#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 72

  • @hajiameir3733
    @hajiameir3733 2 роки тому +5

    Hii ya kuona mabaya na kuyafananisha au kunasibisha na weusi ndio vipi.????mabaya ni mabaya...rangi nyeusi imehusikaje???acheni kuiona rangi nyeusi inawiana na ubaya

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 роки тому +9

    Usililie uzuri lilia bahati huu msemo unamvaa vema huyu bint she s very beautiful ila ndo hanaga bahati na asiye na bahati habahatish😪😪😪 kapo kama malaika ila bahati bahat daaaaah

    • @eddietaz710
      @eddietaz710 2 роки тому

      sio hana bahati, hana akili

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Місяць тому

      Anajionaga mzuri mnooo.. ila issue yake na mwijaku ilikuwa mbaya sana.. watu wazima wamepost video wakinyanduana kwa 6 x 6

  • @simoncharles6475
    @simoncharles6475 2 роки тому +2

    menina hujielewi ww ulijirecord mwenyewe na makalio yako ya dimpozzz sasa mwijaku c ni choko tu yule kam choko wengin

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 2 роки тому +14

    Sema kweli wadada kuweni makin Sasa mtu kama mwijaku kweli!!!

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 2 роки тому +4

    Mungu Mungu Mungu × atakulipa × marakibao haikusaidii dada ALLAH kawapa onyo wengi walio na tabia hiyo kupitia wewe. Ukubwa wa dhambi ya dhinaa ukiunganisha na kuisambaza mitandaon n kubwa mno.next time ukihojiwa kubali ww ndio mkosaji mkuu na iombe sana msamaha jamii na hasa wanawake.

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому

      Anakuwa vipi mkosaji mkuu wakati baada ya yeye kulewa(stupidly of course) Mwijaku akatumia opportunity kurekodi ile clip na akawa akimtisha nayo(which is pure blackmail and a grievous criminal offense) na baadaye akaisambaza, the outcome of this case before the court of law will reveal all the hidden facts.

    • @williamkeita1519
      @williamkeita1519 2 роки тому +2

      @@unclepwechnov1381
      Kulewa kwake kupigwa picha n msg tosha kwa wadada wengne wanao fakamia mipombe ya watu wasiowajua tabia.inshot mi ninamlaumu menina coz jukum la kulinda utu na thaman yake n lake mwenyewe. Mahakama itatoa adhabu kwa huyo pimbi mweusi wa kigoma but haitorudisha utu wala thaman ya menina ndio hivyo tunamuona kiaina yaan wadada wajipendao wajifunze kwake

  • @rosechami5637
    @rosechami5637 2 роки тому +3

    This woman hakufanyiwa vizuri Ila yeye pia alikosea kutembea na mume wa mtu pia was so bad

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 роки тому +11

    Shangingi tu nyie ..wote mashetani ..mungu gani mnaabudi nyie......

  • @joshuaclement6775
    @joshuaclement6775 2 роки тому +3

    Diva your professional🙌

  • @draaonline7923
    @draaonline7923 2 роки тому +5

    Ni vibaya kuchukua clip wacha kudanganya watu

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 2 роки тому

    We mdogo wangu lile lijamaa Liboya lile dah!!! Wadada mnahuruma sana.

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 2 роки тому +5

    Wote ni mafala mkiambiwa acheni zinaa inaleta ufakili na yani kwenye kuzini uliona ni vizuri nankiri kuwa kuchukua video sio vibaya vibaya ni kusambaza na kama unasubiri aadhirike mmeshaadhirika wote kikubwa omba toba acha zinaa kama bado unafanya na bado unaalani wazinifu wenzako linaweza kukuta kubwa kuliko inawezekana mwenzako kaomba toba tubia dadayangu kabla punzi haijakata hata mambo ya kesi achana nayo haitakusaidia chochote omba toba mrudie mungu wako tumia uzuri wako kumtukuza mungu na kumshukuru utafaulu kuliko hayo unayo yategemea

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 2 роки тому

      MashaAllah good advice barakallahu fiiq

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Unamtisha huyu dada? 🤣🤣🤣 Umechelewa! Hatishiki!

