo nami kipika.

  • @mamyabdul551
    @mamyabdul551 Рік тому

    Mashallah!!❤tupikie keki kwakutumia siagi ya margarine tuone vipimo inshaallah!
    Thanks 🙏

  • @mwanaharusikombo3260
    @mwanaharusikombo3260 5 місяців тому +1

    Wow❤

  • @annamunisi5219
    @annamunisi5219 4 роки тому

    Asante kwa mafundisho mazur ya keki ntajaribu kupika nitakujuza,sijawahi kupika

  • @Salviiboy
    @Salviiboy 4 роки тому

    Una uwezo mzuri wakuelezea nakuchanganuwa kitu,inasaidia ata kwa wale wagumu kuelewa, kuelewa vizuri asante na hongera

  • @ceciliagodfrey7752
    @ceciliagodfrey7752 4 роки тому

    Mashallah Asante sana dada najifunza sana kwako! Tafadhali naomba utufundishe keki ya kipimo hiki kwa cocoa katikati

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому +1

      Hii unaweza kugawa mchanganyiko wako sehem 3, sehem 1 ukaweka cocoa kwa ajili ya kuweka kati. Asante sana dear kwa kuangalia

    • @ceciliagodfrey7752
      @ceciliagodfrey7752 4 роки тому

      Asante mamy allah akuzidishie unapotoa

  • @Hafizamohammad_
    @Hafizamohammad_ 2 роки тому +1

    Assalamualaikum,Thanks dear for the recipes, MashaAllah Allah bless your work,you make our work so easy very well explained.

  • @happinesspatrick3902
    @happinesspatrick3902 2 роки тому

    Natamani kuonja😋😋. Ahsante Shuna somo limeeleweka vizuri

  • @sabrinarizwan5884
    @sabrinarizwan5884 6 місяців тому

    Best way of explaining i can hear u all day masha allah

  • @faroukalmaamary9442
    @faroukalmaamary9442 3 роки тому

    Napenda kuangalia mapishi yk,yanaeleweka vizuri Mashaallah

  • @angelaball8204
    @angelaball8204 4 роки тому +1

    Salaam alekum. Mine's in the oven. I used rose ,vanilla and cardammon powder. Can't wait 😋😋 with chai. Thanks. xx

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому

      Waalaykum Salaam sis I hope it turned out good 👍

    • @angelaball8204
      @angelaball8204 4 роки тому

      @@ShunasKitchen Alhamdulillah. Gone in 1 day. Mashallah Jazakallah kheir

  • @leticiakajula3601
    @leticiakajula3601 4 роки тому

    Hongera Sana endelea kufundisha na Mungu azidi kukupa maarifa uko vizuri

  • @abajunilady8233
    @abajunilady8233 Рік тому

    Nimefanya hio keki leo...it was very delicious. Thanks

  • @ramlaali5955
    @ramlaali5955 4 роки тому +1

    Ma Sha Allah tabaraka Allah lakuwata illa bilah,, congratulation insha Allah nitawapikia watoto wangu in Sha Allah

  • @aminaally5378
    @aminaally5378 Рік тому

    Mbarikiwe Sana kwa mapishi Bora ya keki tamu nawapenda sana

  • @irenebry4235
    @irenebry4235 4 роки тому

    asante sana shuna nimejifunza kitu..naomba utuletee jinsi ya kutengeneza butter cream yenye ladha nzuri kwaajili ya kupambia cake

  • @saumukibupa9432
    @saumukibupa9432 2 роки тому

    Ahsante sana nakufuatilia vzr sana masomo yako nimefunza kupitia video zako ubarikiwe sana

  • @aminafarid4454
    @aminafarid4454 4 роки тому +1

    I made this...came out perfect..shukran Shuna

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 4 роки тому

    Ma Shaa Allah shkrn hbbti kwa keki tamu sana na inavutia

  • @ashawali2794
    @ashawali2794 4 роки тому

    Shukran Dada upishi wako Uko simple u naelewa Mara moja

  • @angelkapinga8727
    @angelkapinga8727 3 роки тому

    Ahsante kwa somo zuri, Mungu akuzidishie upendo

  • @ummsalamahrashid7920
    @ummsalamahrashid7920 4 роки тому

    Shukran habibty umeiposty wakati mzuri mana huwa napenda kupika keki week end watoto wanakula baada ya chakula

  • @stellamaris9590
    @stellamaris9590 4 роки тому +1

    Clear instructions well done and lovely cake .

