MC MBONEKE ALIVYOVUNJA MBAVU NDANI YA KIPINDI CHA MGAHAWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 373

  • @henrykadinda4464
    @henrykadinda4464 3 роки тому +131

    Jamaa anajua sana wangapi wanamkubali

    • @ROBERTRUGENI
      @ROBERTRUGENI 6 місяців тому

      Uyo inawezekana akawa mtoto wa pasta mgogo

  • @barakamwandiga2327
    @barakamwandiga2327 3 роки тому +68

    Sema dogo anaonekana hata elimu kichwani ipo 🔥🔥

  • @fredericmbanga207
    @fredericmbanga207 3 роки тому +18

    KEEP IT UP YOUNG MAN, YOUR TALENT IS JUST BEGINNING TO GLITTER. WE ADMIRE YOUR PERFOMANCE, UWHIDADAJE, ALEMBELE MWIHO.

    • @juliananyagawa3795
      @juliananyagawa3795 3 роки тому

      TUNAOMBA VIWANDA VYA BIA KWENYE K VANT MUWEKE KASUKARI KIDOGO MNATUONES JMN HIZI ADHABU

  • @nurually8211
    @nurually8211 3 роки тому +137

    Wallah khaaa Atar🤣🤣🤣 Walio kipenda Kipindi Cha Leo Tujuane kwenye like

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 3 роки тому +69

    Dogo anajuwa kujieleza sana 👏👏👏👏

  • @Scott_adi
    @Scott_adi 3 роки тому +28

    Tz htr tu kdgo umetosoa huyo atapewa kazi tu 🙌💪💪💪💪

  • @marafikistation
    @marafikistation 3 роки тому +71

    KUNA MTU ANAITWA MC KINATA KAMA UNA MJUA GONGA LIKE 🇹🇿

    • @mafiosoismail7475
      @mafiosoismail7475 3 роки тому +4

      😂😂😂 ana singeli yake ya kiingereza hyo taabu kwelikweli

    • @angelakimu9555
      @angelakimu9555 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tresorkongolo8591
    @tresorkongolo8591 3 роки тому +6

    Uyu jamaa video zake nime fika mpaka congo Drc hongera sana ndugu yangu

  • @chekeshacomedy9385
    @chekeshacomedy9385 3 роки тому +12

    Msafwa mwenzangu hongera kwa kutuwakilisha wasafwa

  • @precioussilungwe7365
    @precioussilungwe7365 3 роки тому +8

    Big ups mwanakwetu Mbeya,hakika Mby tumebarikiwa sana kwa vitu vingi.
    Ushauri wangu kwako Mc Mboneke kaza usipost sana watakuchoka haraka.
    Wangapi mnaunga mkono wazo hili gonga likes hapa tumsaidie dogo kukaza kamba👍👍👍👍

    • @faithfulphilemon9890
      @faithfulphilemon9890 3 роки тому +1

      Mbeya wanaheshima wakarimu sana sikuwa na ndugu kule ila nilikaribishwa kama nimefika nyumbani kabisa Daah Mungu awabariki sana kuwa na ukarimu huo Wallah

  • @lechavictor3258
    @lechavictor3258 3 роки тому +172

    Mwagona Zimbombo Nyinzaa nipeni likes zangu kwa kujua kisafwa😂😂😂

  • @joshuamvela6294
    @joshuamvela6294 3 роки тому +76

    Wa makambako naomba like zangu

  • @jisusimalale6288
    @jisusimalale6288 3 роки тому +31

    Daaah hiii jamaaa ni atare de way anavyoongeaga vyenye clip zake anajua bn big up de young 💪💪

  • @saidmkola4029
    @saidmkola4029 3 роки тому +22

    Kijana mbunifu sana Mungu amsaidie🙏🇹🇿

  • @nzogoropatson1787
    @nzogoropatson1787 3 роки тому +15

    Umetisha sana mwamba wetu wa green city

  • @mheshtv
    @mheshtv 3 роки тому +10

    Napenda huyu jamaa bure. Mcheshi kwelikweli. #fromKenya🔥🔥

  • @roi2554
    @roi2554 3 роки тому +12

    Jaman nimekuwa wa mwisho kutizama hii interview
    Naomba irudiwe

  • @crazymindquanta2157
    @crazymindquanta2157 3 роки тому +15

    Gonga tu like hapa maana mbeya boez tunaua sana mwaisa mboneke😂

  • @youngtaiz8359
    @youngtaiz8359 3 роки тому +29

    Kipindi hii interview inarusha mimi sikua online naomba irudiwe😂

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 3 роки тому +56

    Mboneke kaomba fly over ya ubungo irudiwe akiwepo na yeye🤣🤣🤣

  • @avinaudax6019
    @avinaudax6019 3 роки тому +31

    Mwamba uko vzur endelea kukaza zaid nakuona mbali🙏🙏🙏🙏

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 роки тому +9

    kachangamka sana safi mcc mboneka💪

  • @barakachaula7050
    @barakachaula7050 3 роки тому +56

    Like zangu Jmn 😂😂

  • @manzially5248
    @manzially5248 3 роки тому +35

    Like zangu jmn naomba zirudiwe zirudiwe🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣

