DR.SULLE SASA ACHAFUKWA WANAOSEMA MAFUTA YA UPAKO BIDAA BASI NA BIBILIA WASITUMIE MTU NA NDEVU ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 539

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 22 дні тому +22

    Mungu amhifadhi sana🙏shekh kishk maana matapel sasaiv wanajitokeza wenyew

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 22 дні тому +10

    Maa shaa Allah sheikh Kishki. Imekua km uloleta mtikisiko wakuwajua baadhi ya washirikina waliojificha kwenye usheikh.

    • @Abubakar-cb1er
      @Abubakar-cb1er 21 день тому

      Unamwita mtu mshirikina unajua smirking maana yake na ni nn?

  • @GhalibuKagimbo
    @GhalibuKagimbo 22 дні тому +15

    Sheikh kishk kapiga kwenye mshono pole sana

  • @mohamedgandi8832
    @mohamedgandi8832 22 дні тому +5

    Safi sana dkt nimekua nikisubiri sana kauli yako wewe kiboko yao wafundishe na waondoe ubinafsi zaidi ALLAHU YAALAM dua ziendelee asie weza kufanya dua atoe darsa

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y 23 дні тому +12

    Ww ushakua kichaa allah anakuzalilisha sasa

  • @MussaIssa-d5u
    @MussaIssa-d5u 21 день тому +4

    Sheikh kishk Allah akuhifadhi wallah manyau nyau kwenye dini yamekuwa mengi

  • @HaroubAbdallah
    @HaroubAbdallah 20 днів тому +2

    Maskini mtihani huu , kwakweli uislamu hauna nafasi ya ujanja ujanja huyu nayeye walewale tu wenye kuendekeza njaa, Mwenyezi Mungu amlinde Shekh Kishk kwa kuwa mkweli na muwazi.

  • @hedaya-e9j
    @hedaya-e9j 19 днів тому +2

    Nakupenda sana shekhe kishik komaa nahao wanao itumikia dunia mola yupo nawewe nasisi tunakuombea

  • @josephmkindi8254
    @josephmkindi8254 23 дні тому +12

    Yaan nimegundua wengi wa matatibu wanachanganya sana rukia na shiriki,,, wengi wana makandokando sana mm na wao mungu atuongoze kwenye njia sahihi amen 🙏

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 23 дні тому

      Na watu wengi pia hawajui nn shirki huwezi sema mafuta ni shirk wakati unatumia panadol bas nayo shirk

    • @t.v.a.i.s.s6842
      @t.v.a.i.s.s6842 23 дні тому

      Ameen yaaa rabby

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 22 дні тому

      Amiin

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 22 дні тому +1

      Inaeza na ww hujui nn shirki

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 22 дні тому

      Hakuna anaesema mafuta ni shirki. Shirki ni kile kinachosomewa yale mafuta. Ikiwa utasomea Qur-an, dua inafaa lkn km utasemea maneno ya kishirikina mfano kumtaja Yesu au majina ya majini nk hapo hayo mafuta yatakua huezi kutumia muisilam

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 23 дні тому +40

    Yote bado kishiishk Yuko sahihi atakamamnampinga

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 23 дні тому +1

      Tatizo sio kuwa sahihi ishu ni hoja

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv 22 дні тому

      ​@@adamhashim3352wewe unahoja ganiii

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv 22 дні тому

      Takbiriiiiiiii. Namuombea Allah amuongoze katikati njia nyoofu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 22 дні тому

      Na unafikiri watu wajinga waone yupo sahihi bila ya hoja?

    • @ndutweshomari1366
      @ndutweshomari1366 22 дні тому

      Lete hoja,tatizo Dr Sule huwa analeta hoja hawa Mashekhe wengine huwa wansema haramu tu lakini hawana hoja.

