TOP 10 WACHEKESHAJI MATAJIRI NA MAGARI WANAYO MILIKI TANZANIA LIST RASMI IMETOKA COMEDY INALIPA
Вставка
- Опубліковано 18 тра 2024
- #comedy #TOP10 #wachekeshaji
TOP 10 WACHEKESHAJI MATAJIRI NA MAGARI WANAYO MILIKI TANZANIA LIST RASMI IMETOKA COMEDY INALIPA
TOP 10 MASTAA WENYE BIFU ZITO NA ZUCHU WALIO SHINDWA KUMTOA KWA DIAMOND WALIO MPIGA MATUKIO MAZITO
WASANII 10 MATAJIRI ZAIDI TANZANIA 2023/2024 LIST RASMI IMETOKA
TOP 10 MASTAA WALIO ACHANA VIBAYA NA KUTOLEANA SIRI ZA NDANI ZARI/LUKAMBA/RAYVANNY/HARMONIZE/KAJALA
#lukamba #cecy
TOP 10 COUPLE BORA ZA MASTAA NA WAPENZI WAO NA UMRI WALIO PISHANA 2022 - 2023 EAST AFRICA
TOP 10 WASANII MATAJIRI BONGO 2021 2022 WANAO INGIZA PESA NYINGI LIST RAMSI IMETOKA
MASTAA WANAWAKE 10 WENYE WATOTO CHINI YA MIAKA 25 SUPER WOMAN
WANAWAKE 10 MASTAA WENYE SIMU ZA BEI KUBWA AFRICA MASHARIKI UTASHANGAA
TOP 10 YA MASTAA WAKIKE WANAO FANANA KILA KITU MAPACHA
WANAWAKE MAARUFU 10 MASTAA WENYE LIPS NZURI TANZANIA
TOP 10 ya Watoto wa mastaa wanaotikisa Instagram Bongo
TOP 10 MASTAA WAIOFANYA SURGERY KUBWA EAST AFRICA
TOP 10 MASTAA WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA/WASICHANA 10 WENYE MVUTO ZAID WA SURA NA SHEPU TANZANIA
MASTAA WANAWAKE 10 TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30 TOP 10
WANAWAKE 10 MASTAA WENYE MAKALIO MAKUBWA TANZANIA
MASTAA 10 WA KIUME WENYE SURA NZURI ZAID TANZANIA/TOP TEN WASANII WA KIUME WENYE MVUTO ZAIDI
TOP 10: LISTI ya WASANII Wanaojua KUTUPIA NGUO za GHARAMA na KUPENDEZA BONGO...
TOP 10 Wasanii Ma Handsome ZAIDI Tanzania (Handsome Boy) Part 1
TOP 10: MASTAA 10 WALIOINGIZA PESA NYINGI DUNIANI KUPITIA INSTAGRAM 2019
TOP 10 WAREMBO MASTAA WASIOZEEKA EAST AFRICA
TOP 5 (FIVE) YA WATOTO WA MASTAA WANAOPENDEZA ZAIDI TANZANIA
MASTAA 21 WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA/LIST YA MASTAA WANAOONGOZA KWA UZURI NA MVUTO ZAID TANZANIA
TOP 10 YA MASTAA 10 WAIGIZAJI WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 40 WENYE MVUTO NA UZURI
UTACHEKA! WAREMBO BONGO WANAVYOONEKANA BILA MAKE UP 😂
WASANII KUMI BORA BONGO MWAKA 2020 ..TOP 10
Top 10 Mastaa wenye Ushawishi zaidi Tanzania
LIST YA WAREMBO 10 BORA TANZANIA| ZUCHU ASHIKA NAMBA.. AMBERRUTTY GUMZO|BEAUTIFUL LADIES IN TANZANIA
MASTAA WANAWAKE 13 WAZURI EAST AFRICA 2020 - 2021
LIST YA WASANII 10 MATAJIRI AFRIKA MASHARIKI
MASTAA 10 WA KIUME WENYE SURA NZURI ZAID TANZANIA/TOP TEN WASANII WA KIUME WENYE MVUTO ZAID
WASANII KUMI WENYE MADEMU WAZURI ZAIDI TANZANIA ❤
WATOTO 10 MAARUFU TANZANIA, MTOTO WA KIBA AWEKWA KATI NA WATOTO WA DIAMOND PLATNUMZ,
WASANII 10 WAKIUME TOP 10 WANAO ONGOZA KWA KUVAA VIZURI EAST AFRICA
WASANII,MASTAA 20 WANAOMILIKI NDEGE ZA KIFAHARI ZAID DUNIANI HAWA APA/LIST YA MASTAA WENYE NDEGE
List ya Warembo kumi bora Tanzania ❤️( Top 10 most beautiful Tanzanian celebs
WASANII 10 WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA HAWA APA/ MASTAR WAREMBO ZAID KWA SHEPU NA SURA ZA KUVUTIA
LIST YA WASANII MAFREEMASON WAKUBWA TANZANIA/WASANII KUMI WACHAWI KULIKO/LIST YA WASANII ILLUMINATE
TOP 10 MPYA YA MASTAA TAJIRI ZAIDI DUNIANI HII HAPA.
