Dada nimependa sana kazi yako,na unaelekeza vizuri sana.Kuna siku nilijaribu kupika keki ila ilitoka ngumu sana wala haikuchambuka,, naomba uniambie kua nilikosea sehem gan ili nirudie.. please..
Kipimo Sahihi cha prestige ni kipi .? Ni gram 100 au 2oo .nataka kujaribu hii recipe .nilivyockia inamung'unyika mdomon nikapenda kujaribu kuona ni Kwl ?😊lkn ipi ni recipe Sahihi ya prestige kupata cake mchambuko og?dada sarah
Nataka nikupe mrejesho WA cake .nimeipika na imetoka vizuri...Kwanza huwa napika cake za vitambi ,ila hii imetoka haina kitambi afu Sasa mchambuko WA Hali ya juu ....ubarikiwe sana 🙏
Kupitia hapa nmejuwa kupika keki nzuri lainiiiii bado kupamba tuu ubarikiwe dada
amina dada❤️ muwe mnampa mwalim hata 100 mweee😂❤️
@@Sarah1. usijali dada ❤️ Amin hilo
oven zinatofautiana
Asante nimepata shule ubalikiwe zaidii.
Magol Sana nice
Ahsante sana mungu akubariki naendelea kufuatilia masomo yako
Maashallah
Asante Kwa kunifanya nijiajiri
🙌🙌🙌😂
Hujaweka moto gani wa kubekia wala namna ya kuremba
Asantee dada
Nimeipenda sana
I love it ❤❤❤
❤❤❤
Waoo😍😍😍
Hongera kupitia hap nam nitapik nikupe mrejexh
karibu❤️
Nimependa saaaaaana❤❤❤
ntank,s sistr hauna choyo
❤
Ni nzuri dada natamani unifunze zaidi
Hongera
Nimependa sana
❤❤
Asante kipenzi nitajaribu
Dada nimependa asante
Nmependa hii
Hongera umeelekeza vizuri Sana na Mimi nitajifunza kupika keki
Kweny gesi je inafaa
😮😮
❤❤❤🎉
Asanteee Kwa maelelzo mazuri nimeelew
❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera unaelekez vizuri sana
Karibu♥️
❤❤❤❤
Nimependa
nimependa imetoka vizuri sana
❤️
Dada naomb namb zako,,yaan unaelekez vem sana,,
0652167088 whatsap only
Umeelekeza vizur sana ngoja ninunue vifaa nije tena ❤❤
Good
😂😂😂😂
Upo wapi dear nahitaji kujifunza
Nimefurahia sana
Sante dada nimeweza kutengeneza cake Ila sijui Rangi za kupambia cake
❤️❤️❤️❤️🙏
chekecha chuja?
Kwani kuna uradhima Dada kuweka radha
lazma utumie sukar nyeupe
Kilo moja apana nauliza
Nam goj nipk nitakup mlejesh
Et umetumia unga wa aina gan
Nipate wapi vifaa vya kutumia
Unga unachujwa au unachekechwa?
Sukari lazima ya keki
Mbona mi nikipika haichambuki
Mbona haoneshwi ya kupamba unaferi sana
😌🤔
ntawaonesha soon
Naomba utuambie how to measure heat kwenye kubake if you won’t mind🙏
❤unaeza pika bila maziwa
Dada samahan saaanaaa jaman mbona nimepika keki imetoka lakin ina katika Kama ugar shida nini mama
Asante dear kwa kutufundisha ila sio KUCHUJA NI KUCHEKECHA pia sio MPAKUO ni MCHAPIO
😂😂😂asante pia
Nmependa 8:38
Nataka kujifunza plz upo sehem gani
nipo kilimanjaro's
Hautumii hamira?