  • @MachuBaby-ww5su
    @MachuBaby-ww5su 18 днів тому +1

    Allah azidi kumpa umri Sheikh Kishki .. Masheikh maslahi mmezidi

  • @ramadhanaldawiyya8659
    @ramadhanaldawiyya8659 8 днів тому

    Dk Sule upo sahihi,Allah akupe taufik,

  • @MchamomomadeMomade
    @MchamomomadeMomade 19 днів тому +1

    Allah proteja o nosso Maulana kishk nós te amamos muito aqui em Moçambique por Allah 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @hashilhashil8556
    @hashilhashil8556 11 днів тому

    sheikh kishki yupo kwenye haki hawa mushriki hawatafanikiwa insha allah allah amuhifadhi kishki

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 14 днів тому +1

    GONGA LIKE ALIYEONA PANK LA DR SULE

  • @RahmaMohamed-bi4ro
    @RahmaMohamed-bi4ro 21 день тому +3

    Pesa ni mwana haramu sana allha akulinde kishik kipenz cha umma

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 23 дні тому +6

    Hapa tulipo fikia kiama kiko karibu mashekhe tunao wategemea wamefikia hatua za kufombana na kutukanana adharan 😢 alla atupe mwisho mwema amiin

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 22 дні тому +1

      Kup am bana na washirikina Haitaki unafik wakujisemea vipembeni. Acha Sheikh Kishki awaseme wazi watu wajue. Shirki ni kufru

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 20 днів тому +1

      Njaa imeanza😂😂

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 18 днів тому

      Unaposema mashekh ondoa huyu muhuni anaebwabwaja hapo, hivii huoni hata unyoaji tu jee mtume hajakataza kunyoa hivoo??? Huyu na masela unamtenganishaje?? Ndevu kazungushia kama Snop doggy vile ndo shekh gani huyu!!? Huyu amejaaliwa domo sasa analitumia vibaya kuuharibu na kuudhalilisha uislam, Huyu sio shekh bali ni mtu anaefahamu kuichambua biblia lakini ktk dini ya uislam bila shaka hakusoma sana na hasa somo la tawheed maana asingelikua anaongelea na kusapoti ushirikina kiasi hiki kama angelisoma tawheed

  • @Hamisahemedi-h2q
    @Hamisahemedi-h2q 21 день тому +3

    Dr sule nilikuwa nakuona wamaana sana lakini Kwa ulichokizungimza leo nimejikuta moyo wangu unawaka moto tunaelekea wapi uisilam unakwenda wapi Kwa Hali hii 😢😢😢😢 Allah atuongoze ktk njia sahihi

  • @MamboYes
    @MamboYes 22 дні тому +3

    Masheikh na wahubiri wa TANZANIA wote ni waganga wa kienyeji

    • @MjerumaniAli
      @MjerumaniAli 21 день тому

      Uganga sio zambi

    • @Abubakar-cb1er
      @Abubakar-cb1er 21 день тому

      Kishki mwenyewe ni mganga wengi hamjui vizur huyo mtu

  • @IssufoMomade-h3o
    @IssufoMomade-h3o 17 днів тому

    Mm namshangaa sana shekh sule Yani anabadilika ukubwani kama bamia sisi sote tunajua wewe ni mganga auna usheikh chochote ww ni mganga kama waganga wangine Allah akunusuru ubadilike na kauli zako

  • @shambebro382
    @shambebro382 22 дні тому +2

    Sheikh Sule namkubali ...Kishik pia ni Sheikh wangu mie si bagui

  • @sein.208
    @sein.208 23 дні тому +9

    Astaghafirullah
    Astaghafirullah
    Astaghafirullah . Innah lillah Wainnah iley Rajioon huu sasa ni msiba mzito kwa Umat Muhammad .. Mbona kama Sule upo kibiashara zaidi na sii dini

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 22 дні тому +2

      Unafikil V8 imekujaje

    • @sein.208
      @sein.208 22 дні тому

      @msafirimaulidi5054
      Hatari sana brother

    • @NassormsuruzyaRupia
      @NassormsuruzyaRupia 22 дні тому

      ​@@msafirimaulidi5054Hahaha😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 washauzwaa kutetea matumbo yao wanamsahau allah ndie mtoaji

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 16 днів тому

    Kila MTU na mtazamo wke ila Mashekh zetu mna mtihani Sana ALLAH Atufanyie wepes tufudh

  • @HafswaMugabe-f4o
    @HafswaMugabe-f4o 19 днів тому

    Allaah atunusuru kwa kweli maan tunakoend ni pabay zaidi

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 12 днів тому

    Yule shekh wa Morogoro kuna siku aliwahi kusema huyu Kishki si mtu wa kawaida inawezekana akawa Sharifu wa Allah, maana akikwambia kitu kinakuwa kizito sana na ni cha kweli kabisa. Allah akuhifadhi shekh Kishki kwa kuipigania dini ya uislamu. Yule Budhist Dalai lama kuna siku alitoa tamko akasema "When you talk you're only repeating what you already know, but if you listen you learn something new. Huyu ndugu yetu anaongea sana mpaka anapitiliza kipimo, masikitiko makubwa wameanza kutumia mbinu za kiyahudi kwenye harakati zao. Usia wangu tusiipende sana dunia. Wahadha sallam alleykum