TOP 10 MASTAA WANAOONGOZA KWA FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM MWAKA 2021 TANZANIA
UTASHANGAA WASANII 15 WANAO ONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA TANZANIA
MASTAA 10 WENYE MKWANJA MREFU BONGO!
WATOTO WA MASTAA WATAOSUMBUA VIDUME
Top 10 ya mastaa waliowahi kukiri kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldo
LIST YA WATOTO WA MASTAA KUMI WANAOJUA KUVAA NA KUPENDEZA
TOP 10 List ya wasanii Matajiri ZAIDI Kuliko Wote Duniani Mwaka 2021 | 2022
TOP 15 Majina Halisi Na Miaka Kamili ya Mastaa Kutoka Tanzania
WASANII 15 WANAOJUA KUONGEA ENGLISH TANZANIA HAWA APA/MASTAR 15 WANAOJUA KUONGEA KIINGEREZA ZAID
MASTAA 10 WAREMBO ZAIDI AFRIKA MASHARIKI-2020/ TOP 10 MOST BEAUTIFUL CELEBRITIES IN EAST AFRICA.
HAWA ndo WASANII 5 wenye MAGARI YA KIFAHARI Tanzania
JEURI YA PESA! Jionee Mastaa 10 Wanaomiliki Ndege Binafsi
Mnapendeza sana! Magari haya yanaonyesha jinsi mnavyojituma na kuthamini kazi yenu. Hongereni sana!
Hongereni sana kwa mafanikio yenu! Mnatumia vipaji vyenu kwa ubunifu mkubwa na kweli mmevuna matunda ya kazi yenu.
❤❤❤❤❤
❤🎉
Mafanikio yenu yanatia moyo sana. Endeleeni kutumia vipaji vyenu kuboresha maisha yenu na ya wengine. Hongera sana!
Mnafanya kazi ya nzuri sana Magari haya ya kifahari ni alama ya mafanikio yenu. Kila la kheri kwa siku zijazo ❤❤❤
Hongereni Sana kwa kaz znu bila kuwa na aibu lkn ondoen tabia ya zarau na jeur kuwaona watu wanao wa support kma afai kwasabb Meshakuwa na Mafanikio lkn mkakosa kukumbuka Mefika ni kwaajili ya Masupportor wenu kuweni makin ❤❤❤❤ nawapenda kwamana nyie niwashaur wa jamii nje na ndan
Mafanikio yenu yanatia moyo sana. Endeleeni kutumia vipaji vyenu kuboresha maisha yenu na ya wengine. Hongera sana 🥰🥰🥰🥰🌹
Kicheche apo wapi naomba anunuwe gari kubwa kuliko wote ❤
Hakika mnafanya kazi nzuri sana. Magari haya ni ushahidi wa bidii na kujituma kwenu. Hongera sana!
Ni jambo la kutia moyo kuona mkiishi maisha ya ndoto kutokana na vipaji vyenu. Endeleeni kupasua anga! 🎉
Mungu tujalie na sis wasoma comment tupate mafanikio😂😂
😂😂😂
🙏🙏🙏
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
Hongera sana kwa kufanikiwa kumiliki magari haya mazuri. Mmetuonyesha kwamba hakuna kinachoshindikana kwa mwenye bidii.