Baking powder au soda
powder
Dada nimependa sana kazi yako,na unaelekeza vizuri sana.Kuna siku nilijaribu kupika keki ila ilitoka ngumu sana wala haikuchambuka,, naomba uniambie kua nilikosea sehem gan ili nirudie.. please..
moto, ulitumia moto kias gan
Maziwa ni lazima kwa keki ??huwa baada ya siku chache inanata
Mie ni mara ya 2 napika inanata sijui nakosea wapi 😢
Uwa unatumia vanilla gani tafadhali
Mwalimu mim nina banking soda naweza kuweka na ikapendeza??
baking powder ndo muhimu
Uku kwetu hawauzi hiyo mamy kuna soda nafanyaje
Dada kuchuja ni vimininika siyo unga unga hauchujwi unachekechwa
asante😩😩😩
Kwenye mkaa auwez kupika kek
unapika dear
Kumbe amila aitumik kwenye keki
haitumik dear
Nikitaka unifundishe tukiwa pamoja inawezekana?
kama uko karbu yes
Tujipe mda tunatumia mkon🤸
🤓🤓
Naomba no yako ya grp
Muda nikiasi gan
Nakweny oven inakaa dakik ngp
inategemea na oven iyo yangu dk30
Kama sina maziwa mbadala wa maziwa ninini maji au nielewesheni jamni
maji tuuu
Wanangu hawanywi maziwa,naweza bake bila mazi
ndiyoooo
Oven pia kama hyo yako n bei gan kwa huko Moshi? Pole kwa maswal yang nahtaj kujua
Hii nilipata kariakoo laki mbili na hamsin
Kariakoo ya mosh
@mamabr7181 ya dar niliagiza
Ok asant nlijua labda n Mosh
Samahani ndugu yangu nikitumia Brenda ya kusajia juice si inafaa
inafaaa
ila ukifika kwenye kuweka unga koroga na mkono
@@Sarah1. Asante my dear
Ya kwanza naona nili changanya sana unga labda kwa Brenda ndomana ikawa inanata
❤❤❤❤❤❤❤
yang nimejaribu leo imekuwa ngumu wala haijaumuka shida sijui n nn 😢
pole, vipimo umezangita? pili umetumia jiko gani
@@Sarah1.vipimo sikuwa navyo nilikadilia tu jiko nilitumia ovena
@rodaniatangira3613 hapo ndo ulipokosea
@@Sarah1. ko nikizingatia vipimo itakaa sawa
Hiyo mashine n bei gan dear
23k
@@Sarah1. 23000?
Unafundisha laivu au
Mm napenda kujifunza laivu tunafanyaje
Jaman dada samahan mwenzio nimepika keki kama hiyo lakin imetoka vizur lakin Yan ina katika katika kama ugar shida nini jaman
hakikisha imeiva kote mamy
Yan imeiva juu2 na chini alaf katikati haijaiva Yan nimetoa imetoka kati uji naomba nisaidie jaman mama
@PriscaPiason iridudishe kwenye oven itaiva, au kama unatumia jiko irudishe, umeiwaisha kuitoa
@@Sarah1. Saw asant saaanaaa dada
Jaman dada asant saaanaa Yan imetoka nzur saaanaa
Kama mtu anataka kufundishwa mapish ya keki vp unatoa huduma hiyo??
ndiyo dear
Unapatikana wapi
moshi
Kipimo Sahihi cha prestige ni kipi .? Ni gram 100 au 2oo .nataka kujaribu hii recipe .nilivyockia inamung'unyika mdomon nikapenda kujaribu kuona ni Kwl ?😊lkn ipi ni recipe Sahihi ya prestige kupata cake mchambuko og?dada sarah
Kwa keki unga robo,, vipimo Ni unga250g,prestige 250g,sugar200g,baking powder 1tbs,maziwa 125mls❤️
@@Sarah1. Asante dada ngj nijaribu nitakupa mrejesho 🤗pia ubarikiwe sana
@Jackline-ki7zl okay dear❤️
Nataka nikupe mrejesho WA cake .nimeipika na imetoka vizuri...Kwanza huwa napika cake za vitambi ,ila hii imetoka haina kitambi afu Sasa mchambuko WA Hali ya juu ....ubarikiwe sana 🙏
@Jackline-ki7zl nimefurah kusikia hvyo❤️❤️❤️
Dada samahan saaanaaa jaman mbona nimepika keki imetoka lakin ina katika Kama ugar shida nini mama