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 21 день тому

    Doctor sule dunia imekuvaa😢 Allah akuongoze

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld 22 дні тому +2

    Unafuguwa nini chenye hujaeelewa watuu mbona mnakazi yakutukana mumuofu mungu na muwe mnaelewa mbele ya kuogeya😢😢😢

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 23 дні тому +4

    Dr sule ndio nime elewa sasa ivi. Ina mana upako wa wa kristo, ni yale yale mafuta ya zaituni na tini walio a badilisha wakayapachika jina linginge 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Thanks yaaa sheikh. Alhamdulillah

    • @rajabbege3776
      @rajabbege3776 19 днів тому

      Mafuta siyo yawakrito hayo yametoka hukukwetu mbona yako muda tu ninamiaka takriban kumi nayatumia wakristo wamekopi hayo yanauzwa kwenye maduka ya dawa za ASILI MIMI mwenyewe nayauza.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 19 днів тому

      Ukisema wakiristo wanakopi kuna mawili either hujui au unajua ila unataka kupotosha mafuta yapo kwenye bibliamiaka mingi kabla hata hiyo quran haijaundwa wakiristo wamekuwa wakitumia mafuta hata kabla ya mtume wako hajazalwa sasa utasemaje wakiristo wamekopi kwenu?​@@rajabbege3776

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 16 днів тому

    Ebu achana na mambo hayo mtangaze Mungu sheikh wangu acha mashindano ,mfate umwambie aliokosea sasa unatutangazia Sisi yanatuhusu Nini hayo mafuta ya upako unajishusha bule unatuonyesha umeguswa ,

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 14 днів тому

    HUYU SHEIKH SULE NI MTU WA DILI MPUUZENI, ANATUMIA DINI KUJINUFAISHA, MASHEIKH WA MICHONGO HAWA

  • @jumaswalehe5085
    @jumaswalehe5085 17 днів тому

    ❤❤❤ shekh kishki kwakutup jiwe gizan tayar jiwe lako lishawapat wahusika😂😂😂

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 23 дні тому +5

    Dr sule nakuombea uwe mkristo na jina lako uitwe paulo

  • @yusuphnammadede3790
    @yusuphnammadede3790 22 дні тому +1

    Nakuelewa shekh

    • @yusuphnammadede3790
      @yusuphnammadede3790 22 дні тому

      Jamaa kaongea point ila kutokana nakasolo zake Kuna watu hawataki kumsikia nakuhukumu bila kumsikiza kwa umakini. Upo sahihii

  • @angle3600
    @angle3600 22 дні тому +2

    Cha kushangaza masheikh hawawezi kuitana na kuongea,,,ila ni kusutana mitandaoni,,mkristu na muislamu ni mtu na nduguye,,,tofauti ni mitume ila Mungu ni mmoja.Masheikh piganeni na wanao abudu Ng'ombe ili wamjue Mungu

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 22 дні тому

    Sheikh kishk MUNGU akupe Maisha marefu ili tuzidi kujua washirikina apa duniani na Tanzania nzima maana wanatoka mmoja mmoja Allah Akbar kuvu ya Mungu unafanya kazi Sasa....

  • @allyfwady123
    @allyfwady123 20 днів тому

    Kishki ukimcuunguza vizuri Hana elimu kakariri maisha yule mlipukaji Kama Moto wa kifuu ,Hana kitu kwa watu wenye kufikiri vizuri

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 23 дні тому +7

    Yaniwewe sule unatakualalisha upako kwenye wislam😢

    • @UmmusalamahBintYousuf
      @UmmusalamahBintYousuf 23 дні тому

      Yani balaa😢

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 23 дні тому

      Kwani upako una shida gn

    • @husseinmukwambo9001
      @husseinmukwambo9001 23 дні тому

      Subhana Allah hata nimemuogopa navile nilikua namkubali Ya Allah hata sielewi mbona kageuka hivi