Hizi namba naona umeshindwa kuziweka kwa usahihi.. maana haiwezekani namba 4 iwe na mtu mwenye toyota ist alaf mtu anaemiliki harrier kuwa namba nane na 6 inashangaza
Clam ndinye wa kwaza😊😊😊
Mnafanya kazi nzuri sana! Magari haya ni kielelezo cha mafanikio yenu na juhudi zenu.
Hongereni kwa kufikia malengo yenu! Magari haya yanaonyesha jinsi mnavyothamini na kuwekeza kwenye kazi yenu.
Hongeleni sana kwa kupata utajili kwa kipaji zenu
Eliudsamwel hana gar mkuu apo umezingua 😂😂
Mm huyu ndaro nitampata wapi? Mm nampenda sana i love him
Heee 😀😀 wewe
Nikupe Namba ake
Nakubali sana 😅😅
Kwaiyoo gali ni utajili dar tanzania bhana mnatumia mb vinaya sana
Mpaka wanaume wanaamini gari ni utajiri mtihan sana kicheche alianza kutambulisha nyumba hajawahi kujigamba na gari
Kwan we2 unatumia gar gan lakutembelea
Ongera tanzania
Hapo mmedanganya kwan pili na eliudi nan mwenye gari kali
Hakika mmeonyesha mfano mzuri wa jinsi ya kutumia vipaji kwa manufaa. Hongera sana kwa mafanikio haya!
nawakubali sana
Mr Mwanya Pia bro✊
That crazy
Kaka ist na harrier 😂😂😂 apo umetupiga kwamba ist ni bora kuliko harrier
Benz na frorester🤣🤣uyu jamaa ni jauu
Hamna kitu hapo ist😂😂😂😂😂😂 angalau subaru
❤❤ liké ❤
Mnapasua anga kweli kweli! Magari haya ni ushahidi wa kwamba kazi ngumu inalipa.
Haujui kupanga list
Panga wewe unae jua 🤣
Kuna watu ni wajuaji khaa 🤣
Sjapenda
umeteleza sana hapo mkuu fanya urekebishaji
Kwahiyo shafii dauda hayumo😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shafii dauda mchekeshaji 🤣
Hongereni sana
😘
inamana anaemiliki Swift ana hela kuliko Harrier
Ukiwa huna gari au ujawai milik gari uwez jua ugumu wakumilik gar la kutembelea
Kabisa yaani!!
Wasio na magari utasikia ist nayo ni gari au passo nayo ni gari!!!ujeuri hawajawahi hata kumiliki baiskeli
Mkuu hakuna forester ya mwaka 2009 0 km 🤣🤣apo umetupiga parefu................
Mnafanya kazi nzuri sana kwa kutumia vipaji vyenu. Magari haya yanaonyesha jinsi mnavyojituma na kuthamini kazi yenu. Hongera sana🎉🎉🎉🎉
🙌🙌🌹
Safi waliosema uchekeshaj sio dili wajionee
❤❤❤❤❤❤❤ love
Wanunuwe magari
Joti yuwap babu unadanganya😊😊😊😊
Hongereni sana munafanya kazi zenu kwa ustadi mkubwa
🙏🙏🙏🙌
Steve umetisha😢😢😢😢
namba 1 anastahil dullvani coz thamani ya merced benz ya dull 55M + nani gari ya 2014
😂😂😂 ila we mwandishi ni mchekeshaji pia.. Namba saba anamiliki harrier alafu namba tano anamiliki I. S. T
Kama umepanga mafanikio kwa magari hapo sawa ila kwa mafanikio kwa ujumla kwa hao ulio wataja coy ana wazidi wote
Vipaji vyenu vinaonekana hata kwa jinsi mnavyoishi. Hongera kwa kumiliki magari haya mazuri!
