Yesu ndio njia, sijakataa Jee unaifuata hiyo njia ya Yesu, Yesu hajawai kujiabudu, hajawai kyingia kanisani, hajawahi kusema yeye ni Mungu. Je unamfuata Nani, haumfuati yesu. Kwa uhakika
Haya hongera sana kumkabili pasta Ndacha ambaye ndiye PAULO mkufurushaji WA zama HIZO..! Matendo ya Mitume 26:9.,10.,11. 9. Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti; 10. nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu. 11. Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
Hamweleweki ndugu. Kati ya waislamu na wakristo wapingaji nani? Hakuna mkristo anayehangaika na mambo ya Muhammad ila waislamu wanahangaika sana na Kristio. Mara wanamkubali Yesu hapo hapo wanampunga Yesu. Kusema elimu siwaelewi,Ndacha nimemsikia si mara Moja. Anasma biblia na Quran kama ilivyo kujibu hoja. Ninyi mnaleta maneno ya kuarabu,kiswahili itolewe tafsiri na kamusi,elimu hii ni ya lugha au maneno ya Mungu? Najua mtakuwa wengi sana kwa Ndacha mmoja na mtaliwa
Siku si nyingi mtaenda kuhijj mkaulize mashehe wenu wakubwa hapa dunian lile sanduku mnalo lizunguka na ndani yake mna Nini na muulize histolia kabla ya Muhammad kuutangaza uisilam babu yake nabii wenu alifanya Nini baada ya kuzaliwa kwa Muhammad
Mm nnavojua walimu wa kikiristo ni Bora mkakae kitako mfunzwe kur ani vizuri lakini sio kuwenda kujisomea tafsiri juu juu alafu unakuja jadiliana alafu unatia ufahamu wako Hawaijui qur Ani atakidogo Waislamu ni wasomi wa dini zote duniani huwezi mpata rabda mweny njaaa na sio elimu na ukweli
Ujafuatilia mjadala wa kongo.huyo alikaa akapewa somo na ndacha na amekuja kuhakik tu kuhusu ukweli wa maandiko kupitia mwalmu ndachs baada ya hapo anaritad nipo nimekaa pale mtaniambia
Huyu ni muongo kabisa. Hakuna hoja hata moja ya Ndacha aliyo ivunja ama kujibu swali. Hana elimu kabisa. Ni huruma sana kuwadanganya watu. Tulifwata mdahalo na tulishuhudiya jinsi gani uko mweupe kwelikweli
Panga ya radhi fake,hujabaatika bado kuwa mkristo,yesu akokarbu kuja fanya umpokee yesu,ndacha alikugaagaza kwenye uwanja na bado hujaokoka,nakuombea kwa mungu unapokuja tanzanie yesu akuonekanie ukabatizwe,njia nimoja tu ambaye niyesu,kando na yesu ni jehanamu tu

Waisilam msipo amini kuwa Yesu ndiye Bwana na mwokozi wa maisha yenu hamta ingia katika ufalme wa Mungu .
Yesu akamwambia mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haendi mbinguni kwa Mungu ila aniamini mimi Yohana 14:6
Yesu ndio njia, sijakataa Jee unaifuata hiyo njia ya Yesu, Yesu hajawai kujiabudu, hajawai kyingia kanisani, hajawahi kusema yeye ni Mungu. Je unamfuata Nani, haumfuati yesu. Kwa uhakika
Kwaiyo wewe saimonilio
YESU mungu au Kuna mungu badala yake
@@SalumuChingome Yesu ni Mwana wa Mungu Yohana 3:36
Você tá certo irmao ❤❤❤
Mkutano WA Congo tulifuatilia kabisa wewe upanga WA radi ni mweupe kabisa unataka mwanafunzi tu sio mwalimu
Njooni wewe na ndacha😂😂😂
mashallah uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hyo ni bibilia la kiarabu lazima waite mungu Allah
Akili zako sionzur sas lugha unaikataa tafsiri tafsiri ndo ileile kila lugha Iko na maan saw kiufupi wakristo ni watu wakupinga tu moto unawasubir
yesu ni njia ya kwenda MTU mbiguni kila MTU asipomwamini yesu na kunkubali amuwezi kwenda mbiguni amen
Yesu anasema mazuri tu nyny ndio amumfati vzr,islam is the best
Haya hongera sana kumkabili pasta Ndacha ambaye ndiye PAULO mkufurushaji WA zama HIZO..!