  • @farhatahmed6785
    @farhatahmed6785 3 роки тому +21

    Mrija Wa falopio ilinimaliza Mimi kama,nesi🤣🤣🤣🤣

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому +11

    Jamani NILIKUWa naomba jamaa Huwa ananichekesha Kweli kudadeki leo ndio namuona

  • @ibrahimhussein9727
    @ibrahimhussein9727 3 роки тому +10

    Yupo vizuri sna

  • @levisonpondamaly3941
    @levisonpondamaly3941 3 роки тому +6

    Safii sanaa safwaa boys nimependaa

  • @AlfanYelela
    @AlfanYelela 9 місяців тому

    Nakubal sana huyu mwamba mungu ampe maisha marefu

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 3 роки тому +7

    Wakina Oscar na mabalaa yetu🙌😄😅🙌🙌🙌

  • @minajones7699
    @minajones7699 3 роки тому +71

    Samahani wasafi, tunaomba hii interview irudiwe, irudiwe.... 😂😂😂

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 3 роки тому +6

    Tatizo Mby woteeee macomedian..... utacheka tu kuanzia vilabuni, masokoni kwenye nyumba za ibada nk so kuwachekesha kirahisi ngumu.... but keep it up dogo usikatishwe tamaa.

  • @nyenzikolnel1093
    @nyenzikolnel1093 3 роки тому +47

    Nimekuw w kwanza jaman nipe comment 🤣🤣

  • @fanuelmangula7282
    @fanuelmangula7282 3 роки тому +18

    Jamaaa anajua sanaaaa uyu

  • @marthamwandumbya1268
    @marthamwandumbya1268 3 роки тому +3

    Keep it up school mate

  • @nyenzikolnel1093
    @nyenzikolnel1093 3 роки тому +23

    Daaa jamaaa nomaaaa saaana

  • @zawadidonaldmandondomandon6503
    @zawadidonaldmandondomandon6503 3 роки тому +8

    Mwagona Mwanyanje I zyensiku holo whane.

  • @sophiasophia6945
    @sophiasophia6945 3 роки тому +17

    Huyu kaka jaman nilikuwa namtafuta maana alinichekesha mpaka mbavu ziliniuma ninakesi naye

  • @bwiganeuswege2366
    @bwiganeuswege2366 2 роки тому

    Hongera sana! Lakn hilo jina la mboneke ni la kinyakyusa na namna alivyobabaika kujibu salama ya kinyakyusa kutoka kwa mtangazaji anaonekana anakijua vizuri ila hakutaka kuongea.

  • @charitysambagi4463
    @charitysambagi4463 3 роки тому +24

    Hongera sana

  • @turukimedia
    @turukimedia 3 роки тому +4

    Noma sana 🔥 🔥 🔥

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 5 місяців тому

    Nakupenda sana jaman ❤❤❤❤❤❤

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 роки тому +4

    Tz fanya vitu vya ujinga ujinga utakuwa star sasa uyu mtu laletwa apo kwa ajili ya vituko tu..
    Wapi pier liquid njoo umuone mwenzio uku

  • @lindyarita3014
    @lindyarita3014 3 роки тому +13

    Nampenda mno

  • @nassibumsodoki4589
    @nassibumsodoki4589 3 роки тому +10

    😂😂😂😂😂 daaah aisee b gap san yan mgahawa mmeweza kumkamata uyu mwamba na kumhoj ,

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 3 роки тому +3

    Sana msafwa wa home

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 роки тому +4

    Huyo jama nishida unajua ombi lake likitekelezwa huyo chanjo itakua kwa wanawake kwahiyo wanaume haituhusu naunga hoja zichomwe Huko kwenye hizo falopio. Ataanza kuchomwana nani sasa!!!!