Achaneni uongo mbn kicheche ayupo na magari mazuri kuliko hao wote
Gari lake bado halijafika 🙌 likifika tu atakuwepo
Yani hiyi orodha inanichanganya sielewi unaongelea nini utajiri au magari mana mwenye IST anashika nafasi ya 5 afu mwenye CROWN anashika nafasi ya 7 duuh hiyi list vipi bhn kuweni serious 😂😂😂😂
Ndizi media mmekosea kutu kimoja...wakati mnalitaja jina la gari, mngekuwa mnalionesha gari katika hali uzuri
Asante kwa ushauri
Mmmmmmh lakini kichache na mwakatobe
Gari zao zinakuja bado hazijafika nchini
😅😅😅😅😅
Hujui kueka wapinzani
Kwahiyo joti Hana gari
Mhuuu mama mawigi wapi
Wamejitahidi ila gari ni za kawaida sana
Wapi joti na mpoki
Ebu Steve awekwe namba moja tusidanganywe
Mark x ya coy alipewa zawadi na simba na ndio maana anaicherish sana gari yake
Sio kweli wapo manguli ambao hapa wameachwa
😅😂😅
Joti namba ngapi?
Sasa hii list mnapangaje wakuu mbona mna under estimate thamani za magari swift na harrier na ist ipi bei au mnatumia kigezo gan kupanga
nimeona gari mbili benzi na ya tx hata gari ya clevo very simple
Stvi 🇺🇸🙋.🇹🇿
🔥
0 km gari ya tx dulla apo umetupanga mjomba, ushaona gari ya 0 km inavokuwa ww, Fanya research zako vzr
kweli wanahitahiji pongezi uko nyuma wachekeshaji walikuwa wanazauliwa sana lkn tuttle ya utajili na magari ya kifahali amechemsha mwandaaji hakuna gari ya kifahali hapo hata moja kwa wote kuna gari na usafiri
mtoa post hujui thamani ya magari
Anaemilik Toyota ist anamzid anaemilik Toyota Harrier?
😂😂😂😂
Hapo umetaj baadh ya comedians wenye usafiri,ila wenye gar kal kina mpok,jot,masanja au mmetaja wasanii wapya,?
Ka leornad hakapo
Atar
Mnawatia moyo wachekeshaji chipukizi kwa mafanikio haya. Magari haya ni alama ya bidii na kujituma kwenu.
😂😂😂 ila nyumba hawana
Wanajenga taratibu 🤦
Mbona hamtuonyeshi nyumba zao
Wapi Joti
sija hona ebitoke wangu
kwa thaman ya gari ya dullvani ni sawa na gari za txdullah ziwe mbili
mtoa post hayajui magari
Mweny IST anashik no 5 mweny Harrier yup namb 9 mweny crown yupo namb 7 mwingne yupo namb 4 c elew
Unaweza kua na ist mpya namba E na ukawa na harrier namba D 😂
Kazi yenu ya ucheshi imezaa matunda mazuri. Endeleeni kung'ara na magari haya ya kifahari!
Which country is this😂kwan clam vevo ni mchekeshaji???
Akuna vigezo vya utajili hapo uongo mtupu
Team joti gather here tunakikao baadae😂
Wapi Leonardo.!!??
Mwanya vp
Sasa kicheche ni number gani
Kumiliki gari sio kua tajiri mue mnawaelimisha jamii waandishi kuna wanaonunua magri ila awajapatia ata vijana wengine ajira kuna wanaokua na pesa na wanagawana na vijana wengine kama steve coy mzungu n.k
Dulvan anafanya forex trading ndo inampa pesa mingi
Forex trading ipoje
mkali wenu hana brevic anamiliki bmw x5 kwa sasa
Ume mwona nayo 😂
nenda kajambe uko
masanja
jot
na mpok wao ni wahuzunishaji ama nao ni wachekeshaji?
Na kp je
Hizo namba mbona haziendani uhalisia wa magari yenyewe... mtu ana Harrier yupo namba 9 mwenye IST yupo namba 5
Ist mpya namba E
@@NDIZIMEDIAKwamba ist namba E ndo inazidi thamani harrier😂🚮
Aide me sabscrib
Yukwapi joti mpoki na masanja???
Hacheni ujinga wenu clam anaela nyingi
Kashitaki
Mbona hayupo joti
Kicheche Yuko wap
Lakin kama kuna watu sojawaona kwa list hii sijaelewa elewa ivi!! 😇
Magari Yao bado ayajafika nchini 😂
Akuna magar apo kuna usafr tu😢😢
🤣