  • @waimakiponza9248
    @waimakiponza9248 3 роки тому

    Asante nimejifunza kupika keki kupitia video zako

  • @stellangumbi8072
    @stellangumbi8072 4 роки тому

    Asante sana napenda sana unaweza kuelezea vizuri hongera sana mama kwa mapishi mazuri pia nimeweza kupika maandazi mazur sana na laini family yangu ilifurahia

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому

      Asante sana, nimefurahi pia kwa feedback ya maandazi

  • @gloriazablon9765
    @gloriazablon9765 4 роки тому

    Asante dada, naomba kujua huwa nakosea nn nikipika keki haiwek level nzur inakua na kilima kidogo

  • @ghuuihgggu2968
    @ghuuihgggu2968 3 роки тому

    Asante dada nakufuatiliasana vipindi vyako na napika na watu wanapenda Asante sana dada

  • @mwanaminamohd261
    @mwanaminamohd261 4 роки тому +5

    Thanks shuna for sharing tuletee na cake ya carrots plz

  • @fatmasaid2865
    @fatmasaid2865 2 роки тому

    Masha Allah namimi Sasa nataka niwe mwanafunz wako

  • @rosemwende9838
    @rosemwende9838 4 роки тому +1

    Very educative and simple

  • @shikoshiko9342
    @shikoshiko9342 4 роки тому +1

    Thank you gal....next month it's my daughter's birthday, now I have recipe.

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 роки тому +1

    Wow kaz nzur sis thnk you nice videos

  • @adrophinathomas86
    @adrophinathomas86 Рік тому

    Nzuri mno hongera Sana natamani kujua kupika keki Kama zako

  • @vedamuyengi7541
    @vedamuyengi7541 4 роки тому

    Hongera Sana nimepda je nitakupataje Niko Arushaa ñaitaji kujifunza

  • @salmawatuta6468
    @salmawatuta6468 3 роки тому

    Thanks keki yako ni nzuri.ukitumia samli inasumbua kwanini

  • @zeyanahilal2206
    @zeyanahilal2206 2 роки тому +1

    Thanx

  • @halimasufiyani4007
    @halimasufiyani4007 Рік тому

    Nilitumia hii recipe mashallah perfect

  • @taymurbasheikh1294
    @taymurbasheikh1294 Рік тому

    MashaAllah mm Leo nimefanya imetokea ajab kama hio yko kbs

  • @atkahasna8960
    @atkahasna8960 4 роки тому

    Shukran my lovely sister. Allah akubark.

  • @esharjab1044
    @esharjab1044 4 роки тому +1

    Hapa ni Kula kwa macho na kumeza mate tu.hata hivyo thanks

  • @alzun3810
    @alzun3810 Рік тому

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu Kwa Moto wa juu ama chini ama both

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 2 роки тому

    Thank you so much. Your my Favorite.

  • @jofreymnyaga7766
    @jofreymnyaga7766 4 роки тому

    hongera na mm nataka nijifunze kupika

  • @aminafahim7464
    @aminafahim7464 4 роки тому

    Must try recipe.... Thanks for da lesson

  • @IbrahimAhmed-ge6nu
    @IbrahimAhmed-ge6nu 2 роки тому

    Mm naitwa Amina kwahivyo ukiona jina tofauti usishituke nauliza mm napika mbona unakuwa ngumu nimekosea wapi

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 4 роки тому

    MashaAllah TabarakaAllah Habibty good job wallah👌👌 ntampikia Bwana Harusi wangu hii InshaAllah🙏

  • @chachefazili1264
    @chachefazili1264 Рік тому

    Iko vizur hongera

  • @ummukulthumabdulhafidh9516
    @ummukulthumabdulhafidh9516 4 роки тому +1

    Thanks alot our beloved

  • @carolineheroe30
    @carolineheroe30 3 роки тому

    It looks delicious am sure going to try cooking it

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 роки тому

    Shukran kwa mapishi ziada tunataka na burger tufunfishe habibty ikiwa na nafasi za nyumbani ni tamu

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому

      In shaa Allah dear. Asante sana kwa kuangalia

  • @shabnamsaleh2520
    @shabnamsaleh2520 4 роки тому

    Wow nice cake sis tuonyeshe jinci ya kutengeneza ice ya cake

  • @jacklynekinyua6528
    @jacklynekinyua6528 4 роки тому +1

    Tried this my cake was perfect. If I want a larger cake do I double the ingredients Shuna?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  4 роки тому +1

      thank you, yes you can double the ingredients

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 4 роки тому +1

    Mashaallah ongera da najifuza sna kwako

  • @zahariabaraka2869
    @zahariabaraka2869 3 роки тому

    Masha allah unafundisha vizuri

  • @priscamagoda8568
    @priscamagoda8568 Рік тому

    Napenda kusoma kupitia vedeo zako naomba uwe unatuambia na tin ni ya nchi ngap kwa vipimo husika