    • @lilmojr7
      @lilmojr7 23 дні тому

      Wallahi jamaa keshageuka Allah anamuumbuwa na povu lote ni kishki kusema ukweli na mkitaka kujuwa sio shariff peke yake kishki kapiga kqenue mshono na ,ao hako huko huko kwa sharif

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 23 дні тому

      ​@adamhashim3352 huna lakuuliza nyamaza tu au kamuulize yuke bilisi anaejiita sharifu na huyu sule nyoko firauni mwenziwe

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 19 днів тому

    Matapelii sasa wachalukaa na tutawajuwaa woteee matapeliii ivi Mungu anatuonyeshaa Matapeliii,,

  • @nikrahayubu-sz3pw
    @nikrahayubu-sz3pw 21 день тому

    Semaa wallah nimegudua watu wengii hawampnd sheikh kishik ila sie twampnda na ALLAH amjalie kilala kheir amuepushe na hasd na hasad we DCt sule nilikuwa nakupnda lkn ashv umenitoka bhnaaa

  • @AliAli-dc9zl
    @AliAli-dc9zl 22 дні тому +1

    Dr suley hongera upo juu sanna hatuwezi kuharamisha dawa kwa sababu ya majina yake maana hata paracetamol inatengenezwa na makafiri lkn waislamu tunameza

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 23 дні тому +3

    Sikuizizamwisho tutaonamengi tutaskiamengi Allah atongoze

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 23 дні тому +2

    Wallahi sasa nimeamini dr sule unakoelekea sio kabisa jitathmini ndugu yangu yule dr sule tuliekuwa tunamjuwa sio wa sasa jiulize tatizo liko wapi?

  • @OmaryMgomba
    @OmaryMgomba 21 день тому

    Sule mimi nakuelewa sana ulichokiongea. Ombillangu muwaambie wanaojisifia kwa udai mlinganiaji wanajisifu dunianzima anajulikana anajitangaza hivo, mwambiebini mungu hampenndi dayyi wa tanzania, Africa wala wadunia, mungu anampenda dayyi anayempenda yeye Allah.

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 21 день тому

      Acha chuki na we sheikh kishik jmn hajakataza mafuta cz yule kijana hajaanza Leo kaanza siku nyingii sana kufanya tiba shida alikuja nao ni kwamba yy anasema kuwa yy ni sharif kuwa Dua yake ni jbiwa mara moja sawa lkn yy ndoo anafanya shikrii ni kwa vile anatoa uachwi Kisha yy anasema kuwa mungu kampa kalama jmn muwe mnafikriaa kdg acheni kumchikia mtu dah

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 23 дні тому +33

    Huyu nae kashakuwa tapeli hana maajabu, watu hawapingi mafuta watu tunapinga aina ya huduma mnazotoa mfumo wenu wa kutoa huduma sio wa kisheria kwan quran si kitabu cha Allah na hakina shaka mbon nyie mnakitumia kwenye ramli? Kwahiyo ndugu mganga sule hakuna huduma kama hizo kwenye dini yetu, mnatumia kivuli cha dini kupiga pesa, mnauza dini ya Allah kwa hela thaman ndogo, NB; shekh kishk kafikisha tu na kajitoa dhimma kwa aliyemtuma Muhammad (saw) kwa haki

  • @MohamedMnemo
    @MohamedMnemo 23 дні тому +5

    Kama cc tulionnje ya nchi hiyozawadi aituhusu Asaalam alakum

  • @victorchiwai8831
    @victorchiwai8831 23 дні тому +3

    Sisi ambao tupo Nairobi Dr sulle tunasaidika vipi na huduma zako

  • @KarimSaidd-j3g
    @KarimSaidd-j3g 21 день тому

    Doctooooor noma sana ichi kichwaaa ni ndo nilikua namsubili huyu

  • @joezeno8
    @joezeno8 22 дні тому

    Dr Sule unaupiga mwingi ✊🏿🔥🔥🔥👍🏿

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 22 дні тому +1

    Chapakazi sheikh watakuelewa badae insha'Allah

  • @muhamedmgati4996
    @muhamedmgati4996 15 днів тому

    Dk sule umeongea kitu cha muhimu sana katika dini yetu, kishki mwenyewe anauza hayo mafuta, watu wanasema mungu ana mtoto husemi kwenye mimbari unakuja kuwasema wauza mafuta wenzako, DK SULE MM NAKUPENDA SANA HUWA UNATAMKA UKWELI HATA KAMA NI UCHUNGU

