EXCLUSIVE: MENINA AFICHUA MAPYA "NILIWACHUKIA JUA KALI, MWIJAKU SIMPENDI, ATATAMBA ILA IPO SIKU"
Вставка
- Опубліковано 10 січ 2022
- Mahojiano na msanii Menina, hapa amefunguka mengi kumuhusu yeye ikiwemo kutokuonekana kwenye tamthilia ya Jua kali, sakata lake na Mwijaku kupitia video zao zilizowahi kusambaa mtandaoni. PLAY kutazama FULL INTERVIEW
Kaka Millard kijana yuko sawa muongezee mshahara 🙌
Mungu akusimamie kwa kila hatua zako kuanzia leo mimi ni shabiki yako namba moja wa mziki wako ✊🏽✊🏽🤝
Menina ako na depression tena Kali Sana anataka faraja zaidi na dakitari Wa ushauri
hauwezi fiwa na mume na mutoto ukawa sawakwa mwezi moja, khaaaaaa kabisa anaitaji daktari 😢😢😢😢
Umeona eeh
Kweli kabsa she's not good at all
Huyu dada n mzur Sana Sana
Ata unge pewa break ya 6 months kwa upande wangu wala hisinge tosha, labda miaka 2 . Mtoto ana uma sana uezi linganisha kazi na kifo cha Mtoto.
Uyu mdada mzuri sana! N yuko open! Ila kuimba simuamini kiivo
😅😅
She z cute💖 I love her personality and her consistency💪, she has been through hell and now she z here with energy and more determinations.🙏 God will never take away his hand of blessing to you #Menina💖
Menina unani inspire kiukweli maana mtu akikuungalia the way u talk anaweza chukulia simple lkn daaa! Mungu tusaidie
Mwandishi wa habari nimekupenda buree maswali yko 👍
Aliye kufa baba mtoto ake ndo ame ondoka na mwanaye? Jamani kapitia mazito mpaka nasema yangu afadhali 🙏🙏🙏😫🙏❤ MUNGU akubariki matunda uyaaone mwaka huu urudi kama mwazo
Ila mwijaku Daah.... Akamrekod. Dada wawatu maskini pole menina Hakika Mungu yupamoj nawe
Yani hata watu milion wakuseme vibaya mimi nakupenda sana
Nimekupenda bure Menina, hongera sana kipenzi, wewe ni Mwanamke jasir sana, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏
Kiatu chake kizito Dah ,binti mzuri huyu Mungu wetu ampe nguvu
Maa shaa Allah dini unaijua Allah akuongoze njia ilio nyooka
Yaan Lamata kha! Hana utu yule llimama halafu anajifanya kukuza vipaji usikute kashampigia hadi luludiva arud location mxieeew
Kabisaaa yan
Mh,,bas kaz mwenzio ladies na mama
Inawezekana aisee
Huyu dada nampendaga sana...she's very beautiful
Vidoo uko vizuri sana nikisikiliza interviews zako uwaga sijutii bando langu kabisa.......
Pole sana menina MUNGU akujalie
Pole sana.., Mwenyenzi Mungu Azidi Kukubariki
Mabosi wote ndio kawaida wanataka kazi zao ziende hawajui shida ya mtu hawa ndio moyoni mwanzo kuingia mtoaji ni Mungu sio binadamu tunapitia tu kwao Mungu akupe Subra tusikate tamaa Mungu mkubwa
Hilo ni kweli kabisa hata Mimi nimelipitia hlo
Keep it up we support you 😘
Tell that lady I love her so much and I love what she said
Menina dear ,I love you.U've been through hell but umejikusanya
Menina nilikua sikuelew but from now nimekuelewa na pia kuna kitu nimejifunza saana good mtangulize sana Mungu
Allah akuongoze katika njia iliyo bora zaidi na akupe subra na imani zaidi.
Yaan ukosef wak kwenye jua kali mtu walomuwek hawezi kkufikia bn
I love you Menina.😍😍
Mwijaku muharibifu sana!
Nampenda Menina Sana 💕💞🥰🥰
Daaah pole sana sio rahisi kuovercome hiyo situation
Wew menina.igiza tu nandy na zuchu huwawezi
😅
Wewe ni jasiri wewe ni malkia wa nguvu nakupenda na Mungu anakupenda sana keep up a good work may Allah bless you my sister amen
Pole sana
Mungu akubariki sana inshaallah
Pole. Kipenz yaan asilimia kubwa ya mabos wanajal maslai Yao kuliko matatizo. Ya mtu jamqn kwel hisan sio. Biashara kusema. Utapata faida
Mungu atakuweka pazur my dear kuwa strong wewe ni super mama ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ridhik ni Kaz ya Allah si ya mjaa
Inshallah 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
Tumrudieni Allah dadangu Nyimbo acheni nazo
Utamlisha?