Matendo ya Mitume 26:9.,10.,11.
9. Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti; 10. nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu. 11. Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
Anasema vitabu vingi vyakale vimemtaja nabii muhamad nikitabu gan icho kiseme
Anasehemu inamuuma si bule tu kwa uongo huo
KUMBE CONGO WANAONGEA KISWAHILI KIZURI TU KAMA TANZANIA. CONCRATE CONCO
Huyo ajui kanisa ni nini asee
Uwezani na Ndasha
MKARIBISHE TENA CONGO.
Hamweleweki ndugu. Kati ya waislamu na wakristo wapingaji nani? Hakuna mkristo anayehangaika na mambo ya Muhammad ila waislamu wanahangaika sana na Kristio. Mara wanamkubali Yesu hapo hapo wanampunga Yesu. Kusema elimu siwaelewi,Ndacha nimemsikia si mara Moja. Anasma biblia na Quran kama ilivyo kujibu hoja. Ninyi mnaleta maneno ya kuarabu,kiswahili itolewe tafsiri na kamusi,elimu hii ni ya lugha au maneno ya Mungu? Najua mtakuwa wengi sana kwa Ndacha mmoja na mtaliwa
Jina la YESU Lina maana Gani hebu niambie wewe
Toka pale mbona hukujibu hoja za ndacha kule congo Tanzania uongo huwezi kushinda ukweri
Siku si nyingi mtaenda kuhijj mkaulize mashehe wenu wakubwa hapa dunian lile sanduku mnalo lizunguka na ndani yake mna Nini na muulize histolia kabla ya Muhammad kuutangaza uisilam babu yake nabii wenu alifanya Nini baada ya kuzaliwa kwa Muhammad
Kwani huyu ndie uganga wa radi aliechakazwa kule kongo na ndacha😂😂😂 huo mdomo ukoje mbona kama majini yamekupinda mdomo 😂😂😂 ndacha atawanyoosha
ndacha iko pare kuwatapere wakristo ajiriye pesa uyu nimusiba mkubwa 🤔🤔🤔
Mm nnavojua walimu wa kikiristo ni Bora mkakae kitako mfunzwe kur ani vizuri lakini sio kuwenda kujisomea tafsiri juu juu alafu unakuja jadiliana alafu unatia ufahamu wako
Hawaijui qur Ani atakidogo
Waislamu ni wasomi wa dini zote duniani huwezi mpata rabda mweny njaaa na sio elimu na ukweli
Ndacha tatizo lake anakimbia mdahalo
Muhogo ndacha ni mwalimu wa hoja za kweli
Huyu mwamba mtu nanusu alimgaagaza ndacha kabisa nili penda sanaaa
Ulimuona kwenye channel gani nimfwatilie shekhe
@@dr.abdullahiwario2156 biblia nuru ya ulimwengu ni chanel ya ndacha
Ujafuatilia mjadala wa kongo.huyo alikaa akapewa somo na ndacha na amekuja kuhakik tu kuhusu ukweli wa maandiko kupitia mwalmu ndachs baada ya hapo anaritad nipo nimekaa pale mtaniambia
Uongo mwengine uko wazi je? Niulize swali kwako ewe upanga wa dira ,!!!,!!;:'""π√׶¶∆{}\?
😂
Mkutano tumefatia wa kongo bora sure anajitaidi
Huyu ni muongo kabisa. Hakuna hoja hata moja ya Ndacha aliyo ivunja ama kujibu swali. Hana elimu kabisa. Ni huruma sana kuwadanganya watu. Tulifwata mdahalo na tulishuhudiya jinsi gani uko mweupe kwelikweli
Niulize,kwanini waislam wengi wanafanana nasula zakichawi 😒?