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 18 днів тому

    Kweli masheikh wa ahlu sunnah walitutahadharisha na hawa miaka mingi sn nyuma hawakufanya kwa khiyana bali tunaona sasahivi walivopinda hawa watu - Allah atuongoze na atupe thabat ktk sunnah

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 21 день тому +1

    Dr. Suleiman uko sawasawa

  • @fatumaali352
    @fatumaali352 21 день тому +4

    ALLAH AKUZIDIAHIE UMRI MREFU UZIDI KUELIMISHA WANAOKOSOA WENZIWAO BIG UP DKT SULLE

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 10 днів тому

    Jamani tutafute namna ya kusapott masheikh wetu kimaslahi wameanza kiburi na utapeli

  • @ibinmgeta2406
    @ibinmgeta2406 19 днів тому

    Hii ni dalili ya kuwa na mwisho mbaya.
    sule umefanya kazi kubwa sana kwenye dini. lakini umebadilika sana siku hizi kwa sababu ya pesa msimamo wako ktk kusimamia khaki kama zamani umekwisha kabisa.
    Allah akuongoze.
    hoja si tiba ya mafuta.
    hoja ni mfumo unaotumika kutibia.

  • @CaptainShabani
    @CaptainShabani 22 дні тому +1

    Dr sule uko sahihi

  • @MuhammadWesonga
    @MuhammadWesonga 23 дні тому +10

    Sule tangaza biashara yako kwa namna nyingine,sio kutumia dini,

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому

      Cha Msingi Masheikh na Wahubiri wa (Imaan/Dini yetu) Uislamu wanapaswa Kujikita zaidi Kuelimisha/Kuhamasisha Waislamu (Watu/Jamii) Kuwacha Maasi/Maovu, Kukithirisha Touba na Kumrejea Allah Kwa Kukithirisha Kuzifanya lbada Sahihi/mbalimbali (Swala, Funga/Swaumu, Kutowa/Kugawa Sadaqa Kwa Walenga Maalum na Vigezo Maalum vya Kukubaliwa Sadaqa nk) yampendezayo Allah.
      Laakin Sasa baadhi ya Wahubir wa Dini i wengi/kama Wote (Waislamu na Wakristo) hujikita zaidi ktk Dua/Maombi-Kufunguwa Vifungo , Kuwapa Khofu/Woga Waumini Wao Kwa Kuhubiri zido Uchawi/Ushirikina, Majini, Uganga, Kutangaza na Kuuza Dawa (Maslahi ya Dunia/Biashara) badala ya Kuhimiza zaidi Uch UchaMungu.

    • @lilmojr7
      @lilmojr7 23 дні тому +1

      Shukran saana kaka ajiweke wazi tu yeye na sharif lao moja

    • @Dafetty
      @Dafetty 23 дні тому

      Wote hao wachawi tu

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 22 дні тому

      wachawi wote hawa kwanza sheikh anajichubuaje😢

    • @cletondunguru1352
      @cletondunguru1352 22 дні тому

      Nyiny waislaam kama hamtaki kwenda kuombewa dua na mashekhe zenu basi njooni kanisani kwetu

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 19 днів тому

    Shkh mlad aongee Iman imechkuliw yamebk matamanio tu

  • @AminerAlly
    @AminerAlly 22 дні тому +1

    Suleeeeee washikina wana tabu sana, poleni

  • @SALMAMUSSA-x1q
    @SALMAMUSSA-x1q 23 дні тому +1

    Na wataelewa tyu❤❤❤

  • @binhemed7517
    @binhemed7517 19 днів тому

    Dr Sule anajinaki kwasababu na ijtihada yake ya kusilimisha watu lkn akae kwenye vikao vya dini na abishane kwa akida za kiislamu ataona hatoboi. Ww wajua bibilia lkn tukikueka kwenye akida ya dini hauwezani. Allah akulipe kwa ijtihada yako ya dini kuslimisha lkn kwenye hili huna ujuzi nalo

    • @ShamimMsofe
      @ShamimMsofe 9 днів тому

      Haswaaaaaaaaa sijui anaongea upuuzi gani

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 20 днів тому

    Jamani sio Kila Kitu Cha Wakristo ni kibaya Dkt sule uko sawa kwa hapo waislam hatujielewi hii inasikitisha sana

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 23 дні тому +1

    Mimi Binafsi nilishapoteza imani juu ya Huyu Dk. Sulle Pamoja na Mazinge na wengine wote wanaotetea Maovu anayoyafanya huyo jamaa yao anaejiita Sharifu nani sijui na Wengine wanaorubuni watu kupitia Dini ya Kiislam. Ishaallah Allah atafanya kitu juu yao.. Waliobaki na wanaoupigania Uislam ni wachache kwa sasa Allaha awape Hekma, Uvumilivu, Afya na awaepushe na tamaa za Dunia.. AllahummaAmin..