  • @zuhuramdoba5015
    @zuhuramdoba5015 3 роки тому +6

    Jamani kipindi kirudiwe kirudiwe mie sikuwepo 😂😂😂😂😂

  • @ongeshabani8439
    @ongeshabani8439 3 роки тому +26

    Tanzania Ndiyo inchi pekeee Duniani inayo sapoti ujinga

    • @uislamutv2573
      @uislamutv2573 3 роки тому +4

      Kweli kabisa yani ujinga TIN WHITE alishacheza movie nyingi za komedi zenye mafunzo ila hajawahi kuitwa kuhojiwa wasafi

    • @samclassic7613
      @samclassic7613 3 роки тому +6

      @@uislamutv2573 fatilia kabla ya kutoa comment zenu na muwe na uhakika navo tin white amesha Fanya interviews 2 kwenye hivi nkwel na refresh acha kuposha watu

    • @braysonmatoy8220
      @braysonmatoy8220 3 роки тому +5

      @@samclassic7613 wengine wanaropoka tuh bila kufatilia

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 3 роки тому +7

      Acha wivu, fanya kazi muda wako utafika. Huu ni muda wa Mc Mboneke tukae humo 🤝

    • @juliejulie8704
      @juliejulie8704 3 роки тому +9

      Ujinga pia una umuhimu hata kwenye maisha na ndio mana ikawekwa siku ya wajinga duniani pote

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 роки тому +1

    Mdogo mdogo anatoboa kimaisha ohooo we kaa hapohapo👏👏👏

  • @haruna1
    @haruna1 3 роки тому +10

    Mungu amuongoze vyema

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 3 роки тому +1

    Maisha ni zari ikifika imefika salute mc @mboneke

  • @elysonmrutu3553
    @elysonmrutu3553 3 роки тому +1

    Big up wasafi media kutuona vijana kama huyu jamaa unastahili kuonwa maana ni Jambo zuri sana kutia tabasamu kwa mtu mmoja yaani hii ni platform kubwa big up guys...

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 роки тому +7

    Yaani huyo ni kama Babalevo umeona pua zao

  • @kheriofficial3846
    @kheriofficial3846 3 роки тому +41

    Jamaa ana pua kubwa kama ya baba Levi🤣🤣🤣

    • @althamdb5501
      @althamdb5501 3 роки тому +3

      Na ww unaonekana una madole makubwa ad kuandika unakosea et Baba Levi 😂

    • @chollejr_
      @chollejr_ 3 роки тому

      🤣🤣🤣kama koki ya maji

    • @shadrackzablon5983
      @shadrackzablon5983 3 роки тому

      Kama kingereza hamjui tumieni kiswahili tutawaelewa tu eti baba Live najua alitaka kuandika baba Levo ila kaforce kuandika kingereza kikamuumbua😅😅

    • @althamdb5501
      @althamdb5501 3 роки тому

      @Mariam Mahonge ☺

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 3 роки тому

      @@chollejr_ siyo vzr

  • @pascoalbert693
    @pascoalbert693 3 роки тому +22

    leo picha sio quality

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 3 роки тому +9

    Ko unataka kusema fungu LA kumi ultoa buku.. An w kpatochako n mteni tuuu kwa mwezii

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 3 роки тому +5

    Wasaf hyo camera man wenu vip ajifunze kwa lukamba

  • @immakulathakayinga4354
    @immakulathakayinga4354 3 роки тому +13

    Jmn Oscar mbeya day pale HGL miss snaa

  • @angelohakizimana472
    @angelohakizimana472 3 роки тому +9

    Maaana nimeceka tuuu kwa kumuona😂😂😂😂

  • @salvatoryboniface1089
    @salvatoryboniface1089 3 роки тому +1

    Eti ile inayofungwa kwenye baiskel,,,eti manati mnazingua haumjui,,,,,manati yanafungwaje kwenye baiskeli watoto wa tailor mazuzu,,

  • @balatoziofficial4213
    @balatoziofficial4213 3 роки тому

    Kaka nakubali Wew

  • @avinaudax6019
    @avinaudax6019 3 роки тому +11

    Mtangazaji uko vzur kufikilia umetisha

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 3 роки тому

    MBONEKE mwanangu baraaa safisana karibu

  • @Fix473
    @Fix473 3 роки тому +13

    Fire😂

  • @dyx9inez
    @dyx9inez 3 роки тому +22

    Kaichukua Tiktok saiv 😂 Mzee Babloom yukowap 😂

    • @arqammasoud6858
      @arqammasoud6858 3 роки тому

      Kwani aliyetembea na Bibi yako si ni Babu yako hawa wengine watabaki kuwa wajukuu tu 😂😂

  • @dianamwalongo9732
    @dianamwalongo9732 3 роки тому

    Hahahaha Safi Sana wasafwa hoyeeeeee.hongera kaka.