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +4

    Kumbe ni mwijaku kweli 😢😢yn leo hii ndio naamini km ndio yy baada ya menina kusema 😢😢ile menina na ww ulikuwa umelewa sn ile whisky 😢

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Pole sana kipenzi

  • @mjuvemjuve7847
    @mjuvemjuve7847 2 роки тому +5

    Linaongea sana lile mwijaku kumbe mshenzi yake aongei

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 2 роки тому

    Hawa watoto mahabithi hujifanya wanajuwa sana dini pale wanapotaka kujisafisha. Huyu ame wadhalilisha wazee wake vibaya sana sana. Nafahamiana na baba yake, ulikuwa unahisi kwamba kaumizwa vibaya sana.
    Menina umeuvaa ulimwengu na bado mdogo sana. Utakushind

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 2 роки тому +8

    yani diva anajua kungang,aniz san
    huyu ndo mtangazaj anaetakiw

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому

      Sana, amemuingia professionally mpaka kafunguka kitu ambacho hakuwa akitaka kukifanya, kongole kwake Diva.

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 2 роки тому +6

    Hakuna malipo ya upumbavu achen ushenzi. Malipo ya zinaaa et mungu atamlipa hapahapa? Wote washenzi si menina Wala mwijaku. Hadi unakubal kurekodiwa akili yako ulikuwa umeiazima sehm au

  • @kingbyaro6016
    @kingbyaro6016 2 роки тому +1

    Ile video ina nisaidia kisabuni Asante mwijaku 😘😘

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому +2

    mbwa mwijaku ndomaan kalaaniwa yule njaa muha yule inamsumbua fala yule

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +4

    Mwijaku libaba litahaira lisilojielewaa kenge kbsaa.AMEDHALILISHA WANAWAKE WOTE AKIWEMO MAMAKE.pua imemfunuka ka kikaango cha chapat

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +1

    Ila mtoto huyu anakunya kama BATA BUKINI ...!...Dah hatari sana..!

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 роки тому

    Mkome. Unatembeaje na mtu kama mwijaku

  • @eddietaz710
    @eddietaz710 2 роки тому +1

    Yaani video unajichukua mwenyewe na ukamtumia mwenyewe and then unatafuta mtu wa kumlaumu, and act as if you are innocent.....lack of education,

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 2 роки тому

    Muuza papa na mnunuzi wamegeukana

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 роки тому +6

    Ongea kiswahili wewe kwani ukiongea utafukuzwa mnanikera na vingereza vyetu vya ubabai

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 роки тому

    Akome kbsa pumbavu

  • @kuluthumkaguna9174
    @kuluthumkaguna9174 2 роки тому +1

    Halafu.saizi.linakazi.yakuona mabaya.yawenzake hilo limwijaku shetani sana

    • @jumatingi2047
      @jumatingi2047 2 роки тому

      Umalaya wa menina kukubali kurekodiwa ndio sabab...

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Mwijaku shenzi sana...

  • @amidushaban8081
    @amidushaban8081 2 роки тому +1

    Mwijaku ni murundi sio hata mukongo

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 роки тому +2

    Mwijaku ni noma maana niliiona ile video duu jamaa lilimpelekea moto huyu mtoto kinoma.

  • @amidushaban8081
    @amidushaban8081 2 роки тому

    Yani wale warundi , wa 1972 wakajifanya watanzania 🥶

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 роки тому +1

      Babu usianze hizo ,wengi sana wabongo ni wageni yani tukianzia miaka ya kale tutawakomba wengi mno wengi sanaaaaa .

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 2 роки тому

    Achaneni na abbygal

  • @omarhamad4844
    @omarhamad4844 2 роки тому

    0

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 роки тому

    Vimburu

  • @mulikaujoseph9971
    @mulikaujoseph9971 2 роки тому

    Sasa wewe wafanya interview ama unajenga team ati ndo #mwijaku aonekane mbaya jamani

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому

      Ingekuwa ndugu yako ndiyo amesambaziwa video yake ya faragha usingeyasema uyasemayo, hakuna binadamu aliye perfect lakini kwanini mtu mwenye akili timamu uvujishe clip ya faragha kumdhalilisha mwenza wako😳🤷‍♂️?

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 2 роки тому

      Kwan mwijaku ana uzuri gani?uzuri kuvujishaa mambo ya faragha mitandaoni hyo akili ?au matopee?ndo mana akapewa pua imemfunuka ka chepeo la mavi.tena mshenzi kbsaa

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 2 роки тому +2

    Kiukweli akili huna menina na sio ww tuu wte wanajirikod wakati wakuliwa mzigo matahira tupishe sie usijinasue nakuona mwin'jaku anamakosa kusambaza uchafu wenu ,km ulikataa kuchukuliwa video yakuliwa mzigo tungejua ss akili huna nakwambia tena

  • @deniserick6115
    @deniserick6115 2 роки тому

    Kapangwa na wasafi

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 роки тому

    Usitafute haueni ya makosa yako kwa kutafuta ya wengine. Umekosea limetikea just admit . Watu wanaweza kuwa wanafanya mistake Ila Kama so yako ama za kawaida sana ambazo hazidhalilishi.