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 22 дні тому

      @@ochuMay05 wewe ukipoteza imani mbona haijalishi kitu.Ukweli upo palepale na uwongo ipo palepale wala havitegemei wewe au mimi.

    • @ochuMay05
      @ochuMay05 22 дні тому

      @@mzeerajab9154 Nafikiri umeelewa vizuri nilichokiandika..

    • @sallysafisanakijanakazibut1688
      @sallysafisanakijanakazibut1688 22 дні тому

      Huyo sule na mazinge walipandikizwa tu

    • @sallysafisanakijanakazibut1688
      @sallysafisanakijanakazibut1688 22 дні тому

      Waujue uislma vizuri kisha ndio wajue watawamalizaje sasa ndio wanaanza kujifunguwa. Sio kukitambuwa wameisha pewa mgao

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 22 дні тому

      Amyn.

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm 22 дні тому +2

    Huyu jamaa shida hajasoma Dini ana kelele nyingi akishabishan na wakristo bc aon uislamu nd ameshaujua

  • @allyhemed6380
    @allyhemed6380 22 дні тому

    Shekhe dua zake anamtaja Allah leo owe dhambi sinkwelo

  • @husseinhcube1310
    @husseinhcube1310 23 дні тому +1

    Sule yupo sawa Unawezaje kumkosoa muyslam mwenzio live kakosea mfate muongoze akiona yupo sahihi weken mdahalo wa wayslam kwa wayslam tupate ukweli nani yupo sahihi bila majibu ya ujanja. Nimegundua tiba ndio mgogoro

    • @t.v.a.i.s.s6842
      @t.v.a.i.s.s6842 23 дні тому

      Bwana hussein hapa kwenye hili nakuunga mkono. Sana sana wa islams wa tanzania hizo tabia za ku shambuliana mitandaoni wa islams tunazo. Tuachene nazo jani please.. Tufuatane imbox ao vikaoni

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 23 дні тому

      INNALILLAH WAINAAILAHI RAJUUNI! hatukuwahi kusikia malumbano kama haya katika Uislam kwa masheikh na wazee wetu waliopita!! Waislamu tuamkeni tumekwisha!!!

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 22 дні тому

      Huyjui sheria yakukosoa kaakimya ww. Unapotezwa

  • @salmahanai
    @salmahanai 23 дні тому +4

    Dokta sule hakika huwa unaburudisha nafsi yangu Allah akuzidishie

  • @kisanganyakiswanta1379
    @kisanganyakiswanta1379 18 днів тому

    Tonge lishakubali lakini fahamu kuna maisha baada ya hapa sulle

  • @rahmaalharthi5386
    @rahmaalharthi5386 22 дні тому

    Unamu attack sheikh kishki bure sasa wewe unasapot ivile kijana anawamgiya akinamama maji wewe unaona sawa ila kishki kukataza wewe unaona ndio kosa SUBHANA ALLAH

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 19 днів тому

    Waislam wenzangu ushauri wangu ni kutafuta elimu ujue wapi upite na wapi usipite kulingana na elimu uliyonayo.
    Kwa sasa tuko zama za mwisho kila mtu anaangalia maslahi tu ya Dunia.

  • @AbdillahAlly-fl4vh
    @AbdillahAlly-fl4vh 21 день тому

    Huyu dr sule ndio mwalimu wa kishki sasa kama hamjui hagusi hapo hongera doct sule upo sahihi

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 21 день тому

      Matako yako😂

    • @AdiaBantagula
      @AdiaBantagula 21 день тому

      Heeeeeee wewe kuwa serious bas na maneno yako acha kuropoka ropoka tu.

