JUMA LOKOLE AZIMWAGA SIRI ZA WASANII | HAMISA, AACHE UTOTO | NDOA YA JUX MWAKA HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 82

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 години тому

    Hamisa na marioo❤❤wameupiga mwingi 2024

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 дні тому +14

    Umbea kazi nzuri mwenyezi mungu kakataza kufatiliana uweke majibu kwa mungu utakwenda hukumiwa kwa unalolifanya kuwasema we zio kuwa sema vibaya

    • @mounaoksal
      @mounaoksal День тому

      😊😊n😮Franki g😅 😅

  • @RaylaElmi
    @RaylaElmi День тому +3

    Marioo na zuchu🔥🔥🔥😊😊

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 дні тому +5

    8:14 Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

  • @aminaanab1071
    @aminaanab1071 4 години тому +2

    Hamisa ndio ana fanya watu wakuje kuangalia hivi video 😂😂😂kweli hamisa nini kiki mjini

  • @MamuKemal-z3d
    @MamuKemal-z3d 2 дні тому +2

    Juma to the world ❤

  • @catherinenyambura4097
    @catherinenyambura4097 День тому +6

    Yaani wametaja wasanii wengi sana ila hamisa ndiye headline 😅😅that should tell you something....hamisa is winning

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 День тому

      Juma kaongea Point tupu Hamisa alitamani sana kuitwa Tz sweetheart 🤣

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 День тому +1

      Siku zote hamisa ndo top kwe vchwa vyao

    • @catherinenyambura4097
      @catherinenyambura4097 День тому

      😅😅inamsaidia vipi hio tz sweetheart ​@@wemakingdaily1462

  • @FezaFirdaus
    @FezaFirdaus День тому +1

    Leo juma kamtaja Harmonize kweli 😃😃nimeipenda kwakwel

  • @emmakipalula9097
    @emmakipalula9097 День тому +4

    Sema juma umekomaaa sana now, unongea kwa hekima sana et😂😂😂

  • @FridaUdoba-iw2jx
    @FridaUdoba-iw2jx 6 годин тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 4 години тому

    Hamisa kumpita Wema na mbali acha unafki wema ame choka. Eti Zuchu ana mafanikio hayaweki wazi 😂eti hamisa weka wazi😅

  • @maryamChumas
    @maryamChumas 20 годин тому

    Napendraaaa interview zako kaka juma❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GeofreyIsaac-c1x
    @GeofreyIsaac-c1x День тому +1

    Wewe mnafiki sana, umuongea hivi kwakuumusha moyo zuu😢

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 День тому +2

    kwelii juma kwa wema umenenaa

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 2 дні тому +9

    Achana na hamissa wew shoga

    • @ilakozasembumende1975
      @ilakozasembumende1975 День тому +12

      Amesema eti zuchu anaficha mambo yake. Sasa anataka hamisa aweke hadhalani mafanikio yake ili iweje atuachie misa wetu

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x День тому

      ndo nashangaa huyu wazim nini😂😂😂​@@ilakozasembumende1975

  • @RukiaMzee
    @RukiaMzee День тому +3

    Niko na uhakika misa ameshamaliza kujenga nyumba yake na hivi karibuni atawaonesha na dio sababu unaona amemnunulia mamake gari

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 дні тому +2

    Li Juma Limenona kweli!!!! Ona

  • @RukiaMzee
    @RukiaMzee День тому +3

    Juma nakuhakikishia iko siku utamuita hamisa billionia yaani misa anajua kicheza chini mambo yake ya maedeleo anafanya siri lakini baadaye anawashitua

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 День тому +1

    Yaan kwa wema Juma umesema kweli kabisa wema utoto mwingi hana maendeleo

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 22 години тому

    Kweli gigy hajui kuimba

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 години тому

    Oa tupumzike😂

  • @farahali6041
    @farahali6041 День тому

    leo umemuangelea vzr konde kweli ww akiliyako iko vzr umewataja wote vzr

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 дні тому +2

    Juma kiboko ila mkweli

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 22 години тому

    Diamond ana sauti kuliko gigy jisauti kama kafungiwa kwenye pipa

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r День тому

    Kwanini WCB Wanakuwaga Na Kinyongo Na HARMONIZE Na Mafanyikio Yake ...?