Nakupenda Sana menina wangu
Vidoooo love you so much menina muzuri jmn
Mtangaziji upo vzr ayo tv 💪💪💪
Asante sana
Unaonekana dini waijua u better stay on film and Mc music huu si njia inayokufaa
Uyu dada amepitia mapito mengi ila kufiwa na mume na mtoto kwa kipindi kimoja maumivu hayaelezeki na ni jasiri sana ila bado hayuko sawa ana stress inaonekana
Kweli dada huwa nakuonea huluma Sana kwa mapito uliyo pitia kuondokewa na Mme na mtoto hakika mtihani Sana usikie kwa mwezako pole Sana Mungu akupe falaja
Pole Sana meninaa l know how u feel😭
🥰🥰🥰
Polee my dad
toto zur maashaallah
I loooooove the confident in answering her questions😍
Namendaga sana menina
Vido Vidox Bonge Moja La Interview Safi
Pole menina mitihani tumeumbiwa ili ikujenge zaidi na wewe uko imara .Kuwa karibu na Allah na utaishinda mitihani
Pole sn menina
Mtangazaji yupo vizuri kwa maswali
kazi ndivo zilovyo mazuri mengi hayaonwi baya moja ndo linaonekana
Menina i love you from to day
Nimekupenda bureee menina💋💋
Mungu anataka tusamehe,ss unamuomba Mungu vipi na kuna watu unawachukia?
Km kisasi ni cha Mungu lazima usamehe! Usiposamehe hata sala hazipokelewi
Kamuachia Mungu alichofanya mwijaku hakisameheki
Very painful pole sanà doh! Hii story imenihuzunisha mno...kujifungua then msiba.na boss wako hakukuelewa
Usijali menina Mungu azid kukubarik kwakweli
She's Very strong ❤❤
Nakupenda 🥰
Pole sn dada. Ila mwijaku alifaidi bhna pamoja na utaahira woooote ila alifaidi bhna
Aaan we dada nakupenda 😍😍🤗
Menina💟💟queen of bongo flavor
LAmata kumbe ni BONGENYANYA ASIEFAA.MENINA GOOOOI WATAKUELEWA UNAIMBAA DADA.AFU MREMBO SASA.MWIJAKU AENDE JELA.
Na mimi ckuamini kama lamata Ana roho mbaya hivyo
Jmn vido uko vzr wakuongeze mshahara 😘😘
Mshenzi tuu. Yeye anajali kazi yake na sio afya ya mfanyakazi. Ungeanguka ukafa pale ndo angejua kama afya ilikua haikuruhusu. Bora ulivyo quit
Yaani huyo boss kichefuchifu Sana pia Hana utu hata kidogo
Sjiwezi tamuu nimependaa
Kabisa
Lamata ana roho mbayaaaaaaaa
Vido nakupe😍😍😍😍
maskini i loved u as nairah kulko yule twiga kule...pole sana menina😘
Yaani kwa mbaaali kama mimi Mars sauti na sura kidogooo halafu tunamrudisha kuwa menina🙄🤔
Vido upo juu
Pole sana menina ridhiki allah ndie mtoaji
Pole sana
Pole sana mchawi yule ajui uchungu waķufiawa
Whaat and the way am waiting you to get back on juacali ...eeish so unfair from kenya
Kama umeamuwa kusali ungeachana na mambo ya kidunia Mungu anamakusudi na Wewe
Utamlisha na kulipa gharama zake za maisha?
pole
She's sooo charming bby girl ❤️🥰
Kiukweli pengo lako la juakali HALIJAZIBIKA.pole sana kwa matatizo.umepitia mengi ila una Mungu😭😭😭😭
Kumbe lamata ni mshenzi vile... nimemchukia mnoo kumbe hana hata utu tukunyema lile😂😂😂😂
😂😂😂😂nimecheka eti tukunyema
Hata mimi nimemchukia
Daahh inasikitisha sana
❤
🎉❤
Wewe vip
❤❤❤❤❤❤❤
Bora ujiamin mwemyewe japo wenye bongobfleva yao n zuxhu na Nandy wrwe mwenzio ni Anjera tz
@Shadia Ally :kwann wenziwe ni Anjera tz lkn😂
😂😂😂😂😂hiv wewe una nn?
@@givenlugenge2212 🤣
weeeee labda mobeto koma kumtaja anjela
kwakweli😅😅😅
Maimartha amechangia asilimia kubwa menina kuwa na maisha magumu, wamemtia kwenye mawazo mpk akawa mzito kurudi juakali
Lamata apo alikosea sanaaa sio vizuli ulivyo fanya kumbe huna ata ustaalabu
Lamata ameeleza vyengine huku Menina anasema vyengine.Sasa nani mkweli?
@Amina Said Mabonge wanamachozi yakaribu saana lakin roho zao katili saana🤣🤣🤣
😭😭
Muislam wewe Menia ama NIMEKOSEYA??🙃😉
Lamata anaroho mbaya kweli mungu amlipe kwa kweli loh
💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞🇺🇲🇺🇲🇨🇩
Be strong kwenye maisha kuna vitu lazima upitie ili utambue ujasiri wako.
mh
Hajakaa eda heee Sasa ndo vipi
Kwa mbiyo mbiyo ina fanana h y ya enda popote na mziki🤣🤣🤣🤣🤣
Vido vodox unakuja vizur
Inaonekana anaongea ukweli
Hana depression maana amepokea matatizo na amekubali kuishi nayo. Na anaendelea na maisha kama kawaida, depression asingeweza kuendelea na majukumu angegombana na watu kibao.
Exactly....watu hawaijui depression
.depression kills.
Leo ndo nmepata jibuu aunt zai mwanae yule mwngne yuko wap nmeulizia weeeeee(Menina) kumbe aliacha ndo akapachikwa zaylissa (Naira) 😚😚😚 hapo ndo nmepata majibu
Lakaa mbili sawa sawa😂
Menina mwijaku mtu poa ninbahati mbaya. Tu yaache hayo maisha yaendelee
Shida msema mpweke mshindi wangekuweka wote tungejua ukweli
Hawakukutendeya haki
Yani huyu Dada hayupo Sawa kisaikoloji kabisa