  • @NajimAmani
    @NajimAmani 22 дні тому +8

    Wanao mpa sapoti kishki nawahurumia sana, maana wamemuamini mtu ambae anaamini kua muafrica sio mtu mwenye haki ya kua mkubwa kwenye karama za mungu, msikilizeni vizuri kishki ni mbaguzi wa rangu

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv 22 дні тому +3

      Umerongwa wewe na huyo tapeli wako Dr. Sule

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv 22 дні тому +2

      Acheni utapeli wapuuzi nyie

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 22 дні тому +2

      Wacha chuki binafsi dini haichaguwi rangi

    • @binomary6617
      @binomary6617 22 дні тому +5

      wewe ndio unatakiwa uhurumiwe kwa sababu sheikh kishki hajakataa tiba kwa mujibu wa sheria ya uislamu alichokataa ni kuongza mambo ambayo hayapo katika utaratibu wa tiba kwa namna uislamu ulivyofundisha, wapi sheikh kafanya ubaguzi?

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 22 дні тому +1

      Unaakili ww soma siyo kukumbilia ugangatu

  • @NassormsuruzyaRupia
    @NassormsuruzyaRupia 22 дні тому

    Kasome sira ya mtume swalallahu a'alayhi wasallam allah akuongoze uifaham njia ya haki uweze kuifata hakuna dini kwenye matamanio wala shirkii

  • @BON357
    @BON357 22 дні тому

    Nyinyi Mashekh munamabifu yenu wasenge Mungu atawapelekea moto wote

  • @hajiurio9274
    @hajiurio9274 19 днів тому

    Shekh Kishki usiogope ukubwa wa wanaokupiga vita kwa mshikamano wao,kaa ktk msitari haki siku zote hupingwa na watu wa maslahi ya Kidunia

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 21 день тому

    Dr si kila mtu naa fani yake.kwani wote tunatakiwa tulinganie kwa njia hiyo ya mpe mfunulie.tuheshimu masheikh

  • @emanuelibora8186
    @emanuelibora8186 21 день тому

    Hao ndo wahubir wa dini ya haki, sisi tulio okoka ndan ya YESU kimyaaa!!

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 дні тому

    Eti na ndevu zake hivinww unaakilikweli. Unazalau ndivu na.mwenzio anapata swawabu kupitia ndevu. Ww umekwangua kidevu kama Mwanamke. Mtihani sana

    • @KhadijaSaidi-bg6nc
      @KhadijaSaidi-bg6nc 22 дні тому

      Dini imekupoteza pole sana😢

    • @NassormsuruzyaRupia
      @NassormsuruzyaRupia 22 дні тому +1

      ​@@KhadijaSaidi-bg6ncumepotea wewe na mganga wako wa kienyeji 😅😅😅😅😅😅 allah amesema yupo karibu na waja wake anamuomba kila muombaji anachoomba tena yupo karibu kuzidi ukaribu wako na mshipa wa faham badara muwaimize watu kumuomba yeye mnawaibia pesa kwa kuwamwagia mafuta 😅😅😅😅😅😅😅😅 innalillahi wainnailayhi raj'uun

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 20 днів тому

      @@KhadijaSaidi-bg6nc Ushilikina utakuangamiza ww polesana

  • @RashidSuleiman-i2p
    @RashidSuleiman-i2p 22 дні тому +1

    Sule wewe uko sahih san shida ya sis tumekuwa bendela.

  • @hussenihamisi2862
    @hussenihamisi2862 22 дні тому

    Ndege wa aina moja wanaruka dr sule wew na huyo sharifu ni aina moja2 lazima utamtetea

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому +1

    Haifai Kuramba Uke sababu hutojuwa Usafi wa Uke kwa 100% na Kueamba Uke/Ume inaweza Kuwa sababu ya Mramaji Kupata/Kuambukizwa Kansa/Saratsni ya Kinywa- Ulimi na Koo. Prevention is Better than Cure)
    Uislamu unatutaka tuwache/tuepuke Kufanya yenye Mashaka tufanye yasiokuwa na Mashaka na tuheshimu/tuzingati Ushauri wa Madaktari/Wataalamu (Wenye Elimu) ya Fani/Jambo husika.
    WaAllahu Aalamu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 22 дні тому

      Jazakrllah khaillah kwa ukumbusho❤❤

    • @hamisialli7942
      @hamisialli7942 22 дні тому

      Alaf huyo mwanamke akutane.na muhuni asie na mipaka, ndo utajua hujui

  • @athumanibakari-j6u
    @athumanibakari-j6u 20 днів тому

    Shekh Sule,achana na hayo mambo uislamu ni Quran,hadithi za mtume na maghulama.