  • @jameslukosi1735
    @jameslukosi1735 3 роки тому +4

    Wekasidiiiiiiii😁😃😄😆😂

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 роки тому +6

    Uyu jamani kajulikana kimchezo mbongo jamani sihami

    • @aishajafa4139
      @aishajafa4139 3 роки тому

      yaan bongo kukupa umaarufu ni dadika chache

  • @shamsahabibu837
    @shamsahabibu837 3 роки тому

    Luku luku like zisi naomba jamn wasaf hi irudiwe irudiweee

  • @immakulathakayinga4354
    @immakulathakayinga4354 3 роки тому +10

    Umejua knifraisha Oscar jmn

  • @suditv3867
    @suditv3867 3 роки тому +8

    Kwanini unakimbia ila watuu🤣🤣🤣🤣

  • @laswaimchaga3371
    @laswaimchaga3371 3 роки тому +15

    Wakati wa ufunguzi wa redio ya WASAFI sikuwepo naomba urudiwe

  • @goodhopemwalilino8595
    @goodhopemwalilino8595 3 роки тому +2

    Jamani mabomu ya mbagala wakati yanalipuka mm sikuwepo naomba yarudie

  • @frankpata1653
    @frankpata1653 3 роки тому +1

    Nakbal sana mboneke

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 роки тому +8

    Watu wambeya bwana!!!

  • @saidmkola4029
    @saidmkola4029 3 роки тому

    Mimi nina cheza Boxing Naombeni sapoti yenu ili tuweze kuinuana tusongeshe Taifa mbele🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @witnesmwalingo841
    @witnesmwalingo841 3 роки тому +1

    Ilumbu kabisa dah🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @sheyowilliam992
    @sheyowilliam992 3 роки тому +10

    Mwagona ezyembombo nyinza sana😂😂😂

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 роки тому +6

    Kipindi kirudiwe jamn 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jawadufirdaus1971
    @jawadufirdaus1971 3 роки тому +3

    Naomba hiyo interview irudiwe irudiwe maana kipindi mnaanza nilikuwa sina bundle

  • @abusheeathman5495
    @abusheeathman5495 3 роки тому

    mzee baba levo yuko mtaa ukita kucheka😃😃😃

  • @Kidpowertz
    @Kidpowertz 3 роки тому +29

    irudiwee😂😂

  • @paulbruno2934
    @paulbruno2934 3 роки тому +4

    Mc Mboneke sio kwamajina ni kwajina;
    Mtu huwa na jina moja na sio majina :
    Na ndio maana tunasema #my name is.....:
    Na sio #my names are....:

  • @Ikkiyoongi
    @Ikkiyoongi 3 роки тому +7

    Dogo utanivunja mbavu🤣😂🤣😂🤣😂🤣

  • @josephmwakifuna9211
    @josephmwakifuna9211 3 роки тому

    Nimefraisnaa mc mboneke mnyakyusa mwenzangu

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 роки тому +1

    mc mboneke nimetokea kukuelewa sana cha kukushauri usibweteke na umaarufu

  • @icramnajim626
    @icramnajim626 3 роки тому +6

    Luku laiki zisi luku😂😂

  • @tumpemwamwile7752
    @tumpemwamwile7752 3 роки тому +4

    Wasafwa oyeeee🙌

  • @mrperfect8852
    @mrperfect8852 3 роки тому +5

    Mnazngua mnakatishana maswali alaf hayarudiwi

  • @emmanuelmwesongo7177
    @emmanuelmwesongo7177 3 роки тому +5

    Yaani bongo mtu anaefanya ujinga ndo anatoboa

  • @AmaniNdisa
    @AmaniNdisa 8 місяців тому

    Saf sana mwanetu kwa kuiwakilisha mbeya

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 роки тому

    Mboneka mungu akusaidie

  • @barakambunju5444
    @barakambunju5444 3 роки тому +5

    tulikua tunakuona boya now xtar tayar

  • @zanzibarsafi2882
    @zanzibarsafi2882 2 роки тому

    Jifunze kupiga mbizi gusa picture hapo

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 3 роки тому +11

    kipindi kirudiwe kirudiwe ha ha ha ha ha

  • @elishathecomedy1221
    @elishathecomedy1221 11 місяців тому +1

    🙏

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 3 роки тому

    Namwangaliaga sana et iludiwe leli ya magu

  • @asherymwande5644
    @asherymwande5644 3 роки тому +6

    We nae acha ufala home boy hada salam hjui we so mmbeya boy we msafwa ka msafwa,

  • @adamdemarch5565
    @adamdemarch5565 3 роки тому +1

    Uyujamaa anajua bhana SEMA kibongobongo atapotea kwenye sanaa yake sijui kwanini