  • @zaharamwaruka3138
    @zaharamwaruka3138 Місяць тому

    Asantee saana mdda

  • @Mo-kei-rah
    @Mo-kei-rah 2 роки тому

    Wow simple and easy to bake

  • @neemamohamedi8267
    @neemamohamedi8267 4 роки тому

    Shukran sana shuna's Mungu akubariki na uzidi kutuletea mambo mazuri

  • @lillymuna6933
    @lillymuna6933 3 роки тому

    Yapendeza sana

  • @evakomba2389
    @evakomba2389 3 роки тому

    Asantee sana keki ni nzuri sanaa

  • @farhahamad3899
    @farhahamad3899 4 роки тому +2

    Thanks shuu tuletee recipe ya chocolate cake pls

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 4 роки тому

    Shuna kwann usiorodheshe vipimo kimoja moja ili itusaidie tukitaka kupika cake. Maana mwingine ulivoweka 250wengine hawana zile measuring cup. Ni wazo tu

  • @user-gw9qs3rc2h
    @user-gw9qs3rc2h 5 місяців тому

    Moto wa chini au chini na juu

  • @tausiramadhan7927
    @tausiramadhan7927 4 роки тому +1

    I always understand u mamy I can't wait kwakweli

  • @judyngina3160
    @judyngina3160 4 роки тому

    Woah step by step shukran ma,,

  • @ngemeswaleh9153
    @ngemeswaleh9153 3 роки тому

    Assalam aleykum.... video zako ni amaizing sana.... naomba nikuulieze... kuna tofauti gani kati ya 1/2 cup na 1cup?? Kwenye zile measuring cups??

  • @muniragambere2680
    @muniragambere2680 4 роки тому

    Nakupenda sana shunaa.....ahsante kwa hii keki

  • @user-fi2rl5qw6t
    @user-fi2rl5qw6t 8 місяців тому

    Asante sana kipenzi nimeweza

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому

    Mashallah ❤ ❤ ❤ hongera sana ntapika my love ahsante sana

  • @jemimanjeri8214
    @jemimanjeri8214 4 роки тому

    Waooooooo inakaa tamu . insha'Allah iwill try.

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 4 роки тому

    MashaAllah 🙌🏽👏🏼
    Shukran 💐

  • @joytitus1429
    @joytitus1429 Місяць тому

    Alhamdulilahi🎉

  • @shamsaalshabibi8667
    @shamsaalshabibi8667 4 роки тому

    Mashallah😘 napenda sana mapishi yako

  • @dionisiajasson9099
    @dionisiajasson9099 2 роки тому

    Nzuri sana. Ahsante 👏👏

  • @ninjaman4670
    @ninjaman4670 4 роки тому

    Shukran ukhty jazakallah kheir...😍

  • @nancynjogu3822
    @nancynjogu3822 2 роки тому

    Asante sana inakataa tamu sana,,, nitajaribu leo

  • @pheyramadhan1807
    @pheyramadhan1807 4 роки тому

    Nimefurah sana kujifunza kupika cake ongera sana

  • @mawiluis9215
    @mawiluis9215 4 роки тому +1

    Thanks

  • @salimnassor687
    @salimnassor687 4 роки тому

    MaashaAllah, upo vizuri

  • @joycedamaris6291
    @joycedamaris6291 4 роки тому +1

    Wow

  • @user-kk3xd2kj1e
    @user-kk3xd2kj1e 3 місяці тому

    Thanks mamy ❤

  • @priscamagoda8568
    @priscamagoda8568 Рік тому

    Samahani naomba utuandalie video ya recipe za cake tofautitofaut

  • @GladyKimaro-df7gi
    @GladyKimaro-df7gi Рік тому

    Hongera kwa keki nzury, kama nahitaji mafunzo kwa vitendo kwa kulipia inakuaje???

  • @bhokemasyaga4654
    @bhokemasyaga4654 4 роки тому

    Just wow..

  • @fatmasalim7132
    @fatmasalim7132 4 роки тому

    Thanks Shuna Allah akubarik

  • @deeahmat5901
    @deeahmat5901 4 роки тому +2

    Thank you so much for this. Ive tried so many recipes but this one did the trick. I can finally make an amazing soft vanilla cake.

  • @maryjulius6650
    @maryjulius6650 4 роки тому

    Kazi nzuriiii