MC MBONEKE: JOTI/YUPO SINGLE/MILIONI 20 KWA SAMIA/NAOMBA IRUDIWE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 тра 2021
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 17

  • @sophiasophia6945
    @sophiasophia6945 3 роки тому +5

    Mboneke nakuelewa kuwa single ni kawaida kama unahofu ya Mungu

  • @emmambalambala5123
    @emmambalambala5123 3 роки тому +3

    Mboneke uko good sana mwambie mamy Beib sjui Huyo nimemwelewa

  • @stevenabraham3165
    @stevenabraham3165 3 роки тому +1

    Huna dharau Yan nice mdogo Ang mbeya tunawadg bomba

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 Рік тому

    Mimi Ni mkristo lkn kwa navyojua Mungu alituumba kwa mfano wake kiroho na c kimwili,

  • @mokajoli4928
    @mokajoli4928 3 роки тому +2

    Hatari

  • @neemarajabu9432
    @neemarajabu9432 3 роки тому +1

    Nakukubari sana

  • @emmambalambala5123
    @emmambalambala5123 3 роки тому +1

    Ana saut nzur anahoji vizur

  • @vumbaboy
    @vumbaboy 2 роки тому

    Vumbaboy hapa

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 2 роки тому +1

    Itumie pua yako,kukupaisha

  • @alikadotz9592
    @alikadotz9592 3 роки тому +1

    First comment

  • @imash04tv20
    @imash04tv20 3 роки тому

    mungu hajafanana na kitu chochote ndugu msikufuru mungu usimfananize nabkiungo chako yy mwenyewe anajua alivo hio kauli sio mzuri kabisa kama alivyosema katika kitabu cha quran kitukufu ...wala hakufanana na kitu chochote.....

    • @niamlay6232
      @niamlay6232 3 роки тому +1

      Kila mtu na iman yke cc wakristo ndo hivyo ilivyo

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 роки тому

      @@niamlay6232 haina maana yakua kila mmoja ana imani yake mungu hafananizwi ndugu hata kwa wakristo ipo hivyo na kama mkikosolewe mkubali kuambiwa

    • @bornifacecharles9555
      @bornifacecharles9555 2 роки тому

      @@niamlay6232 nikweli kaka sisi wakristo tunaamini hivi sisi tumeumbwa kwa mfano wake yeye

  • @billionaireoswardkanyala1307
    @billionaireoswardkanyala1307 3 роки тому +1

    Nani kaskia mboneke huna sura nyingine zaidi ya hii