  • @mercymphaya8942
    @mercymphaya8942 2 дні тому +5

    Is this not the same guy who said that Jux can never marry his Nigerian girlfriend?l wish l can understand what he's saying lol

    • @m___ck799
      @m___ck799 День тому +2

      Yes,he can never marry her.. he is only with her for clout & fame! Since he is best friends with the mastermind of clout chasing-East africa,Diamond Platnumz 😂😂😂😂sorry oooo

    • @mercymphaya8942
      @mercymphaya8942 День тому +2

      @m___ck799 what are you saying mate? He can never marry her but yet they're already giving invitations card, is that making sense to you?Besides Dimond and Jux have different personalities

    • @sifatiiman
      @sifatiiman День тому

      ​@@mercymphaya8942utajua hujui bwana gooo

    • @m___ck799
      @m___ck799 День тому

      @mercymphaya8942 Mark my word... even if they marry, it would not last. Of course, he has to go ahead with it due to pleasing people like yourself and Priscy's family, lol

    • @mercymphaya8942
      @mercymphaya8942 День тому

      @@m___ck799 why he didn't please Vanessa and her fans back then? Even Keren.You all should just wish them well, only God knows tomorrow. At first it was about he will leave her soon,then he can't marry her ,now it's about their marriage will not last.like really? Come on Tanzanians ,you all can do better hiss

  • @zuleyqasayid4001
    @zuleyqasayid4001 День тому +2

    simpendi huyu heshi kumfatilia Hamisa

  • @JenifaAbasi-w1q
    @JenifaAbasi-w1q 2 дні тому +2

    Unatetea kibarua chako😂

  • @MedsonMmkubwa
    @MedsonMmkubwa День тому

    Zuchu anamichekupo. Simba. Kapitaseenyingi zndiyo mke wa daimod. Mungu kapanga ivyo

  • @Raïssalaboss
    @Raïssalaboss День тому

    Bora umeongea vizuri kuusu gygy

  • @frenchygigi
    @frenchygigi Годину тому

    Diamond usioe Zuchu, she is too desperate

  • @fainahjonas4732
    @fainahjonas4732 2 дні тому +4

    😂😂ila juma

  • @mercymphaya8942
    @mercymphaya8942 2 дні тому +3

    WHEN IS JUX'S FIRST WEDDING OR ENGAGEMENT?

  • @tundaisabelle3218
    @tundaisabelle3218 День тому

    Apo kwa Daimond ummm umeonyesha uwezo wako wa umbea kweri

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 День тому +2

    Hamisa embu mwache kabisa kumzungjxia dio saizi yako

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 дні тому +14

    Diamond ni mfanyabiashara mkubwa hawezi kuoa ili mradi kuoa ana angalia hata akiondoka kesho nani ataendeleza biashara zake?

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 дні тому +3

      Mawazo yako!!!!! Usitumaanishie

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 2 дні тому

      @BarbaraPatience-qt9cc sijakuita kwenye comment yangu kwahiyo hata wewe unaweza comment fikra zako dear,

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 дні тому +3

      Nimekuelewa vizuri sana.. yule mwenye akili timam atakuelewa. Nimekuelewa na mawazo yako yana usahihi wa💯💯 Na kuoa bado sana....

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому +1

      C ataendeleza mkewe au!?

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw День тому +1

      ​@@humbleshoalmke mpaka umpate sahihi.

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 2 дні тому +2

    Mwaka mpya umechokorwa nyuma na waume wangapi ww lokole

  • @nikita_strawbery
    @nikita_strawbery День тому

    😆😆😆😊

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 49 хвилин тому

    Heri hamisa aache utoto nawe mwijuma acha kutobwa mkundu mbwa wewe utashindana vipi na hamisa au vile alilala na bwanako diamond ndio wivu mbwa wewe mwijuma

  • @tupasesamuel2109
    @tupasesamuel2109 День тому

    Why is this too short? As movie fans we not enjoying any moment cause the movie is too short when you shooting after four to five days

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂

  • @Nassrah737
    @Nassrah737 День тому

    😂😂😂yani anavyo ongea ni ya kinafki eti simba muoe zuchu

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 День тому +2

      Juma anajua fika Diamond hawezi kuoa demu yoyote siku akioa tu anafulia

  • @MohamediKing
    @MohamediKing День тому

    Mmhhhh

  • @linahgladys4113
    @linahgladys4113 2 дні тому +2

    Kuandamana kisa nn ila huyu senge ata Kenya hajawai fika the mouth is open 😅

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 23 години тому

    Kwani wewe ni familia ya Daimond? Eti kwa vile natoka kwenye familia ya Daimond

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r День тому

    Mumuulize yeye Uyo Mbeya JUMA; Kwanini Yeye Hajaoa...? Hao Nataka Kuolewa Na MWAMBINO...?

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 23 години тому

    Familia ya daimond kwani umezaliwa nao mzazi mmoja ? Wewe umeingia kazi kwahiyo ujue likitokea usort out mwenyewe usitake kujipeleka eti watu stone uko kwenye Familia haupo usijisogeze mmekutana tu na kushibana sio mtu atoe hela yake kwa kos lako

  • @UwimanaFarida-k9e
    @UwimanaFarida-k9e День тому

    Kumbe umbea ndo KAZI yako

  • @Ruu974
    @Ruu974 День тому

    Mnalihoji senge la mondi

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 2 дні тому

    ua-cam.com/video/c6nVjsEMU7s/v-deo.html