  • @Khalfaruginarubela
    @Khalfaruginarubela 14 днів тому

    Dokta sule yupo sawa yan watu wanakosoa neno na siyo maana ya neno lenyewe

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 18 днів тому +1

    Naona kama mada imebadilishwa.swala hapa nikwamba mafuta hayo yaupako msiyafanyie misikitini kama wafanyavyo wakristo.atakae afanye kilingen kwake au viwanjani huko sio ndani ya misikiti.wakifanyia viwanjani signing tatizo atakae aende

  • @MudiMshindo
    @MudiMshindo 23 дні тому +1

    Waambie hao,huyu ndo doktor sulle hana kona kona yeye anakwambia ukweli tu,

  • @Users2523
    @Users2523 23 дні тому +1

    Mmekuwa wezi saana nyinyi wa hubiri.

  • @suleimanally834
    @suleimanally834 22 дні тому

    Mimi nakushauri ungekuja na bidhaa nyengine doctor sule ungeuza mkorogo ungepata wateja sana mana ww ushakuzoea ungeetumia zaid vidoleni ungeondoa weusi

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 22 дні тому

    Hekima hizo wanazo waaamini wa kristo tu dokta sule MUNGU AKUSAIDIE uritadi umrudie kristo YESU MWOKOZI...

  • @jumaomari285
    @jumaomari285 22 дні тому

    Masheikh wengi wanatetea tumbo hawafuati suna ya vitu ila wanamsemo " hata tukifanya ivi na ivi shida iko wapi" ili hali iyo sio njia tuliyo funzwa na Ar rasul alayhi salam.

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 21 день тому

    Ndio maana mm saiv hakuna shekh sasaiv wote wamekuwa waganga tu huyo mtume hajakaa nahao wayahud kakaa nao tena kwamikataba kwann mungu hakumwambia awauwe Dr sule naww mganga tu kwendraaaa

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o 23 дні тому

    Aliweza kumsingizia bimkubwa mabebi yakuwa anaruka usiku katengeneza CD naameziuza sana kwasababu ni maarufu iliawasaidie wale watoto waweze kusoma. Lakini mpaka. Maisha ya hao watoto ni ajabu mpaka mmoja ya hao wtt amezaa na baba take hiyo laana kumsingizia MTU aliyembele haki kweli. Mungu Nate atamfedhehesha. Hapa duniani. Ishalla

  • @MabrukiAlly
    @MabrukiAlly 22 дні тому

    Yaaani Nyinyi Sasa Munaangalia Maokoto Kuliko pesa Ndo Munako Egemea

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 21 день тому

    Huyuu jmaaa niliachagaa kusikilizaa kitamboo kwasababu namuonaa yupo kibiasharaa sanaa shekhe kishki yupo sahihi sanaa huyoo sule anachanganyaa mchele na wali yaan

  • @hajiurio9274
    @hajiurio9274 19 днів тому

    Uhalali wa jambo ktk Uisilamu sio kufanywa na watu wengi

  • @MaryamMashaka
    @MaryamMashaka 21 день тому

    Hakika huna kitu ktk hili bora ungekaa kmya usinge ongea lolote unataka kuhqribu waislam na mashkhe wanaofanya haq

  • @saidmsinga7336
    @saidmsinga7336 21 день тому

    Doct sule huna elimu ya akida we we ,ndio maana unataka tuaminisha mnaonewa kukosolewa

  • @mwajabumahamud
    @mwajabumahamud 20 днів тому

    Hii ni dalili ya kiama,Kishk yuko sahihi kwa mujibu wa dini,Yaarabi tuongoze sisi

  • @KabebeMazambi-w9u
    @KabebeMazambi-w9u 20 днів тому

    Tapeli anamtetea tapeli mwanzake, mtaje jina tukupige mawe. ( kishki atawaanyoosha mashikh madili)

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 21 день тому

    Piga kazi dct sule

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 23 дні тому

    Nawaaomba sana msikilize nyimbo ya AFANDE SELE dini tumeletewa kuna maneno alisema mtawauwa waklisto wote lakin bado mtakuaja kuuana wenye Sasa yanatokea